MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA NA C. KAPAMA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @PaulShimbala
    @PaulShimbala 9 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo Huwa hauchuji masikioni mwangu tangu uimbwe. Umeimbwa katika utulivu wahali ya juu, mpiga Ngoma kapiga kitaalam Sana.

  • @gilbertassey3397
    @gilbertassey3397 4 ปีที่แล้ว

    mungu awabariki sana katika kutu injilisha kwanyimbo nzuri

  • @stanleythomas5154
    @stanleythomas5154 2 ปีที่แล้ว

    Nimeupenda huo wimbo

  • @jeremiahbusienei4507
    @jeremiahbusienei4507 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu unanibariki sana.

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 ปีที่แล้ว

    My dear... Huu ndio uimbaji wa kikatoliki... Love u!

  • @stanleythomas5154
    @stanleythomas5154 2 ปีที่แล้ว +1

    Nota zake vp mwaweza kunipa?

  • @clementinesimon2243
    @clementinesimon2243 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo wenye ujumbe mwafaka.Hongereni mwapendeza

  • @thomasmsechu4784
    @thomasmsechu4784 5 ปีที่แล้ว +3

    Natamani kuisikiliza nyimbo hii muda wote

  • @susanabby2129
    @susanabby2129 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations , wonderful heavenly Voices.

  • @laurianlubula4159
    @laurianlubula4159 4 ปีที่แล้ว

    Mora awape moyo wa mshikamano

  • @atupelyeluwanja6054
    @atupelyeluwanja6054 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana

  • @eradiuskahamba7825
    @eradiuskahamba7825 5 ปีที่แล้ว +5

    Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake. Hongereni sana wanakwaya wenzangu na nawapenda.

  • @charlesooboda4257
    @charlesooboda4257 3 ปีที่แล้ว

    Bilashaka mtunzi na mwelekezi wa hii choir anafanya kazi bora, Mungu awabariki, nawaalika Kenya jamani!

  • @pndungu67
    @pndungu67 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mtamu kweli.. Wimbo wa sifo unaoleta faraja..

  • @vitalisobonyo2011
    @vitalisobonyo2011 2 ปีที่แล้ว

    Wow
    That's great

  • @terrygabby8976
    @terrygabby8976 5 ปีที่แล้ว +3

    jamani...mnaimba vizuri sanaa hamna mbwembwe nyingi..Mungu awabariki

  • @AmosBPeter
    @AmosBPeter 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzr San mbarikiwe kila kit kipo on point

  • @ibrahimgores3072
    @ibrahimgores3072 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana

  • @brucemutuma
    @brucemutuma 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwabariki katika kazi yenu nzuri....nyimbo zenu zimeniinua na nimebarikiwa

  • @pascallyimo5106
    @pascallyimo5106 4 ปีที่แล้ว

    Atukuzwe mungu juu mbinguni.Amina.

  • @kitoileena4710
    @kitoileena4710 5 ปีที่แล้ว +1

    tumsifu yesu kristo
    wimbo huu umenibariki sana
    roho mtakatifu awaongoze katika maisha yenu.amina

  • @remimaloba7206
    @remimaloba7206 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake. Hongera Kwa uimbaji murua. Mola awabariki.

  • @olexanderj.6969
    @olexanderj.6969 3 ปีที่แล้ว

    Wow!

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukatoliki halisi.... like it

  • @mbiyugobo1031
    @mbiyugobo1031 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo hii inanibariki sama hasa huyu babu

  • @devidkingu2439
    @devidkingu2439 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana mnaimba kikatoriki zaidi

  • @danielmdemu1657
    @danielmdemu1657 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni ndugu zetu Kwaya ya familia takatifu by Kwaya ya mt Yohane Paulo wa pili -ununio

    • @kftstjosephcathedral
      @kftstjosephcathedral  5 ปีที่แล้ว +1

      Amina sana. Tunawakaribisha tena Parokiani kwetu. Mlitufundisha mambo mengi

    • @danielmdemu1657
      @danielmdemu1657 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM Asante sana tunawakaribisha nanyi parokiani kwetu kwa hamu mje kuuza Cd

    • @kftstjosephcathedral
      @kftstjosephcathedral  5 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana. Tutakaribia

  • @revocatuskatto7293
    @revocatuskatto7293 5 ปีที่แล้ว +2

    I like this song so much be blessed all of them men 4 women thanx

  • @methuselalameck8296
    @methuselalameck8296 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana .

  • @ourladyoflourdesmwealabora9735
    @ourladyoflourdesmwealabora9735 4 ปีที่แล้ว +1

    wimbo mzuri huu. twaweza pata nota zake vipi?