MWANAUME ATABAKIA KUWA MWANAUME TU AUDIO OFFICIAL PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #0766998994 #0788871769 #0688199370 #

ความคิดเห็น • 38

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo inajulikana kabisa Mtumishi Mwanaume ni Mwanaume Ubarikiweee

  • @sharonetsisiche5184
    @sharonetsisiche5184 ปีที่แล้ว +9

    Kweli wewe ni simba😂😂😂,,MUNGU AKULINDE NA mabaya yote kwa ujasiri uliyo nayo,EV PASCHAL 👏👏👏👏

  • @kevinwafula9401
    @kevinwafula9401 ปีที่แล้ว +6

    be blessed pastor cassian

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli nabii wa bwana

  • @casfetamcohas4847
    @casfetamcohas4847 ปีที่แล้ว

    Kweli wewe ni jembe la Mungu,nimebarikiwa na wimbo huu

  • @eddyjunior2881
    @eddyjunior2881 ปีที่แล้ว +3

    Ongeza sauti Mtumishi 🙏

  • @armandocorneliooresteorest8072
    @armandocorneliooresteorest8072 ปีที่แล้ว +2

    Paschal ninoma, 💪🕺☝

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 ปีที่แล้ว +4

    Amri ya Mungu lazima tu tii mwanaume atabaki kua mwanaume🙏.

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x หลายเดือนก่อน

    Ni Kweli kabisa

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 ปีที่แล้ว +2

    Bwana yesu naomba unipe unyenyekevu na utii kwa ndoa yng

  • @emelysilingi201
    @emelysilingi201 ปีที่แล้ว

    Amina kwa huo ujumbe

  • @mercymamuya7844
    @mercymamuya7844 ปีที่แล้ว +3

    ❤Huo ni ukweli mtumishi wa Mungu. Sema kweli na kweli itakuweka huru. Nabarikiwa sana na mafundisho ya Yesu. Unayoyafundisha.

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x หลายเดือนก่อน

    AMEIN

  • @charlesjackson-zx5zg
    @charlesjackson-zx5zg ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli,pahala dunia imefika juu ya issue ya "Gender Balance"ni hatari san hasa ktk maisha ya ndoa nk, imefika stage haeleweki nani mkubwa ndani ya nyumba kisa"Gender Balance". Mungu atusaidie maana huko tuendako sipati picha😂😂😂😂

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Amen mama samia pia akae chini yeye ni mwanamke aachie wanaume watawale😂😂😂😂 aende nyumbani kulea watoto

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania ปีที่แล้ว +1

    Naguswa sana na nyimbo zako na mahubiri kwa ujumla kiukwel napata mafundio yaliyo bora na ninapata wakati wa kutafakari napojisomea biblia Mungu azidishe baraka zake kwako

  • @marinahmlowe8212
    @marinahmlowe8212 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 ปีที่แล้ว +1

    Always man will remain to be a man no matter the situation.... Money is not everything ladies respect your man. Tukumbuke kuna Mungu tutalipwa kadiri na matendo yetu .... usiangalie kwa Macho ya nje. I love the song... blessings follow you always pastor. may God protect you and guide you

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 ปีที่แล้ว

    Tumekubali kuwa chini mtumishi kabisa Amen

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaa

    • @hoseamwambambale3503
      @hoseamwambambale3503 ปีที่แล้ว +1

      Sema umekubali wewe kua chini na sio laisi wote waka kubali

  • @user-tj5ec7um5e
    @user-tj5ec7um5e 7 หลายเดือนก่อน

    mh umenikumbusha kitu kupitia huu wimbo

  • @gracembwilo1455
    @gracembwilo1455 ปีที่แล้ว +1

    💝💝💝Tudumishe Maandiko Mtakatifu

  • @Mecamedia
    @Mecamedia ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana Mungu akusimamie

  • @Saidi1581
    @Saidi1581 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana kwa wimbo mzuri Amen 🙏

  • @tukuyufm
    @tukuyufm ปีที่แล้ว +4

    yani paschal CASSIAN huyu mtumishi ni wa pekee sijaona kwa sasa.

  • @ElipendoElias-no6ki
    @ElipendoElias-no6ki ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtu wa Mungu

  • @henrykigugwe5112
    @henrykigugwe5112 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @DicksonMagawa-cl9vo
    @DicksonMagawa-cl9vo ปีที่แล้ว

    Brother Mungu azidi kuwa nawew

  • @FrankwasafiJustin-fn6pm
    @FrankwasafiJustin-fn6pm ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde kwasababu moyo wangu unalishuhudia kwamba wewe ni chombo kinachotumiwa na mungu❤❤

  • @ppema9910
    @ppema9910 ปีที่แล้ว

    hakika wew nimtumishi unaenena kweli ya bwana yesu ambayo wengi watumishi wameshindwa kuisema kweli ya Bwana munguwetu vjana wa kiume sehemu hio wamepuuzwa sana na kunyanyaswa na kujikatia tamaa wameitumia vibaya sana wanawak e wengi msemo huo uliotoka kwa shetwani balikiwa sana mtumishi wa mungu nimeupenda sana wimbowako huo.

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri.... Wadada huku, mtaani wanajitutumua wanaweza, kwahiyo hawataki ndoa

  • @nkeshimanayuda1115
    @nkeshimanayuda1115 ปีที่แล้ว

    Ni kweli umenena sahihi mtumishi Mungu akulinde.

  • @richardsilvanus8927
    @richardsilvanus8927 ปีที่แล้ว

    Na pia hakuna mwanaume mjanja kwa mwanamke mnyenyekevu

  • @Werema3760
    @Werema3760 ปีที่แล้ว

    😃😃😃❤❤