BABU YAKE DIAMOND PLATNUMZ KIGOMA MWANANGU NI STAR MKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #wasafi #motown_sanya#babudiamond

ความคิดเห็น • 282

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 4 ปีที่แล้ว +57

    Babu wa taifa huyu kabisa 😂😂 😂😂 😂🙌 🙌😂 😂

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 ปีที่แล้ว

      babuuuuuuu

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 4 ปีที่แล้ว

      Kwa mujibu wa misingi ya imani yake kweli ni babau wa taifa la mashetani

  • @yaumirakateni9927
    @yaumirakateni9927 4 ปีที่แล้ว +42

    Kulu nafsi dhaaika2lmauty,
    Endeleeni2

    • @aishwaryaaishu5083
      @aishwaryaaishu5083 4 ปีที่แล้ว +3

      Yaumi Rakateni
      kabisa

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 ปีที่แล้ว +1

      Waislamu wa zama hizi hatari sana kama siyo Muslimus

    • @nahalevitalis3004
      @nahalevitalis3004 4 ปีที่แล้ว +7

      Nyie waislam mnatafuta nin huku si muangalie qaswida

    • @bongomsasa2496
      @bongomsasa2496 4 ปีที่แล้ว +2

      nafsi yako naona imekamilika

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 ปีที่แล้ว

      @@nahalevitalis3004 Yohana 8:44)

  • @majotv3405
    @majotv3405 4 ปีที่แล้ว +40

    Babu uko vizuri sana

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 4 ปีที่แล้ว +42

    Kama umeona sauti ya babu yake diamond inafanana na zahela gonga like hapa

    • @askkongl6821
      @askkongl6821 4 ปีที่แล้ว +1

      Andrea Shayo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @anthonymartial5554
      @anthonymartial5554 4 ปีที่แล้ว

      Et zahera😂😂😂 sema lkn ndy watu wa ujiji ndy lafudhi yao.

    • @amanimollel7086
      @amanimollel7086 4 ปีที่แล้ว

      Umemuonae

  • @simbamsumeno6363
    @simbamsumeno6363 4 ปีที่แล้ว +21

    Kama umesikia bibi kasema daimoni weka like hapa twende

    • @tsumasokoa8556
      @tsumasokoa8556 4 ปีที่แล้ว

      Acha ushari ww huyo c rika lako

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 4 ปีที่แล้ว +5

    Babu kiswahili cha wacongomani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rosemaryshine3008
    @rosemaryshine3008 4 ปีที่แล้ว +50

    🤣🤣🤣 kama umesikia CWB weka like

  • @christmhema9500
    @christmhema9500 4 ปีที่แล้ว +24

    Kama umetambua babu msomi wa biology weka like hapa.... 😁😁

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 4 ปีที่แล้ว

      Christ Mhema haswaaa katoa jibu la kisomi sio la kubahatisha..

  • @hassanissa4792
    @hassanissa4792 4 ปีที่แล้ว +5

    Babu we Haya tu , aendelee mkachomwe moto wote

  • @salumkatula4824
    @salumkatula4824 4 ปีที่แล้ว +1

    Familia ikiwa na msanii basi inaweza kubadili hata uchamungu bila yakua makini

  • @officialzu3772
    @officialzu3772 4 ปีที่แล้ว +35

    Mashaallah babu kajieleza vinzu🔥😘

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 4 ปีที่แล้ว

      Hivi wewe hili neno Mashaallah unajuwa maana yake? kwa mujibu wa neno ulitumia huyo babau anajijengea kibanda motoni mbee ya Allah maana hilo neno uliotumia linaishia na Allah aliekharamisha miziki na ulevi sasa wewe unazidi kumuombea maangamizo

    • @mohammedalnabahan.4127
      @mohammedalnabahan.4127 4 ปีที่แล้ว

      Acha kumsifu uyu mzee kwa kutumia jina la allah

    • @officialzu3772
      @officialzu3772 4 ปีที่แล้ว

      Maftah Mussa na juma juma acheni nogwa nyie kwani hakuna binadam aliyekamilika au ndio mnajifanya Mnajuwa Sana kukosiwa watu loooo kwedraaaaa huku nyoooo kujitia hashuo ovyoooo😏😏😏

    • @mohammedalnabahan.4127
      @mohammedalnabahan.4127 4 ปีที่แล้ว

      @@officialzu3772 Kama tuna hashuo utakuja kututoa siku ya uwanja wa hukumu kwani nina uhakika asilimia mia moja tutaonana na tutaonyeshwa majibizano yetu, ila ww dada nahisi umpungufu wa imani ya kumuamini ALLAH na MTUME wake, tunajua kua hakuna mkamilifu ila kukumbushana kupo, ila ww endelea sisi kutuita wajinga lakini hatutoacha kukemea uwovu wa miziki kwani ni HARAMU kwa ushahidi wa QUR AN na hadithi za MTUME MUHAMMAD.

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 4 ปีที่แล้ว +17

    Amen 🙏 Jambo kubwa kukumbuka nyumbani

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 ปีที่แล้ว +24

    Babu uko vizuri Mungu awazidishie 🙏❤

    • @antoinea.katembo5326
      @antoinea.katembo5326 4 ปีที่แล้ว +1

      Adija Niyonkuru mtabwa wa ukweli

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 ปีที่แล้ว +1

      @@antoinea.katembo5326 kabisa ❤ Antoine

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 4 ปีที่แล้ว

      Hivi we adija mbona unaroho mbaya kiasi hicho unamuona mwenzio kadidimia kwenye shimo la moto kwa msingi wa imani yako na yake halafu bado unamuomba mungu amzidishie baada ya kuomba mungu amnusuru na jahanam we vp?

  • @nurdinimndeme2912
    @nurdinimndeme2912 4 ปีที่แล้ว +20

    hawa sasa ndo wana WCB wenyewe - wengine tunadandia dandia makampuni ya watu .

  • @misheckmrk4140
    @misheckmrk4140 4 ปีที่แล้ว +3

    nimefulai sana mond kwenda nyumbani kgm jitaidi bro uache kumbukumbu kigoma City ndonyumbani kwetu

  • @worldwide9207
    @worldwide9207 4 ปีที่แล้ว +2

    Bibi Anamua kumwita dayimoni aw

  • @mwarabubabalao3746
    @mwarabubabalao3746 4 ปีที่แล้ว +12

    Kweli huyu mtangazaji kutulia fresh anajua kuoj vzr

  • @omarionkindaile9011
    @omarionkindaile9011 4 ปีที่แล้ว +34

    Babu anaongea kama zahera kama umeskia hiyo saut gonga like apa

  • @selungwieryka449
    @selungwieryka449 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani baba diamond kabila gani ? Mbona mwanae kwao ni umamani tu kwa baba vip?

  • @funfamily9209
    @funfamily9209 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa apo kwa mama yake but apo siyo kwawo twoneshe kwawo na mzazi wa baba yake njo pia

  • @narrybrown5173
    @narrybrown5173 4 ปีที่แล้ว +16

    Babu janja inaonekana simba naee💪💪💪💪👍👍

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 4 ปีที่แล้ว +1

    Onesheni kuumwa kwa matendo mabaya na dhambi anazofanya Mjukuu wenu, pamoja na mazuri aliyonayo. Muombeeni kwa Mungu wenu amuongoze aachane na kuimba na dhambi anazozisababisha kwa kazi zake hizi. Sote tuna wajibu wa kumuomba Allah, atuongoze katika haki na atusamehe makosa yetu.
    HATUJAFA, HATUJAUMBIKA

  • @officialnyongo2645
    @officialnyongo2645 4 ปีที่แล้ว +3

    Nitamshirikisha babu diamond katika ngoma yangu babu super star tayar

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +6

    napaona nyumbani hapo 🤛🏽😂

  • @selemanimsahani3919
    @selemanimsahani3919 4 ปีที่แล้ว +21

    Kila nikizskilza story za Kuusu daimond chozi waga linadondoka kwa mbali kama unaamini hicho acha like yako hap

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 4 ปีที่แล้ว +1

      Unatakiwa utokwe na machozi kumuonea huruma Diamond kwa anachokifanya sasa maana sio katika mambo anayoyapenda Muumba!

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 4 ปีที่แล้ว

      @Greyson Mdee Nini?

  • @esperancenathali
    @esperancenathali 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamani hadi raha watu wa kigoma hawana maneno mengi kama watu wa Dar es lam

  • @ndaganoanastazia2658
    @ndaganoanastazia2658 4 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe maman dangote katokea ujiji....nimekubali maman hapatoke boi huko kwa waswahili wa kgm... 🔥🔥🔥wanao kuchamba hawajui vizuri kwamba unanajieshimu tu...

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainna illaih rajiun, msiba huu jamani, akhera kuna mambo jamani.

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji leo hujazingua 😅😅😅❤️❤️❤️❤️🤗💘💘💘kma interview ya dula makabila ama Dullah ulimchukulia poa maana ni msela mwenzio ww usela nje ya kazi ss twataka maswali ya kiheshima na kistaarabu kama ya leo big up ma bro keep on 🔥🔥🔥

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 4 ปีที่แล้ว +14

    CWB😂😂 babu

  • @polloz77
    @polloz77 4 ปีที่แล้ว +1

    Babu na bibi wajomba wamechangamka vizuri sana

  • @shivamyaakrammuhammad9906
    @shivamyaakrammuhammad9906 4 ปีที่แล้ว +25

    Wcb naomba ipewe zaidi ya heshima naombeni

    • @uwingeneyeshadia7697
      @uwingeneyeshadia7697 4 ปีที่แล้ว

      Shivam Ya Akram Muhammad wapewe heshma kwa sababu wanafundisha maadili ya dini ao?

  • @saidisengo6502
    @saidisengo6502 4 ปีที่แล้ว +10

    Babuuuuuu

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 ปีที่แล้ว +12

    baba lao mung azid kukubarik

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว +18

    Nilichogundua watu wa kigoma wanazungumza kiswahili kwa ufasaha sana tena ssafi kabbisa,

  • @yahyamatemanga7831
    @yahyamatemanga7831 4 ปีที่แล้ว +12

    Dunia ya sasa watoto huwa wanalipa kisas ukimkataa mtoto nae atakukataa mkubwa tujitaid kuwatunza watoto wetu il tuspate aibu wakifanikiwa

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 4 ปีที่แล้ว +2

      Watoto ni mali ya mama hata ukiwatunzaje kwao mama ni mbele kuliko baba huo ndio ukweli kama unabisha hata wewe katika familia yako angalia hilo utakiona. mama ndio namba moja kwao baba ni namba mbili Kuna bondi kubwa sana kati ya mama na mtoto kuliko baba facts hata ukimtunzaje mtoto na mbaya zaidi akiwa wa kiume wa kike kudogoooo afadhali

    • @fortunataangelo5575
      @fortunataangelo5575 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa kati ya wanaume wote waliocoments ukweli nawe ni mmoja wao,, , usisubiri uje useme baba ni baba, timiza wajibu, , huwezi chuma maembe kwenye katani ,, utavuna ulicho panda,

  • @zuwenaamani3328
    @zuwenaamani3328 4 ปีที่แล้ว +1

    Babu nimwalimu mstafu lazima ajieleze vizuri , kanifunndisha kitongoni shule ya msingi

  • @salimsalum7728
    @salimsalum7728 4 ปีที่แล้ว +8

    Babuuuuuuu wa kigomaa

  • @majotv3405
    @majotv3405 4 ปีที่แล้ว +25

    Kama umemsikia Babu anasema kijana huyu hatari

  • @jumakitam1867
    @jumakitam1867 4 ปีที่แล้ว +5

    Nani kamskia bb akisema mm ndo bb yk daimoni baada ya daimond

  • @mariamumussa3055
    @mariamumussa3055 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa kiswahili chao wanaongea kiswahili safi

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว +8

    Babuuuuuu

  • @amanimollel7086
    @amanimollel7086 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa mzee haogopi maiki

  • @medystarter
    @medystarter 4 ปีที่แล้ว +7

    Mkana kwao MTUMWA diamond mtoto wa tanga Leo anajiita wa kigoma kwa sababu ya mama from kigoma.. 🤣🤣🤣🤣Hii kubwa kuliko..

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

      Tanga kwa Nani wakati umesikia ka kulia Dar

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      @@bjzee1981 hata ukulie ulaya bado utakuwa na sehemu husika alikotoka baba

    • @tanzaniakwanza9564
      @tanzaniakwanza9564 4 ปีที่แล้ว +1

      Asili ya wazazi wa baba yake diamond ni Uganda kama unafatilia vzr utakuwa unaelewa, na chimbuko la wazazi wake Tanzania linaanzia Unyamwezini, ndiomaana kama umewahi kusikiliza interviews mbalimbali lazima utakuwa umesikia kuwa baba yake inasemekana katokea Unyamwezini Tabora, lakini maisha yake yote Kakulia Kariakoo Dar

    • @fettygideon6669
      @fettygideon6669 4 ปีที่แล้ว

      meddy starter kama hajalea akomaaeeeee

    • @neemasteven5725
      @neemasteven5725 4 ปีที่แล้ว

      Aliona tabu alizo pata mama yake akipo mlea Kama baba akuwa karibu nae ya nn ajipendekeze amehenda akipo jaliwa

  • @celestesanitoussene823
    @celestesanitoussene823 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesikia babu kasema cw gonga like

  • @ruiamleo6866
    @ruiamleo6866 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah family inaraha mashallah

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว +6

    Kigoma hakutoki bwege, Babu umehongeya vizuri sana babu mjaja sana ongera kwako babu,na na ongera sana kwa Diamond platnumz happy 10 years music industry

  • @othmanmasoud695
    @othmanmasoud695 4 ปีที่แล้ว +4

    Namuona mwailwa hapo karibu na babu wa Diamond

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +6

    Babu young

  • @raiswawagoma9487
    @raiswawagoma9487 4 ปีที่แล้ว +1

    Nili tegemea Mtamuusia amkumbuke Allah aachane kabisa nahayo kumbe ndio baado mnataka aendelee kuwachezasha uchi mabinti zawatu
    Aendelee kuwahimiza watu kula tungi nimemuona ndugu mwailwa sifa akiomba daimond azidi kukaza afike mbali
    Basi hio mbali iwe niyenye faida dunia na akhera kaka mwailwa
    Ikiwa nimbali yadunia tu hamjamtendea haki kijana wenu
    Akhera nikugum saana mimi nawakumbusha tu

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond kwa baba rwanda kagame family kwa mama congo kimaisha tanzania

    • @magymagy2156
      @magymagy2156 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂👁

  • @nesterkjofficial1735
    @nesterkjofficial1735 4 ปีที่แล้ว +1

    Ganga una tisha

  • @halidihemed1006
    @halidihemed1006 4 ปีที่แล้ว +5

    Nani arie sikia mtoto wa Dada binadamu wabaya😂😂😂😂

    • @lizzenock9123
      @lizzenock9123 4 ปีที่แล้ว

      Kamaanisha mtoto wa dada ake

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu babu msomi kabisa 😂😂 😂😂 😂😂 😂🙌 🙌😂 😂🙌 🙌

  • @TzCanada
    @TzCanada 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa wale watu wa betting njoo upate mikeka ya uhakika kila siku odds za ushind kila siku nichek kwa 0620278995

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwel hawa Bibi zetu
    Awafuatili kabisa mzic
    Et Mimi bibi ake DAIMON

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa huko kwao na Mama yake na Diamond kwa Baba yake ni wapi?

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 4 ปีที่แล้ว

    Kofia kubwa uyu kijana lakini kichwa kitupu waallah

  • @hassaniyassin1686
    @hassaniyassin1686 4 ปีที่แล้ว +7

    Ujiji huku kwa waswahili....babu mswahil piaaaa

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 4 ปีที่แล้ว +5

    Babu wa taifa uyo

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 ปีที่แล้ว

    Babu mzaa chema.wajukuu wote wamewakilishwa na diamond.

  • @lilatito2816
    @lilatito2816 4 ปีที่แล้ว +27

    Sawa kumbe kigoma kwa mama tuonyesheni kwa baba ndio kwao

    • @hassaniyassin1686
      @hassaniyassin1686 4 ปีที่แล้ว

      Dar

    • @stevemwakisimba5986
      @stevemwakisimba5986 4 ปีที่แล้ว +12

      Nawewe onesha kwa baba yako!! Vp mbona mnapenda kumpangia maisha utadhani mmemsaidia kutoka?mama yake kamsaidia kutoka kimaisha baba kaja baada ya jina kua kubwa acha ubwabwa wewe!!!

    • @lexchumajr6732
      @lexchumajr6732 4 ปีที่แล้ว +2

      Burundi/Rwanda

    • @joleenmasha
      @joleenmasha 4 ปีที่แล้ว +7

      Steve mwakisimba hapo kweli umeongea kabisa mama ahangaike na mtoto peke yake auze mpaka kanga zake na baba yuko jamani wa baba waangalieni watoto wenu kwa sababu hujui kesho atakuwa nani

    • @hassansalum5362
      @hassansalum5362 4 ปีที่แล้ว +3

      Baba ni baba tuu akusaidie asikusaidie atabaki kua baba ako na anatakiwa umshughulikiee

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว +1

    Babu yuko vizuri sana anajuw kujiheleza

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 ปีที่แล้ว +2

    Babu uko vizuri MASHA ALLAH

  • @kessynurutajiri3075
    @kessynurutajiri3075 4 ปีที่แล้ว +1

    Babu nyoosha maelezo, Dimond ni Mzaramo. Babake ni Abdul Juma na ni.Mzaramo amekuzaliwa na kukulia Dar Mtaa wa Pemba, Kariakoo. Na Mtoto hafuati kabila la Mama.

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 ปีที่แล้ว

      Diamond ni muha kwao kigoma kwasababu kidini kuzaa bila ndoa mtoto anahusika upande 1 tu kwa Mama ndivyo Uislamu usemavyo

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 4 ปีที่แล้ว +1

      Makuzi yalikuwa upande wa mama si 👶 baba

  • @Wastara001
    @Wastara001 4 ปีที่แล้ว +4

    Yaani kila mwanafamilia anaunga mkono uchafu unaofanywa na Nasib Abdul!!SubhanaAllah..tena tumwombee azidi kufanya uchafu huu...tumche Allah

    • @kenallday1115
      @kenallday1115 4 ปีที่แล้ว

      Wacha kuhukumu wewe si Mungu

    • @Wastara001
      @Wastara001 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kenallday1115 sijahukumu, hapana hukumu niliyoitoa ila ni dhahiri kuwa anayofanya Nasib hayakubaliki kwenye dini; kuzaa watoto nje ya ndoa, kuvaa herini, kuvaa mkufu, kuimba. Kwa taarifa yako pengine huenda ikawa dini yako ni tofauti na yangu.

  • @almasmanumbu1902
    @almasmanumbu1902 4 ปีที่แล้ว +6

    Maandiko yanasema tokeni kwake enyi watu wangu msishiriki zambi zake wala msipokeee mapigo yake someni maandiko ya dini

    • @starniceofficial5492
      @starniceofficial5492 4 ปีที่แล้ว +1

      Asa mungu wangu ubaya wake uko wapi???

    • @rubyshamlaha2181
      @rubyshamlaha2181 4 ปีที่แล้ว

      C ungebaki kanisan huku kwa mondi unafta nn acha kuzga kaangalie kwaya huko

    • @liontonneliontonne519
      @liontonneliontonne519 4 ปีที่แล้ว

      Kwel bangi sio sombe wew unauhakik naubay wake? ukitizam mema ambay anafany mengin muaciy Mungu sabab haun uhakik nay na yey njo mweny ku ukumu sio wey mtu

  • @aidanwilliam9637
    @aidanwilliam9637 4 ปีที่แล้ว +3

    Bibi yake Daimoni

  • @salmachuma2226
    @salmachuma2226 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashalaah

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajidai unamjuku star wakati inaonekana maisha yako ni yachini u star unakusaidia nn ao mwanao wakumza ambae ni mama yake inaonekana hawajali wazazi wake km diamond anavo mjali dunia tunapita

  • @bongotv6384
    @bongotv6384 4 ปีที่แล้ว

    kwa upande wa marehem aliefariki

  • @jafarahmad4408
    @jafarahmad4408 4 ปีที่แล้ว

    umaskini taabu saana unasifia tuuuu

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 ปีที่แล้ว +4

    😍🙏

  • @TzCanada
    @TzCanada 4 ปีที่แล้ว +2

    Betting ni rahisi tu...njoo ujipatie mikeka ya uhakika kila siku....mikeka ni ya ushindi kila siku nichek 0620278995...nichek uweze ongeza kipato kupitia betting....

    • @eliatalented7592
      @eliatalented7592 4 ปีที่แล้ว

      Bett mwenyew si kwa ukata huu

    • @TzCanada
      @TzCanada 4 ปีที่แล้ว

      @@eliatalented7592 njoo ufaidike kupitia betting ....unasubil nn kama vipi kachek video yangu ya jinsi navyo ingiza pesa

  • @felixhategekimana8241
    @felixhategekimana8241 4 ปีที่แล้ว

    Mu kinyarwanda turavuga ngo amazi arashyuha ariko ntiyibagirwa iwabo wa mbeho,yakoze neza gusubira kwivuko

  • @priscadickson59
    @priscadickson59 4 ปีที่แล้ว

    kama umesikia talent kutoka kwa babu weka like apa twende sawaa

  • @roseberryhamoud6542
    @roseberryhamoud6542 4 ปีที่แล้ว

    Si kweli, huyo si baba mzazi.

  • @rahmakimbombo7365
    @rahmakimbombo7365 4 ปีที่แล้ว

    Watu wajinga tyu cfa nying hakuna ktu hy hyo baba yke mzaa Nan unakumbatia kabila la mama wakat la baba yake kaliweka kapuni Loooh baba diamond km ktuko kwa mwanae aiseh

  • @jacksongerard3336
    @jacksongerard3336 2 ปีที่แล้ว

    Duuu mama diamond kumbe ni mmanyema

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Babu wa simba kwa msiba

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 4 ปีที่แล้ว

    Ao Ndio wazee ya kibwari na wa M'bembé Ila Ndio wa manyema hasili yetu ni wacongomani Hilo mjuwe wa haya ni wa Burundi na Rwanda uyo mkowa Ndio hasiliyake

  • @hassanmzee4422
    @hassanmzee4422 4 ปีที่แล้ว

    Babu kama umeona kafanana na mwinyi zahera gonga like zenu

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kigoma imekwisha kimaadili ya dini sehmu iliokuwa kitowa wataalamu wa dini ya KISLAM katika kila fani leo kunatoka wataalamu wa SHETANI familia nzima inna lilahi wainna ilayhi rajiuun Kigma msiba msiba 😭😭😭😭😭😭😭

    • @alfredmsambaa1443
      @alfredmsambaa1443 4 ปีที่แล้ว

      Uksikia roho mbay nd hiyo xax kwhy ulitak ndg zake wamkatae dah yan binadam

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 4 ปีที่แล้ว

      @@alfredmsambaa1443 we usiwe mpuuzi ilipasa wawo wasikitike na kumuombea Allah amtoe huko katika ushetani na kumuogoza sio kuunga mkono na kumuombea aendelee huko aliko.

    • @alfredmsambaa1443
      @alfredmsambaa1443 4 ปีที่แล้ว

      @@maftahmusa9513 w fara nn kwhy unajiona w msafi xan kw mungu

  • @eliapelia7347
    @eliapelia7347 4 ปีที่แล้ว

    Iman yak0 ndi0 silaha yak0 h0ngera babu kwakupata mjukuu jembee

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 ปีที่แล้ว

    Babu umesema vizuri sana

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 4 ปีที่แล้ว +2

    'Binaadamu', ilitoa taswira ya yeye kufika hapo

  • @wingimrisho4729
    @wingimrisho4729 4 ปีที่แล้ว

    Namuona Abui hapo salum wapi?

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 4 ปีที่แล้ว +2

    Km umegundugu babu anajielewa xana ngonga like 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @musaogira9640
    @musaogira9640 4 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji punguza uhuni mama dangote ndo nini sasa sema mama nasibu

  • @allymabie5741
    @allymabie5741 4 ปีที่แล้ว

    Mjomba Ali koha ndani ya kwawa rd kwa mzee zuberi bukuku

  • @charleselikana9039
    @charleselikana9039 4 ปีที่แล้ว +8

    Ila mkumbushe kwamba maisha haya ni mafupi Sana hapa duniani,,kuna siku za kulia na kusaga meno mbeleni,,Instagram @pilotelkan2

    • @boytz1870
      @boytz1870 4 ปีที่แล้ว +1

      Acha kumtishia mwenzio kwahiyo kwako wewe maisha marefu????

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe haufi???

    • @jameskibe8799
      @jameskibe8799 4 ปีที่แล้ว

      Shetani...wewe!

    • @pataspata3829
      @pataspata3829 4 ปีที่แล้ว +1

      Jikumbushe piah na wewe, ungekuwa unapenda ibada ungekuwa una watch Mahubiri

    • @ezekielmanyesela3846
      @ezekielmanyesela3846 4 ปีที่แล้ว +1

      Usiangalie kibanzi kilicho jichon kwa mwenzio anza kutoa cha kwako Kwanzaa

  • @sindayboniface1131
    @sindayboniface1131 4 ปีที่แล้ว

    Kigoma moja

  • @kiissrajabu964
    @kiissrajabu964 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee mshua huyu 😂😂😂

  • @pambasr2345
    @pambasr2345 4 ปีที่แล้ว +2

    Kinoma kiswahili kimenyooka

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 ปีที่แล้ว

    Mzee Omary Bongoo wa BURUNDI BARA BARA YA 12 mburundi mzee omary bongoo

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc 4 ปีที่แล้ว

      Manyota Skipper nenda Kigoma nusu saa tu.

  • @zawadiommary8593
    @zawadiommary8593 4 ปีที่แล้ว +1

    Fremoson inakunyenyua hata wewe usiye julikana kama unaamini acha like

  • @mbbakiri2756
    @mbbakiri2756 4 ปีที่แล้ว

    Babu wa taifa

  • @robatibriyson2870
    @robatibriyson2870 3 ปีที่แล้ว

    simbakigomababarao

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah babu

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 ปีที่แล้ว

    Familiya yote ya diamond iko hot..naiko pouwaaaa..happy imetawal