GeorDavie Maarifa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2020
  • Nifuatilie kwenye mitandao yangu ya kijamii ili uweze kupata habari zote kwa haraka zaidi. Usisahau kusubscribe na kulike video zangu!!
    ☞ Facebook: / geordaviemaarifa
    ☞ Instagram: / geordavie_maarifa
    ☞ Twitter: geordavie?s=21

ความคิดเห็น • 13

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 9 หลายเดือนก่อน

    Ebaa Mungu hakuongeezee maarifa na nguvu juu yko kwaibada na jinsi unavyoguswa na jamii kubwa iliyombele yako.

  • @richardmollely2933
    @richardmollely2933 2 ปีที่แล้ว

    Shallom shallom shallom nabii mkuu wear ndiye sauti ya mungu hapa duniani natamani unitamkia mimi mchungaji lakini huduma tangy ipingwa sana sikui miaka mungu Sasa naitaji maarifa kwa nabii mkuu AMEN

  • @chachamnanka7964
    @chachamnanka7964 2 ปีที่แล้ว

    Hakika ww ni mungu baba angu xijawai kuona mtu Kama ww mwenye roho nzur kama.ww🙏🙏🙏

  • @doctormalikitibazamitisham8903
    @doctormalikitibazamitisham8903 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha malefu baba wa taifa joo dev

  • @mimonancy7373
    @mimonancy7373 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahiji hiyo maarifa baba wetu enzi hii yataka ushauri kwa sisi vijana

  • @simiyioninkwaya9291
    @simiyioninkwaya9291 ปีที่แล้ว

    Mugu akubaliki

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 9 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba namba yko yko siku niweze kushiriki ibada na wewe Baba.asante Mungu Kwa kumleta Baba anayeguswa na matatizo ya waumini wote bila kuangalia anatoka dini gani.

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @elizabethawindi995
    @elizabethawindi995 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations

  • @simiyioninkwaya9291
    @simiyioninkwaya9291 ปีที่แล้ว

    Hey pasita Emmanuel naba nabayako

  • @oletopoylaizer7949
    @oletopoylaizer7949 ปีที่แล้ว

    Ee baba Geordevv nataka usaidizi kwako baba kwa imani nilionae naomba usaidizi kwako maana katika maisha yangu aitezeka sana mimi ni mtanzania nimetoka sehemu ya Ngorongoro nikaenda nchi ya nchi kuitafutia family maisha mazuri na ninaona naitezeka sana naomba usaidizi kwako nipo kwa Nchi jirani ya Uganda kupambana na hali kiuchumi iliopo katika maishani mwetu nakuomba kwa unyenyekevu mkubwa usaidizi kutoka kwako Geordevv?

  • @mazoenyongo1479
    @mazoenyongo1479 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ninashida nisaidie nakuomba

  • @speciozaossio5000
    @speciozaossio5000 ปีที่แล้ว

    Mwenye namba ya pasta naomba anisaidie