DJ BENNY KUTOKA KAHAMA UYOGO USHETU NAKUPATA SANA KAKA BHUDAGALA KARIBU SANA KWETU UYOGO USHETU HUKU PANDE ZA KAHAMA BY NG'WENDA POLE MNYAMWEZI HAPA MARUFU KAMA DJ BENNY MAHELA 🎉🎉🎉
daaah mbona budagala bado wamoto sana uzur nakukubali kwa Uelimishaji wa jamii hujawahi potosha hapa sasa watoto wakae kando washenzi kazi kutamba na madawa2 cc tunaomwamini mungu iweje xx wewe Noma brother hatujawahi msikia hata mganga wako hongera 🎉🎉🎉🎉🎉mwanamalonja
2025 moto 🔥 🔥 ni ule ule afu huu wimbo umeendana na kijana mwenzangu alinunua mbuzi 🐐🐐 kalibu 15 akawenka kwa jirani ili akitoka machimbon akazichukue maana kwake mzee wake ni chapombe sanna akaona aweke kwa jirani ambae kulikua na rafiki yake sanna lakiini alipo ludi aliambiwa hana mbuzi 🐐 ata mmoja wala hajaweka ndaha inauma kwakweli mtu akiamua kuu geuka hata unae mwamini ndio anakuangusha sana
Pole sana bhudagala kwa mtu huyo aliyekusaliti ...mungu ndo muongozaji wetu ataonesha safari yake.
DJ BENNY KUTOKA KAHAMA UYOGO USHETU NAKUPATA SANA KAKA BHUDAGALA KARIBU SANA KWETU UYOGO USHETU HUKU PANDE ZA KAHAMA BY NG'WENDA POLE MNYAMWEZI HAPA MARUFU KAMA DJ BENNY MAHELA 🎉🎉🎉
Ww ni uhaikika kila kazi yako
Daaah😂😂😂 nyanda ommakoro usayile nkuru wane noghoha nosee gete , mokono nalhebhona lhibhulagha ghashi gete ,tulaga kaji ngosha 🎉🎉
❤kaka unanipa tarifa kama unatoa ngoma😮 kazi zuri sana 🎉🎉
Kifungua mwaka good music 🎉🎉🎉🎉bhudagala big up🤝🤝🤝🤝💯💯💯💯💯
Hongera kijana ujumbe umefika,
Mtoto wa magorofani pamoja sana phik,,, Thom,,,
Kazi nzuri kaka hongera yako
Nakubali sana kaka🎉🎉🎉🎉
Najivunia na lugha yangu
hapo umeuwa mzee wangu budagala chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Kwa sasa kaka hausubili mwezi wa 3 kuachia ngoma 2025 ndo tunaanza hivi hongera sana mkubwa
daaah mbona budagala bado wamoto sana uzur nakukubali kwa Uelimishaji wa jamii hujawahi potosha hapa sasa watoto wakae kando washenzi kazi kutamba na madawa2 cc tunaomwamini mungu iweje xx wewe Noma brother hatujawahi msikia hata mganga wako hongera 🎉🎉🎉🎉🎉mwanamalonja
kaka budagala nipo dodoma endelea ivo achana na vijina wewe ndo muanzilishi
❤❤❤❤kwel asa@@DottoabdalahDotto-l8p
Kazi nzurisana umerudi sass kivingine xafsana
Kiukweli kaka niuhalisia kabisa doh jamii tunayo ishi nayo haieleweki kabisa
Huu wimbo noma, acha tufungulie mwaka
Bhudagala eee inatosha baba utawauwa huu mwaka hongera sana
Mwamba wa Asili .....yuwsitwa bhudagala pamoja kaka
Umenigusa Sana,KAZI nzuri
Vizuri sana.Kwa kweli unastahili sana maana nyimbo zako zinafundisha jamii na zinasafifu yaliyomo,yaani huwa unaimba mara nyingi huwa hauimbi kubahati
Omwamalunja bhudagala👍👍
Wewe ndoo bhudagala hapana wengine ❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉 tujuane vizuli tunao sikiliza 2025
Huyu jamaaa kwa kutoa darasa huwa ni shidaaa
Sitachoka kukupa hongera maana nyimbo zako zinafundisha,nipo chuo lakini siwezi kusahau utamaduni wetu.Hongera sana kaka
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ moto saaana
Unyama sana
🙏🙏🙏🤝🤝 bro hapa umetisha sana karibu sana nyangokolwa
Huku kuna yanga pale kuna kaka Bhudagala yaan hii 2025 ni yetu Mungu mtunze bhudagala na familia yake huyu ndo mtu sahihi kwa wasukuma ❤❤❤❤❤
Naomba utuletee nyimbo za kuhusu utandawazi kwa vijana wa leo umepelekea uzembe na ndoa za jinsia moja
Unajitaity mwaka huu kaka niwako Ngoma mupya bada ya wiki
Safi sana kaka natamani tufanye collable lakini latiba zinabana
DJ sele luhafwe mpanda kaka pumekupata vizuli sana🎉🎉
kaz nzur kaka🎉
Bhudagala mi nakubali kazi zako huku pande za ipililo mwaukoli
Kweli ng'ombe hazeki maini🎉🎉🎉
❤🎉❤kaz nzur kaka❤
Nakubali sana mm
Kaka nakukubali Sana Mimi Mafuvu Dancer Wa Saida nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
Mafuvu nipe namba ako bas
Nipo tayari
Iringa imetufikia ong'wise ❤❤
@@LucasPangarasi mambo vp lucas
@Ng_wenda_Pole_Tz safi tu mzima ww
2025 naona ndo imeanza hiyo
Bhudagala ww ni jini
Nakupataa kaka eti
B malonja🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
DJ LUGATA KUTOKA KAKOLA sambazaji wanyimbo za asili kalibu kakola kaka🎉🎉🎉🎉
2025 na mtoto wamangorofani tena watoto wandogo watupishe mbali MBWA nyinyi 😂😂
Yuko vzr sana
💯💯💯✅✅
👏👏👏👏👏
Cheneee wamwisee
🔥🔥🔥💯💯💯👊👊
Sawa Sawa 🎉🎉🎉
2025 moto 🔥 🔥 ni ule ule afu huu wimbo umeendana na kijana mwenzangu alinunua mbuzi 🐐🐐 kalibu 15 akawenka kwa jirani ili akitoka machimbon akazichukue maana kwake mzee wake ni chapombe sanna akaona aweke kwa jirani ambae kulikua na rafiki yake sanna lakiini alipo ludi aliambiwa hana mbuzi 🐐 ata mmoja wala hajaweka ndaha inauma kwakweli mtu akiamua kuu geuka hata unae mwamini ndio anakuangusha sana
Uhakika
Nyimbo hii Limbu Luchagula ataipata tu, maana amegusa pengine pabaya....ajifunze kwa wakubwa wake...kuwa kuna watu wakubwa wake anatakiwa awahedhimu
Hii ya mwazo wa mwaka mpya
Like za kutosha kwa nyanda malonja
Kaka wewe hayupo wa kushusha yaani mpaka utakapoamua kustafu tu vijana wanachakujifunza kutoka kwako brother
🎉🎉
Ujumbe 100% ubunifu na maarifa 100% juhudi 100% uaminifu 100% elimi 100%matusi 0%
Nimependa niite nghomi walaga maguta
❤❤❤❤❤❤❤
Limbu