Chini ya serika ya ccm .Treni hiyo hata miaka.miwili itakuwa hoi.waulize mwendo kasi,wanachechemea,ccm ni kiumbe,wana uzoefu wa hujuma.waulize Uda,waulize kamata, Waulize shule za wazazi,waulize Urafiki.waulize sukita, waulize Bndari.
Muongeza treni kwa hizo bei kikweli ni affordable Kikubwa kusiwe na usumbufu Kama Mabasi ya mwendo kasi yalianza vizur badae ukawa mwendo GHASI Badala ya mwando KASI
Maktopola ni wapi
Asante Kwa Kutufuatilia
Nauli sio kubwa safi sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwahy tayr dar kilosa inaenda wapi tunapandia
Asante Kwa Kutufuatilia
Safari zitaanza lini ndo muhimu
Asante Kwa Kutufuatilia
Waha wenzangu habari njema kwetu😂😂😂😂
Asante Kwa Kutufuatilia
6:04
Asante Kwa Kutufuatilia
🤮🤮
Asante Kwa Kutufuatilia
DAR - KILOSA Tsh 18,000/=✓ affordable
Asante Kwa Kutufuatilia
Sio mbaya, tulitakiwa tupande bure maan treni tulinunua wenyewe lakin lazim tuchangie kodi na uendeshaji wa treni👏
Acha kupenda vya bure utaliwa tako
hakuna cha bure duniani
Asante Kwa Kutufuatilia
@@AllyMaya-yj3xdoya😂😂
Mabasi ya BRT yaanze kufika Hapo station ya Treni. Morogoro wajenge maegesho makubwa ya magari.
Asante Kwa Kutufuatilia
Good Job
Asante Kwa Kutufuatilia
Tunashukuru kwa nauli mmeweka za kawaida sasa kazi kwenu safari itaanza lini
Asante Kwa Kutufuatilia
Nauli kilosa Moro bei gani naomba kujua na saa ngapi route
Asante Kwa Kutufuatilia
Duh Asante mama Samia suruhu hasani mungu akuweke miaka mia
Asante Kwa Kutufuatilia
Asante sana baba etu Magufuli umetuachia ulithi utaotusaidia
Asante Kwa Kutufuatilia
Mpaka mwanza itakua poa sana kigoma tabora
Asante Kwa Kutufuatilia
Dodoma stesheni yake ipo wapi?
Asante Kwa Kutufuatilia
MashaAllah
Asante Kwa Kutufuatilia
Hakikisheni mnaweka na timetable
Asante Kwa Kututufuatilia
vituo vya Dsm kwenda pugu vingefunngwa inakua na vituo vingi sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Weee kunawatu wanakaa gongo la mboto,chanika,wakashuke stesheni weekuweza
Ipo dodoma
Tunaomba no kesho tusafiri
Asante Kwa Kutufuatilia
Jamn dar kupand wap kituo
Asante Kwa Kutufuatilia
Stesheni
Chini ya serika ya ccm .Treni hiyo hata miaka.miwili itakuwa hoi.waulize mwendo kasi,wanachechemea,ccm ni kiumbe,wana uzoefu wa hujuma.waulize Uda,waulize kamata, Waulize shule za wazazi,waulize Urafiki.waulize sukita, waulize Bndari.
Asante Kwa Kutufuatilia
Jpm
Asante Kwa Kutufuatilia
Safi
Asante Kwa Kutufuatilia
Muongeza treni kwa hizo bei kikweli ni affordable
Kikubwa kusiwe na usumbufu
Kama Mabasi ya mwendo kasi yalianza vizur badae ukawa mwendo GHASI Badala ya mwando KASI
Asante Kwa Kutufuatilia
Kazi iendelee
Asante Kwa Kutufuatilia
Mama Samia juuuuuuuuuu
Asante Kwa Kutufuatilia