Bella Kombo - Umenibadilisha (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 116

  • @lauralkinyaha
    @lauralkinyaha 4 ปีที่แล้ว +4

    His grace is sufficient for ME. Therefore I will boast all the more gladly about my weaknesses, so that Christ’s power may rest on me

  • @godfreyngogo3447
    @godfreyngogo3447 6 ปีที่แล้ว +1

    Mung azidi kukuinua.nafurahi na nafarijika sana.watu wanaponywa nafsi kupitia wimbo na unawahimiza kuwa n'a moyo wa shukurani

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 3 ปีที่แล้ว

    Tunamshukuru Mungu kwa Wema wake Katika Maisha hata pale tunapopoteza njia Bado yuko nasi ama kwa hakika tunapaswa kuja kwake kwa moyo wa shukurani

  • @epopro2652
    @epopro2652 6 ปีที่แล้ว +6

    Hakika ni wakati wangu, asante kwa wimbo mzuri dada. From your first wimbo mpk leo nazidi kukuelewa, jtahidi tu kuutunza wokovu wako utafika mbali.

  • @bettyprosper8911
    @bettyprosper8911 6 ปีที่แล้ว

    Kwl Bwana kakubadilisha i just remember that girl from BSS n now she is here serving God ,dada yng Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidiii ,ukazidi kua ushuhuda mzr kwa vijana wengi , God bless u sister u inspire me sanaa

  • @dissankone3425
    @dissankone3425 4 ปีที่แล้ว

    BWANA azidi kukutunza dear Bella you are really blessed tunakuombea ulindwe na nguvu za MUNGU kwa jina la YESU

  • @erickbabu4404
    @erickbabu4404 8 หลายเดือนก่อน

    Wakiwa n kondoo wataisikia sauti yake sio mm ndani yangu Bali n yeye mkishusha uwepo namna hii vaeni Kwa heshima si Kwa Kwa kuacha mabega njee Dagoni anaeza angunga ila yezeberi mama WA mapambo na ukahaba anaeza nyanyuka kaka natural jisitiri shush uwepo Baki na mwenyewe uwepo usibaki na watu wanaosifia wimbo Baki na Mungu

  • @boazylazaro6724
    @boazylazaro6724 6 ปีที่แล้ว

    Myoyo yetu yapaswa kuwa na shukrani Kwa mungu, maana tumetolewa wambali had Leo bado tunaitwa majina ,,, jina la mungu lihimidiwe kweli

  • @ronynyaga7420
    @ronynyaga7420 4 ปีที่แล้ว +1

    Truly blessed, where have I been? Just discovered Bella and her songs through Trace Gospel. Powerful stuff. Glory be to God.

  • @naomifredricks
    @naomifredricks 6 ปีที่แล้ว +1

    I saw this song yesterday and I did not get the name of the singer or of the song. Aki sema kuitafuta na almost all the words in the lyrics but finally! I can't believe it has been around for 7 months. I looooove the song and the singer, God's beauty. God bless you so much gal. You are amazing

    • @bellakombo617
      @bellakombo617 6 ปีที่แล้ว

      Naomi Fredricks thank you be blessed

  • @warrenhenrick5565
    @warrenhenrick5565 6 ปีที่แล้ว

    Safiiii Sana ujumbe mzuri sanaa Sauti Nzur production nzima ya nyimbo ipo vzur be blessed all mliohusika

  • @elizabetheliya1592
    @elizabetheliya1592 6 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzito sana hongera sana hakika MUNGU mwema akuinue na kupitia wewe wasiomjua wamjue huyu kuwa anasamehe nakubadilisha . Songa mbele usikatishwe tamaa kwa lolote simama imara.

  • @mbonimanafungo2491
    @mbonimanafungo2491 3 หลายเดือนก่อน

    Ulipoachwa ukajibebishe huko,pumbavu wew

  • @betinakingu6564
    @betinakingu6564 4 ปีที่แล้ว

    Dad Bella u blessed me a lot ,wimbo mzur San niwakat wangu kwel keep on going cct❤️❤️

  • @bahatistanley7545
    @bahatistanley7545 5 ปีที่แล้ว

    Waaah mungu akuinue zaidi Bella....ila plz naomba kama naweza kupata mawasiliano yako tuzungumze

  • @MariamNafredy
    @MariamNafredy 8 หลายเดือนก่อน

    Thank you jesus ❤for your mercy and grace

  • @anne_mwangi_
    @anne_mwangi_ 6 ปีที่แล้ว +19

    Here from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰
    🇪
    Tumebarikiwa na hii. Wapi likes za +254
    Video awesome 👍
    Message pia imeweza

  • @beathampambo5951
    @beathampambo5951 6 ปีที่แล้ว +2

    Kombo you bless me & when I look at your testimony I consider my self

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 6 ปีที่แล้ว +1

    eeh baba umeiondoa aibu umenibadlilisha umenipa asante....asanteee YESU

  • @alainwalterrwota1868
    @alainwalterrwota1868 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks God for everything you did for her

  • @lemajoshua
    @lemajoshua 6 ปีที่แล้ว +2

    I see were you are going, what a powerfull song, GOD bless you and protect you abundantly.

  • @RithaKomba
    @RithaKomba 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana ubarikiwe kazi nzuri

  • @nelibaba
    @nelibaba 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mdogo wangu Bella...nimebarikiwa na wimbo huu.. 🇹🇿

  • @gloriagerana2277
    @gloriagerana2277 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali cxter Bella.. Mungu akuinue

  • @elibarikianthony8615
    @elibarikianthony8615 6 ปีที่แล้ว

    sis. B ,namshukuru Mungu kwa ajili ya kipawa hiki ndani yako ,keep it up, the song is fireeeee

  • @mbonimanafungo2491
    @mbonimanafungo2491 3 หลายเดือนก่อน

    Wew mwanamke,achana na mume wangu zoravo,bichwa kubwa,

  • @elishamatabe4636
    @elishamatabe4636 4 ปีที่แล้ว +1

    Glorified be His name.
    Colossians 3:17🙏

  • @barakandambo2348
    @barakandambo2348 6 ปีที่แล้ว

    Nice song sister
    Keep doing it
    God will be on your side, keep praying and stay positive

  • @reginaldmwemezi6746
    @reginaldmwemezi6746 6 ปีที่แล้ว +4

    Thank You for This Beautiful Song.... Stay Blessed Bella....

  • @elizabethkaali2629
    @elizabethkaali2629 6 ปีที่แล้ว

    Wow! Bella this song is yani kiukwl Mungu akubarki sana... This is an inspiring song for anyone who use to know you ubarikiwe sana sis

  • @almassylivester4691
    @almassylivester4691 4 ปีที่แล้ว

    KWA SISI WENYE SIKIO LA KUSIKIA MZIKI MZURI HATA TUWE MITA NGAPI, HUU NI MZIKI MZUR, AF BADO YESU ANATAMBULISHWA VZR SANA NDAN YAKE. HONGERA.

  • @victoriamaisa2695
    @victoriamaisa2695 6 ปีที่แล้ว

    For sure God has changed my life... Be blessed

  • @SarahWaithera
    @SarahWaithera 6 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful song Bella. Lotsa love from Kenya, no. 1 fan all the way up. Please can I be on your next video 🙏🙏😘😘😘🙌🙌

  • @erickmaro4327
    @erickmaro4327 6 ปีที่แล้ว +1

    Alpha and Omega and then this. What the anointing

  • @moreenmukami4244
    @moreenmukami4244 ปีที่แล้ว

    the song is a blessing 😍

  • @yohanamayenga
    @yohanamayenga 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow such a blessing

  • @giftij
    @giftij 3 ปีที่แล้ว

    Love this song...but a translation would be nice

  • @nyakitoto5868
    @nyakitoto5868 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Dada Bella kwa message nzuri....I wish nipate contact zako au za management yako kama hautojali.

  • @mbonimanafungo2491
    @mbonimanafungo2491 3 หลายเดือนก่อน

    Nikuone tena unapostiwa malaya wew

  • @jovitamsigwa1034
    @jovitamsigwa1034 4 ปีที่แล้ว +1

    More blessed my c

  • @magarimtaaninumberone9624
    @magarimtaaninumberone9624 3 ปีที่แล้ว

    Here in 2021 may NYIMBO INABARIKI SANAA

  • @mercyv.langula3865
    @mercyv.langula3865 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dear kwa kazi nzuri sana

  • @ludiajohnmangare1595
    @ludiajohnmangare1595 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana nimebarikiwa sana. Ubarikiwe sana BELLAH

  • @kevinmwemezi5374
    @kevinmwemezi5374 6 ปีที่แล้ว

    Amazing song Bella Mungu azidi kukutumia

  • @tetuwamuthonitetu715
    @tetuwamuthonitetu715 6 ปีที่แล้ว

    My girl nakupendaga sana😘😍😍😍

  • @benjonathanm
    @benjonathanm 6 ปีที่แล้ว

    Nimeupenda sana huu Wimbo.. Barikiwa sana Bella

  • @plankwizzo4935
    @plankwizzo4935 6 ปีที่แล้ว

    #plankwizzo @nidekeze ni ngoma kali sanaa Fanya kuicheki

  • @rachelkitson8367
    @rachelkitson8367 5 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo waishi kwa moyo wangu

  • @phildangote4304
    @phildangote4304 6 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana dada yangu

  • @ephraimbiruru9660
    @ephraimbiruru9660 4 ปีที่แล้ว

    waouh good song sister bella

  • @MyMercy84
    @MyMercy84 6 ปีที่แล้ว

    nimependa muziki pamoja na maneno ya wimbo...ubarikiwe

  • @TukuswigaIM
    @TukuswigaIM 6 ปีที่แล้ว

    very nice video hakika!

  • @febiolam5904
    @febiolam5904 6 ปีที่แล้ว

    Ooh woow.. What a gud song bella

  • @farajamwalongo7651
    @farajamwalongo7651 6 ปีที่แล้ว

    God bless more my ccta

  • @esthermbwambo7227
    @esthermbwambo7227 6 ปีที่แล้ว

    This is my best Tz gospal song of 2018

  • @dianashemakulenge6878
    @dianashemakulenge6878 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana sis

  • @leahjamess9359
    @leahjamess9359 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana bela

  • @reaganevral5258
    @reaganevral5258 4 ปีที่แล้ว

    Go ahead...respect

  • @greysonbaraka1868
    @greysonbaraka1868 ปีที่แล้ว

    Be blessed sanaaaa❤❤❤❤

  • @goldengodfrey8662
    @goldengodfrey8662 4 ปีที่แล้ว

    Blessed blessed Bell

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 ปีที่แล้ว

    Bela mie umenikwaza mbona nikidownload nyimbo zako naambiwa This video is unavailable

  • @elishamatabe4636
    @elishamatabe4636 4 ปีที่แล้ว

    Glorified be His name🙏

  • @VesselflexMediaCo
    @VesselflexMediaCo 6 ปีที่แล้ว

    Good stuff. God bless you.

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 ปีที่แล้ว

    It is my time 🙏🧡🙏

  • @judithkennedy1345
    @judithkennedy1345 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana bella kombo

  • @mrpaulkitulo8146
    @mrpaulkitulo8146 4 ปีที่แล้ว

    love your songs sis

  • @rachelkaymax708
    @rachelkaymax708 6 ปีที่แล้ว +1

    Bella...ubarikiwe

  • @frankkajembe5356
    @frankkajembe5356 6 ปีที่แล้ว

    be blessed dada bella

  • @judithmbilinyi8971
    @judithmbilinyi8971 6 ปีที่แล้ว

    Hongera dada

  • @kehvofficial2342
    @kehvofficial2342 6 ปีที่แล้ว +1

    Great message

  • @kelly_kigah5761
    @kelly_kigah5761 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali

  • @kenshihule1109
    @kenshihule1109 4 ปีที่แล้ว

    GOOD WORK BELLA.am agreat fun of yours

  • @estherj.waruri4146
    @estherj.waruri4146 6 ปีที่แล้ว

    Love it.

  • @benbarak6008
    @benbarak6008 6 ปีที่แล้ว

    BELLA upo juu

  • @energytvtz9199
    @energytvtz9199 6 ปีที่แล้ว

    good job... 👏

  • @bychristviame
    @bychristviame 6 ปีที่แล้ว

    Ze kideo.... Salute

  • @stenara1
    @stenara1 6 ปีที่แล้ว

    very powerful song

  • @benedictmwanyika6798
    @benedictmwanyika6798 ปีที่แล้ว

    2023 🙏🙏🇹🇿🚜💯

  • @0715211282
    @0715211282 6 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana

  • @lodrickfranklin5022
    @lodrickfranklin5022 ปีที่แล้ว

    Blessed

  • @ruthmria2434
    @ruthmria2434 5 ปีที่แล้ว

    supa supa

  • @kedimonainea2597
    @kedimonainea2597 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana wangu

  • @fadhilikibanti3402
    @fadhilikibanti3402 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana bella

  • @giftmax4690
    @giftmax4690 4 ปีที่แล้ว

    Unani inspire

  • @kiyungusendama7149
    @kiyungusendama7149 4 ปีที่แล้ว

    Glory to GOD

  • @Queencecyvlogs
    @Queencecyvlogs 6 ปีที่แล้ว

    Beautiful song

  • @cornemvula253
    @cornemvula253 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante umenibadilisha

  • @mawia9004
    @mawia9004 6 ปีที่แล้ว +1

    Awesome

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @nusdervenom
    @nusdervenom 6 ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @annajulius7335
    @annajulius7335 6 ปีที่แล้ว

    Niupako 2 hakuna chazaidi balikiwa

  • @essygesar
    @essygesar ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @jacksonlutobeka6431
    @jacksonlutobeka6431 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana , kweli umeonyesha mabadiliko!!!!....lakini bado kuna vitu vidogo inabidi uendelee kubadilika....kama hizo sketi fupi na tight...mbele ya camera!!....KARIBU KWA WANA WA UFAMLE.

  • @venancedeus6185
    @venancedeus6185 6 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gee_myles_
    @gee_myles_ 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishe

  • @WildStanley01
    @WildStanley01 6 ปีที่แล้ว

    uzid kuinuliwa

  • @goldengodfrey8662
    @goldengodfrey8662 4 ปีที่แล้ว

    2020

  • @joycechaula2247
    @joycechaula2247 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @AGENSEJIGER
    @AGENSEJIGER 4 ปีที่แล้ว

    ♥️😌⚡️

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

    Mbona kifuani amechora tattoo 👈

    • @kehvofficial2342
      @kehvofficial2342 6 ปีที่แล้ว

      Only God can judge

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 6 ปีที่แล้ว

      Haifutiki..it was in the past...