MIAKA 150 YA UKRISTO TANZANIA NA DAVID B. WASONGA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi bado nasikiliza huu wimbo ni mzuri sana

  • @billyrique
    @billyrique 2 ปีที่แล้ว

    Hakika ni wimbo mzuri sana wa shukrani. Mtunzi hakika upo vzr sana DBW!! Na Performance nzuri sana kwenu wanakwaya.

  • @edwinnickolaus6448
    @edwinnickolaus6448 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Awabariki sana,Mmeimba vizuri sana

  • @yohanambano872
    @yohanambano872 ปีที่แล้ว

    Hongerenu kwa utume

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen barikiwa watumishi wa Mungu, nikiwa USA hadi raha jamani.

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 5 ปีที่แล้ว +2

    Sawa sawa kabisa 🙏🙏🙏

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 5 ปีที่แล้ว +1

    Heko kwako kaka DBW,you have a very unique style ya ku compose nyimbo.Hongereni wana familia takatifu.Proudly Catholic

  • @eradiuskahamba7825
    @eradiuskahamba7825 5 ปีที่แล้ว +1

    Vijana angu saaaafi sanaa. I real proud to be a member

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana ni home lazima nitakaribia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @kftstjosephcathedral
      @kftstjosephcathedral  5 ปีที่แล้ว

      Karibu sana. Tafadhari share ndugu na jamaa waweze kupata ujumbe huu

  • @clotildamaheneko905
    @clotildamaheneko905 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kazi nzuri sana

  • @stevenfumbi9566
    @stevenfumbi9566 5 ปีที่แล้ว +1

    Hatari fireeeee familia takatifu itaki juuuu mawinguni

  • @stevenfumbi9566
    @stevenfumbi9566 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice song, everybody say yeeeeeee

  • @DavisWangodi
    @DavisWangodi 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee DBW Ni master kwa kutunga kitu kinakaa kina Handel hvi

  • @wenceslaszile9031
    @wenceslaszile9031 5 ปีที่แล้ว

    48. Nik wubed jukatholi, baprotesta, jukanisa mi tipo kunoke babranhamist nyoke juislam kunoke julem-yahudi, wung’ei nia tek tie Mungu re m’umio ira Lembanyong’a maeni… calu Isaya gi ku Yeremia, ng’atu m’ubedo kapokolembe i wiwu iwi ng’om niay i oro 2002 bibedo ni japoklembe mwu i wang’ Mungu i Polo. Jufarisayo ma girieyo i leni ma bor yor i bang’ kom mi pokolembe giwacu: « Watie pa Musa… nwang’u gibeciwacu tinuni: Watie pa Yesu ! ». [Cokiri ng’yero]. Man Musa upokolembe iwigi calku Yohana 5 :45 ! Kinde ma wudaru kwero Lemkwenda mi sawa mwu, kwirocam man rwo mwu gitie gin ma judagu i wang’ Mungu. Apaje ku girathyera mwu gitie gin ma judagu i wang’ Mungu. Amora mwu, nying’ tic mwu mi Jugalatia 5 :22 gitie gin ma judagu man ku wi gin ceke, Yesu mwu tie Jok.

    • @lucykitamboya817
      @lucykitamboya817 2 ปีที่แล้ว

      Kwaya ya Familia Takatifu ni kioo cha uimbaji wa Kuimba kwa Melods ya Kikatoliki halisi. Namuomba Mungu aendelee kuwategemeza ili muendelee kuinjilisha watu wake kwa Njia hii ya Uimbali uliotukuka. Hongereni sana.

  • @MrOctave92
    @MrOctave92 5 ปีที่แล้ว

    Wokovu ni Mtukufu Mtume Kacou Philippe. Ni hivyo asema Bwana Yesu Kristo leo. Maelezo: www.philippekacou.org

  • @angemichellesagnon1476
    @angemichellesagnon1476 5 ปีที่แล้ว

    9. Wakati adhabu inakuja juu ya inchi, ni hasa dhidi ya makanisa ndipo hiyo adhabu ina anguka kama vile zamani juu ya miungu ya Misri. Mnaona ? Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu Kristo, siwakate tamaa lakini ni kwa bure munaomba. Mungu amejifanyia watumishi kwa kutimiza hukumu kama vile alivyo fanya mtumishi wake Nebukadreza dhidi ya Israeli katika siku za kale. Je ! Sio Mungu anayeamuru yote yanayotokea duniani ?
    Www.PhilippeKacou.org
    #PKPCHANNELTV

  • @ilboudowendpangabruno3103
    @ilboudowendpangabruno3103 5 ปีที่แล้ว

    1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
    20. Ni Ujumbe huu ndiyo utaenda hadi mipaka za dunia, na ni Ujumbe huu ndiyo utakaoleta kusanyiko na mateso na kuchukuliwa ya wateule.
    21. Pia, Ujumbe huu unafunua siri za mwisho na utimilifu wa ahadi za mwisho za Mungu kwa Kanisa la mataifa, ambazo zinapatikana katika Agano Jipya na la Kale na ambazo kuelewa na kukubaliwa zimepewa tu kwa wateule kulingana na Danieli 12:8-10 : « Wengi watatakaswa na kufanywa weupe na kulainishwa; na hakuna hata moja ya waovu atakaye elewa». Pia Matendo 13:48 inasema : «...na wote waliyo ahidiwa Uzima wa milele wakaamini ».
    #propheteKacouPhilippe goo.gl/s1X3WY