SAMAKI wa MAPAMBO ZIWA NYASA KIVUTIO kwa WATALII...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024
  • SAMAKI wa MAPAMBO ZIWA NYASA KIVUTIO kwa WATALII...
    Ziwa nyasa ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki likiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza na Ziwa Tanganyika.
    Lina urefu wa km 560 na upana wa km 50-80. Vilindi vyake vinaelekea hadi mita 704 chini ya uwiano wa maji yake. Ziwa Nyasa linapatikana kati ya nchi za Malawi, Msumbiji na Tanzania.
    Katika ziwa hilo kuna mito mbalimbali inayoingiza maji yake humo kama vile mto Lufilyo, mto Mbaka, mto Kiwila, mto Songwe n.k.
    Kusini mwa ziwa unatoka Mto Shire unaopeleka maji kwenye Mto Zambezi na hatimaye Bahari Hindi.Kijiolojia ziwa ni sehemu ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki.
    Ziwa Nyasa linajulikana kuwa na aina nyingi za samaki (zaidi ya 1500). Aina chache tu zinavuliwa kama chakula, lakini aina mbalimbali zinakamatwa na kuuzwa nje ya Afrika kwa wapenzi wa samaki wa rangi.
    Eneo la ziwa ni km 29,600. Sehemu kubwa ni eneo la Malawi, ila robo ya kusini-mashariki ni eneo la Msumbiji, na robo ya kaskazini-mashariki ni eneo la Tanzania.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น •