PART 2: MPIGA DEBE ANAYEMILIKI SHULE, HAIJAWAHI FELISHA ATAJA ADA ZAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 172

  • @rachaelemmanuel4910
    @rachaelemmanuel4910 5 ปีที่แล้ว +46

    Kama umeskia lugha za mkato na kitaani za kigereji toka kwa mkurugenzi wa skonga gonga like apa...

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😁😀

    • @nyokamuddy4194
      @nyokamuddy4194 5 ปีที่แล้ว

      Nikaenda Halmashau Halmashauri.... ila hongera kwke

    • @DIweni
      @DIweni 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @techfreenolqdp
    @techfreenolqdp 5 ปีที่แล้ว +12

    Najivuniiii najivunia
    Hiiiii shule ni yaaaa ni yangu
    Kama umeona hiyo slogani ya kipiga deni gonga like yako hapa

  • @barackgodfrey2665
    @barackgodfrey2665 5 ปีที่แล้ว +17

    Kisicho haki hakidumu mbele za mungu. Ashukuriwe mungu aliyeumba na kukuumbua kwa udhalimu ulioufanya juu ya mtoto rose. Roho yake italipwa. Piga like na Amen kubwa...

  • @masterdaveprojections
    @masterdaveprojections 5 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana jaaa ya... Jamaa yangu. Najua utatobo.... Utatoboa tu

  • @omarinhomoudy
    @omarinhomoudy 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawashauri mnaweza mshauri mkurugenzi, aongeze na Technolojia yaani masomo ya Computer, big up sana Mbeya, Adv. Level yangu niliipata huko mbeya, Iyunga Tech

    • @G24TZ
      @G24TZ 2 ปีที่แล้ว

      Big up mkuu tupo pamoja, Mbeya tunaipata vyema baadhi ya maeneo yake , O-level yangu nilianzia Iyunga Tech Mbeya, kuanzia mwaka 2002 ,Mkuu wa shule wakati huo akiwa Kisusange

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz 3 ปีที่แล้ว +1

    Super....

  • @nyambirokenyeka166
    @nyambirokenyeka166 5 ปีที่แล้ว +1

    Story hiiiii tamu sana sitsmani iiiiishe Mungu awabarik walimu na mmiliki wa shule pia, majiran wa hapo supotin shule yenu peleken watoto wasome hapo kuna elimu ya uhakika na niwahakikishie walimu mjipange kupokea wanafunzi wengi zaid kutika mikoani Ila hamjasema kama shule yenu ni boding au Day Anhsanten mbarikiwe sana

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 5 ปีที่แล้ว +2

    Hawa walimu hawahitaji kutoka hapo,kwasababu wao ndio nembo ya shule hiyo. Na hawa ndio wanatekeleza kauli ya "Ualimu ni wito" Hongera sana walimu kwa uvumilivu wenu. Na pia hongera kwa mkurugenzi wa shule hiyo.

  • @danielmfaume3152
    @danielmfaume3152 5 ปีที่แล้ว +10

    Usidangany wat sem kwel usije wafany wat wakapig deb mpk wafe

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 5 ปีที่แล้ว +6

    that's GREAT guyz well done i proud of you fellow Tanzanians, never giv up

  • @fridamsafiri8116
    @fridamsafiri8116 5 ปีที่แล้ว

    Waawoh so good of you...infact you have inspired me

  • @gabrielkasilati5741
    @gabrielkasilati5741 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana mungu asimie huo ni mfano 🙏👍🎓📖🇹🇿

  • @omarinhomoudy
    @omarinhomoudy 5 ปีที่แล้ว +1

    Umesapot sanaaaaa Taifa lako mkuu, hongera

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 5 ปีที่แล้ว +9

    Watoto wanavaa kwa heshima hadi raha

    • @allymkaku6188
      @allymkaku6188 5 ปีที่แล้ว

      Tuige mfano wa mpiga debe honger cn

  • @shabaniathumani5301
    @shabaniathumani5301 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera brother

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 5 ปีที่แล้ว +1

    Eeh bhana nimeipenda hii, nchi haijengwi kwa serikali tuu bali na wananchi wenyewe.

  • @drisayaambulatoryvetclinic1514
    @drisayaambulatoryvetclinic1514 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa .huu ndo uthubutu naiman shule itafika mbali .weng walianza kwa kukod majengo shv wanamilik yao

  • @damasmunishi2418
    @damasmunishi2418 5 ปีที่แล้ว +1

    Japo na jitihada zote hizi lakini serikali pengine isione jitihada za huyu mzalendo,inabidi tuamke katika kiza watanzania tukiitegemea serikali tutakufa na ndoto zetu.Be you alwayz

  • @gaykazimoto1419
    @gaykazimoto1419 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa kiganja cha mtoto tena matajiri wengi wanaishi kwa mawenge vyaharari vichache

  • @MusaNgao
    @MusaNgao 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sn mzee Mungu akubariki mno.

  • @josephrwegoshora6218
    @josephrwegoshora6218 5 ปีที่แล้ว

    Jamani Safi sana kaka Isee SERIKALI WIZARA YA ELEIMU mtizameni huyu mzee

  • @MrNjuju2004
    @MrNjuju2004 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa ameni-inspire sana, Millard ningekushauri tumuanzishie bakuli la mchango jamaa aiendeleze shule. Fatilieni kwa undani ana changamoto gani Watanzania tumchangie kwa hali na mali.

  • @fortnataangelo4805
    @fortnataangelo4805 5 ปีที่แล้ว

    Mungu amzidishe

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah hongera kaka Mungu akubariki kwa juhudi zako

  • @phiniasjohanes2138
    @phiniasjohanes2138 5 ปีที่แล้ว +21

    Me ni Mwl nahtaji kuunga Juhudi za hyo jamaa, tafatdhali mwna ayo tv, Naomba no, za hyo mwnye shule, no zangu ni 0766948152

    • @adillhabib2006
      @adillhabib2006 5 ปีที่แล้ว

      ubarikiwe

    • @xmathematics_
      @xmathematics_ 5 ปีที่แล้ว

      Phinias Johanes au co

    • @shakirumbehoma613
      @shakirumbehoma613 5 ปีที่แล้ว

      Phinias Johanes mungu akuongezee

    • @shebbybongo567
      @shebbybongo567 5 ปีที่แล้ว

      Ulishapiga hatua Sana, lakini sijui kitu gani kilikufanya umuue mtoto mdogo asiye na hatia

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzo mzuri,utafanikiwa sanaaaa

  • @annajustine5104
    @annajustine5104 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kwani huyo mpiga debe ndo kamuua Rose???

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 5 ปีที่แล้ว +5

    Liuaji hilo mwandishi kimbia utakatwa ulimi ushindwe kutuhoji sisi matajiri wa haki

  • @cathbertsakaya5977
    @cathbertsakaya5977 5 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki umekuwa mfano wa wengi

  • @babalois7240
    @babalois7240 5 ปีที่แล้ว

    I see u as a distant bright star

  • @manjalejuniorlg7024
    @manjalejuniorlg7024 5 ปีที่แล้ว

    Hongera bro

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 5 ปีที่แล้ว

    Nice sana mkuu.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว

    RIP Rose

  • @tuluanaula841
    @tuluanaula841 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa amejitahidi
    ila jamaa bahili wa kuongea lazima akukatie ili umalizie mwenyewe

    • @elizabethmwandu6937
      @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁 yaaani umenichekesha kweli ni bahili wa kumalizia maneno duuuu yaani anakuachia umalizie mwenyewe.

  • @raynellyaugustino3237
    @raynellyaugustino3237 5 ปีที่แล้ว +1

    Safii sanaaa

  • @gidiusdismas5893
    @gidiusdismas5893 5 ปีที่แล้ว

    hongera kaka wewe ni shujaa unandoto kubwa

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizr bro

  • @anganilemichael2283
    @anganilemichael2283 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli akina Anganile tuna akili sana

  • @josephmayunga7861
    @josephmayunga7861 5 ปีที่แล้ว

    One love brothee

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว

    Hao majirani walijua hapo ni uchawi mtupu ndio maana Hawajii hapo hizo ROHO ZA Watu alizotoa 😭😭😭😭😭

  • @gabinusaristidius2717
    @gabinusaristidius2717 5 ปีที่แล้ว

    Dah hii story ingekua ni movie angeuza sanaaaa

  • @edwinndege6432
    @edwinndege6432 5 ปีที่แล้ว

    Brother nimependa sana

  • @mbingaheaven9899
    @mbingaheaven9899 5 ปีที่แล้ว

    Big up bro

  • @julianandoweka7165
    @julianandoweka7165 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu si ndo aliyeuza mtoto kwa mlioni tano mtoto auawe

    • @eneaminga4886
      @eneaminga4886 5 ปีที่แล้ว +1

      Juliana Ndoweka nami nahisi

    • @eneaminga4886
      @eneaminga4886 5 ปีที่แล้ว

      Juliana Ndoweka Ndiyo yeye walai

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kumbariki OK ila PITIA HAPA KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE na bonyeza kengere bofya kapicha kushoto

  • @tonyspencer1928
    @tonyspencer1928 5 ปีที่แล้ว

    nimelichangia Taifa la... Taifa langu nouma sana

  • @bridgetm.vincent9368
    @bridgetm.vincent9368 5 ปีที่แล้ว

    Uko wapi?

  • @pilisanga8920
    @pilisanga8920 5 ปีที่แล้ว

    Mwabuluma Rose yuko wap??

  • @alicejohn3211
    @alicejohn3211 5 ปีที่แล้ว

    tutampataje huyo mwenye shule, kwa mawasiliano yashule

  • @rukiyahussan4190
    @rukiyahussan4190 5 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kaka naombeni namba ya shule nataka nimlete mdogo wangu

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 5 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว

    Ongera

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 5 ปีที่แล้ว

    Da nimekosa comments

  • @elizabethmgwilanga295
    @elizabethmgwilanga295 5 ปีที่แล้ว

    IPO maeneo gani hiyo shule

  • @eliasaphbussa9332
    @eliasaphbussa9332 5 ปีที่แล้ว

    Nimeamin uxemi uxemao ucdharau kaz

  • @emelianaabeli1305
    @emelianaabeli1305 5 ปีที่แล้ว

    Ipo sehemu gani hapo mbalizi namtoto natka kumleta

  • @zuwenasaleh9613
    @zuwenasaleh9613 5 ปีที่แล้ว +1

    Mshirikina mkubwa wewe umemuua mtoto rose kwa kushirikiana na baba ake

    • @nkulikandusi5282
      @nkulikandusi5282 2 ปีที่แล้ว

      Jamani hiii story ya uuwaji wengine hatuijui

  • @abdallahsaiya5934
    @abdallahsaiya5934 5 ปีที่แล้ว +6

    mm nimependa na amenihamasisha xana kwa kile alichokifany..hii ni ndoto yang nilionayo ni ving nahitaj kujifunza kutoka kwake##nisaidien namb yake jamn....jamn yng 0674514893

    • @jacquelinegervas7152
      @jacquelinegervas7152 5 ปีที่แล้ว

      Abdallah Saiya sasa atakupeleka kwa mganga

    • @happymsaki1720
      @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว

      We abdallah hapo hakuna kumshukuru Mungu,MUNGU wetu sio chinjachinja

  • @shebbybongo567
    @shebbybongo567 5 ปีที่แล้ว

    Sasa ninini kilikufanya umuue mtoto wa watu

  • @danielmadenyeka4248
    @danielmadenyeka4248 5 ปีที่แล้ว

    Hngr sn broth

  • @gabrielkasilati5741
    @gabrielkasilati5741 5 ปีที่แล้ว +3

    Ntakuja kuku saidia finishing ya shule kwa bei ya kusaidiana. MI funndi nipo dar 0655122921

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว

    ongela san. jmn

  • @chrisgmubepi84
    @chrisgmubepi84 5 ปีที่แล้ว

    tunaomba muionyeshe vzr, yote . mnaonyesha nusunusu. onyesheni kwa juu tuione yote. LKN nampongeza sana mmiliki wa shule

  • @africangirls482
    @africangirls482 5 ปีที่แล้ว +2

    Mpiga debe kwapesa ipi anayopata hata ajenge shule huo niuongo Kuna kitu anafanya nyuma yapazia lakn kwakipato kipi yani ujenge shule ya m270 kwandraaaaaa

    • @salumuissa4497
      @salumuissa4497 5 ปีที่แล้ว +3

      Shabani Hasani jifunze kusoma Title ya video, huoni kama part 2 iyo part 1 umeangalia au.

    • @ameenaalebri2952
      @ameenaalebri2952 5 ปีที่แล้ว +3

      We ungesikiliza part 1 umeambiwa alianza ufungaji pia

    • @shubackmashinga3535
      @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

      Amejenga kidogo kidogo so inaweza fika iyo kias

    • @africangirls482
      @africangirls482 5 ปีที่แล้ว

      @@shubackmashinga3535 hata kama nikidogo kidogo lakn sio kwakupiga debe ase sema Kuna kazi nyingine anafanya nje yahapo m270 nipesa nyingi ase piga hesabu hata akiingiza kila cku 20k nizaidi yamiaka 20 ndo anapata hiyo pesa kwahiyo huo niuongo mtupu kupiga debe anazuga tu lakn huyo inaonekana anaharakati zake zingine piga hesabu vizur hata akiingiza kwacku elf 30 inamchukua miaka mingapi hadi kupata hiyo pesa nahapo alipo anamiaka mingapi tusidanganyane bhana

    • @jacksonchigalika5081
      @jacksonchigalika5081 5 ปีที่แล้ว

      Mwamini Mungu, kila jambo linawezekana. Itafute part 1 ujifunze ht ww pia unaweza timiza ndoto yako

  • @aishahayata6131
    @aishahayata6131 5 ปีที่แล้ว +9

    Hahaaaa shule ya mpiga debe wangine wangepiga debe mpaka wakekauka koo hawawezi kufungua shule dah moyo wamtu kichaka

  • @tinagorges3741
    @tinagorges3741 5 ปีที่แล้ว +8

    Haijulikani kauwa watoto wangapii mpaka leo siyo vizuri broo rozi
    Ume.mpotezea.maisha mtotowawatu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 5 ปีที่แล้ว +11

    Daaah Hongera sana broo,Hongera pia Kwa kupata walimu wenye Moyo wa kujitolea,kazi Nzuri sana,nitaleta wanangu huko,Maana wanafunzi wachache Ndo wanaelewa vizuri zaidi,nimefurahi Kwa kazi yenu

  • @confidencetv1126
    @confidencetv1126 5 ปีที่แล้ว +11

    Doh! Yaani nimeguswa mpaka basi.

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 5 ปีที่แล้ว +8

    ongereni sana ata st. joseph ilianza na wanafunzi wachache

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 5 ปีที่แล้ว +2

    Umemuua rose kwa ushirikina wako kibaya hakidumu

  • @aishahayata6131
    @aishahayata6131 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sindie ameua mtoto na kuchukua kinganja basi itakua wamezika viganja vya kutosha

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 3 ปีที่แล้ว

    Nabii hana heshima kwao

  • @boyhamimboy5384
    @boyhamimboy5384 5 ปีที่แล้ว +4

    Safisa mpigadebe kasubutu mungu amvushe zaidi

    • @phiniasjohanes2138
      @phiniasjohanes2138 5 ปีที่แล้ว

      Tafadhali ndg, me nmependa kumuunga hyo mtu, me ni Mwl. Tafadhali Mwana millard nsaidie no ya simu ya hyo mpiga debe, nahtaji kuunga Juhudi zake. No, zangu ni 0766948152

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว

    Muuwaji mkbwa wewe unatupaka mafta kwamgongo wachupa😭😭😭 hvi hyo shule imefngwa ama?

    • @angelamos4557
      @angelamos4557 3 ปีที่แล้ว

      Khaki haidhulumiwi dada maana alichoandika mungu kaandika tu Angela hata hyo while isingekuwepo sasa ila mungu yupo na shule inakuwa dada

  • @aishahayata6131
    @aishahayata6131 5 ปีที่แล้ว +2

    Hayupo mtu anapata utajiri kwa halali nimeamini ndomana.watu tunafanya bihashara mpaka mtaji unakata kumbe wengine.wachawi.kabisa

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa mumy

    • @othmanshahib1115
      @othmanshahib1115 5 ปีที่แล้ว

      Imani yako tu sasa kama unapewa mashart ya kuwa mchafu huli vizuri kwanini usiwe tajiri hiyo dawa inafanya nini wakati umepewa mashart ya uchumi imani ya ujasir wa kuuwa tu ili uwe na roho mbaya tizama harina hata raha na hela zaidi kunuka kama beberu yani hii mijitu sijui ina mungu yupi wa kwao uuwe mtu upate utajiri mwisho ndo huo damu ya mtu haiwezi kukuacha salaama

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 5 ปีที่แล้ว +1

    Ayo TV karibun sana majani ya CHAI secondary school kipawa DSM mjionee mambo mazuri yanayoendelea hapa kwetu 0715049057

  • @mussambwilo2536
    @mussambwilo2536 5 ปีที่แล้ว +1

    daaah!!! muhuni kafanya maajabu ya dunia hongera sana muhuni wetu jpo unaongea lugha ya mkato lkn nyingi tuu.

  • @prinahnathan337
    @prinahnathan337 5 ปีที่แล้ว +3

    i see you lusajo[mnefiliii]

  • @joshuakiwovele8664
    @joshuakiwovele8664 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani nimeku nmekuelewa yaani

  • @lewisb.mwanjoka7234
    @lewisb.mwanjoka7234 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice brother tuijenge nchi yetu kwa kujitoa zaidi.

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiii sana

  • @elinnahchristopher8567
    @elinnahchristopher8567 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aenderee kuwatianguvu mtafika pale mnapopahitaji mungu ndo mtoaji

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 5 ปีที่แล้ว

    Umegusa damu isiyo guswa mbwa wewe unauwa mtu huku unajishughurisha mnateswa na hizo imani zenu eti dawa inaleta hela si ukae ije hiyo hela kama kweli inafanya kazi.unakatiri mtoto kwa imani ya kubana matumizi we mwenyewe huna matumizi na hela lazima upate sasa hiyo dawa inafanyaje hujui kuvaaa kula dagaaa et dawa.mbona wazungu hawatumii yani watu weusi sijui tuna mungu yupi wa kwetu,jitu chafu tu tunalisikiliza et utapata hela lenyewe halina we ndo nani Rikupe utajiri

  • @ariphkimani3790
    @ariphkimani3790 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio ukiskia watu wanapambana ndio hapa...Aisee safi sana

  • @joachimligwa5424
    @joachimligwa5424 5 ปีที่แล้ว +1

    Energit man
    Superman

  • @freba6633
    @freba6633 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu lusajo anaongea kwa poza kama yy ndio mwenye shule

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka kwa mafanikio uliyoyapata kutoka kupiga debe mpaka kumiliki shule yako binafsi. Kweli hakuna kukata tamaa ni kupambamba nina hakika na mimi nitakuja kufanikiwa.

  • @mussaswinyiford285
    @mussaswinyiford285 5 ปีที่แล้ว

    Manga WA jad

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 5 ปีที่แล้ว

    Hii kama mbeya vilee??

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 5 ปีที่แล้ว

    dah aiseeeeee nakukubaliiiiiiiii sanaaaaaaaa. safiii sana Mungu akubariki sanaaa upate nguvu uendelee na moyo huo. naitabiria hiyo shule itakuja kuwa kubwa sana aiseeee. mvumilie walimu jamaa atakuja kuwasaidia sana itakapokuwa shule kubwa aiseeeee.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana , lazima tupambane na sisi tutimize malengo yetu amiin.

  • @charlesryoba7402
    @charlesryoba7402 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki katka kazi yako awabariki na walim wako pia

  • @joharisimtowe5661
    @joharisimtowe5661 5 ปีที่แล้ว

    kweli kuna kitu kilifanyika kama mwalim alivyosema

  • @francisnsungwe2313
    @francisnsungwe2313 5 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu wa mbeya kwa kafala hamjambo

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 5 ปีที่แล้ว

    Brother hongera sana hiz ni ndoto zangu ktk maisha yangu.

  • @ashidonwafaida1284
    @ashidonwafaida1284 5 ปีที่แล้ว

    Good begin Hongera sana Chafu yangu mungu yu p1 nawe

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 5 ปีที่แล้ว

    Taifaa laa taifa languu

  • @issamajanavi2198
    @issamajanavi2198 5 ปีที่แล้ว

    Hawa ndo watu wa kuwezeshwa

  • @shabanikitogo6613
    @shabanikitogo6613 5 ปีที่แล้ว

    Big up mwana sana tu

  • @nowyouknoweverything8642
    @nowyouknoweverything8642 5 ปีที่แล้ว

    kigugumiz