TAJRIBA ADHIMU YA SURAH AD-DHUHA (سورة الضحى) KATIKA KUREGESHA KILICHOPOTEA AU KUIBWA |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- TAJRIBA ADHIMU YA SURAH AD-DHUHA (سورة الضحى) KATIKA KUREGESHA KILICHOPOTEA AU KUIBWA | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Kisa chauhakika kilichotokea Morocco kuhusu mtu aliyeibiwa mali yake na Allah (SWT) akamregeshea vitu vyake vyote. Hii ni Siri Adhimu na Mujarabu ya Surah Ad-Dhuha katika kuregesha kilichopotea au kuibiwa. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafwata maelezo yake ili uweze kupata vitu vyako au haki yako haraka.
Maelezo yake:
Surah: Ad-Dhuha (93)
Ayah: 1-11
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Tawadha
Tia Niya sahihi
Elekea upande wa Qibla
Soma Surah Ad-Dhuha kwa idadi maalumu na Insha Allah, Mola Tabaraka wa Taala atakutimizia haja zako zote.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
**********************************************************************
Mashallah allah akuzidishie kutupa faida nyingi za surah ndani ya quran
Tabarakallahu. Ameen Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏
MashaaAllah tabaraka Allah nakufatilia very beneficial MashaaAllah Allah akulipe kwa hilo
Tabarakallah. Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah. Shukran. 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
MashaAllah TabarakaAllah my lecturer Allah akhfdh 🤲🏾
Tabarakallahu. Shukran Al-Habeeb!
@@mohamedalidini Biidhnllah InshaaAllah my lecturer
@@FayeezAlbahassaney Shukran ya Habiby.
Shukran shekh
Karibu Sana Dadangu mpendwa 🙏
mwenyezi mung atukubalie dua zet
@@narutonaruto4303 Ameen. Sote Insha Allah.