MWANAFUNZI ALIEACHA CHUO, NA KUTUMIA ADA YA WAZAZI KUUZA VIATU BILA WAO KUJUA HADI SIKU YA MAHAFALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Suzan British mwenye umri (24) binti alieamua kuacha Chuo akiwa mwaka wa pili akisomea Ufamasia bila ya Wazazi wake kufahamu na kuendelea kumlipia ada, na yeye kuitumia ada ya Wazazi wake kuanza biashara ya kuuza viatu huku Wazazi wake wakiamini mtoto wao anaendelea na masomo hadi hapo walipohudhurua mahafali yake 2020

ความคิดเห็น • 493

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 3 ปีที่แล้ว +13

    Kujiamini, nidhamu katika pesa na kuheshimu watu...
    Keep on living with that spirit...
    It will take you up to your highest destination.
    Hongera sanaaa Suzy
    👏👏👏

  • @musamargwe5948
    @musamargwe5948 3 ปีที่แล้ว +17

    Safi sana huyu Dada amenifundisha kujiamini na sku zote kwenye maisha hakuna kufeli Amini unachokifanya,,,,big up dah ungeweka number basi tungekuunganisha hata kutoka mikoani biashara yako ikue mama

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 3 ปีที่แล้ว +5

    Daaah!!!!! Ukifanya kitu cha Mana kupitia PESA zao...... Japo watalalamika ila baadae wataona ni kitu cha Mana ukianza kuwasaidia....... Jambo zuri dada........
    Mungu ni mwema nimejifunza kitu,,,,, kwamba Kuna kitu kiñaitwa kuheshimu pesa na nidhamu ya pesa na watu.....

  • @bablojakitalambo504
    @bablojakitalambo504 3 ปีที่แล้ว +44

    Ula ula aina kufilimba kusoma sio kutoboa bali tunaondoa ujing 2 ""Find money""big up sister

  • @mkonongo_og
    @mkonongo_og 3 ปีที่แล้ว +4

    Brilliance congratulations to you!! Lkn piah hata matajiri wakubwa ukiwauliza watasema walianza kwa kuuza 'karanga'
    Hivyo ni vyema kuona na kujifunza, cyo lazima uwe na elim ndy upate pesa Lkn piah ni lazima uwe na elimu ili upate pesa.
    Hapa tunasema bampa tu bampa, ukipata pa kuchomokea Bc ndy Hapo Hapo shikilia...
    #.BongoLand

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 ปีที่แล้ว +2

    Intelligent is not about books it is about passion and do want Make sense to you and bring value to your life.. congrats sister

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh.mkanikumbusha mbali. Niliacha chuo pia nikatumia mtaji kwa baishara...nikaja kusoma baadae na sijutii hadi leo. Ingawa biashara niliacha baadae ila nilijifunza sana maisha na kujitegemea katika muda ule

  • @felixmathias6362
    @felixmathias6362 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii interview nadhani haifai. Haifundishi jamii. Itasababisha vijana waige huu ujinga. Vijana watadanganya sana wazazi.

    • @chax255
      @chax255 3 ปีที่แล้ว

      Inafundisha pakubwa sana. The end matters more than the beginning

  • @molaizer992
    @molaizer992 3 ปีที่แล้ว +39

    Ushauri
    "Don't learn from successful people stories, learn from failure people stories"

    • @joellymballawah8188
      @joellymballawah8188 3 ปีที่แล้ว +1

      Jack Ma Quotation 😂😂😂

    • @erastoelias524
      @erastoelias524 3 ปีที่แล้ว +2

      True broo✊✊

    • @elipidiusezekiel1176
      @elipidiusezekiel1176 3 ปีที่แล้ว +1

      That's what Jack ma said

    • @aganolamotoeliya2027
      @aganolamotoeliya2027 3 ปีที่แล้ว +1

      If you learn from failure people you'll also be failure.

    • @elvinstevy1300
      @elvinstevy1300 3 ปีที่แล้ว

      @@aganolamotoeliya2027 no u won't be a faliure rather u will just learn how to escape the setbacks that made them fail n u will succeed

  • @NEWMOVIES-ln3gg
    @NEWMOVIES-ln3gg 3 ปีที่แล้ว +16

    Huyo ni mimi kabisaa hapaaa nimeachaa zangu chuo mwaka wa pili huu nimeajiriwa mahali mshaharaa mzuri to nna tegemea Hadi mwez wa sita inshaallah nifungue duka la nguo pamoja na boda boda mojaa nieze miliki,,,,

    • @anjelawillison4971
      @anjelawillison4971 3 ปีที่แล้ว +3

      Me too nimeacha Chuo and am running my Bussiness hear in mwanza Am turning twenty 23 this year ntarudig tuu Chuo anyway😝😝😝 sijui lini

    • @NEWMOVIES-ln3gg
      @NEWMOVIES-ln3gg 3 ปีที่แล้ว

      Oooh

    • @raphaelnkwabi9676
      @raphaelnkwabi9676 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @calossantos486
    @calossantos486 3 ปีที่แล้ว +33

    "kuliko kupoteza muda ni bora ukajiamini kwamba uko sehemu fulani." 💪

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 3 ปีที่แล้ว +37

    Kila mtu anamaisha yake unaweza ukaiga mbinu ya huyu dada ukaharibikiwa maisha!!!

  • @helenalwambano-pj4rp
    @helenalwambano-pj4rp 2 หลายเดือนก่อน

    Dadaa shikamoo🎉🎉 MUNGU aendelee kuibariki kazi yako😊😊

  • @geofreyjackson9292
    @geofreyjackson9292 3 ปีที่แล้ว +21

    sometime it good so good sababu unapata mtu anamaliza en still yupo mtaan almost mwaka au ata zaidi ya miaka anasubil ajira, au mtaj at least afanye chochote lakn nothing. so that is something to learn 🤔.." maisha n kuchagua" so ur in to the right track. Big up dear

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 3 ปีที่แล้ว +49

    Yani ningekuwa mimi ndo nimekusanya hizo ada 😂😂 i can't imagine vile mom angekufa presha

    • @geesmile..9599
      @geesmile..9599 3 ปีที่แล้ว +1

      Ahhhhhhh

    • @naimanuran2663
      @naimanuran2663 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😆

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa mama yangu mm unachezea mbata ile mbaya

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Nakumbuka nilichezea mbata nikiwa chuo mwaka wa kwanza hahahaha kwa mambo ayo ayo ya pesa dah.

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Nakumbuka nilichezea mbata nikiwa chuo mwaka wa kwanza hahahaha kwa mambo ayo ayo ya pesa dah.

  • @danielkembo2177
    @danielkembo2177 3 ปีที่แล้ว +23

    Mmmh.. Ulidisco ila ndio hivo ulijiongeza sema fresh pambana

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +2

      Pia nmemwelewa alidisco chezea msuli wa chuo weye,hahahaha ni atar sana ctak kukumbuka.

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      @Humphrey Msengi hahahaha ndo ivo

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +1

      @Humphrey Msengi usipo jitoa akir unaaibika kila ck masup tu

    • @hassanmugire1497
      @hassanmugire1497 3 ปีที่แล้ว

      Kbsaaaaaa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว +45

    "Siwezi sema nime jutia nasema nime Jifunza "

  • @jescamoshi3821
    @jescamoshi3821 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamn suz hongera sanaaaa😄😄😄😄nmekukumbuka enzi zile mk

  • @daisy-lome3736
    @daisy-lome3736 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii historia yngu kbsa jmn

  • @nicelemoTripleFive
    @nicelemoTripleFive 3 ปีที่แล้ว +6

    Superwoman huyu dada namuona mbali sana siku zijazo. Congratulations sister

  • @gtv3409
    @gtv3409 2 ปีที่แล้ว +1

    Bora uliamua Classmate Wangu Congratulations nying kwako Dadaangu.💪🏽🙄

  • @ibrahimkanuto3514
    @ibrahimkanuto3514 3 ปีที่แล้ว +40

    Onyo usijaribu kuiga ikibuma huna wakumlilia na utaonekana kama kinyesi

  • @shadrackmgeni5458
    @shadrackmgeni5458 3 ปีที่แล้ว +42

    Anaweza kua mtanzania wa Kwanza kumuunga mkono mbunge wa kahama na msukuma

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 3 ปีที่แล้ว +10

    Akili - toa kila kitu ulichojifunza darasani =Akili
    Angefuata vya darasani ingemkata maana sometimes Elimu ya darasani inalengo la kukufanya uwe mtumwa vile but ni mtazamo tu

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 3 ปีที่แล้ว +6

    Ila miongoni mwa course nzuri kwa Sasa ni pharmacy. Cheti chake ukiwa nacho na ukasimamia duka la dawa Yale ya jumla kinalipa 1.2m Hadi 1.5m. ukifanya na supply chain ukafanya kwa miradi inakulipa zaidi labda aseme hakupa mshauri Mzuri
    Ambaye ana exposure ya mambo hayo. Ok by the way ni maamuzi yake Ila mi niliangalia hiyo biashara na cheti Cha pharmacy duh kapoteza. Angesoma akawekeza kwa biashara angekuwa mbali zaidi

    • @chax255
      @chax255 3 ปีที่แล้ว +3

      Biashara yyt lazma uichoree ramani kichwani mwako na ujue utapenyaje kila sehemu hyo ramani kichwani mwake haikwepo alifanya biashara ambayo ramani yake anaielewa kirahisi.

    • @dapinitiative2451
      @dapinitiative2451 3 ปีที่แล้ว +1

      Kila mmoja Kuna anachokiamini....hata hivyo Elimu haina Mwisho

    • @godfreymsafiri3380
      @godfreymsafiri3380 3 ปีที่แล้ว +2

      Hzo statistics zako ndugu! Mambo kwa ground yapo tofauti Sana 😂🤣

    • @bojopa7
      @bojopa7 3 ปีที่แล้ว +1

      Kumbuka alifeli mara mbili sasa hiyo cheti angepateje

    • @giftgodson5603
      @giftgodson5603 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakusupport mwenyewe naiwazia kusoma hata diploma yake tuu nijiajiri

  • @SGL_tz
    @SGL_tz 3 ปีที่แล้ว +2

    Now thats real hustle there, Bcoz others might use fees for luxury but her she made it a capital.... not all get such chances. but Hongera Kwake.

  • @shabanalfan9705
    @shabanalfan9705 3 ปีที่แล้ว +17

    Hio biashara ni mpaka uwe umefanikiwa usipofanikiwa utaelewa.....
    Wa kwanza apa naomben like zangu

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu dada yuko so trick na mjanja mjanja sana. Ila ujanja umemsaidia.

  • @yothamclement6469
    @yothamclement6469 3 ปีที่แล้ว +1

    Good planner,,,, kupata Elimu nikitu kizur Ila Kazi nikuibadili hiyo Elimu uliyoipata kuwa pesa.

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 ปีที่แล้ว +5

    She took a very tough decision hiyo risk ni kubwa sana anyway tunaomba biashara yake ikuwe mzuri much love from Nairobi

  • @ibrahimnyanga9778
    @ibrahimnyanga9778 3 ปีที่แล้ว +24

    Entrepreneur is risk taker , innovators

  • @pabloescober6709
    @pabloescober6709 3 ปีที่แล้ว

    hii sio nzuri kwan itafanya watoto wetu waige kuacha chuo nakuiba ada sijaipenda mm bnafsiii

  • @kephasjonas594
    @kephasjonas594 3 ปีที่แล้ว +28

    Yuko sawa tu tunasoma ili tupate pesa

  • @an6808
    @an6808 3 ปีที่แล้ว +8

    Wazazi wanoko akija kwenye graduation anataka Graduants book, nilifoji kila kitu, na wala sijutii, saizi hamna kitu nina maisha kuliko wanaomiliki vyeti

    • @damxon3013
      @damxon3013 3 ปีที่แล้ว

      Ko had leo wazaz wako hawajui kuwa uliacha

  • @edsonbalige3702
    @edsonbalige3702 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana Dada yetu, unajiamini na kukiamini ulichonacho tayari nimependa

  • @peacekatembo6944
    @peacekatembo6944 3 ปีที่แล้ว +15

    Una akili Dada!....kuna watu wanakata tamaa na kuingia kwny kuolewaaa na kuzaa

  • @rahmakawtharylupande6972
    @rahmakawtharylupande6972 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanaoacha wakaingia mtaani na maisha yakashindkana hawaonekani kwenye media, hivyo kila mmoja na funguo yake ya maisha. Akili ya kuambiwa changanya na yako.

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 3 ปีที่แล้ว +25

    akili ni nywele elimu ya sahv ni kujiongeza hongeraa😂

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 ปีที่แล้ว

    Wee jamaa huna mtiririko mzuri wa kuhoji!
    Mi nilifikiri ungeweza kupata information Zaidi kuhoji pale mama alipofika dukani!

  • @sabitintaganda9115
    @sabitintaganda9115 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dada anaroho ngumu siyo rahisi sana kuwa namaamzi kam haya ,Wengi wanavyuoni wanapenda kufanya kitu kam hicho ,But nafsi zinawafyonza kwanguvu nakuogopa chozi lamzazi ,Lakini yote na yote ukiamua kitu kam hichi inakubidi uungame mbele zamwenyezi mungu then umtangulize katka maamzi yako yakiwa na displine yahali yajuu mfano namna yakutumia fedha,Tofauti nahapo utajutia kufanya kitu kam hicho najamii itakuona kam msaliti ,kam siyo mweu.

  • @hemedymturi756
    @hemedymturi756 3 ปีที่แล้ว +6

    Daah!, mchele unachenga ila huyu dada kapiga chenga nyingi zaidi ya mes

  • @cipladapretty8617
    @cipladapretty8617 3 ปีที่แล้ว +3

    Mkurya wa sirar kabsa huyu dah hongera sana Mungu akutangulie

    • @nickypezzooo7792
      @nickypezzooo7792 3 ปีที่แล้ว +1

      In gwitryo village 😙😙😙

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 3 ปีที่แล้ว

      @@nickypezzooo7792 had huku😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @nickypezzooo7792
      @nickypezzooo7792 3 ปีที่แล้ว

      Yaaan asikwambie mtu 😂😂😂😂😂😂

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 3 ปีที่แล้ว

      @@nickypezzooo7792 😂😂😂😂😂😂😂

    • @nickypezzooo7792
      @nickypezzooo7792 3 ปีที่แล้ว

      @@cipladapretty8617 mambo ni moto wacha suzie apige pesa bwanaaaa

  • @mitchelljohnson5218
    @mitchelljohnson5218 3 ปีที่แล้ว +10

    Mm nimeona sawa tu kwa sababu sio wote ambao wamesoma ndio wakafanikiwa unaweza kufanikiwa kwa kupitia akili ya kuzaliwa

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa rasta zake. .... Safiii ... Cheusi mangala

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @gabrieladam1065
    @gabrieladam1065 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana vyeti havina mchongo hapa mjini

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji umekosea sana. Hukumuuliza binti reation ya Mama ilikuwaje. Hii imeshusha sana hadhi ya kipindi chako hicho.

  • @maryglady2901
    @maryglady2901 3 ปีที่แล้ว +6

    Suzy wetu,,Hebu Pambana mwaya

  • @exaverykapiry1811
    @exaverykapiry1811 3 ปีที่แล้ว +3

    Sster we noooooma Tanzania tungepata watu Kama nyie tungefika mbali Mungu akutangulie katika maisha yako

    • @dapinitiative2451
      @dapinitiative2451 3 ปีที่แล้ว +1

      Tungempata Kama huyu bas Tanzania ingekuwa Kama China

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 ปีที่แล้ว +10

    Chezea pharmacy...

  • @kingofx2161
    @kingofx2161 3 ปีที่แล้ว +28

    Hii ndio màana ya "Risk taker"

  • @hopefelex4409
    @hopefelex4409 3 ปีที่แล้ว +3

    Kikubwa maisha tu make money ######kaz kaz mama la mama

  • @hajimramba3788
    @hajimramba3788 3 ปีที่แล้ว +1

    Suzy wewe mpambanaji hongera, hakuna kitu kibaya kama kukaa na mavyeti yako ndani alafu Ajira hakuna wafwaa na presha. Hongera but all in all piga evining course upate hata diploma au degree ubalance na muda wa biashara maana inawezekana but vzr ziwe course za art.

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว

    Better to listern to your heart and decide, bravo to her 🙏👏 wanasema kupanga sio kuchagua

  • @josephdaimajuma8282
    @josephdaimajuma8282 3 ปีที่แล้ว +1

    Suzy umetisha Sana kwa huo ujasiri

  • @silenceneverson8648
    @silenceneverson8648 3 ปีที่แล้ว

    I get a big leason from you my ccter congratulations keep it up from 🇲🇼

  • @paulfrancis5701
    @paulfrancis5701 3 ปีที่แล้ว +1

    Brima nimekubali

  • @godfreynyaki6319
    @godfreynyaki6319 3 ปีที่แล้ว +14

    Dada amenifunzaa kitu kikubwaa sanaaaaa....big up my sister

    • @romeraphael6472
      @romeraphael6472 3 ปีที่แล้ว

      Na wwe ukawaibie wazazi wako

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 ปีที่แล้ว

      @@romeraphael6472 😂😂😂😂

    • @shariffuboetz1851
      @shariffuboetz1851 3 ปีที่แล้ว +2

      Sio naww ukale ada xax ata kama amekufunza k2 😂😂😂

    • @innocentherman5101
      @innocentherman5101 3 ปีที่แล้ว

      Chukua ujasiri wake na si vingine

  • @msevenkeya9394
    @msevenkeya9394 3 ปีที่แล้ว +3

    Kikubwa uzima suzy ,mungu yu pamoja na wewe

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 3 ปีที่แล้ว +1

    Smartest woman I ever saw

  • @khalidtv6200
    @khalidtv6200 3 ปีที่แล้ว +6

    Umetisha sana sister Suzzy

  • @henrypeter6874
    @henrypeter6874 3 ปีที่แล้ว +10

    A brave woman alive in tz..

  • @harunikiongozi3831
    @harunikiongozi3831 3 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana nimeipenda

  • @isacklugalila8732
    @isacklugalila8732 2 ปีที่แล้ว

    Big up sana,wanasema ameupiga mwingi 💯💯💯💯

  • @marrykaranga2808
    @marrykaranga2808 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Suzi

  • @jeseayubu1839
    @jeseayubu1839 3 ปีที่แล้ว +3

    Sema pharmacy ni ngumu Dada yangu ila hongera umeijua wapi pakutokea

  • @felisterveronica5452
    @felisterveronica5452 3 ปีที่แล้ว +6

    Suzy jmn hongera san ni maamuzi mazuri

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +1

    Hogera sana dada , elimu hainamwisho, kazi nzuri

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 ปีที่แล้ว +6

    Nicee Madame.

  • @fficialjabu400
    @fficialjabu400 3 ปีที่แล้ว +5

    Tunasoma ili tuajiliwe so ni vyema tyuu kujiajili mwenyewe maana Mafanikio /Ni Taaluma ambayo ata Asie kua na elm Anaweza kufanikiwa tyuuu Yote sawa ila hongera yake Ishi KWA MATUMAINI tyuuu Ongeza juhudi so iki tyuuu Fanya zaidi ya iko Usidhike

  • @owlbig
    @owlbig 3 ปีที่แล้ว +3

    I like her 😄❤️🇧🇮

  • @stelahgeofrey8330
    @stelahgeofrey8330 3 ปีที่แล้ว +1

    Yupo sahihi alijitafuta kwenye shule Kuna wengine wanaajiliwa wanajitafuta pia kwenye ajira hawajioni

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 ปีที่แล้ว

    Dahhhhhhh umenikumbusha mbali sana dada

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 ปีที่แล้ว +7

    kujiajiri nibora zaidi kuliko hata vyeti.

  • @zeliamnyoge7340
    @zeliamnyoge7340 3 ปีที่แล้ว +4

    Hard to start but is better to do

  • @simbainsigore2665
    @simbainsigore2665 3 ปีที่แล้ว +7

    Sio kila mtu anaweza kutumiwa kias icho Cha ada so kwake is oky.

  • @shariffuboetz1851
    @shariffuboetz1851 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamn huyu dada me nmempenda bure kabxa

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 3 ปีที่แล้ว

    Asee namuonaga huyu Dada Duh yupo Frem karibu Na Omela hahaha Hongera sana.
    Nimejifunza kitu ila na mi ningetumia Ada kwenye Biashara Mzee wangu sijui..........angenifanyaje hahahaa sijui
    Angenipongeza

    • @irenennko6464
      @irenennko6464 3 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa ana tofauti n wangu

  • @gunbizzo1970
    @gunbizzo1970 3 ปีที่แล้ว +36

    Hizi mambo huwa zina siri zake usije ukakurupuka😀😀

  • @linahshirima2159
    @linahshirima2159 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Sana mamy❤️❤️❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @lisangiadidja342
    @lisangiadidja342 3 ปีที่แล้ว +3

    Na mm nindoto yaku kweli kufungua duka la viatu na mapochi

  • @nickypezzooo7792
    @nickypezzooo7792 3 ปีที่แล้ว

    Suzie my neighbour in Gwitiryo village Big up sana suzie

  • @agreyndile230
    @agreyndile230 3 ปีที่แล้ว +11

    wenzang na mm tusomen tuu!..

  • @philiposilas2626
    @philiposilas2626 3 ปีที่แล้ว +1

    Nothing bad you have done nay God help you to achieve your goal

  • @happynessmolla1781
    @happynessmolla1781 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sijapenda kabisa kwani naona kama umefanya dhambi kuwadanganya wazazi ungewaambia tu ukweli hutaki chuo naona kama unafundisha wengine kuwatapeli wazazi au walezi. Ungekuwa tu muwazi.

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 3 ปีที่แล้ว

      Wewe hujamuelewa msikilize vizur

    • @bahatikigimbi425
      @bahatikigimbi425 2 ปีที่แล้ว

      Mbona wapo wanafunzi wanao kula ada kwamambo yastarehe hasa wakiume akiona afanyi vzur darasan,suz yeye amekua nawazo chanya,wanafunzi kawaonya wasfanye kama yeye alivofanya.

  • @willyzungumnyiriri5790
    @willyzungumnyiriri5790 3 ปีที่แล้ว

    Nakukumbuka we dada kipindi uko form5 sisi tuko form4 hongera xan

  • @mrblack1067
    @mrblack1067 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo munawashawishi wengine nao wachukue ada kama mtaji au sio😀😀😀😀

  • @keviombni3289
    @keviombni3289 ปีที่แล้ว

    Dada samahani Sana kwausumbufu ninaitaji lokeshni kuwa upo mwanza seem gani ulipo

  • @anordalfred5422
    @anordalfred5422 2 ปีที่แล้ว

    Kikubwa kumwomba Mungu, maana maisha ya mbongo ni mbele tembea nyuma geuka

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizur mtoto wa mwanza ❤️❤️❤️

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie

  • @pheninhojr5875
    @pheninhojr5875 3 ปีที่แล้ว

    Duh watu na pharmacy zetu Tunahustle na Ndio kwanza Kutoboa bado Sema Ngoja tuone itakuajeee

  • @esthergasper8086
    @esthergasper8086 3 ปีที่แล้ว

    Jambo la kheri, ulijua nini unataka, stay focused

  • @nassoroadam954
    @nassoroadam954 3 ปีที่แล้ว

    Naitaji kiatu Kwake niagize Nitampataje Aiseh...naomb msaada

  • @mankamallya7608
    @mankamallya7608 3 ปีที่แล้ว +3

    Kusoma sawa Soma Ila so kwamba ukisoma ndo utakuwa tajiri hapana Kuna kujiongeza kwa sababu unalipwa milioni mbili usipojiongeza we unazania utakuwa tajiri

  • @emmanuelamos4581
    @emmanuelamos4581 2 หลายเดือนก่อน

    Namba please.

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah 💕

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +4

    Ayo TV niwaombe kwamba awa mademu wa chuo cyo POA, nyendo zao tunazjua😭😭😭

  • @yohanaanthony3422
    @yohanaanthony3422 3 ปีที่แล้ว

    Mwanafunzi wangu MK naona unakula shavu Rock City. Mpe hi Herieth, Kishimba, Miriam, Jesca na wengine wanafunzi wa cbg 2016.

    • @alfredsimpoli2935
      @alfredsimpoli2935 3 ปีที่แล้ว +1

      mwalimu bado unakula TGS D yako, huku mwanafunzi anakula un measured scale..
      Maisha banaaaaa........

    • @yohanaanthony3422
      @yohanaanthony3422 3 ปีที่แล้ว

      @@alfredsimpoli2935 kwa kweli ni hatari ndugu, Ila ni lazima walimu wawepo pia ili elimu iendelee kuwepo. Cha msingi ni kuwa na plan B hata kama unafanya kazi za kuajiriwa ili kufika sehemu bora ya kiuchumi

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 ปีที่แล้ว +16

    Huyu Dada nimempenda bure
    Elimu ni maandalizi ya kuwa mtumwa.

    • @robenapomola2395
      @robenapomola2395 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa yan ila walioko vyuo wanajiona wameyapatia maisha wanajisahau kama wanatafuta elimu na siyo pesa

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 ปีที่แล้ว

      @@robenapomola2395 😅😅😅😅😅😅BRO WEEEH KIBOKO SAAAAANA YAAN HUA TUNATABU SAAAAN ILA SKUIZ ME NAELEW KUA KUNAMALIZ CHUO HAIMAAANISH MAISHA AU PESA USHAYAPATA😋

  • @michaeljanuarykibera6418
    @michaeljanuarykibera6418 ปีที่แล้ว

    schoool mate