HAJI MANARA AMUWASHIA MOTO DIAMOND NA OMMY DIMPOZ MBELE YA WAZIRI MAVUNDE / NAOMBENI HELA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 83

  • @Jay_reelx
    @Jay_reelx 11 หลายเดือนก่อน +23

    ZAY ASHUKURU AKUTANISHWA NA WATU AMBAO HAJAWAI FIKIRIA KUKUTANANAO VIA MANARA FAMES

  • @SimonSamweli-v6u
    @SimonSamweli-v6u 11 หลายเดือนก่อน +5

    Miamba miwili katika kuiwakilisha kigoma❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ommy dimpoz nikitambo sijakuona Mungu akupe maisha marefu bro❤

  • @ShadiyaCute-lq2gk
    @ShadiyaCute-lq2gk 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kikubwa Dua adui ni mnafiki siku zote kwenye mafanikio ya watu wapambanaji na wajitambuwao kwenye life😘

  • @InnocentCherryDumplings-rg1tj
    @InnocentCherryDumplings-rg1tj 11 หลายเดือนก่อน +35

    Nafurahiya kumuona ommy dimpoz n'a Simba mumetokambali musiwape nafasi madui

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 11 หลายเดือนก่อน +3

    Eeee anataka hela 😅😅😅😅😅😅kachangamka jamani ufanye mambo utegemee watu wa toe pesa pambana

  • @sihamnjagi
    @sihamnjagi 11 หลายเดือนก่อน +7

    @3:22 diamond alivyomuangalia Aaliyah sasa na akaramba lips ❤

    • @JamilaHauzigwa
      @JamilaHauzigwa 11 หลายเดือนก่อน

      Kumbe umeona km mimi

  • @ExseviaSamwel
    @ExseviaSamwel 11 หลายเดือนก่อน +4

    👍👍👍👍👍👍i appreciate you, my brother Mc Garra b🙌🙌

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hahahhaahhaaaa Haji manara anajua kuwanyoosha kila siku mnamchangia ndoa yake

  • @omarali797
    @omarali797 11 หลายเดือนก่อน +5

    Anaishi Kwa michango ya harusi

  • @RogerWilly-q3u
    @RogerWilly-q3u 11 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba niulize saiv dulla hali yake inaendeleaje

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tupo kwenye banda la video na dulla makabila tunaangalia ujinga wao dulla anasema eti hawatafika mbali wataachana

  • @zazalareine257
    @zazalareine257 11 หลายเดือนก่อน +1

    Simba kama simba 🎉🎉🎉umetisha❤❤❤

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna kitu sipend kwenye shughuli yangu kama ahadi za viwanja kwan nani amekuambia mm nataka kiwanja huko uza hicho kiwanja njoo na mzigo unajuaje kama nina madeni katka kuandaa shughuli

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 11 หลายเดือนก่อน +4

    Manara na mondi ni marafiki bana

  • @zuhuraMangapi
    @zuhuraMangapi 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mond suti aimtoshi ama maana eeeh kila mda anapandisha juu

    • @Samueldavics
      @Samueldavics 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 11 หลายเดือนก่อน +6

    Sema wazazi wa hili zee ovyo Wana moyo sana kuvumilia matukio yake

    • @theblessedone7526
      @theblessedone7526 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 11 หลายเดือนก่อน

      Manara Mtundu Sana... 😂😂😂

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 11 หลายเดือนก่อน

      maisha ni yako

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 11 หลายเดือนก่อน +5

    Haji unajua kudai kutuzwa cash wanaahidi viwanja wakati kikapo kinaka cashmoney🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 11 หลายเดือนก่อน

    Haji Hana Aya! Mungu sijui utajibu Nini,sababu za kuvunja ndoa Mara kwa Mara,Mimi so support katika hili,kwa haji umekuwa!

    • @isaackambofi1241
      @isaackambofi1241 11 หลายเดือนก่อน +2

      Hayakuhusu fanya yako au fungua kituo Cha ushauri

    • @mbanga6759
      @mbanga6759 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@isaackambofi1241umenifurahisha Sana anakiherehere

    • @erycah
      @erycah 11 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana sisi binadamu hatujawa Mungu. Ya Mungu tumuachie Mungu. Hakuna aliye mkamilifu.

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yes Hadji Manara

  • @MussaNasri
    @MussaNasri 11 หลายเดือนก่อน +2

    Unaweza Kuta akili ya zai ipo
    Kwa m2 wa pembeni mwenye nguo nyekundu ana waza ipo siku ata muweka mikononi😅😅😅😅😅

  • @IreneIsack-qp9ns
    @IreneIsack-qp9ns 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ila uyu manala

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kila siku unaoa haji,jitahidi hii ndoa na zaylisa idumu ata Mia kumi zaidi,usitumie kigezo Cha uislam kuoa na kuacha!

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 11 หลายเดือนก่อน

      Broo...kuoa na kuacha vyote vipo na vitafanya kazi iwapo vitafika muda wake.
      Kuoa kwa muislam ni Nusu ya Dini.
      Na ikibidi kuachana Uislam unatutaka kuachana kwa Wema tu.
      Kwa iyo Uislam haukuja kuwapa watu mateso...
      Na huyo haji hapo hajafanya hata moja linalokubalika kwenye mafundisho ya Uislam....
      Ni muislam lkn hajitambui na ameghafilika kuyaendea matamanio ya kilimwengu tu basi ...
      Mwenyezi Mungu Amuonyeshe Haki na aweze kuifuata ,Na Amuonyeshe Batili aweze kuiepuka.

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 11 หลายเดือนก่อน +5

    Tunasubiri yaa DIOMOND kwa hamu harusi

  • @uwasesifa7563
    @uwasesifa7563 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna ndoa hapo ni kiki tu

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 11 หลายเดือนก่อน

    Shekhe haji nikukumbushe tuka baadhi ya wanawake wapo kama nywele kuhamia hama sasa Simba hilo jicho Kwa shemejio linanipa shaka usije ukamuhamishia madale teiga huyoo jamani.

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo suti Diamond hajavaa mkanda😅

  • @lysandrasalv2908
    @lysandrasalv2908 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh cjapenda hawajamtunza 💔 haji hadi kasema lkn wapi tabia mbaya afu ommy amefanya hadi mondi asitoe hela wkt alikuwa ameshaanza kujishika mifuko

    • @josephmonko8162
      @josephmonko8162 11 หลายเดือนก่อน

      Rq

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 11 หลายเดือนก่อน

      Watu Wamemchoka na Sherehe za wanawake kilamara

  • @Wsdddjsssnd
    @Wsdddjsssnd 11 หลายเดือนก่อน +2

    Haji alitegemea ma cash yajae kama wanavyomwaga hela leo cjui imekuajw😂😂😂kweli hali ngumu

    • @Wsdddjsssnd
      @Wsdddjsssnd 11 หลายเดือนก่อน

      @user-nn5sq8ol4g ndo sasa alitegemea ma cash Ili arudishe Gharama unadhn kwnn kaalika ma 🌟

  • @jumapee711
    @jumapee711 11 หลายเดือนก่อน

    Dulla kausha mwamba siunajua Sweta chakavu ndio dekio jipya

  • @marckmark2738
    @marckmark2738 11 หลายเดือนก่อน

    Ivi uyu Manara si ndo alikua anamtambulisha dulla kwenye vilabu vya mpira

  • @oyay2821
    @oyay2821 11 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 11 หลายเดือนก่อน +1

    Haji aki muona dai ana pata muhaho hapo mwisho wengine wanamwita hata hawasikii kweli!😢

    • @movie_zone254
      @movie_zone254 11 หลายเดือนก่อน

      Hadi aibu kwanza kwa Ommy

  • @KakaFondo-dy9tl
    @KakaFondo-dy9tl 10 หลายเดือนก่อน

    nice

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 11 หลายเดือนก่อน +2

    Aaaaaaa 😅😅😅 unamuona xanavbe n wekna mond a dulaa lazma alkeluke Kama mhalage

  • @ekkymumba8566
    @ekkymumba8566 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kumbe amsiriazi😂😂

  • @NeemaAthanazi
    @NeemaAthanazi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi konde Yuko wapi

  • @essah___
    @essah___ 11 หลายเดือนก่อน +1

    Zee la hovyo kabisa

  • @modsdickson1671
    @modsdickson1671 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwanamke mwizi jamn

  • @SesiliaSamwelkamau
    @SesiliaSamwelkamau 11 หลายเดือนก่อน

    me nafurahi kumuona diamond na ommy wakipatana tena kwa furaha jmn tusiwaruhusu maadui watugombanishe

  • @salehnassor3114
    @salehnassor3114 11 หลายเดือนก่อน +11

    Masikini wanahangaika ila serikali inagawa viwanja kwa mambo ya kijinga na yasiokuwa ya maana

    • @JuliusAman-we5bw
      @JuliusAman-we5bw 11 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka kwasauti😂😂😂

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 11 หลายเดือนก่อน

      Utaumwa roho bure mwisho ufe mapema😳tuachie Buhgati wetu

    • @DullhFeyy
      @DullhFeyy 11 หลายเดือนก่อน

      Alie pewa kapewa tu ndugu yangu

  • @mwanabayadola5476
    @mwanabayadola5476 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hvi viwanja uwa n kweli au uongo 😅

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 11 หลายเดือนก่อน +2

    Viwanja vya wnanchi mnatowa zawadi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani manara fujo yote hiyo ya kutangaza uchafu wako toka mwanzo huna nyumba? Mama samia huyu mwehu kesho ataleta mwanamke mwingine umpe uwanja wa taifa ajenge humo

    • @mbanga6759
      @mbanga6759 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiwa nayo wewe imetosha wewe ndo mwehu kulalamika Jambo so lako

  • @SaumuYasini-mb6fd
    @SaumuYasini-mb6fd 11 หลายเดือนก่อน

    Wao mmependeza baraa

  • @john_1trader
    @john_1trader 11 หลายเดือนก่อน

    Mpeni diamondi mike 😂

  • @vumiliamadoshada4218
    @vumiliamadoshada4218 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mchango wa mchongo 😂

  • @user-mi9ze6gb7e
    @user-mi9ze6gb7e 11 หลายเดือนก่อน

    saw

  • @MaombiBosco-mn4ro
    @MaombiBosco-mn4ro 11 หลายเดือนก่อน

    Nisha vuka ukooo aawa mondiii

  • @boneyme9433
    @boneyme9433 11 หลายเดือนก่อน +1

    WORD

  • @dianarosekaugira5608
    @dianarosekaugira5608 11 หลายเดือนก่อน

    yani mavunde ndio kafanania na zaylisa

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 11 หลายเดือนก่อน

    Mana umeamua kudai chako

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @gracyanygracy5088
    @gracyanygracy5088 11 หลายเดือนก่อน

    Hizi pesa munatoa wapi si mungezichukuwa mukasaidiya watu kweli

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wametafyta

  • @hbr254tv
    @hbr254tv 11 หลายเดือนก่อน

    OSTAZ JUMA AMVAA HAJI MANARA th-cam.com/video/EvD5gVsUkIw/w-d-xo.html

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi yenu uzinifuuuuuuuuuuu tuuuuu basiii

  • @nasrachambo1592
    @nasrachambo1592 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂