Ndio maanaimi ata mtu akinichokoza SI mtii mkononi maana naasira niliona mtu ananishobikea Kwa ugomvi naaza safari kabisa sasa ivi watu tunatembea na vifo mda wote kitu kidogo tu unaweza kuingia matatizoni wallah
Maisha ya sasa sio kama ya zaman now unaweza kumshika tu mtu kidogo akaanguka akafa vingi vinachangia vyakula tunavyokula matatizo ni mengi kwa hiyo tuwe makini sana maswala ya ugomvi na kupigana tuachane nayo yataleta mambo mengine