UJUMBE KUTOKA GAZA | KHUTBA YA IJUMAA || Shk Yusuf Abdi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 94

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaarabbi zaidi ya dua hatuna jengine juu ya ndugu zetu wa Gazza wape nusra yako yaa Rabbi

  • @saadmadvd4336
    @saadmadvd4336 6 หลายเดือนก่อน +4

    Allahuma aiza l-islama wal-muslimin waadhila shirka wal-mushrikin,wansur ikhwanana fiy kull makanin ya rabbal-alamin,allahuma tawaffana muslimin waalihekina biswalin,allahuma amin🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷

  • @user-ux9sj2hr7t
    @user-ux9sj2hr7t 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allshu akbar allah the muangaza na haki itendeke yarabi

    • @user-ux9sj2hr7t
      @user-ux9sj2hr7t 6 หลายเดือนก่อน

      Allah awape kila lililo lakheri

  • @zukhannassor1346
    @zukhannassor1346 6 หลายเดือนก่อน +6

    Yarabbih tupesalama waislam tupe ushindi na uwanusuru ndugu zetu wanaopita ktk vipindi vigumu

  • @kitosio
    @kitosio 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wamesema HIVYO kweli ila wao wataonja Uchungu muda sio mbali in Shaa ALLAH

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 6 หลายเดือนก่อน +8

    Asalam Alykum shekh wetu Allah awape wepesi ndugu zetu walio gazza

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 6 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭😭amiin yaarabi inaumiza Sana

  • @mozasultan1676
    @mozasultan1676 6 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran sheikh wangu Allah awape nusra ndugu zetu wapalastin awape na subra kwani hio ni kheri Yao

  • @mozasultan1676
    @mozasultan1676 6 หลายเดือนก่อน +4

    Allah awalipe malipo ya mashahidi ndugu zetu wa Palestine waliodhulumiwa yarabi

  • @feisalfarid147
    @feisalfarid147 4 หลายเดือนก่อน

    Allah yastur muslimun fil ghaza 😢🤲

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ndio sheikh wengine ni masheikh tumbo tu kama saudia nimewadharau sana mbwa wale

  • @user-wn5ev9nz6y
    @user-wn5ev9nz6y 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tell like it’s brother Yusuf. Mngu akuweke, na akubariki.

  • @user-jp7ix6fc6y
    @user-jp7ix6fc6y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukubal sana unanipa chakula cha rohoo

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 6 หลายเดือนก่อน +4

    والله بلغت وجزاك الله خيرا حبيبي

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah ndio mjuzi zaidi wa Nafsi zetu

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 6 หลายเดือนก่อน +3

    ❤ Asbuhannalla waneemal wakil

  • @user-jk7sm1dl7p
    @user-jk7sm1dl7p 6 หลายเดือนก่อน +14

    Sheikh abdul rogo kazungumza sana Wewe ulisimama kumpinga ukazungumza uwongo jihad nafsi tutakuamini vipi?
    Apo Kenya waliwawa masheikh wengi amkusema kitu

    • @hamisitsuma-rc2ej
      @hamisitsuma-rc2ej 6 หลายเดือนก่อน +6

      Alikuwa ame ghaflikah shekh wetu hakuna mkamilifu Mungu amsamehe tumpe nafasi awasemee ndugu zetu wa palestine penge watapata nusrah Ishallah 3:17 😢

    • @ghostreaper9486
      @ghostreaper9486 6 หลายเดือนก่อน

      Waweza vipi wewe kusimama kwenye Mimbar na kuwaita watu ambao washudia kwa jina la Allah (swt) na Mtume wake kuwa ni Makafiri...Je wajua kua katika Qura'n kume katazwa kitendo hicho pindi tu mtu anapo kusalimia na ikihitajika kwanza mufanye utafiti
      Je wewe umefanya utafiti ukajua Mashia ni Makafiri ju ya kua Washuhudia?
      Na ingekua manufaa kwa watu ueleze hao walio nyamaza kimya kwa muda wa miaka 3 ya Boycott ya Banu Hashim miongoni mwao ni kina nani!!!
      Walinyamaza tangu mazungumzo yake na Mqureishi, kunadikwa kwake, kutangazwa kwake katika hadhra ya watu mbele ya Ka'abah na kuangikwa juu ya Kuta yake kama kiapo cha kidini
      Walikua wapi hao Mashujaa watakatifu... Tueleze ndio tuwewe kuelewa yanayo wakabili Wafalastini na Uislamu kwa jumla.....Zama za kutafuna maneno zimepitwa na wakati... Hiyo ni Mimbar muogope Mungu

    • @sameeral-ajamy8152
      @sameeral-ajamy8152 6 หลายเดือนก่อน

      Atleast pray for ghaza bro instead of..

  • @swalehamir7748
    @swalehamir7748 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allah ataileta nusra Palestine

  • @aishasaid8598
    @aishasaid8598 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jazaka LLAH kheyr 🧡🧡🧡

  • @muhsinbwana2117
    @muhsinbwana2117 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Sheikh Yusuf Allah yubarik laka

  • @user-nc5ug2pj3j
    @user-nc5ug2pj3j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asc ,,,shukran ustath ,,,,,,,,,Allahuma Ahfith Ahllul ,khza ,☝️

  • @user-tl2ks4fl4h
    @user-tl2ks4fl4h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atupe janna

  • @user-sc4ql5kf9v
    @user-sc4ql5kf9v 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maeajabi ndugu wa mayahudi

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani mimi muda mwingine hatausingizi huniruka nikiona huko gaza

  • @musakhamisi1692
    @musakhamisi1692 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah shekh umeongea kweli

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awaangamize waesrsel,Amiin yaraby l-alaamiin.🤲🏻🤲🏻🤲🏻

    • @user-hy5zd5rn6r
      @user-hy5zd5rn6r 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂 ndio maana hakuna mafundisho mazuri kama ya Yesu.Ombea adui yako mambo mazuri

  • @musakhamisi1692
    @musakhamisi1692 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah awalipe Iran maana kma isingekua wao hamas wasingefikia hpo

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 หลายเดือนก่อน +5

    Afadhali sheikh hata wewe umeongea ni kweli bwana wallahi wako kimya

  • @Tadroontv
    @Tadroontv 5 หลายเดือนก่อน

    Al Marhum Shk Aboud Rogo alishatuambia wazi. "Kwakuwa hatuwezi fika Falastiin, masheikh wetu wa Mombasa waweza sema ile ni Jihaad" Lakini Somalia ambako ndugu zetu wauawa kama wafanyiwavo Falastiin na twaweza kwenda na kuwaunga mkono kwa hali na mali.....Twaambiwa eti hakuna Jihaad?? Kama si nifaq ni nini?? Allah azidi kutufumbua macho kuiona haq na kuwatambua wanafiq

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 6 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu waokoe ndugu zetu yaarabi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 หลายเดือนก่อน +3

    Halafu leo msalafi wanatukana watu na kuwalaumu wapelestna kudai haki yao ama kweli mtu asikutishe kwa ndevu ahata firauni alikua nazo lakini vitendo viyake viyakishenzi

  • @kimeajuma3267
    @kimeajuma3267 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh ni mekuelewa

  • @user-gl7yv6um9m
    @user-gl7yv6um9m 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi huwa naumia sana kuhusu ndugu zetu wapalestina sijui tufanye nini

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa Tuwaombee Duatu hatunajinsi kwass wenginewanyonge tumlilie Allah usikunamchana. Inaumasana waislam wenzetu wanateseka. Kunatulichokosea ss waislam tumbenimsamaa Allah natuwaombee sanawenzetu

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 6 หลายเดือนก่อน +4

    Akhuy naomba Rukhsa Niiweke Hii video ktk Chanel Yangu Habibiy

    • @MaulidAbdullah-nw9wu
      @MaulidAbdullah-nw9wu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Iweke shekh nawe utakua umefikisha ujumbe wallah I Allah atakulipa kheri

    • @bashirusalumbigapsana673
      @bashirusalumbigapsana673 6 หลายเดือนก่อน

      Allah akuweke zaid ufikishe ujumbe wake wala usiogope lawama za wenye kulaum​@@MaulidAbdullah-nw9wu

    • @toyikudratullah1466
      @toyikudratullah1466 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mola akuifazi

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabsa

  • @husseindiba2169
    @husseindiba2169 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh amezungumza ukweli

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mi ndomana naungana na hudhi wa Yemen Tena mkono kwa mkono hadi peponi pia naungana na Rais wa IRAN shekh IBRAHIM RAIS

  • @KhadijaArafat-zi7ng
    @KhadijaArafat-zi7ng 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki sana wwe siyule ulikua ukimpinga shekh Abud rogo

  • @ibrahimahmed20890
    @ibrahimahmed20890 6 หลายเดือนก่อน +1

    لا حول ولا قوة إلا بالله

  • @mansakan9719
    @mansakan9719 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sina kawaida ya kuwasema vibaya na kuwatenga waislam kwa itikadi zao, lakini Hawa Salafi imekuwa tatizo kiukweli, kweli hili utakuta misimamo yao ni yakipuuzi

  • @user-vl2to9bd7b
    @user-vl2to9bd7b 6 หลายเดือนก่อน

    Muslim pale unapo fikiwa na haqi au unapo kumbushwa sharti ni kuzinduka so ulikua ulikuaga wewe uli uli, huo ni umama na so Maisha ya kislam,

  • @fatmaabdul2873
    @fatmaabdul2873 6 หลายเดือนก่อน

    Aboud rogo Allah amrehemu alikua akitufungua macho lakini tulio msaliti ni sisi waislamu tukisema ni mnafik Lau tungekua na umoja tukasimama naye wangeogopa makafiri

    • @user-hy5zd5rn6r
      @user-hy5zd5rn6r 6 หลายเดือนก่อน

      Serikali iogope? Uko na nini chenye unaweza kutumia kupigana na serikali?

  • @sarboko
    @sarboko 6 หลายเดือนก่อน +1

    Manoneno yako nimazito.hakuna hicho kitu sheikh LAbda vilemba vikubwa namijokho mikubwa
    Wasubiri wagombanie maulidi nihalali sihalali,wakitoa vibwagizo na lahaja zakila aina. Nahutowasikia sheikh hao Wasubiri mtee na Samaki wakuoka wale wakalale

  • @AmusedCatfish-hd8wo
    @AmusedCatfish-hd8wo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wataje n mashekhe gani na n wawapi

  • @user-ne4yr5cj4s
    @user-ne4yr5cj4s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la waislam wabishi.....
    Leo wako wapi wanaosema saudia ni nchi ya kiislam...
    Tumuaminini Allah twendeni tukafe na ndugu zetu pamoja...
    Ili tuwe na udhru siku ya Qiyama kinyume chake tusijidanganye na swala zetu huku vitoto vichanga vikiuwawa

  • @kibwanabadi601
    @kibwanabadi601 6 หลายเดือนก่อน

    Unusuru,mji.mtukufu,wa,gazaa

  • @user-ni1sr7ly9w
    @user-ni1sr7ly9w 5 หลายเดือนก่อน

    Shehe niombe msada niende huko Palestine nikaengeze nguvu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo yote Shahid Abdul Rogo aliyaasema ktk walio mpinga nawewe ulikuwemo

  • @kassimmtwana8539
    @kassimmtwana8539 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa tufanyeje shehe sis vijana wakati mumesema hakuna jihad ya kupigana kwa sasa iko jihad ya nafsi kwa io ndio tuko tunapigania nafsi zetu au naona bora tuzidishe maandamano kwa wingi kila nchi kwa sabbu rogo alisema haya mukampinga vikali sana

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 หลายเดือนก่อน +1

    Suudia anawasaidia mayahudi hilo halina siri

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona Somalia hamuiengolei watu wanakufa na nchi ishaharibika

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 6 หลายเดือนก่อน

      Somalia hawawezi kuongea kwasababu ni waislamu wenyewe kwa wenyewe wanapigana ,ingekua ni watu wa dini nyingine ungesikia maneno

    • @basmaislam2860
      @basmaislam2860 4 หลายเดือนก่อน +1

      سبحان الله

  • @furahinimbise7969
    @furahinimbise7969 6 หลายเดือนก่อน

    Bado hamjasema😂 hapo kongo hasemi mnaangaika na miungu yenu waarabu, ngoja hiyo miungu ipigwe tuone kama itajiokoa

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 6 หลายเดือนก่อน

    Mchokozi siku zote lazma akipate chamtemakuni

    • @MrMahmud888
      @MrMahmud888 6 หลายเดือนก่อน

      Mchokozi ni Nani❔

  • @kassimmtwana8539
    @kassimmtwana8539 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa shehe tufanyeji sisi vijana wakati munasema hakuna jihad ya kupigana kwa sas mm naona tuzidishe maandamano kwa wingi kwa sabbu rogo alisema mukampinga na mukasema jihad ya sasa ni jihad nafsi kwa io ndio tuko kupambana na nafsi zetu hakuna haja ya kwenda kupigana

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 6 หลายเดือนก่อน

      Mkapigane nini ? Kwani huyo Mungu wenu hua haji bu? Kwani wapalestina hawaombi Allah ? Mnadhani mkienda kupigana jihadi ni kwamba wa Israel nao watakosa wa kua upande wao na wao? Au m adhanj Israel wako peke Yao muwaendee mkawafanye mnavotaka ? Ni wengi mujahidin wamepigana hapo lakini waneishia Israel wote ,Hamas nae alifurisha kifua akadhanj kuchimba mashimo ndio kushinda vita Leo wanahaha kutaka suluhu lakini imegonga mwamba na mashimo wameyakimbia ,kosa lenu kubwa ninyi mnadhani damu za waislamu niza maana kuliko binadamu mwingine ,sijasikia mkilaani Hamas walipoua wayahudi kua wamefanya vibaya ,Leo wananywea kikombe mnarusha mate

    • @champion11537
      @champion11537 6 หลายเดือนก่อน

      nakumbuka kile kikao CHa darul nnadwa, wakimjadili shekh rogo, haki aipotei kamwe, Allah amrehemu shekh Abdo rogo, sisi tutabakia Na unafiki tu

  • @taufikisalumu7639
    @taufikisalumu7639 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan Somali sio waislam mbna husemi

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 6 หลายเดือนก่อน

      Kuna nn somali

    • @binaamour318
      @binaamour318 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hata haya maneno pia hayawaumizi bado mnakoment ya rogo na Somalia subhana lwah hivi n waislamu Hawa kweli? Hata machungu ya uislamu hamna vitoto vichanga wazee wanawake wanauwawa hamuoni hii dhulma

    • @AbuuAbdillah-hb8li
      @AbuuAbdillah-hb8li 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@binaamour318kwahiyo Somalia hakuna wanawake na watoto elewa wanachojaji watu

    • @kimeajuma3267
      @kimeajuma3267 6 หลายเดือนก่อน

      Sema wewe

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndevu zimekukuosea nini sheee, acha chuki na watu wa sunna

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

      Sunna ya kumsaidia mwislam mwenzio na sunna ya midevu bora kipi

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 6 หลายเดือนก่อน

      @@yassinhamza1969 endelea kuidhihaki sunna ya mtume,

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 6 หลายเดือนก่อน

      @@yassinhamza1969endelea kudhihaki sunna ya mtume.

  • @kitosio
    @kitosio 6 หลายเดือนก่อน

    NI Wajinga hao waambie Sana. Kila kitu wao wanazungunzia tafauti za madahahibu. Watu WASIO na hatia wanauwawa wao madhehebu. Akili NI Mali kila mtu ana zake.

  • @ipyanamwasampeta653
    @ipyanamwasampeta653 6 หลายเดือนก่อน

    Kosa kubwa sana liko kwa Allah. Allah ndiye aliye wakabidhi Wayahudi ardhi. Ukisoma quran ni allah aliye wapa Wayahudi ardhi, ila waislamu wana mpinga mungu wao na mtume wao. Ukisoma quran hakuna sura yoyote na aya yoyote inayo ongelea Palestine au wapalestine. Swali ni je, wapalestine walikuwa wapi wakati mungu wao Allah ana wapa Wayahudi ardhi yao? Soma quran kwa umakini, na tafuta ukweli ndani ya vitabu vyenu.

    • @HassanSalim-hl8qs
      @HassanSalim-hl8qs 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe ipyanamwampeta653 wewe ulitaka hao wayahudi wakae wapi kosa kwa wayahudi ni kule kutaka kujiongezea Ardhi kwa nguvu kwa kudhulumu na wewe kaa ukijua kwamba Allah ndie ngao yetu twampenda twamtegemea nyinyi endeleni kujidanganya ipo siku mola wetu ataitikia maombi yetu na kashatuitikia ni wakati wa kusubiri tu na nyinyi ngojeni Hakika umiliki wa mbingu na ardhi na vilivyomo ni wa Allah.

    • @ahmeddini9519
      @ahmeddini9519 6 หลายเดือนก่อน

      Kaa Ivo utaona siku karibu utameza wembe ww mkafiri

    • @ipyanamwasampeta653
      @ipyanamwasampeta653 6 หลายเดือนก่อน

      @@HassanSalim-hl8qs ni wapi ndani ya quran ina sema mungu wenu al lah aliwapa wapalestina ardhi? Lakini huyo huyo wenu al lah aliwapa Wayahudi ardhi hiyo na ana wasifia sana kama Wayahudi ni chaguo la mungu hata huyo mtume ana sema hivyo. Waislamu tunajua kuwa ni wanafiki, linapo kuja swala.la Israel na palestina mungu wenu al lah na mtume wenu mna watupa chini ya basi na quran yenu mnaiona ni ya uongo. Internet inaua uislamu.