DIAMOND PLATINUMZ AOMBA HAJI MANARA AFUNGULIWE NA TFF AULIZA KWANI AMEKOSEA NINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 661

  • @InsideBest25k
    @InsideBest25k 11 หลายเดือนก่อน +23

    chemistry between diamond and haji ...blood moja

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 11 หลายเดือนก่อน +37

    HAUJUI‼️🦁..Ni Simba Na Manara Dangote🎉

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 11 หลายเดือนก่อน +28

    Amisa na nandi 😂sio vizur jaman mbona mne pendeza sana kumzidi mke wa mtu jaman amisa🎉🎉🎉🎉🎉 nandy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mme tisha sana jamanalie kubali mavazi ya hao watu tujuane

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 11 หลายเดือนก่อน +14

    Simbaa na manara blood moja❤ udugu ni kufaana kweli simba umeongea❤

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 11 หลายเดือนก่อน +19

    Hamisa Shikamoo ❤❤

  • @InnocentCherryDumplings-rg1tj
    @InnocentCherryDumplings-rg1tj 11 หลายเดือนก่อน +18

    Kbs mod na manara wanapendanasana Allah awazidishiye mapenzi

    • @uwasesifa7563
      @uwasesifa7563 11 หลายเดือนก่อน

      Wenye Tabia moja wanapendana sio shida.

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 11 หลายเดือนก่อน +39

    Kusema ukweli ukimwangalia Haji Manara akili kubwa sana!

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 11 หลายเดือนก่อน +13

    Hongera Kaka haji❤❤❤❤

  • @HappyCupcakes-eo8fd
    @HappyCupcakes-eo8fd 11 หลายเดือนก่อน +6

    Diamond mungu akupe uhai mrefu,upendi unafki umefunguka kiukweli manara ni jembe haswa

  • @mrsab303
    @mrsab303 11 หลายเดือนก่อน +19

    Thank diamond ❤❤❤

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 11 หลายเดือนก่อน +144

    Uislamu Tanzania UNASOROTEKA🇰🇪🇰🇪🇸🇴🇸🇴

    • @IloveIslam-v1y
      @IloveIslam-v1y 11 หลายเดือนก่อน +13

      Kweli kabisa kakaangu huko kusherekea birthday muislamu mzima Bora hiyo pesa angeipeleka kwenye vituko vya mayatima

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 11 หลายเดือนก่อน +20

      Mkiwa na njaa mnawaza mengi

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 11 หลายเดือนก่อน +11

      Utamaduni wako usilazimishe kwa wengine, na wewe fuata utamaduni wa kiafrika basi tuone

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 11 หลายเดือนก่อน +7

      ​@@ladislausngoyinde4384Hata uwo utamadini wa kiafrika Kwa waislamu haifai kusherekea birthday kama Ivo, labda uwe utamadini wakiafrika Kwa wakristo TU.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 11 หลายเดือนก่อน

      ungemwambia tu kuwa hii ni biashara na Hajj anajibrand lakin kwa ngoma za kiafrica kila mtu anacheza popote pale anapoisikia ili mladi iwe ni ya Mila yake lazima imguse moyo ​@@ladislausngoyinde4384

  • @ramadhanbigirimana2617
    @ramadhanbigirimana2617 11 หลายเดือนก่อน +15

    I'm verry verry suport this of mondi saying truth, of Manara

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 11 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂andika kwa lugha ya kiswahili tafadhari

    • @introverthustler
      @introverthustler 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@nancyg8664 ni kivumbiii 😂 😂 😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 11 หลายเดือนก่อน

      @@introverthustler 🤣🤣

    • @emmanuelgwaay4773
      @emmanuelgwaay4773 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nancyg8664😂😂😂😂......
      Tumvumilie, practice makes perfect!!

    • @OscarDzombo
      @OscarDzombo 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂daah kilikuja na Meli kweli bt ungeandika tu kiswahili ndugu

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 11 หลายเดือนก่อน +9

    Bugati ni mmoja tu, bugati baba lao, mondi baba lao🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💚💚🇹🇿🇹🇿

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 11 หลายเดือนก่อน +31

    Kweli sisi wote wa kongomani tuliopo apa marekani tumependa mpira wa Tanzania 🇹🇿 kwajili ya BUGATTI AJI MANARA lakini wa Tanzania mnawivu sasa

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mtovu wa nidhami sio suala la wivu kama mnampenda mwambieni aache lopolopo

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@taseleli9181utovu wanidhamu upi unaoweza kumfungia mtu miaka yote hii?? Tumia akili

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 11 หลายเดือนก่อน

      Umeonaa eeeee Wana wivu Wana roho mbaya wavivu wao wamekalia midomo juuuuuu tu 😳

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu awalinde

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 11 หลายเดือนก่อน

      Sana sisi washamba

  • @digoMastar-zf4ji
    @digoMastar-zf4ji 11 หลายเดือนก่อน +8

    Safi sana dangote umempa ukweli haji hiyo yamwisho mtoto Gani wakiisilamu anaoa Kila kukicha😂😂mondi safi sana

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 11 หลายเดือนก่อน +20

    Hili ndo vaz ambalo Tanzania hii halijawah tokea kuvaliwa😂😂😂😂😂😂😂ila haji sifa zitakuua,wakat hapo hamisa kamzid had bibi harus Kwa kupendeza😅😅

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 11 หลายเดือนก่อน +6

    Tim zailisa mpooooo❤❤❤❤❤

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 11 หลายเดือนก่อน +13

    Haji manara ni muislamu wa ajabu sana muogope mungu huwo ni ukafiri unoufanya hapo mungu anakuona na aibu anatutia waislamu wawahi uchafu uchafu uchafu.

    • @emmanueldavid9506
      @emmanueldavid9506 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe baki na uisilamu wako

    • @emmanueldavid9506
      @emmanueldavid9506 11 หลายเดือนก่อน +1

      Achana na maisha ya mtu/watu

    • @sabeenamshana1043
      @sabeenamshana1043 11 หลายเดือนก่อน +3

      Ukiwa maskini na akili Yako inakusaliti

    • @Gml-wi5nv
      @Gml-wi5nv 11 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@sabeenamshana1043Bora umesema 😂

    • @issawamba6233
      @issawamba6233 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kama kweli wewe ungelikuwa unanijari dini ya kiislamu hakika hata hiyo video au shughuli ya manara usingeifuatilia.

  • @InnocentCherryDumplings-rg1tj
    @InnocentCherryDumplings-rg1tj 11 หลายเดือนก่อน +7

    Wallah na mimi kusema nijuwe mupira wa tanzania niju ya hajji kbs

  • @JoyceKikome
    @JoyceKikome 11 หลายเดือนก่อน +10

    NILIJUA TU N BABA LEO NA MWIJAKU WANAPIGA MAKELELE😢

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 11 หลายเดือนก่อน +39

    Wanawake wa mondi ni wengi snaaa apo😂😂😂mnaulizia zuchu zuchu wa nn

    • @singasinga2663
      @singasinga2663 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahaaja sema Umeongea Kweli Mwanetu

    • @Callkingb
      @Callkingb 11 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 11 หลายเดือนก่อน +2

      Zuchu Ka fichwa!!!! Kahifaziwa......yeye ndie Bibi harusi wa Africa!!!!!!!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 หลายเดือนก่อน

      Hahaha lini? ​@@BarbaraPatience-qt9cc

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hao michepuko mke ni Zuuuu

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 11 หลายเดือนก่อน +8

    Hamisaaa wanguuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤KIBOKO YA WASANII WAKIKE. MISAAAAAAA MSHONO NA NGUO. LUV U MISAAAAAAA. Full kujiamin. Kajua KUWAFUNIKAAA. wake wamond wotee😂😂😂😂😂

    • @pendochimammy5013
      @pendochimammy5013 11 หลายเดือนก่อน

      Kabisa Hamissa kiboko ya wote nampenda sana ❤❤❤❤

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 11 หลายเดือนก่อน +15

    Mupitie na kwangu wapenzi ❤

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 11 หลายเดือนก่อน +11

    Zombi wewe ndio unajua kuongea❤😂

  • @PhinaGeorge-o5m
    @PhinaGeorge-o5m 11 หลายเดือนก่อน +22

    Umeongea point

  • @Wsdddjsssnd
    @Wsdddjsssnd 11 หลายเดือนก่อน +1

    Oyoooooo simba la masimba dangote ❤❤❤kiukweli haji afunguliwe jmn mm nmeupenda mpira kupitia manara ❤❤

  • @KapondaZenaida-g3z
    @KapondaZenaida-g3z 11 หลายเดือนก่อน +15

    Elbugat 🔥🔥🔥

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 11 หลายเดือนก่อน +2

    Congrats Kwenu Semaji Na Zay Kwa Hatuwa Hiyo Mungu Awe Nanyiii🎉🎉🎉🎉

  • @mugaboemmanuel2468
    @mugaboemmanuel2468 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupenda kutoka Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @redtk2971
    @redtk2971 11 หลายเดือนก่อน +5

    Napenda kuwashukru na kuwapongeza wote wazee wa comment session kwa kweli mnanichangamsha mimi mitandao hadi mama kizimkazi anawaelewa😂😅

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 11 หลายเดือนก่อน +7

    Ukweli umeongelewa Asante sana Diamond, Haji afunguliwe

  • @hawanaiye-pt6xv
    @hawanaiye-pt6xv 11 หลายเดือนก่อน +12

    Point mond

  • @mkamimtatiro3449
    @mkamimtatiro3449 11 หลายเดือนก่อน +9

    Point gani mwambie aache kuropoka ni mwanamichezo mzuri ila asiwe anapitiliza na yeye mmwambie ukweli

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani kosa gani kama hilo umewahi kusikia linaadhibiwa miaka kama ya mbakaji??

  • @VeronicaElia-n1d
    @VeronicaElia-n1d 11 หลายเดือนก่อน +7

    Nimejikuta nalia mie,jmn tunawaomba mludixheni manara wetu

  • @Nyangindu
    @Nyangindu 11 หลายเดือนก่อน +29

    Diamond umeongea pont sana afunguliwe

    • @simbascdailysimbasctanzani2835
      @simbascdailysimbasctanzani2835 11 หลายเดือนก่อน

      Mna gongwa nyie

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 11 หลายเดือนก่อน

      Ametumwa na manara amuombee manake Diomond hanaga mambo ya mpira. Mwache kwanza Adange

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mumewangu😅😅

  • @ShadiyaCute-lq2gk
    @ShadiyaCute-lq2gk 11 หลายเดือนก่อน

    Brother diamond umeongea ukweliiiiiii🤝 kabisa yaniiii nakupenda bureee kaka yangu ngote na haji na wifi zaylisa💋❤️🔥✅

  • @idrisamasatu8760
    @idrisamasatu8760 11 หลายเดือนก่อน +8

    👏👏👏👏ukosaiiii sanaaaa❤❤❤❤

    • @tiktokTviral
      @tiktokTviral 11 หลายเดือนก่อน

      He so awesome diamond speaks reality

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera sana aji Asante sana diamond

  • @InsideBest25k
    @InsideBest25k 11 หลายเดือนก่อน +1

    Madada wawili wamependeza sana ...Maa shaa Allah !Zailissa mrembo Maa shaa Allah!

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 11 หลายเดือนก่อน +12

    Dah,Hamisa kapendeza zaidi kuliko mwali wetu,Yani kuliko chochote ❤

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 11 หลายเดือนก่อน +1

      Yani anawaka vibaya

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 11 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

    • @judithkatabaro3294
      @judithkatabaro3294 11 หลายเดือนก่อน

      Hahahhahahah nimetoka kukoment ivyo ivy😂😂😂hamisa hana mpango mzuri kabisa hamisa uyumqenye nyeusi nilijua nandy

    • @ChristinaOnditi-el3xo
      @ChristinaOnditi-el3xo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Na sio Hamisa tu hata aunt Ezekiel na wengine wengi,Ile promo ya manara,asicheze na watoto wa mjini hata uoya kinyama sana, zai kaua Kwa gauni la kwanza tu,lkn Hilo la pili hapana👁️ sijapenda,mi naenda nyumbani kula chapati na marage😡

    • @faudhaidd2978
      @faudhaidd2978 11 หลายเดือนก่อน

      Misa anaalikika buan❤

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mama ake haji kamdekeza sana haji ndio maana analana yakuoa kuacha tuache malezi yakijinga kwawatoto

  • @BilomoDigital
    @BilomoDigital 11 หลายเดือนก่อน +18

    Hata mm inaniumaa sanaaa wamrudishe manara wetu yanga ili tuwakere zaidii

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 11 หลายเดือนก่อน

      NDIOOO_🤦🏿‍♀️

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 11 หลายเดือนก่อน +1

      Asuburi muda wa kifungo chake uishe

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@taseleli9181fala wew

  • @HildaNgowo-v7o
    @HildaNgowo-v7o 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kwenu mmejua kupendeza

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hamisa umeua sherehe ya wenzio😂😂😂

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 11 หลายเดือนก่อน +5

    Duuh..Hamisa tabia mbaya kumfunika bi Harusi😂😂😂

  • @IbrahimNtirenganya
    @IbrahimNtirenganya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wahuni fanyeni Tawuba hii Dunia mtaiacha

  • @user-gb3fk1yt8n
    @user-gb3fk1yt8n 11 หลายเดือนก่อน +8

    Maashaallah

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 11 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢 mavazi mengine mtihani hamisha anakusanya uchafu wote wa chini yani kama dekio shida kweli

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 11 หลายเดือนก่อน +1

    Simba ni mfano wa kuigwa sana❤❤❤🎉🎉🎉

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kuna wakati unaona wanasiasa nao ni machawa wa wafanyabiashara na matajiri

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sijuwi ni lini nitapata baati ya kumuona Hamisa live❤❤

    • @PhilemonPaulo
      @PhilemonPaulo 11 หลายเดือนก่อน

      Nitakuunganisha nae muongee

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 11 หลายเดือนก่อน +3

    Zay has got attitudes

  • @abdallahajiomari9525
    @abdallahajiomari9525 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hy daimond ninani yy na haji wote wanakosea uslamu maisha gn hy ya kujionesha mbele za watu

    • @Sangaadam
      @Sangaadam 11 หลายเดือนก่อน

      Mind your own business Bro,Mbinguni kila mtu anaenda kivyake..... Sasa huku umefata nn?

  • @suleydamour4059
    @suleydamour4059 11 หลายเดือนก่อน +3

    Free manara free manara ❤❤❤❤❤❤

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 11 หลายเดือนก่อน +5

    Haji asifunguliwe napiga duwa kila cku adhabu iongezeke anakeraaa sanaa

  • @AkidaNzambah
    @AkidaNzambah 11 หลายเดือนก่อน +2

    NI KWELI USENAYO,,LKN HAO SIO WAWAKILISHI WETU WA UISLAAM,,PIA UNA MAANA YA KUZOROTA AU,,

  • @Chizoofficial
    @Chizoofficial 11 หลายเดือนก่อน +9

    BUGATI BUGATTI BUGATTI 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 11 หลายเดือนก่อน +7

    Haji hamia zako Kenya tu Kenya hawana baya tz husda Sana 🤴🦁

    • @ايتيتووينويو
      @ايتيتووينويو 11 หลายเดือนก่อน

      Hakuna nchi inayokosa watu wenye husda wacha kujiona m,bora kuliko wengine

  • @NeemaJumanne-h5d
    @NeemaJumanne-h5d 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa kusanyikeni huko alaf kwenye harusi yangu msije kisa mimi sina pesa ntawashtaki kwa mama samia😂😂😂

  • @mwazaynbntymfaume
    @mwazaynbntymfaume 11 หลายเดือนก่อน +3

    🦁mbona umekimbia swaliii😂😂

  • @SamuelMwangu-t5h
    @SamuelMwangu-t5h 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nahuhakika mond kashakula huyu demu😂😂😂

    • @XerinLogistics
      @XerinLogistics 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo akili yako ilipofikia mwisho wa kufikir hiv unamiak mingap maan uwag unàndikaga ujing,mbon husemi kama diamond amekukula na wew

  • @allytv1714
    @allytv1714 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mpira haupo ivo nasibu na mpira kila siku unakuwa kwa kasi kuliko at mziki manara siyo kama wamemfungia wamemuondoa kbx kwenye mpira cz alipokuwa anaelekea ni kisababisha at ligi kufungiwa tatizo mdomo ajiongeze tyuu hajafungiwa amefukuzwa kwenye boli kbc

  • @victoriapendo1730
    @victoriapendo1730 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisaa ❤

  • @Dotto-hp3qf
    @Dotto-hp3qf 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli ni unyama gani..mimi ni wa kwanza kuwa kipaumbele ktk mpira baada ya kufuatilia mbwembwe za haji..alinishawishi nikazama kwenye team yangu..nilichovya mguu tu kuwa alama ya team ila sikuwa in deep..ila Manara alinifanya niwe indeep mpaka page yangu ya fb..napost habari za mpira kuhusu team yangu..yote haya ni ushawishi wa haji na mbwembwe zake.

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 11 หลายเดือนก่อน +3

    Diamond on point😍👍👍

  • @godtarimo8848
    @godtarimo8848 11 หลายเดือนก่อน +2

    hiyo ni sawa kusamehewa lakini je HAJI MWENYEWE HALISHAWAI KUOMBA SAMAHANI KWAO ?

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 11 หลายเดือนก่อน +3

    Microphone nmeeka base kubwa👂

  • @BongoPlatformTv
    @BongoPlatformTv 11 หลายเดือนก่อน +8

    Hamissa kavaa kigodoro😂😂😂

    • @munirahassan5969
      @munirahassan5969 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe pia vaa kama rais

    • @josephfrank4446
      @josephfrank4446 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hamisa ana shep wewe sio kigodoro

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephfrank4446Kavae na wewe mwanaume umejuaje kama na wewe umo humo humo?

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 11 หลายเดือนก่อน

    nihuyu huyu manara mtoto wa kisram aliesoma dini nakuijua leo yuko hatua hiii mungu akusameh kwa kosa la kuimbatia Dunia

  • @marikwilliam9886
    @marikwilliam9886 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisa ni dada wa manara😊

  • @HassanSadiki-l5c
    @HassanSadiki-l5c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wote hao...wanasema ni Waislam....Haji M..Na Nasib A....Badilikeni jaman uislam hauendi na hamasa Bali ni kw maadili na taratibu....Mnatuabisha

  • @ClementinaMaputa
    @ClementinaMaputa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamàn Raha sana

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli usemwe tu kosa gani Manara kalifanya hadi kufungiwa miaka yote hii?? Sio poa kabisa mtu anafungiwa kama MBAKAJI?? jamani

  • @mrabsheba5153
    @mrabsheba5153 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna uislam Tanzania 💯

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 11 หลายเดือนก่อน

      Kwan huyo haji ni nan mpaka uislam usiwepo?

  • @pahesalmakai6005
    @pahesalmakai6005 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kwanni kwenye nyumba zaibda watu hawawiwengi kama hivi 😢😢😢

  • @oscarmwailubi5078
    @oscarmwailubi5078 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni Moja ya watu ambayo kiukweli DIAMOND Huwa simpendi kiivileee! Sijui kwa kwakuwa Huwa simfuatilii sana, lkn kwa hili la manara kufunguliwa kaongea ukweli mtupu , hata Mimi nimeanza kufuatilia mpira kwa sababu ya MANARA

  • @AshaShaban-n9e
    @AshaShaban-n9e 11 หลายเดือนก่อน +9

    Bonge la pat yani naapo bado harusi

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hyo engagement hyo inaoneshwa live,ehe wht next

  • @lm6373
    @lm6373 11 หลายเดือนก่อน +2

    Husema sana mpaka inakuwa hovwoo

  • @mikestuner9206
    @mikestuner9206 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona kama misa kakataa mkono wa manara hvi then mwamba akazuga 😅😂😂😂

  • @FatmaLyego
    @FatmaLyego 11 หลายเดือนก่อน +14

    Diamond umeongea hakika Mungu akutunze

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna maskin wanakufa kwa njaa tunamaswali mbele ya ALLAH cjui tutajibu nini ALLAH atunusuru

  • @DanTata-cy7uc
    @DanTata-cy7uc 11 หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea sana simba lamasimba dangote

  • @leonidamachuru5960
    @leonidamachuru5960 11 หลายเดือนก่อน +10

    Watanzania kila siku Raha na mtu akija uko mko nyuma kimaisha.Inua vijana kutoka kwa umasikini

    • @EmJesho
      @EmJesho 11 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah

  • @JosephMoseti-sv8zy
    @JosephMoseti-sv8zy 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kweli

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi jamani tokea lini TANZANIA ikaitwa ULAYA, hebu punguzeni UMALAYA na kujifananisha na wazungu. Punguzeni shobo na kupotosha watu. Hakuna sherehe ya pete katika uislam bali kuna ndoa na sio kwenda uchi

  • @willyngume1445
    @willyngume1445 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kbs

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 10 หลายเดือนก่อน

    Aise braza Haji Manara kiukwel ww ni bonge la mbunifu Sana nimetaza jinsi ambavyo mtangazaji wa T.V yko anavyoongea kifaransa aise hii SF sna coz watangazaj wengi wa TZ wanaingia lugha moja vzr na yapili which is kingereza wa chapia sna!! Sasa kwa ww kuwa na mtangazaji anae zungumza kifaransa hyo nifaida kubwa sna nanifundisho kubwa sna kwa media nyingine hongera sna aise

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wale wazee wa I'm proud to be a Muslim tujuane.

    • @ElizabethSichalwe
      @ElizabethSichalwe 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 11 หลายเดือนก่อน

      Mmh ni kila mtu ataenda kuulizwa juu ya matendo yake kwaivyo ukae ukijua waislam wote hatuko kama ivo ni wajinga wachache tu ndo wamekua mashetani Allahumma awaongoze kwenye kheri Inshaallah

    • @msafirimiracle6613
      @msafirimiracle6613 11 หลายเดือนก่อน

      @@hanifa9153 oooh!sisi CCWC tunaonaga pale matendo yakifanywa na wanaojulikana wakristo" I'm proud to be Muslim"kwa hiyo tunawakumbusha tu,wanajijua na chama chetu Cha wasoma coment tunawajua

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi na wa oneya uruma wanawake wa islamu 😢😢kwa sasa muke mukubwa yuko na hali ngani?ama na yeye yuko kwenye serehe?😢😢😢😢😢😢

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 11 หลายเดือนก่อน

    Sema sound ilikuwa mbovu sana

  • @nashonikazabukeye5259
    @nashonikazabukeye5259 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hamisa ume mbagua Haj manara hujampatia mkono

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 11 หลายเดือนก่อน +1

    Abu farah uko sahihi

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 11 หลายเดือนก่อน +4

    Makolo hawatamani Bugatti afunguliwe na tff😂😂😂

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 11 หลายเดือนก่อน

      Akifunguliwa Tu Tunamfungia tena mpaka Karia aondoke Madarakani

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 11 หลายเดือนก่อน

      wee kenge usiingilie Mamlaka za watu kwa utashi wako au umetumwa?

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 11 หลายเดือนก่อน

      Haya chura 😂

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 11 หลายเดือนก่อน

    Mm Naomba TFF waongeze mda wa kumfungia Haji manara hata Miaka 40

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 11 หลายเดือนก่อน

    Zombi hupo makini❤

  • @AminaKhamis-y3j
    @AminaKhamis-y3j 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ukiskia mtu anakufa akiwa bd anapumuwa bs mwaka huu dula vumilia usijal dunia tu tutaiyacha

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 11 หลายเดือนก่อน +1

    Manara anabahati kuwa na mkingiya kifua amnae ni Mondi 🎉

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 11 หลายเดือนก่อน +2

    Uuu kmbiii nomaaa