HAJI MANARA KWENYE NCHI HII HAKUNA ANAEJUA MPIRA ZAIDI YANGU | WANA ROHO MBAYA WANATAKA KUNIPOTEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 204

  • @King-Buda
    @King-Buda ปีที่แล้ว +7

    We love you GUGATI

  • @joharymohammed3717
    @joharymohammed3717 ปีที่แล้ว

    bhna haji maelezo mengi sana em acha mpira uendelee we kaendeshe manara tv

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 ปีที่แล้ว +7

    We will not miss him at all, good to see his back! He is a poison to bongo football and world soccer. Anaona Ana Haki kutukana binadamu.

  • @geofreybukwali9611
    @geofreybukwali9611 ปีที่แล้ว

    Pole brother Mungu akuwezeshe haki haifi

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 ปีที่แล้ว +2

    ushafukuzwa yanga you bro tulia fanya kilimo Mzee

  • @MandrivaShinnyFirstMedia
    @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว +17

    Kabla ya press utaskia,nimefatwa na watu nnaowaheshimu wamenambia ,nisifanye ninachotaka kufanya na Kwa heshima yao nimeamua kukaa kimya😂😂😂😂😂😂,jamaa ana mahangaiko huyu😂😂anatupanga

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 ปีที่แล้ว +2

      @@user-ns4fz8gu9y Mwacheni Manara hamumuwezi kwa vyovyote vileee!!!

  • @idrissajuma7308
    @idrissajuma7308 ปีที่แล้ว +3

    Manara ww ni mwamba kweli kweli unaeleweka sana.
    Bugatti on fire 🔥.

  • @HudhaimaMjaka
    @HudhaimaMjaka ปีที่แล้ว

    Habari wanamichezo wenzangu, kiukweli ndugu yetu, anapita kipindi kigumu ambacho kiukweli ukiwa maarufu(super star) wanapitia na kiukweli mapenzi dhati ukiyaacha ni kujitesa ndugu yangu Haji fikiria hili wewe ni Shemu ya furaha kama inavyosema soka ni part ya maisha yako.Tunategemea tuwe pamoja

  • @RamaBinda
    @RamaBinda ปีที่แล้ว +1

    Daah aisee.

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +5

    SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @davidmwasa
      @davidmwasa ปีที่แล้ว

      Simba yanyokoooo

  • @chadumakopa9442
    @chadumakopa9442 ปีที่แล้ว

    Mama msikilize haji manara kama ulivyo fanya kwa mzanzibar yule basi fanya kwauyu shomvi wa kizaramo maaana anaaaaomewaaaa

  • @mrsab303
    @mrsab303 ปีที่แล้ว +2

    We love Haji always ❤❤❤❤

  • @IddyNchama
    @IddyNchama ปีที่แล้ว +1

    Saw haji kama nasi imeamua achia hapo mungu ajarie sana

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 ปีที่แล้ว

    Huwezi tokanyng tunakupenda sana bro

  • @samirsamson3996
    @samirsamson3996 ปีที่แล้ว +2

    We will miss you more Haji no one can replace you i can't compare anyone with you Bugat all the best achana nayo hata mm ningeacha

  • @peterngalawa3511
    @peterngalawa3511 ปีที่แล้ว

    Hasa Buggat linanikeraa Onhooo,

  • @Mahengo-d3r
    @Mahengo-d3r ปีที่แล้ว

    Mara u'mra mara wasafi kweli uchizi ni aina nyingi

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +2

    MANARA KILA MTU ANA RUHUSIWA KUIPENDA NA KUISAPOTI TIMU ANAYOITAKA USIJE UKAJISAHAU UKAANZA KUWAPONDA WATU WANAOZIPENDA TIMU ZAO NA KUZISAPOTI UTAKUJA KUWAONA WATU WABAYA UJUWE HILO.

  • @mohamedhamsini9106
    @mohamedhamsini9106 ปีที่แล้ว

    MLEVIIIIIII😂
    HUKU NDIO KUNAKUFAA MPIRA HAUTAKI UWONGO UWONGO HUKU JIACHIEE

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 ปีที่แล้ว

    Yang haikutaki ten wew

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 ปีที่แล้ว

    He is un-employable!

  • @yohanasanjavala4954
    @yohanasanjavala4954 ปีที่แล้ว +1

    Manara mimi ni Simba damu kabisa but your voice unanifanya kuumia sana, coz serous unaonekana kuumizwa sana na Mambo ya Mpira. But maisha siku zote ni vita unatakiwa kuendelea kupambana as you said mpira upo kwenye damu so i hope hutaweza kuacha ipo siku tutakusikia ukisema Neno lingine kwenye Media zetu za bongo

    • @sweetbertbumare6118
      @sweetbertbumare6118 ปีที่แล้ว

      We nae unaharibu jina la mitume Yohana gani unasujudu binadam mwenzio

    • @yohanasanjavala4954
      @yohanasanjavala4954 ปีที่แล้ว

      @@sweetbertbumare6118 Bro! Mimi simsujudii but nimeongelea kulingana na jinsi anavyojieleza, mambo mengine alijitakia mwenyewe that’s why nasema hawezi kuacha Mpira huyo!

  • @saidkhamisi9592
    @saidkhamisi9592 ปีที่แล้ว +3

    Huko unakoelekea kusapoti wasanii nikubaya zaidi achana na mambo ya upuuzi wa kidunia rudi kwa mola wako just umerudi Umra leo uko na wasanii ........Nas alu llah aafiya wasalama

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 ปีที่แล้ว

    Kama umeamuwa kususa susa nasema susaaaaa kwani unamtishia nani hapa😂😂😂😂

  • @petrochikawe1797
    @petrochikawe1797 ปีที่แล้ว

    El Bugatti master

  • @emmanuelakutulaga9756
    @emmanuelakutulaga9756 ปีที่แล้ว +6

    Eti mimi siyo mtanzania,wewe nani bhana,acha kbisa mpira,acha makelele mengi na majungu.Tena itisha mapema hiyo press.......wewe domo lako ndio limekuponza....majigambo mengi sana...?huwa unahisi.....wew ni bora sana.

    • @davidmwasa
      @davidmwasa ปีที่แล้ว

      Wenae kuma tuuuu hunalolote asa unamchukia bugatti kwalipi

    • @kudramzee5769
      @kudramzee5769 ปีที่แล้ว

      Kumbukeni haya yote yanayofanyawa na simba na Yanga yeye ndio brand yake

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 ปีที่แล้ว

    Pole manara kwa kuonewa
    Wala usijiusishe na mpira wetu, piga kimya wasije kusepa na wewe kaka!

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 ปีที่แล้ว +1

    Muongo ww huwezi kuacha mpira na mpira ndio ulokupa umaarufu ulipokua simba lkn ukajiaharibia mwenyewe kisha unalaumu wt

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 ปีที่แล้ว +8

    Nakumbuka alipokuwa Sumba alipendeza na kupendwa alikuwa juu kwa juu lakini hayo yakamlevya na hata wapizani wakimuogopa., Sasa masikini hapo ndipo alipojifikisha

    • @KabungaKalla-fw4pp
      @KabungaKalla-fw4pp ปีที่แล้ว +1

      Mbona hujatwambia wewe umefika wapi?yeye hufanani nae uesha jiuliza Hilo?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 ปีที่แล้ว

      @@KabungaKalla-fw4pp Mwache ahangaike na manara...yeye kafika wapi??!! Namuunga mkono Manara aachane na mpira kabisa

    • @husseinhassan7687
      @husseinhassan7687 ปีที่แล้ว

      we unahisi manara nimaskini kama wewe

  • @SaidiAlly-jy6be
    @SaidiAlly-jy6be ปีที่แล้ว

    Tatizo lako haji sifa zilikuvimbisha kichwa ukawa na utovu wa nidhamu Kwa viongozi wako na Wala ujaonewa kama unavyofikiri.

  • @ashurachamwana5748
    @ashurachamwana5748 ปีที่แล้ว

    Huyooooooiooooooooo kachemsha

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 ปีที่แล้ว

    Karia uyo

  • @muhdumar5517
    @muhdumar5517 ปีที่แล้ว +2

    Bora uwache mpira huna lolote umeona soko lako lime kwisha upande wa mpora sema ukweli .. wewe ndo wakwanza kuwa tukana watu na kuwadharau mara ngapi ulikuwa unamtukana mo na wengine umeisha khabari yako

  • @jaspernyamweru1285
    @jaspernyamweru1285 ปีที่แล้ว +1

    Huyo chizi mbona aligombea nafasi ya NEC Taifa kupitia CCM alikuwa anataka nn? domo linamponza kila anapokwenda watu wamechoka si Simba wala Yanga namshauri arudi kufundisha madrasa

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +4

    Hana nafasi tena Yanga Dogo Ali Kamwe anafanya vizuri sana idara zote hata akifunguliwa hana nafasi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Ndio maana keshasoma alama za nyakati

    • @silvernayzer4107
      @silvernayzer4107 ปีที่แล้ว

      Hakun wakufikia lev ya huyu jamaa acha ulevi Haji ndo baba waizo kazi mtasema akifa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@silvernayzer4107 hahahaha, kila Jambo Lina mwisho wake, na yeye mwisho wake ushafika

  • @jumamwarabu9307
    @jumamwarabu9307 ปีที่แล้ว

    Tuache UNA fiki:: KWANI yeye acheza namba NGAPI;;!;

  • @deogratiusnjau1744
    @deogratiusnjau1744 ปีที่แล้ว

    Sasa Manara kuacha kushabikia starz inapunguza nini?

  • @asifznz
    @asifznz ปีที่แล้ว +4

    ONGEA NA MH.MAMA SAMIA AJUE UNAVYO ONEWA USIACHE HIVI HIVI PLS

    • @FaridiMohamed-dd4hr
      @FaridiMohamed-dd4hr ปีที่แล้ว +2

      Angeongea na mungu ingekua vzr Zaid🙏🙏

    • @KareemMandela
      @KareemMandela ปีที่แล้ว

      Azibe mdomo tu dawa history ya mpira umeiweka ujiwa simba tofauti na hapo wapi tena alafu hata yeye ameshafanya maovu mengi Amemlawiti kabwili mpaka leo kabwili anakunya kunya ovyo kisa manara huyu na ommy dimpozi laana hizo ndio zinamfanya

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 ปีที่แล้ว +1

    Haji mpira hukuuwacha umekuwacha kama alivokuacha Ruu 8:59

  • @paulokenedy4090
    @paulokenedy4090 ปีที่แล้ว +3

    Kweli Bugatti yanga ndo marafiki wako wa kweli tunakupenda hatutakuwacha wala kukuangusha we ni MWAMBA kwelikweli

  • @cisselamerveille5286
    @cisselamerveille5286 ปีที่แล้ว +2

    Kishalewa ....😂😂😂

  • @franciscomasungulwa3820
    @franciscomasungulwa3820 ปีที่แล้ว +1

    Mnatuletea WALEVIIIII

  • @adammwandambo4143
    @adammwandambo4143 ปีที่แล้ว +3

    Mie bado nampenda jamaaa kwanza kwenye mpira anaumhimu wake na wanajua ndio maana wanafanya hivo

    • @jumakibasame3210
      @jumakibasame3210 ปีที่แล้ว

      Haji utabaki kuwa Haji ktk Mpira wa Tanzania.bali kuna washamba wachache ktk Mpira na kuna tafuta umaarufu

    • @dasdolo
      @dasdolo ปีที่แล้ว

      Anaumuhimu gani hebu nambie mzee

    • @jumakibasame3210
      @jumakibasame3210 ปีที่แล้ว

      @@dasdolo Kwa wajinga Kama msomali huwezi kuona umuhim haji.hata hao wala panya wachambuzi mbuzi wamejifunza kwake.

  • @hajimaster7624
    @hajimaster7624 ปีที่แล้ว +1

    Wajna yupo njwiii😂😂

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 ปีที่แล้ว

    Kwani alikuwa anacheza Timu Gani?

  • @saallysango5903
    @saallysango5903 ปีที่แล้ว +1

    Usitishe watu,acha uende,acha uende tuone viwanja vifungwe et ww umeacha mpira.

  • @ElvisMulenga-j5w
    @ElvisMulenga-j5w ปีที่แล้ว +4

    Bora uachane na mpira maana mpira ulianza Kabla wewe hujazaliwa na ukiacha wapo wapo watu wengi sana tena mafundi kiliko wewe

    • @davidmwasa
      @davidmwasa ปีที่แล้ว

      Wenae kelele hunalolote kumatuuu unamchukia haji kasema anaacha kufatilia mpila wewe inapank nini kuma tuuu

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w ปีที่แล้ว

      @@davidmwasa yako ya nyuma na ya mama yako mbwa nguruwe shenzi tip

    • @davidmwasa
      @davidmwasa ปีที่แล้ว

      Tongoooo za umbwaaaa

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w ปีที่แล้ว

      @@davidmwasa chipua matuvi ya mami wako chikala chobwe

  • @muhammedtetere484
    @muhammedtetere484 ปีที่แล้ว

    Kashalewa hapo sio Siri

  • @rahmapesazangu934
    @rahmapesazangu934 ปีที่แล้ว +2

    Hata Mimi nakushauri hivyo hivyo Acha kabisa

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 ปีที่แล้ว +1

    Huyoooooooo

  • @Mahengo-d3r
    @Mahengo-d3r ปีที่แล้ว

    Wahuni wanaendaga makka kwa mambo mengine alaf wanaongopa eti wamefata ibada je mtu u'mra juzi leo anaenda kusapot miziki acheni kumcheza shere Allah we manara ni muhuni mmoja usokua na chochote cha kuigwa labda wahuni wenzio wacheza miziki ndio wataiga kitu kwako.

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 ปีที่แล้ว +1

    Nyooo mpaka umesema

  • @yasminmohamed604
    @yasminmohamed604 ปีที่แล้ว +1

    Mke wako yuko wp?😅😅😅😅

  • @HidayaNgala-uk8tt
    @HidayaNgala-uk8tt ปีที่แล้ว

    Bugati usiache bhanaa tunakupenda

  • @isayamwidete6420
    @isayamwidete6420 ปีที่แล้ว

    😂😂😂jamaa janja janja Sana!!!utaachana na mpira totally,wakat huohuo utarud kwenye regime nyingine.😂

  • @godluckakyoo3221
    @godluckakyoo3221 ปีที่แล้ว +1

    kama syo kutafuta rzk mbona ulilalamika kuhusu maslai sasa

  • @StephanoGumbo-ti8ig
    @StephanoGumbo-ti8ig ปีที่แล้ว

    Ungemuelewa Jemedari usingefika mbali hivyo

  • @subiriabdulrahmani2343
    @subiriabdulrahmani2343 ปีที่แล้ว +2

    usiache bwana kwani hao karibu wanatoka miaka yao tayari inaisha

  • @niyakhalid5650
    @niyakhalid5650 ปีที่แล้ว

    Haji wew unajua mpira ila tatizo lako una uswahili na ujuaji mwingi

  • @mohammedkhamis1113
    @mohammedkhamis1113 ปีที่แล้ว

    Kashalewa😂😂😂😂

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 ปีที่แล้ว

    Utaachana na mpira lakini utaendelea kuisapoti yanga. Hivi hao yanga ni wanamuziki au watu wa mpira?

  • @lawrencetesha5936
    @lawrencetesha5936 ปีที่แล้ว +1

    Kwahio anataka nchi ya Tanzania imtetee

  • @Officialtrust1
    @Officialtrust1 ปีที่แล้ว +3

    Yani wanaona unafahidi sana

  • @fundiwasoka
    @fundiwasoka ปีที่แล้ว +1

    Mlikua mmuulize kazulumiwa nini

  • @likimaro6
    @likimaro6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaa eti project kwa ajili ya nchi😅😅😅😅😅

  • @saidtwanga5266
    @saidtwanga5266 ปีที่แล้ว

    Nahic bro haji unampango wa kufungua band 😂😂😅

  • @lepholosiapril3759
    @lepholosiapril3759 ปีที่แล้ว +2

    ahahahahaaa hajiii..."Nafanya press ya kuachana na mpira na mimi nikiacha naacha totaly!"...dakika mbili hazijapita " Nitarudi kwenye mpira baada ya regime yao kupita" in few minutes...Sihitaji tena football, naweza kutengeneza jina langu bila mpira! mara ghafla..."nitai-support Yanga". ahahahahahaaaaa, cha Arusha huwa hakichanganywi na ugimbi😂😂😂😂😂😂

  • @WilliamChaponda
    @WilliamChaponda ปีที่แล้ว

    Aendeee kwani siku anaingia mpirani alimtangazia nani?Kilichobaki ni kutafuta kibarua kwa diamond.

  • @Officialtrust1
    @Officialtrust1 ปีที่แล้ว +2

    Usfke huko manara ni maisha tu

    • @ernestsereli8559
      @ernestsereli8559 ปีที่แล้ว

      We nae ni msenge tu"una mbembeleza wa nn sasa"msenge huyu

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi ปีที่แล้ว +1

    Manara mm ndio mshabiki wako namba moja.Bado tunakuhitaji kaka kwenye mpira.

    • @ernestsereli8559
      @ernestsereli8559 ปีที่แล้ว

      Wa nn sasa"mwachen ashura cheupeee

    • @emanuelkilinga9196
      @emanuelkilinga9196 ปีที่แล้ว

      Acha uongo alipokuwa simba ulimchukia kuliko mwanadamu yeyote au unabisha?

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 ปีที่แล้ว +1

    Mna uwakika ajalewa kweli😅😅

  • @marthazephania4212
    @marthazephania4212 ปีที่แล้ว +1

    Achana nao na mampira yao kaka

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 ปีที่แล้ว

    Manara nadhani ana matatizo ya Akili
    Akapimwe Milembe Dodoma

  • @KareemMandela
    @KareemMandela ปีที่แล้ว +1

    Hukuheshimu watu kisa umaarufu wako na tutazidi kukupoteza zaidi si umeingia kwenye biashara za madawa ya kulevya ngoja sasa

    • @mlindalusana6437
      @mlindalusana6437 ปีที่แล้ว

      Upo sawa mi ni Simba dam Ila kwa hli la kuvamia tasinia ya mpira wapo kwaajil ya maslah yao na wanazurum Sana watu wa chin haswa huyo mzee mguto karia c watu wa mpira

  • @Alexanderlyimo
    @Alexanderlyimo ปีที่แล้ว +1

    Aache sasa anamumbia nani mamae zake

  • @yasminmohamed604
    @yasminmohamed604 ปีที่แล้ว +1

    Unataka huruma ya ubunge? Umelikoraga kumdhihaki mungu kwenda umra halafu unaenda kunywa pombe na mziki pole umekuwa mtu mzima badilika tudi kwa mungu😅😅

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 ปีที่แล้ว

    Kwa niaba ya rangi mtu mmoja hapo ni shoga

  • @joelteti1464
    @joelteti1464 ปีที่แล้ว +1

    Kwan iyoo iPhone haikai kwa pocket? We already knew you gotta it. Halo ndipo tyuuu unafeli

  • @NasraKhalfanp
    @NasraKhalfanp ปีที่แล้ว

    Yeye juzi siyutoka makaa umeaa

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅Kaishiwa 😅😅😅

  • @user-pb3ub3gl4q
    @user-pb3ub3gl4q ปีที่แล้ว +1

    Itaniuma sana ukiacha mpira au kuongelea mpira😢, usifanye hivyo

  • @ZainulKiondo
    @ZainulKiondo ปีที่แล้ว

    Bro manara aache ujinga ww si mtu wa soka huwezi kuhama hama kama mwanamke malaya tuachie mpira wetu

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg ปีที่แล้ว

    Nani aliyemuona nesi akijikudua kudua.

  • @ElvisMulenga-j5w
    @ElvisMulenga-j5w ปีที่แล้ว +2

    Ahmada acha pombe umerudi umra unaendekeza dunia achana na hayo mambo

  • @JohnNyaluke-n8l
    @JohnNyaluke-n8l ปีที่แล้ว

    Nakubal kaka

  • @KareemMandela
    @KareemMandela ปีที่แล้ว +1

    Kuonewa yeye mama anamsaidiaje baada ya kuziba mdomo wake ndio dawa

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 ปีที่แล้ว

    Ulijiaribia ulipoenda yanga.

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 ปีที่แล้ว

    YAAN MANARA KWAMBA UNA NN HADI UULIWE ? HA HA HA SASA KWANN POVU LOTE HILO 😅😅😅😅😅😅.
    KIUKWELI UMEFUNGIWA UMEKAA NJE TUMEFUVU AFCON SIMBA IPO MAKUNDI YANGA IPO MAKUNDI VIWANJA VILIKIWA VINAJAAAA SANA TU SASA

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 ปีที่แล้ว +1

    Bora uachane na mpira tu maana huna lolote la maana...ndegelec

  • @ConstantineCoscardrov-wb6ih
    @ConstantineCoscardrov-wb6ih ปีที่แล้ว

    We ulitaka kumpiga Rais Karia wewe.maandazi we.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 ปีที่แล้ว +4

    Aaaacha! Aaaachaaa! kwani wewe Nani Aaaacha! unamtisha Nani Aaaacha! kenge wewe

  • @tio_m2618
    @tio_m2618 ปีที่แล้ว

    Huyu kwanza kalewa japo si sana. Pili, anataka akitukana viongozi, taasisi kubwa na hata wadau wa soka la Tanzania wamyamazie. Hiyo haiwezakani brother. Tatu, kama kudhulumu hata yeye alishatapeli wengi. kesi ya perfume mpaka leo watu wanadai haki zao.

  • @adamkasege28
    @adamkasege28 ปีที่แล้ว

    Bado hajasema....
    Na utasema
    .........yaaaaani mpaka useme......😂😮

  • @yasminmohamed604
    @yasminmohamed604 ปีที่แล้ว

    Ndio maana tzt tumesonga mbele sikujuwa km haji hayupo huko? Alikuwa kikwazo 😅😅😅😅

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว

    Yaan mnataka mpaisha huyu mtu analipi la ajabu? Alichopewa kawaambia bhana

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 ปีที่แล้ว

    Kaka bado ujasema mpaka usema kaka

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo ปีที่แล้ว

    Ungekufa kabisa Domo kaya mbwa ngurue wew bola uimbe tu kwenye Mpira wa miguu umekushinda kwa mdomo na kulopoka lopoka kama chupi ilokosa lastiki

  • @mashamollel1225
    @mashamollel1225 ปีที่แล้ว

    Tatizo uliyoumba Mzee baba utayasema yote bado

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +1

    Halafu unalikuta hili zeru zeru linaitwa mbele ya kibla cha msikiti

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 ปีที่แล้ว +2

    GSM ashakuchoka huna pakwenda usijadai umeecha mpira hujasema na bdo utasemaaa