ILI UFANIKIWE MWAKA HUU LAZIMA UACHANE NA VITU CHAKAVU - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 109

  • @cizungulawi6425
    @cizungulawi6425 ปีที่แล้ว

    A simple Gospel but has big power, thank you Servant of God, i.pray that before this year end you may.come into my contry

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kwanguvu Asante kwa kutungua baba ubarikiwe sana

  • @danielshauri4681
    @danielshauri4681 ปีที่แล้ว

    Mungu nataka mshahara wangu ipande

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hakai kwenye moyo Mchafu 📌Irarueni mioyo yenu .
    Maamndalio ya Moyo no yamwanadamu Bali jawabu la ulimi linatoka Kwa Bwana .

  • @edouardnsengiyumva1145
    @edouardnsengiyumva1145 ปีที่แล้ว

    Wahubili waziandae kuja kwa yesu wasafise mwoyo yao vingine mungu kutuongezaya

  • @gordonausubisye8074
    @gordonausubisye8074 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @pauloulopa9580
    @pauloulopa9580 ปีที่แล้ว +2

    Nabii hapo Sasa unazingua sana , unadhalilisha madhabahu yako please, tena unachemsha sana kusema neno chupi, sidiria punguza makali baba

  • @zenahjacob7773
    @zenahjacob7773 ปีที่แล้ว

    Ameni ameni nabii Mkuu Safi nimekuelewa aside kuelewa ufahamu wake umeganda na ni kipofu. Baba barikiwa sana msemaji wa serikali ya mbinguni maana wewe unafundisha yote prohibited na mwilini maana mwanadamu yuko ndani na nje nimekuelewa

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 ปีที่แล้ว +1

    VIZURI kwa kufundisha u smart

  • @nzagambafuelsangilwa73
    @nzagambafuelsangilwa73 ปีที่แล้ว

    Amina baba son nakuja kubarikiwa nawe

  • @happymwalongo8274
    @happymwalongo8274 ปีที่แล้ว +3

    Mtasafisha vitu vyote mvijuavyo lakini kama maisha yenu ni machafu jehanam inawahusu ,safisheni Maisha yenu,mienedo yenu impendeze Mungu na sio miili ambayo ukifa nayo inaoza ,Mungu awasaidie kwa kwer

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 ปีที่แล้ว

    😳jamani Mimi naendelea kufagia mpaka kieleweke asante baba nabii mkuu Dr GeorDavie balozi wa jamani uishi daima baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 ปีที่แล้ว

    Mungu hawezi ongea na wewe ukiwa mchafu au vitu chakavu. Jamani !!!!!

  • @sharifamakawa9900
    @sharifamakawa9900 ปีที่แล้ว

    Hakika mtumishi wa Mungu' Amen

  • @dainessukosi
    @dainessukosi ปีที่แล้ว

    Baba kweli hago watu hatuyajui kama mungu anayaangalia na hayo

  • @mariajerome726
    @mariajerome726 ปีที่แล้ว

    Vitu vichakavu vinaadhiri maisha yetu baba, baba umesemaukweli kabisa tuambie tujifunze kabisa.👍🏽

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 ปีที่แล้ว +1

    This has to be taken in spirit. Our cleanliness in our hearts and leave our old ungodly way of life

    • @irenelyamuya5466
      @irenelyamuya5466 ปีที่แล้ว

      I do agree with you we should take it spiritually 💃🏾

    • @jankenkasambala7687
      @jankenkasambala7687 ปีที่แล้ว +1

      @@irenelyamuya5466 Yes! Sometimes God speaks to us but we fail to interpret the heart of God.

    • @irenelyamuya5466
      @irenelyamuya5466 ปีที่แล้ว

      @@jankenkasambala7687 absolutely pal

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 ปีที่แล้ว +1

    Huu ujumbe umenipa kujifunza Mtumishi zidi kubarikiwa Sana

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 ปีที่แล้ว

      Inamaana wew ulikuwa huogi au?

    • @episonfelician7670
      @episonfelician7670 ปีที่แล้ว +1

      @@robertabel6984 tumia akili yako kufikiri vizuri kabla ya kukument usitie uchizi kwenye coment we vp Nyie ndo wale wale au simu umeanza kuitumia leo Kama unajua akili yako inacoment upupu usirudie Tena kokoment kwenye Acount yang unajua nilimanisha nn kukoment hvo

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 ปีที่แล้ว

      @@episonfelician7670 au chupi lako limetoboka nn mbona unafoka sasa

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 ปีที่แล้ว

      @@episonfelician7670 we fara umeshanunua chupi mpya au bado ni lilelile la zamani Mr Buza. Alafu uache tabia yako ya kwenda kanisani na chupi lako hilo umeskia we fara siku nije nikuone utaimba haleluya nitakata hizo pumbu zako na wembe nilishe kunguru😂😂😂😂😂

  • @Pgm170
    @Pgm170 ปีที่แล้ว

    Amina Baba, ni mahubiri ya ajabu yaliyojaa kweli ambayo watumishi wa Mungu wengi Tanzania hawafundishi, ukweli huo.

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Mimi Tayari kilakitu chakavu nimetupa na mbari mwaka uyu mpaka mwisho wa maisha yangu.

  • @happymvula
    @happymvula ปีที่แล้ว +1

    Bado sijakuelewa, kama suala la kufundisha usafi ndiyo hivii?

  • @paulinemburere3521
    @paulinemburere3521 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣 ndiyo naendelea kufagia fagia vitu chakavu,Daddy Asante sana 🙏

  • @mukanyataki5120
    @mukanyataki5120 ปีที่แล้ว +1

    Hawa waamini wooote hapo, hawajaelewa mpaka leo ni wapi wamepekekwa tu kweli ?
    Kuni za moto kweli,,,,😣

  • @pastormarkokabisatv6821
    @pastormarkokabisatv6821 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Baba

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli

  • @josephinemichael1514
    @josephinemichael1514 ปีที่แล้ว

    Yuko sahihi 100%

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa. Saana. Nabii

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @johnmgaya2280
    @johnmgaya2280 ปีที่แล้ว

    Aliyemuona harmorapa Cheka kidogo

  • @aureusnchimbi7243
    @aureusnchimbi7243 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 babaaaa imenpasa kucheka kwanza🤣afu jina la Bwana lipewe sifa🙏

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge ปีที่แล้ว

    ALLAH KUMBE UNAJUA KAMA MUNGU HAPENDI UCHAFU BASI WAFUNZE WANPO KWENDA HAJA WANAWE NA MAJI. NANDO MAANA ALLAH HAWAPENDI MAKAFIRI . HAWAJUI KUNAWA WANAPO KWENDA HAJA.

  • @sambotofuraha9971
    @sambotofuraha9971 ปีที่แล้ว

    Mwamba kasema kweli tupu ✍🏽

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu Naomba umpe pesa huyo dada mwenye Rasta nyeusi akaoshe meno hospital yawe mazuri wachumba wataogopa kumpa kiss

  • @calebkyalo43
    @calebkyalo43 ปีที่แล้ว

    Hii kanisa ipatikana wapi

  • @lilianebahati7290
    @lilianebahati7290 ปีที่แล้ว

    Mi WA kwanza naanza leo

  • @samwa9496
    @samwa9496 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mimi inatokeaga tu kilicho chakaa kutupa

  • @happynessmduma6096
    @happynessmduma6096 ปีที่แล้ว

    Amen baba

  • @aplokimo405
    @aplokimo405 ปีที่แล้ว +1

    Ntafafanya kesho nko kenya

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Kabisa baba

  • @yohanaitembe4434
    @yohanaitembe4434 ปีที่แล้ว +1

    Ww mzee huna maana kwa umur huo na mbinguni unafikiri wanaenda wahuni

  • @mozesmungai9026
    @mozesmungai9026 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa huo ujumbe umeninengs sana mtumishi wa MUNGU,natamani niwe kama ww,ki ufalme wa MUNGU

    • @Kwizeraofficial625
      @Kwizeraofficial625 ปีที่แล้ว

      Kuwa kama Wewe ulivyo sio kuwa kama mwingine, tafuta ufalme wamungu.

    • @sarahezekiel5170
      @sarahezekiel5170 ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi..Neno linasema..Jiosheni,jitakaseni,fueni mavazi yenu, viraka na nguo mpya visichanganywe. Upya in everything.

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu ปีที่แล้ว

    AMEEEEN AMEEEN❤️❤️❤️

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 ปีที่แล้ว

    Ameen BABA.🙏🙏

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 hili somo watu wataona utani na Kuchekaa lakini kumbee ni ufunguo mkubwa sanaaa

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 ปีที่แล้ว

    Mswiba

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 ปีที่แล้ว

    Huo ndio ukweli baba.

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @hatangimbabazisenzoga3245
    @hatangimbabazisenzoga3245 ปีที่แล้ว

    MUNGU wetu Ainuriwe milele na milele tena akubariki unatufariji nakutufurahisha kabisa lazima vitu vyakuzeeka tubitupe mbali kwaimani

    • @nicholasmuthiani3851
      @nicholasmuthiani3851 ปีที่แล้ว

      Nabii niombee sana mikuu unisubua sana nko Kenya nikekua nauweso ningekamu kisongo

  • @sarahitambu5586
    @sarahitambu5586 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @williammajani2152
    @williammajani2152 ปีที่แล้ว +1

    Manabii wa Karne ya 21 wanazungumza chupi na brazia wanajita wakristo? Bado kitambo kidogo Huyu hatakuwepo "Neno la Mungu"

    • @pauloulopa9580
      @pauloulopa9580 ปีที่แล้ว

      Asee kwel mm nimwshangaa huyu mtumishi kuzungumsza maneno makali Kama chupi ,sidiria , badala apunguze makali huyu baba anachemsha sana ,

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu nimecheka sana. Ujumbe umefika. Hiyo si misumari bali ni mabomu ya Osama Bin Laden!
    Mungu atusaidie kukwepa Matobo matobo!

  • @havyarimanadavid4073
    @havyarimanadavid4073 ปีที่แล้ว +1

    Je sasa wewe na misuti yako unataka kutwambia kwamba uko bora kuliko Yohana mbatizaji or Eliya mtishi???wacha kupotosha watu

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 ปีที่แล้ว

    💪😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 ปีที่แล้ว +1

    Mimi natupa vyote vilivyochakaa,, Tena nimegundua vitu vilivyochakaa vinakaribisha pepo la umaskini

  • @mariajerome726
    @mariajerome726 ปีที่แล้ว

    Usafi sio lazima uwe tajiri

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh

  • @nyarugengeofficial3558
    @nyarugengeofficial3558 ปีที่แล้ว

    Huyu ndie nabi wa ukweli

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    Ahaha Ila ni kweli jamani

  • @annamitumba3981
    @annamitumba3981 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂Nabii Mungu anakuona umetufanya nicheke kwa sauti

  • @annamadavid4152
    @annamadavid4152 ปีที่แล้ว

    Mmmhhh

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 ปีที่แล้ว

    Eti anaona chupi😁😁

  • @hildamhina5305
    @hildamhina5305 ปีที่แล้ว

    Pepo ww ulaaniwe

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 ปีที่แล้ว

    Baba wa mbinguni uturehemu

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣 jamani mi nimwislam Ila umenifurahisha ngoja nikague vitu chakavu

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 ปีที่แล้ว +1

      Kukoswa Iman na maneno ya MTume wako wew hujui kuwa hyu ni dajar

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 ปีที่แล้ว

    Ninazo nguo baba

  • @florapeudy3963
    @florapeudy3963 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 ปีที่แล้ว

    Ha ha haaaa

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว +1

    🙄🤭

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 jamani Mimi huyo

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว

    Sisi binadamu wenyewe tuna chakaa tuna zeeka MUNGU wa mbinguni bado anatupenda.hata ukiwa kiwete.

  • @dainessukosi
    @dainessukosi ปีที่แล้ว

    😂😂

  • @frankkinyaiya.8217
    @frankkinyaiya.8217 ปีที่แล้ว +2

    😂😆🤣🙏

  • @joshuajereman7510
    @joshuajereman7510 ปีที่แล้ว

    😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😍😭

  • @agneskapwani3484
    @agneskapwani3484 ปีที่แล้ว

    🤣🤣ila ka kweli hivi

  • @mariageorge5029
    @mariageorge5029 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @furahasarakikya3223
    @furahasarakikya3223 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge ปีที่แล้ว

    Kama nimasikini wape pesa wakanunue. Kwanza wewe khanithi hayo simaneno wala mafunzo. Isipokua wewe unaufisadi hilo sio somo maluuni wewe kenge huna dini ilaupotosho brazia nineno hili mshenzi wewe malaya mkubwa halafu unajiita nabii. Unabi kakupa nani.

    • @irenelyamuya5466
      @irenelyamuya5466 ปีที่แล้ว

      🥺🥺 Usitukane my dear Acha sis tutararua Mioyo na sio Mavazi 🧎.Biblia inasema tusihikumu Tutahukumiwa so no need to insult him 😥🥺but I'm really shocked to hear those things😆😆😆

  • @avuniwatwiga4852
    @avuniwatwiga4852 ปีที่แล้ว

    Amina

    • @rabiawaziri2525
      @rabiawaziri2525 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣😃😃😃😃😃😅😅😅👌❤❤

    • @ombyombeni
      @ombyombeni ปีที่แล้ว +1

      👏👏👏👏👏👏👏👏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌❤️❤️❤️♥️

  • @chantalingabire7001
    @chantalingabire7001 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @teddyjohn7054
    @teddyjohn7054 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

    • @patrickbisimwa4067
      @patrickbisimwa4067 ปีที่แล้ว

      Amen amen !

    • @jocyceisack840
      @jocyceisack840 ปีที่แล้ว +1

      Pole Sana, na Mungu akusaidie Sana, maana unakwenda kuutimiza unabii ulio tabiliwa katika, mathayo24,, asome na afahamu maneno ya kitabu hiki,, Mungu ametupa ufahamu na tu some wenyewe, Mungu atusaidie tusiwe ni watu wa kuburuzwa,, tunaangamia kwa kukosa maarifa,,

    • @raiyaomary1988
      @raiyaomary1988 ปีที่แล้ว

      Amen mchungaji nakukubari