Mash allah sheikh allah akujalie kila la kheir uliyosema yoote ni kweli... Na yapo kweli .... nimefurahi sana pia nimependa mawaidha mafupi na mazuri sana... Nataman mashekh wengine chukueni mfano huu msitoe mawaidha marefu sana saa na nusu ....twashindwa kuangalia ...
Mashaallah sheikh huo ndo uislam na iyo ndo maan ya swala ya ijumaa waislam tukutane tuelezane mambo yanayotuhus kweny jamii zetu uliyoyaongea ni ya kweli kabisa tuombe ALLAH s.w.t atufanyie wepesi
Subhanallah maneno mazima haya Hakuna wazazi km hawa ktk jamii yetu wenye kuwapa mapenz km haya mabint zao Tunatamani wangeyajua haya wazee wetu tusingelidanganywa n wanaume wagaribifu njee
Mashaallah twakuomea khery nyingi shekhe wetu yote usemayo nataman wazazi wangu wayasikie allah akujalie afya njema na hekma zaid nina kupenda kwajil ya allah hakika jnaelemisha
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh @yusufabdi mada ina faida kubwa Mwenyezi Mungu akulipe kila la kheir kwa kufiatilia haya masuala shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
Wazeee tubadilikeni uadilifu utendeke majumbani Allah tuwafikishe tuwe ni wazazi wema wenye kuwalea vizazi vyetu ktk maadil n kigezo Chema cha Mtume wetu Muhammad (s.a.w)
Baba angu alinilea vizuri sana alhamdulilh tulikua kama narafik zake anatupenda sana lakini alipokufa ndio niliyapata hayo kwa kaka angu wa baba mmoja dah alikua atumini hadi tukitoka atufuta nyumba na alikua akisema mtoto wa kike ni aibu tupu
Shekh uongezewe ulinzi mie na miaka yangu 33 babaangu namuogopa kama simba ata kumpigia simu naogopa kwenda kule nyumbani kutembea basi naona bora nikenda awe hayupo dakika mbili niondoke
@@omarissa5737 SubhanAllah anaimba Taarab,la hashaa mie sijawahi kumsikia hata siku moja,na nnampenda sana kama alivotuamrisha Allah SubhanAllah wataaalq
OMAR MUOGOPE ALLAH SANA SI KILA MTU YUWATUKANWA KAMA UNAVYO FANYA WEWE HUNA ADABU YA DINI YAKO NA YA JINA LAKO OMAR HAKUWAHI KUTUKANA HOVYO KAMA ULIVYO FANYA WEWE SHEIKH YUSSUF HAJAWAHI KUIMBA ABADAN ,LKN LKN HATA IKIWA AMEIMBA WEWE ALIYE KUPA RUHUSA YA KUMSEMA ANAYE ITWA SHEIKH WEWE UJE MITANDAONI USEME UPUUZI HUO ? PENGINE WEWE NDIO MSHIKA SPEAKERS ZAKE?? ALLAH AMEKUPA LAANA BEFORE WAJA HAWAJAKUAPIZA KWA UKOSEFU WAKO WA ADABU? HURUHUSIWI KUSEMA USIYO KUWA NAO USHAHIDI NASHEED IMEKUWA TAARAB??? WEWE NI MGONJWA WA HUSDA KAJITIBU ACHANA NA SHEIKH WETU
Mashaa Allah Tabaraka Allah swadaqta sheikh kwa maneno yako matamu Allah akuzidishie umri akupe riziki halal
جزاك الله خيراً يا شيخنا الفاضل يوسف عبد
Mashaallah sheh umesema kweli
MashaAllah,,,shekhe hapa umegonga ndipo,,,hiyo mada umeipata kweli,,,shukran
Mash allah sheikh allah akujalie kila la kheir uliyosema yoote ni kweli...
Na yapo kweli .... nimefurahi sana pia nimependa mawaidha mafupi na mazuri sana...
Nataman mashekh wengine chukueni mfano huu msitoe mawaidha marefu sana saa na nusu ....twashindwa kuangalia ...
Mashaallah sheikh huo ndo uislam na iyo ndo maan ya swala ya ijumaa waislam tukutane tuelezane mambo yanayotuhus kweny jamii zetu uliyoyaongea ni ya kweli kabisa tuombe ALLAH s.w.t atufanyie wepesi
Allah akubarik Sheikh Yussuf Abdi.
Mashallah
شكرا يا شيخنا المفضل
Masha allah masha allah mungu akubarikii
Subhanallah maneno mazima haya
Hakuna wazazi km hawa ktk jamii yetu wenye kuwapa mapenz km haya mabint zao
Tunatamani wangeyajua haya wazee wetu tusingelidanganywa n wanaume wagaribifu njee
Mashaallah twakuomea khery nyingi shekhe wetu yote usemayo nataman wazazi wangu wayasikie allah akujalie afya njema na hekma zaid nina kupenda kwajil ya allah hakika jnaelemisha
Shaykh Yusuf Abdi Allah akuhifadhi na kila Baya na kila fitna tunakupenda sna kwa ajili ya Allah
Mashaa Allah Sheikh Yusufu .Maneno mazuri na ya ukweli.Mola atunusuru.
ALLAH AKUPE UMRI TWAWILI NA AFYA NJEMA UZIDI KUTUELIMISHA SHEIKH YUSUF
Amiin ya Rabbil Allamin
Allahumma Amiin
Sheikh Yusuf, ALLAH akupe umri na aafya, uzidi kulingania Ummah wetu huu, haswa wakati huu wa mitihani mengi.
Kweli🤲🤲🤲💯✌️
Mashaallaah mola tulipe mema pamoja na mashekh wetu
Mashallah sheikh wetu Mungu akupe Afia njema n umri INSHALLAH uzidi kutuelimisha.
Masha Allah. Shekh. Ni ukweli. Kabisaaaa
MachaAllah machaAllah machaAllah asante sana. Djazakallah heri
Masha Allah
Ma sha Allah. Allah ya Afiq
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh @yusufabdi mada ina faida kubwa Mwenyezi Mungu akulipe kila la kheir kwa kufiatilia haya masuala shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Amiin yaa Rabby
@@sakinat2527 amiin ya Rabbil Allamin
MashaAllah sheikh hapo umegonga msumari kabisa haswa hao wazanzibari wanaukabila wa hali ya juu sana hawaozani isipokuwa wazanzibari wenzao
Swadakta Shekh.Allah akuhifadhi aķupe maisha maref yenye kheir.
Amiin ya Rabbil Allamin
Allahumma Amiin
Subhaana Allah nasiha nzito ust inshaa Allah tutayafanyia kazi ktk vijana wetu shukran kutoka uk
Alhamdulilah MashaAllah shukran Allah ibarik akujalie umri Na afya uzidi kutuelimisha umeongea maneno mazito Sana
Mashaallah jazakallahulkheir allah akulipe kheir.
Wazeee tubadilikeni uadilifu utendeke majumbani
Allah tuwafikishe tuwe ni wazazi wema wenye kuwalea vizazi vyetu ktk maadil n kigezo Chema cha Mtume wetu Muhammad (s.a.w)
Allahummah Amiin
@@زينببنتسعيد-د9ح wlw
Allahumma amiin
Mungu akuweke sheikh wanguu💥
Amiin ya Rabbil Allamin
Amiin Amiin Amiin
Amiin Amiin shukran sheikh jazakallah kheyr sheikh wetu
ما شاء الله شيخنا الحبيب
كلامك صحيح جزاك الله خير الجزاء
Masha Allah shukran sheikh jazzakaallah khery
Jazaka Allah Kheir sheikh Yusuf sbdi
Shukran sana umezungumza maneno sadakta yapo hayo
mashallah sheikh. barakallah fik
Kweli kabisa sheikh tuna kupenda sana masha Allah mungu akujaze mema
MashaAllah
Baba angu alinilea vizuri sana alhamdulilh tulikua kama narafik zake anatupenda sana lakini alipokufa ndio niliyapata hayo kwa kaka angu wa baba mmoja dah alikua atumini hadi tukitoka atufuta nyumba na alikua akisema mtoto wa kike ni aibu tupu
masha Allah nikweli kabisa
JazaakAllah shiekh
MachaAllah
AMIN THUMMA AMIN
الله يجزيك الخير ياأستاذنا الله يدخلك الجنة ولوالديك ،لو سمحت ياالشيخ أريد رقم تلفونك
Allahumma jaalini minali faizina fauzan adhima YA Rabby
Asante kwa kutuwakilisha
Jazaka llahu L kheir
MashaAllah 👏👏👏👏
Amiin yarrab 🤲
Amiin ya Rabbil Allamin
@@زينببنتسعيد-د9ح 🤲
ASSALAMU ALEIKUM WARAHMATUL WABARAKATUL
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Salallahu Alaihi Wasalam
Mashallh
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatuh. Yani maneno uliyoyasema sheikh Yusuf Abdi ni 100% mimi binafsi nina yangu naomba number yako. Shukran
Shekh uongezewe ulinzi mie na miaka yangu 33 babaangu namuogopa kama simba ata kumpigia simu naogopa kwenda kule nyumbani kutembea basi naona bora nikenda awe hayupo dakika mbili niondoke
Heshima but sio kumuogopa my dear
Mh na ubakaji uo
Sheikh wa kuimba taraab eti wamsifu mtume
Umekusudia nini?
@@sahidahamad39 humskii wewe yuwaimba taarab
@@omarissa5737
SubhanAllah anaimba Taarab,la hashaa mie sijawahi kumsikia hata siku moja,na nnampenda sana kama alivotuamrisha Allah SubhanAllah wataaalq
Sheikh Dj huyu
OMAR MUOGOPE ALLAH SANA SI KILA MTU YUWATUKANWA KAMA UNAVYO FANYA WEWE HUNA ADABU YA DINI YAKO NA YA JINA LAKO OMAR HAKUWAHI KUTUKANA HOVYO KAMA ULIVYO FANYA WEWE
SHEIKH YUSSUF HAJAWAHI KUIMBA ABADAN ,LKN LKN HATA IKIWA AMEIMBA WEWE ALIYE KUPA RUHUSA YA KUMSEMA ANAYE ITWA SHEIKH WEWE UJE MITANDAONI USEME UPUUZI HUO ? PENGINE WEWE NDIO MSHIKA SPEAKERS ZAKE?? ALLAH AMEKUPA LAANA BEFORE WAJA HAWAJAKUAPIZA KWA UKOSEFU WAKO WA ADABU? HURUHUSIWI KUSEMA USIYO KUWA NAO USHAHIDI NASHEED IMEKUWA TAARAB??? WEWE NI MGONJWA WA HUSDA KAJITIBU ACHANA NA SHEIKH WETU
Yani yote ulio yasema ndio malezi aliotulea kila kitu ukali
Mashaallah mashaallah