NDOA ILIYOSIMAMISHA MKOA MZIMA KIGOMA ROYAL WEDDING MBWILAMBWILA WEDDING MC GARAB AFIKA KIGOMA MARA1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @StephenNkenguye-l3d
    @StephenNkenguye-l3d 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hongereni sana. Sherehe ilifana sana, ila MC wa kutoka Dar alipwaya nadhani MC wa Kasulu bado ni bora. Wana-Kasulu mnaendelea kuiheshimisha Wilaya yetu. Tuendelee kushirikiana na kuijenga Wilaya yetu kwakweli inapendeza. Mungu awabariki.

    • @JerusaMkuyu-pw1zo
      @JerusaMkuyu-pw1zo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mc garab aliona watu wengi kama Kijiji ikamboa😂😂😂⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️

  • @LoipllOnhye.Mama.Claudi
    @LoipllOnhye.Mama.Claudi หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wow shughul watu na watu ndio sis

  • @GulaniaMadulege-jy7ni
    @GulaniaMadulege-jy7ni 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo yalikuwa moto motooo, Bwana Yesu asikupungukie daima ktk maisha yao ya ndoa

  • @GainoGabone
    @GainoGabone 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saut ya biharus 😮

  • @eddaathuman2584
    @eddaathuman2584 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @pendogwisu
    @pendogwisu 3 หลายเดือนก่อน

    Utulivu mbona hakuna

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 3 หลายเดือนก่อน

    Kigama kasulu

  • @LoisaJumma
    @LoisaJumma 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ongeren San halusi imependeza San Iman ibhatangule kwindowa yen

  • @GainoGabone
    @GainoGabone 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mbn garab simuoni

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watu kma wapo mkutano wa injili kumbe harusi kha

    • @GainoGabone
      @GainoGabone 3 หลายเดือนก่อน

      Kigoma hawana ukumbii

    • @OlivaElisha
      @OlivaElisha 3 หลายเดือนก่อน

      Hongera Sana wajina wangu Oliva