ANAPITIA MAISHA MAGUMU SANA MPAKA MKEWE AKAMKIMBIA | BANK ALERT
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
- Movie name: BANK ALERT
⚠️CREDITS:
Watch Full movie on : PRIME VIDEO
Book Us Now Via Email: lifelakitaa@gmail.com
Hit Us Up: +255624944364
Follow Us On Socials :-
Facebook Page: profile.php?...
Twitter: x.com/izkonka/status/15454891...
Instagram: e7bits?igsh...
Tiktok: tiktok.com/@e7bits
Telegram Channel: t.me/E7BITS
Follow KONKA on Social :-
Instagram- izkonka?igs...
Tiktok- tiktok.com/@izkonka
Snapchat: Izkonka
Facebook: profile.php?...
Twitter: x.com/izkonka/status/15454891... - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Wakwanza hapa, like zangu alafu nendeni channel inayoitwa PERFECT SIDE mkajionee maajabu ya dunia😅
Oky
😂😂😂kun nn uko
😂😂maajabu
Wakwanza reo namshukulu mungu 🙏 gonna like apa
Jamaaa anadaiwa na mpaka E7bets🤣🤣🤣
Konka sio kw hyo translationa ya Janta man, umeniua mbavu😂😂😂😂😂sema unachelewa sana jmn kwn bd hujapona tyu
Hii chuma kali mzeeee..! yaan umetixha man km janta man
Nimecheka sana ety " ww jiheshim ww na umri wako"😂😂😂😂🙌
Mm wakwanzaa❤❤❤ naomba like zangu
Naombeni like moja tuh
Kama unamkubali uyu mwamba weka tiki✅
Mzee umetisha sana😂😂 hasa hapo kwenye huyo muhuni anavyoongea
Konka unatuweka sana ck hz😂
❤ wew ni wa moto... Leo umekuja na vionjo vya rutaman🎉
E 7beat app ya mikopo😅😅😅
Tuleteeee bel air kaka🔥🇿🇦
Konkaa man umetisha man😂
Good 👍 Good 👍 mtu wetu wa nguv Mr konki
😅😅😂😂 Ni Noma Sana Ya Leeo
Oi wa kwanza naombeni like zangu 🤣🤣🤣
Ila huyo Janta man ulivyompamba ni🔥🔥🔥
Ohhh thanks so much ❤❤❤
Janta kama Nagwa mwanangu 😂😂 Jah bless man
AH KONKA BANA WEE NI HATAR ATA NIWE NA MUME WANGU ATA IWE SAA NGAPI ME NAKUSKILIZA ❤❤❤
Rudi ukafundwe
Mzinzi wewe
Uzinzi tuu kuoga aaaa😂😂
Braza unachelew san kupost
Mzee kakopa mpaka Tanzania😂😂😂
Aisee hadi mm nmeunganisha kicheko na menager😂😂😂
Leo Wakwanza 🎉🎉🎉
Wa kwanza hata msiponipa like😊😊😂
Tunakupa like mwamba🎉
Yaaani wanaweka wanafeligi mwishoooooo😂
Wanaondokaga wanapishana na gari la maokoto😂
@@e7bits_tztena dakika za jiooooooooooooooooooniii
Umeua daah ww unajua kaka nimependa ulivyoigia sauti apo janta man 😁😂😃😄 sauti flani ivi yakutoa stress
E7BT APP YA MIKOPO
Mm WA Kwanza leo
Unajua mpaka unaaa kera 💯💯
Janta man konka unajua kuchugua movies kali sana
Unyama kama wote
Ukisikiya kufa kufaana ndio hiyo😂😂😂
Oyaa Mi Nimeongikia hapa kati Man Na nmegonga Like Ki bombokalati Man, Bas Jah Ables Man
Izkonkaaa aaaaaah Izkonkaaaaaa oooooooo yani uchawa wakinigeria mzuri sana 😂😂😂😂😂😂😂
kwa rast man umeua konka
Wa kwanza kutoka Burundi
🧭🤳 mim wa hamsini na tatu nimewahi kufika Leo mwenzenu kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mkoan wa Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa ❤️ nimepitia kwa hayo matukio ni hatali mno ni sumu kali 😢😢😢
Wakwanzaaa 🎉🎉
Leo jmn nimewahi😅😅...naombeni like🥰😍😍😍
Yan nakuelewa sana jinsi unavyo tafasili movie 🥰
Jah bless man😂😂 , ila konka
Broh leo ndo umezidi ku2piga weeee😂😂😂😂
Jamn najiona nimewahi naombeni ata like 5
Safi sana kazi nzuri
wakwanz stk shida🙏🏾🙏🏾
E7bits man😂😂😂
E7 bits APP YA MIKOPO😂😂😂😂SHENZIIIIIIII KABISA
Sema we kiumbe unajua saana sana ila unachelewa saana kuleta mizigo om boe
Ntajitahidi
Nimesikiliza recap nyingi na wasimuliaji wengi snaaa ilaa amini kwamba IZKONKA ni the best unajua kusimulia jamaa
Asante sana🙏
Konka unabalaaaaaaa❤❤❤❤😂
broo unaweza na move zako kali sana
No1
E 7 bits una jua xana 👏
E7bits forever ur my comfort
E7bits nakuja kuchukua mkop000😂😂😂😂
asante man 😂😂😂nimefurahi bomboklati
Kama umependa jinsi alyo ongea konka sehemu ya janta man konga like apa😂😂🎉
Nimependa Sana bomboclat 😂😂😂
Apa tunajifunza kwenye maisha tusikate tamaa lakn mafanikio yana tabu sana
Unachelewa sana skuiz kuachia kaz
Mzee umetusaau sana 😅 🤞
Nimechelewa, sijawa wa kwanza 😂😂😂😂😂
First leo Nipeni likes zangu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Dah haya maisha ya kuigiza haya 2cjichanganye maana Janta man ameniua mbavu na kunifanya niwaze mengi sn
E 7 bits unavyompatia huyo muhuni eti janta janta 😂
Jamaa unaweza Hadi unaboa❤❤😂
Sema mzee unakaa kimy kinom jop siy kazi rahis ila kidg uwe unatuwahishia mzigo mzee
Sehem ya janta man umeua Mzee wangu
Wakwanza jmn like please🙏±
Hhhhhh 😂😂 jantamani umtishaa man 😅😅
ila VIBONGE 😂😂kibonge kala msosi wa dingi
Ety sisi ni e7bits app ya mikop konka bahna una nikosha sana🤩🤩🤩
زرت ❤
Story ya leo ni tamu htr❤🎉
E7bits kampun ya mikopo 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
HUY JAMAA BWAN CHENGA😂😂😂
Kibwagizo 😂😂😂😂
Kumbe app za mikopo ziko kila mahali 😂😂😂😂
I'm new to this chanel like zenu😂😂😂
umeuwaaaa babuuuu
Ila unajua sana 😂😂😂
😂😂😂 eti E7bit app ya mikopo
😂😂😂
Asante sana Konka Man,
Sindiooo MAN 👨 😂🔥
😂noumaa sana
Ni 🔥🔥
😂😂😂😂😂 ila wewe kaka unajua sana akii hakuna wakukupiku miaka 1000
Oyá unatchelewa sana mno!
Jaaaa bless man 😂😂😂😂😂😂🎉
Umetisha Eti Bomboklati Janta Man.lugha ya rasta man
MWAMBA KABISAAAA KAMA NAAANGALIA FULL MOVIES
Mchizi anadaiwa mpaka na E7bits app ya mikopo 😅 hapo konka umenijulia kunichekesha
djanta man nimefuraiya man ❤❤❤❤
Had e7bt wanamdai sam... Kwa kwel namhurumia mzebabbaah
Alaff janta rutaman vooo❤
Nakukubal San bro upo vzur San sem upo sroo San kutowa v2
Kaka safi sana
Hizi sauti zaki Rasta noma aiseee!!@😂😂😂
Mtaakmu📌
Sauti nzuri, mpangilio mzuri, Good Job!
Nimeipenda hiyo app ya mkopo E7bits😂
😂😂ety niya mikopo
😂😂ety niya mikopo
@@BudahZone-ot7lu 🤣🤣wacha tumtafute atupe mkopo
Unatucheleweshea mzigo tutumie kwa wakati