NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 310

  • @bukumbihospitaldioceseofmw8070
    @bukumbihospitaldioceseofmw8070 4 ปีที่แล้ว +91

    Wakatoliki tumebarikiwa kuwa na Mama Bikira Maria. Nani kama Mama Maria? Mama mwenye huruma na upendo kwa watoto wake. Tumwombe Mama Bikira Maria atuombee divai iliyo njema kwa Mwanaye hasa kipindi hiki kigumu cha Uchaguzi ili yeye amwombe Mwanaye Yesu atuchagulie anayeona ataongoza kondoo wake kadiri ya mapenzi ya Mungu. Mama hatuna divai wewe wajua mahitaji ya wanao.

  • @puritynguli1602
    @puritynguli1602 3 ปีที่แล้ว +6

    MAMA WA YESU NI MAMA WA DUNIA NZIMA TUOMBEE KWA MWANAO MAMA MPENDELEVU MWENYE UPENDO MWINGI KWETU SISI WANA WAKO

  • @maendeleomakoye9352
    @maendeleomakoye9352 4 ปีที่แล้ว +13

    Tunakuomba mama Maria utusaidie kupambana na janga hili la Corona. Amina

  • @atis148
    @atis148 4 ปีที่แล้ว +50

    Nani ako nami siku hii ya Jumapili? Kama unaenjoy gospel hii gonga likes tukiendanga

    • @frolangonyani8508
      @frolangonyani8508 4 ปีที่แล้ว

      Good job singers

    • @Grace-tr8ub
      @Grace-tr8ub 5 หลายเดือนก่อน

      Holy Mother of God pray for my daughter Lynette who is an alcoholic 🙏

  • @josephsilla2271
    @josephsilla2271 4 ปีที่แล้ว +17

    Mama Tazama mtoto, mtoto Tazama Mama .Yesu Alisema, Ukitaka msaada wa hima tazama Mama

    • @janemueni7659
      @janemueni7659 4 ปีที่แล้ว +1

      Namushukuru mama maria sana,muobaji wetu

  • @charlesTOGB
    @charlesTOGB 4 ปีที่แล้ว +2

    Salamu Bikira mama Maria ulie jaa neema nyingi. Tuombee divai iliyo njema kwa mwanao.Amina

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na nyimbo za mama maria

  • @salomemwende4511
    @salomemwende4511 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuongoze vyema Maria mwema

  • @jamesgacheru2476
    @jamesgacheru2476 2 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Kwa hizi nyimbo takatifu za Bikira Maria. Zinaliwaza roho yangu. Mbarikiwe.

  • @MICHAELABUGA-pd7dz
    @MICHAELABUGA-pd7dz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mother Mary pray for me Amen

  • @laurianmutayoba8608
    @laurianmutayoba8608 4 ปีที่แล้ว +2

    Pale msalabani Bwana yesu alimwambia yohana kuwa mama maria ni mama yake nasi pia ni mama yetu tumwombe atuombee.

  • @annamrope1698
    @annamrope1698 4 ปีที่แล้ว +20

    DAIMA TUMPE SIFA MAMA YETU MARIA

  • @mbutananga389
    @mbutananga389 3 ปีที่แล้ว +3

    ASANTE SANA KWA NYIMBO ZA MAMA YETU BIKIRA MARIA. Nasikiliza nikiwa hapa Mjini London "NAOMBA tumuombee Mama yangu Apone na pia TUWAOMBEE WAGONJWA WOTE NA TUJIOMBEE WOTE MUNGU ATUEPUSHE NA MAGONJWA YOTE HATARI. HASA HUU WA CORONA uliosimamisha DUNIA" AMEN 🙏 #tupambanenasala

  • @justinagodfrey9180
    @justinagodfrey9180 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukiwa mkatoliki ni raha sana wimbo unanifariji sana acha tu nijivunie ukatoliki wangu❤❤❤

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏 🙌 👏🏻 ❤️

  • @petronilamassae7257
    @petronilamassae7257 4 ปีที่แล้ว +6

    Tumsifu Yesu kristo..huwa nafarijika sana na nyimbo za Mama Bikira Maria. Daima tunakukimbilia wewe.

  • @esthernesley8952
    @esthernesley8952 4 ปีที่แล้ว +6

    Maria mama wa Mungu utuombee.nakuamini kila wakati,

  • @janewandungu3922
    @janewandungu3922 4 ปีที่แล้ว +17

    Beautiful song , mother mary full of love and caring ...pray for us dear mother and the whole world ...love you dear mama .

    • @andrewhamuza5141
      @andrewhamuza5141 4 ปีที่แล้ว +1

      Can you please share me these songs via my whats app number +265 881072110. You fellow catholic based in Malawi and i like such songs so much. Anyone capable of sending me the songs can just do that i will be very grateful.

    • @ananiasmkhamsini
      @ananiasmkhamsini 3 ปีที่แล้ว +1

      Now and ever shall be...the world without end, amen

  • @vassy1976
    @vassy1976 3 ปีที่แล้ว +1

    Kesho tunaanza mwezi Mtakatifu wa mama Maria tujikabidhi mikononi mwake atuombee🙏🏾

    • @severimkatomutegeki6930
      @severimkatomutegeki6930 9 หลายเดือนก่อน

      Mama Bikira Maria ni Mama wa wote Duniani. tunampenda Mwombezi wetu daima.

  • @GeorgeOnyango-rq9fr
    @GeorgeOnyango-rq9fr ปีที่แล้ว

    Nice song ya mama yetu utuombe sisi wakosefu❤

  • @emmanueljoel9362
    @emmanueljoel9362 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama wa mungu utubarik watu wote tuvuke salama mwaka 2021

  • @hadijambwasi2805
    @hadijambwasi2805 2 ปีที่แล้ว

    mama mpendelevu,mama mwenye huruma msaada wetu wa daima utuombee

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 4 ปีที่แล้ว +3

    Huwa ninafarijika Sana Mama Bikira Maria amenisaidia sana Mimi na familia yangu hakuna kitu nimemwomba nikakosa Asante sana Mama yangu. Ninakukabidhi familia yangu ukutane na haja za mioyo yetu Mama

  • @mercylinenambwira8553
    @mercylinenambwira8553 4 ปีที่แล้ว +16

    Asante mama maria, kwa neema ulizotujalia uzidi kutuombea kwa mwanao yesu baraka zako,,, na pia utusaidia tuweze kushinda vita

    • @mtashambazibwa
      @mtashambazibwa  4 ปีที่แล้ว

      Amina 🙏

    • @magdalenacharles5907
      @magdalenacharles5907 4 ปีที่แล้ว +1

      Ee mama maria wewe wajua shida na maumivu yangu niombee eee mama kwa mwanao yesu aweze kunivusha katika magumu yangu

    • @tanai2639
      @tanai2639 4 ปีที่แล้ว

      K

    • @tanai2639
      @tanai2639 4 ปีที่แล้ว

      J

    • @tanai2639
      @tanai2639 4 ปีที่แล้ว

      J

  • @felistermaige1739
    @felistermaige1739 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama Maria uniombee Mimi na familia yangu uwe msimamiziwangu Sasa na saa ya kufa kwangu Amina

  • @godfridatesha2219
    @godfridatesha2219 ปีที่แล้ว

    Napenda nyimbo Mama Maria asanteni kwa kueneaza unjili

  • @millicentradiala2350
    @millicentradiala2350 3 ปีที่แล้ว

    Asante mama wa yesu uliye na huruma uzidi kutuombea paka siku ya kufa

  • @CosmasMakila
    @CosmasMakila 2 หลายเดือนก่อน

    Mama maria utuombee kwa mwanao.Yesu.

  • @ruwaichimeela2459
    @ruwaichimeela2459 9 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri yenye kutia moyo a kutafakarisha juu ya Mama wetu Bikira Maria.

  • @rosekisogole4161
    @rosekisogole4161 4 ปีที่แล้ว +15

    Mama mikononi mwako namkabidhi mdogo wangu helena kisogole anaugonjwa wakuanguka uiku wa leo kajiipigiza 5 mama ameteseka miaka mingi naomba maombi yako yakameketeze shetani anae mtesa miaka mingi

    • @mtashambazibwa
      @mtashambazibwa  4 ปีที่แล้ว +1

      Amina 🙏

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 4 ปีที่แล้ว +1

      Nami mama Maria namkabidhi mzee longinus Byontamanyire amsimamie na kupokea maombi ya wanaomuombea ktk ugonjwa unaomsumbua,amelazwa Bugando

    • @modestchapauringe6010
      @modestchapauringe6010 4 ปีที่แล้ว

      Salam Maria mama wamungu utuombee 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @charlesTOGB
      @charlesTOGB 4 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @YustaOsward
      @YustaOsward 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa maombezi ya mama bikira maria mama wa huruma asikie maombi yako na ayafikishe Kwa mwanaye yesu kristo mkombozi wa ulimwengu, na mdogo wetu akapokea uponyaji, ameni🙏

  • @millicentadhiamboojwang5684
    @millicentadhiamboojwang5684 2 หลายเดือนก่อน

    Wooooow,nimebarikiwa Sana na izi nyimbo

  • @DaisyCheruto-n4k
    @DaisyCheruto-n4k ปีที่แล้ว

    Nice songs for praising our loving mother VIRGIN MARY

  • @evarineshilingi4892
    @evarineshilingi4892 4 ปีที่แล้ว +14

    Nyimbo nzr zinafariji

  • @CeciliaMacharia-d3h
    @CeciliaMacharia-d3h 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zenyewe za bariki

  • @JudithShimba
    @JudithShimba ปีที่แล้ว

    Maria mtakatifu Mama wa Mungu utuombee

  • @LinetAchieng-k1y
    @LinetAchieng-k1y ปีที่แล้ว

    I love you my mother❤

  • @pilidick3917
    @pilidick3917 4 ปีที่แล้ว +8

    Mama Maria utuombee

  • @magdalinengina4683
    @magdalinengina4683 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa huruma wa Mama Maria kumtoa mwanao kutukomboa msarabani.

  • @edithirura1796
    @edithirura1796 3 ปีที่แล้ว

    Maria mama wa Mungu utuombee

  • @fetty1571
    @fetty1571 3 ปีที่แล้ว +1

    Uzidi kutuombea Mama yetu,mpka SAA ya kufa kwetu.

  • @niariziki2226
    @niariziki2226 10 หลายเดือนก่อน

    Mama wa waYesu Mama yangu utuombee Mimi na uzaowangu

  • @franciscakerubo3587
    @franciscakerubo3587 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama wa Dunia Nzima, Mama wa Huruma na Neema, Asante kwa kutupa, mwana wa kondoo wa Mungu?

  • @thomasmlay3842
    @thomasmlay3842 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri boss kwa nyimbo hizi

  • @consolathaaloyce6492
    @consolathaaloyce6492 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song mama yetu uzidi kutuombea sisi watoto wako

    • @magdalinengina4683
      @magdalinengina4683 3 ปีที่แล้ว

      Mama yetu tuombee tueneze jina lako kote ulimwenguni

  • @Bahatimwas
    @Bahatimwas 7 หลายเดือนก่อน

    Mama mwenyi neema,nisaidie kushinda vishawishi,ili siku moja niwe karibu na mwanao❤❤❤

  • @VeronicaObonyo-l5o
    @VeronicaObonyo-l5o ปีที่แล้ว

    Maria unisaidie siku sote za maisha yangu

  • @SimphorosaLibonge
    @SimphorosaLibonge 5 หลายเดือนก่อน

    Napata faraja sana kusikiliza nyimbo za mama Maria

  • @boostmobile8704
    @boostmobile8704 6 หลายเดือนก่อน

    Mama Niobe uponyaji wa pombe kwa wajuku wangu Sylvan Michael na Malcolm asante mama asante kristo Yesu

  • @cellistinemwamuye6411
    @cellistinemwamuye6411 3 ปีที่แล้ว

    Nafarijika sana moyoni kuwa tunaye mwombezi,tusichoke kumuomba bikira mama yetu atuombee kwa mwanawe. Hajawahi kumnyima mama yake chochote anachomuomba

  • @kirukwasusan13
    @kirukwasusan13 4 ปีที่แล้ว +1

    Zinabariki sana hizi nyimbo.daima mimi mkatoliki

  • @joyjoy623
    @joyjoy623 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama Maria nakukabidhi WATOTO wangu pamoja na familia yangu utuombee tuwe na amani na ushilikiano mwema

  • @CeciliaMacharia-d3h
    @CeciliaMacharia-d3h 2 หลายเดือนก่อน

    Inspiring songs so lovely

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa sana.

  • @jacklineawuor1417
    @jacklineawuor1417 4 ปีที่แล้ว +9

    Nyimbo Tamu Zaidi 🙏🙏 2020 July

  • @gloriayoungson533
    @gloriayoungson533 4 ปีที่แล้ว +4

    Niseme nini basi juu ya Mama yetu Maria🙏

  • @lucynjeri9514
    @lucynjeri9514 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo tulizo kabiisa be blessed with the presence of God

  • @monicakavete4931
    @monicakavete4931 ปีที่แล้ว

    Sifa ni Kwa Mama Maria Mama wa Mungu na Mama yetu

  • @tonnycaffi3363
    @tonnycaffi3363 4 ปีที่แล้ว +5

    mama wa yesu tuombee kwa mwanao

  • @jamesmakyao8103
    @jamesmakyao8103 4 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo za mama maria zinanikumbusha mbali sana na kunifariji enzi nikiwa kiongozi wa kwaya na mshirika wa Mt Aloyce huko Kilema Moshi

  • @marynjola7380
    @marynjola7380 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana nyimbo za bikira maria, mbarikiwe sana.

  • @LucyWere-s4l
    @LucyWere-s4l 3 หลายเดือนก่อน

    Your holy silence O MAMA MARIA. May we remain meditative and humble like you.

  • @AlexMasawe-f2n
    @AlexMasawe-f2n 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mama

  • @patrickotim9244
    @patrickotim9244 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu wapendwa sana, hamjambo wote? Nyimbo hizi/hizo nakupenda sana, nyimbo za Mama Bikira Maria. Mungu Baba wa mbinguni hawakubariki hasa hasa walioimba nyimbo hizo ya Mama Bikira Maria Mkatifu katika wanawake wote.

  • @cesiliamaneno9566
    @cesiliamaneno9566 10 หลายเดือนก่อน

    Ee Mama yetu Bikira mària niombee kwa mwanao ye
    su aniponye maradhi yangu

  • @jovianusbayona2885
    @jovianusbayona2885 4 ปีที่แล้ว +1

    Utuombee mama ss wanao wakosefu tnali tnaumia

  • @gilbertasika4781
    @gilbertasika4781 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Kwa wimbo nzuri

  • @selinamtaki-x3p
    @selinamtaki-x3p 4 หลายเดือนก่อน

    Najivunia kuwa Mkatoliki Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 amina

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 4 ปีที่แล้ว

    Yesu ndiyo njia pekee yakukufikisha mbinguni,maria atakuombeaje hata kusikia hawasikiye,munaabudu msichokijuwa, jiombeye mwenyewe Yesu ndiye anaye kusikia.

  • @veronicapaul2835
    @veronicapaul2835 3 ปีที่แล้ว

    Mama wa Mungu naomba msaada wa Sala zako ili nipokee kila kitu kwa Iman na matumaini na kuyaweka yote moyoni kama we ulivyoyaweka maneno yote moyoni🙏🙏🙏 Asante Mama mwema,

  • @benteradhiambo9107
    @benteradhiambo9107 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

  • @veronicahaule1083
    @veronicahaule1083 4 ปีที่แล้ว

    Nasikia faraja sana nyimbo za bikira Maria mubarikiwe sana

  • @JulieMasika-om9ns
    @JulieMasika-om9ns 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mama wetu kutuzalia mupendwa wetu❤❤🎉🎉

  • @maximillajuma1036
    @maximillajuma1036 3 ปีที่แล้ว

    pray for me mother mary

  • @obonypforence
    @obonypforence 4 ปีที่แล้ว

    Nasema Asante Mama Maria.Nashukuru

  • @jemmamoshi5727
    @jemmamoshi5727 4 ปีที่แล้ว

    utukufu kwa Mungu juu Mungu wa upendo Na faraja KATUPATIA MAMA YETU UTUOMBEE SISI WASAFIRI HAPA DUNIANI.

  • @hezronshallua8341
    @hezronshallua8341 ปีที่แล้ว

    hongera Mungu aendelee kukupa maono.ktk utunzi wako

  • @Addie11
    @Addie11 4 ปีที่แล้ว +4

    Mama Maria Tuombee,

  • @gavanatheboss9093
    @gavanatheboss9093 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama angu mpendwa

  • @alphoncemeru2239
    @alphoncemeru2239 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana. Nyimbo hizi za mama zinanibariki sana.

  • @jenikwangia9480
    @jenikwangia9480 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana.

  • @sharonmakwata4357
    @sharonmakwata4357 2 ปีที่แล้ว

    Amazing words ad encouraging words from this song mama yetu bikira maria tuombee sisi Wana wako hasa katika kipindi hiki Cha uchaguzi n pia sisi wakosefu

  • @veronicahaule4016
    @veronicahaule4016 ปีที่แล้ว

    Hakí❤ma hiz nyimbo zinanifarij sana❤

  • @alexanderbaluhya334
    @alexanderbaluhya334 4 ปีที่แล้ว +12

    Bwana awe nawe ktk kazi zako

  • @brigidharrietmunayi4670
    @brigidharrietmunayi4670 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakati wamashaka muombezi wetu ni Mama Maria. Yes without her where would Kenya be just where would Kenya be without Christ or God? If you still breath, live, hold onto your right faith with your God it is because somebidy was struggling and holding you by hand not to fall or walk a way from that right road with God which himsrlf began in you.

  • @everlynowino4814
    @everlynowino4814 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen blessed

  • @kensheenkennyo2040
    @kensheenkennyo2040 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina mbarikiwe mama maria

  • @officialstringa9969
    @officialstringa9969 ปีที่แล้ว

    Amina
    Mama zidi kutuombea

  • @selestinamakari4750
    @selestinamakari4750 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzr sn nafarijika sana ninaposikiliza nyimbo za mama bikira maria

    • @veronicsnjue9805
      @veronicsnjue9805 4 ปีที่แล้ว

      Being blessed by the songs.Pround to be a Catholic

  • @sirsimon9373
    @sirsimon9373 4 ปีที่แล้ว +20

    These songs are uplifting

  • @josephinemungai1412
    @josephinemungai1412 4 ปีที่แล้ว +3

    So blessed Maria mama wa
    Mungu pray for us.

  • @shafysjhd7430
    @shafysjhd7430 4 ปีที่แล้ว +3

    Am blessed good song keep it up💓💓💓💓from saudia

  • @ghislainkasereka1351
    @ghislainkasereka1351 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama asante

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 4 ปีที่แล้ว +19

    Wonderful praises for my Queen.🙏🏽

  • @mtkspd353
    @mtkspd353 ปีที่แล้ว

    Mungu atubariki sisi sote

  • @rosekisogole4161
    @rosekisogole4161 4 ปีที่แล้ว +5

    Mam uzidi kutuombea namkabihi mdogo wangu mikononi mwako anatatizo lakuanguka mama maria muombee

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 3 ปีที่แล้ว +3

    Mother Mary pray for us 🙏

  • @catherinesheila3921
    @catherinesheila3921 4 ปีที่แล้ว

    Mama Maria utuombea

  • @clementlombo2913
    @clementlombo2913 4 ปีที่แล้ว

    mungu wetu yesu tuokowe roho zetu ziwe nawe duniani hata mbinnguni amen jinalako lisifiwe

  • @charlesTOGB
    @charlesTOGB 3 ปีที่แล้ว

    Baraka za mwana wako tunazipata kweli Maria...Amina

  • @janebosibori113
    @janebosibori113 3 ปีที่แล้ว

    nimesaidika sana kupitia mama wa mungu maria rosari(tuombee)