RAYVANNY : ALIKIBA TUPANGE SIKU/TUSISHINDANE USTAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 670

  • @nancyrichard8121
    @nancyrichard8121 6 ปีที่แล้ว +64

    Yani nilikua nasubiri miaka yote rayvanny afanyiwe interview ..thanks so much

  • @edmondjr17
    @edmondjr17 6 ปีที่แล้ว +182

    Kama unamkubali jonijooo Gonga like basi twende sambamba #Wauni si watu wazuri

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 6 ปีที่แล้ว +116

    Ivi we jonijo ni mtu au jini, aya twende sawa apa team jonijo gonga like kama unamuelewa muhuni jonijo

  • @enobyeederaider5662
    @enobyeederaider5662 6 ปีที่แล้ว +12

    Big up Jonijooo kwa kulud kwa hewa,,,Rayvany wewe ni mbayaaa,,,salute sanah V.vany boy

  • @dannykembo7214
    @dannykembo7214 6 ปีที่แล้ว +10

    Dah jonijooo unakipaj Sana aseeee Chakutangaza nakubali Sana #jonijooo

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 6 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Van boy naona umeniloga kwa mganga aliyeniroga Mondi !!! Maana nawapenda hadi naumwa aiseeeee.

  • @agnessdaniel7469
    @agnessdaniel7469 5 ปีที่แล้ว +3

    Wanyakyusa tumebarkiwa jaman vanny boy much love bro

  • @petermsilu
    @petermsilu 6 ปีที่แล้ว +1

    Jonijoo,I see you until I can't see you (Swahil Direct)... nakuonaaaaaa....afu sikuoni tenaa.... MZEE YOU ARE BIG!!!!

  • @domydocta.
    @domydocta. 6 ปีที่แล้ว +45

    Kama unamkubali rayvany gonga like

    • @shabankhamis4441
      @shabankhamis4441 6 ปีที่แล้ว

      mungu akutangulie rayvan ongera sana

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 ปีที่แล้ว +174

    Haya kaka kama unamkubali joni jooo gonga like bro unatubowa saana kwakukaa kimya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 6 ปีที่แล้ว +8

    #Salute bro Maswali ya Kibabe Majibu Mazurii

  • @MERCY_NONNEH
    @MERCY_NONNEH 5 ปีที่แล้ว +2

    I just love Rayvanny and I appreciate WCB at large, you people are an inspiration to many people directly and indirectly, keep the fire burning

  • @amryayoub1194
    @amryayoub1194 6 ปีที่แล้ว +46

    Kwa mnao lalamika mnadhan kupata msanii wa kumuhoj ni easy easy2 paka ajipange maswali ya kumuuliza msizanie rahis kila kazi na changamoto zake

    • @graphixmaster6146
      @graphixmaster6146 6 ปีที่แล้ว

      Amry Ayoub ni rahisi mno kwa mtu wa media kubwa kama Times, wasanii wanapenda sana kuhojiwa. Kama ni media za vichochoroni nakubaliana na wewe kwamba ni kazi ngumu kumpata msanii mkubwa kumuhoji

    • @oscarmalaba7804
      @oscarmalaba7804 5 ปีที่แล้ว

      Uko smart xana

  • @davythesonProducer
    @davythesonProducer 6 ปีที่แล้ว +8

    Rayvany stay blessed broo ur so kind mtu peace sana

  • @alawithebestconcept231
    @alawithebestconcept231 3 ปีที่แล้ว +1

    I like him for the questions he's prepared to asking someone . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands

  • @craytosmark5946
    @craytosmark5946 5 ปีที่แล้ว +1

    Shobo nyingi na boss
    Haahhahaha
    Mmetisha👍🤙🏻

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 6 ปีที่แล้ว +9

    Jamaa anaongea kwa kujielewa sana ... big up bro.

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 6 ปีที่แล้ว +5

    Rayvany uko real sana big up ✌✌

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 6 ปีที่แล้ว +14

    Jitahidi mwenye mazoea asikuzoee😀😀😀🤗
    #Tupolivenamaisha
    WAHUNI SIO WATU WAZURI⚡⚡

  • @Micpiu
    @Micpiu 6 ปีที่แล้ว +3

    Karibu sana NYUMBANI HOTEL mzee baba, tunakusubiri.

  • @kiganjaprimetz8245
    @kiganjaprimetz8245 6 ปีที่แล้ว +6

    I love the way you read before going on air #Salute Jonijoo

    • @desmondsamuel9548
      @desmondsamuel9548 3 ปีที่แล้ว

      i know im asking the wrong place but does any of you know a way to log back into an instagram account..?
      I was stupid lost my password. I would appreciate any tips you can offer me!

    • @leontaylor6011
      @leontaylor6011 3 ปีที่แล้ว

      @Desmond Samuel instablaster =)

    • @desmondsamuel9548
      @desmondsamuel9548 3 ปีที่แล้ว

      @Leon Taylor i really appreciate your reply. I got to the site thru google and im trying it out atm.
      Takes a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @desmondsamuel9548
      @desmondsamuel9548 3 ปีที่แล้ว

      @Leon Taylor it did the trick and I actually got access to my account again. Im so happy!
      Thanks so much you saved my ass :D

    • @leontaylor6011
      @leontaylor6011 3 ปีที่แล้ว

      @Desmond Samuel You are welcome xD

  • @philiponyanza8615
    @philiponyanza8615 5 ปีที่แล้ว +1

    Jonijooo baba una kichwa or memory card maana ci kwa kufatilia huko yan mm nisipoftilia jonijooo huwa nahc naugua kama una mkubali muhuni jonijoo like hapa twendeeeee!&!&

  • @truppdizz7330
    @truppdizz7330 6 ปีที่แล้ว +3

    jonijooo unazngua kinoma kk iki kipindi kilibid kiwe km ch lilomy sasa we unakaa kimy wasanii w kufanyanao interview wapo sasa unakwam wap niite ata mm tutafany interview kk gonga like km unamkubal jonijooo

  • @flashdtz1501
    @flashdtz1501 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama una muamini ally kiba gonga like yako

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 ปีที่แล้ว +10

    😁😁😁kwamba mnamshobokeaga boss wenu
    hiyo nimeipenda

  • @lemashonthomas5062
    @lemashonthomas5062 6 ปีที่แล้ว

    Jonijooo upo fresh xemaa unakuwaa bz mdaa Sana'a jitaidii uwe unatuwaishiaa bhanaa

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 ปีที่แล้ว +126

    kma ulimisi hiki kipindi gonga like hpa

  • @rashidmali4684
    @rashidmali4684 6 ปีที่แล้ว

    jonijoo kaka hii inaweza kuwa show kubwa sana Africa mashariki coz style yako ya maswali ni very unique and intellectual

  • @edwintaitaz6147
    @edwintaitaz6147 6 ปีที่แล้ว

    Jonijooo...nakukubali sn boy...uko vyedi aseee...big up man

  • @ismailmasoud5958
    @ismailmasoud5958 6 ปีที่แล้ว +6

    Jonijooo umekaa sana mzeee

  • @pandamusic4661
    @pandamusic4661 6 ปีที่แล้ว +4

    Uko vizur rayvan mpaka nifanye kazi na wew

  • @ruqaiyahali8055
    @ruqaiyahali8055 6 ปีที่แล้ว +1

    Wamanyema hao wabishi wala ujakosea Ravvany🙌😁😁😁 na wamakonde pia khaaa wabishi bn 😁😁😁🙌

  • @hanifabana116
    @hanifabana116 6 ปีที่แล้ว +3

    nakukubali sana ray you so nice bro

  • @chancemtitu1852
    @chancemtitu1852 6 ปีที่แล้ว +32

    Baba ako tuko live na maisha.😎😎 Wahuni so watu wazuri

    • @mosesmsigwa8019
      @mosesmsigwa8019 6 ปีที่แล้ว +1

      Chance Mtitu 😅😆😆😅😅😆

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri 6 ปีที่แล้ว +16

    "Siku zikizidi tano nawashwa" RAYVANNY

  • @saidkaoneka2648
    @saidkaoneka2648 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaan had tunasudili fanya fanya bwana jon jooo nakukubar sana

  • @rajabusella5020
    @rajabusella5020 6 ปีที่แล้ว +6

    saf sana jonijooo Brother

  • @alquinmadoro8064
    @alquinmadoro8064 6 ปีที่แล้ว +2

    #jonijooo kipindi kizuri sana na kinatufanya tufurahi na kujua tusiyo yajua katika sana na historia kwa watu mbalimbali .

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 6 ปีที่แล้ว +10

    We missed you joniiii!!!! Love your channel

  • @happinessmdaki3367
    @happinessmdaki3367 6 ปีที่แล้ว +40

    Jonijooo u have to be serious kipindi chako kizuri ila unakichezea chezea tu.. Ngoja wenye njaa wachukue idea yako utaisoma namba... WEKA SIKU NA SAA MAALUMU ILI WATU TUWE NA TENSION KUWA SIKU FLANI NIKITAKA KUCHECK KITU FLANI NIENDE SEHEMU FLANI SIO UNAJIWEKEA TU KAMA UNARUSHIA MBWA

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว +63

    Kama unamkubali ray vanny acha kuvunga gonga like yako hapa

  • @mulastar
    @mulastar 6 ปีที่แล้ว +2

    Verified!!!!!!Congratulation Jooooo

  • @sandeadreano4021
    @sandeadreano4021 6 ปีที่แล้ว

    Dubai mafuta cc tuna miliki visima# big up mkaleee

  • @zubedahussein1044
    @zubedahussein1044 6 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kzr sanaa sema akieleweki jonijoo unazingua

  • @eustarmwambanga5131
    @eustarmwambanga5131 6 ปีที่แล้ว +3

    Imeweza
    Love love love all the way from Kenya

  • @vallenqueen8050
    @vallenqueen8050 6 ปีที่แล้ว +1

    Vvannyboy mtu mbayaa umetishaaa thanna huja scratch umeongea simple nmependaa umejielez vzur

  • @aizohimself8537
    @aizohimself8537 6 ปีที่แล้ว

    Jonijoooo
    Namkubali sana Vanny Boy m2 mbaya, kaza butu kaka

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 6 ปีที่แล้ว +21

    Ray you so funny......anyway you are good,keep it up

  • @mohameddiggar3136
    @mohameddiggar3136 6 ปีที่แล้ว +105

    Sura ya baba, huna tittle, huna hela nonga like hapa kama una sura ya Baba 🕵🕵🕵

  • @bakarimzambia3439
    @bakarimzambia3439 6 ปีที่แล้ว +8

    Nakubali jon joooo wahuni sio watu wazuri

  • @asnerthdismas9817
    @asnerthdismas9817 6 ปีที่แล้ว

    nimefurah kumuona jonijooo nilimic sana😍😍

  • @enosh22wanyeche45
    @enosh22wanyeche45 6 ปีที่แล้ว

    Kimazigila jamaa anayumba mashauz megi sana kuliko muonekano, usimsahau mchiz nyoni, mwanangu usiwasahau wanao mlosota nao before, nakubali mwanangu jonjoo together sana bro

  • @bernardchibwana495
    @bernardchibwana495 6 ปีที่แล้ว

    Jonijoooo wahuni sio watu wazuriii, nakuelewa sanaaa

  • @paulgodwini2910
    @paulgodwini2910 6 ปีที่แล้ว

    Jonijooo hiii interview niliisubiri kwa hamu sana illa haujauwa kabisa bro hukumupa yale maswali magu ya siku zoteee 🎆

  • @samilijohn9821
    @samilijohn9821 6 ปีที่แล้ว +1

    da!!!! brother nakukubali xaaan me hapo wcb nakukubali100100%%%%%

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 ปีที่แล้ว +6

    RayVanny wewe muongo Mungu gani unaye muomba na maombi gani unayo omba wewe ☠️💀👽🎃🤟🏻 +1

  • @mohammedihashimumohamedi2125
    @mohammedihashimumohamedi2125 6 ปีที่แล้ว +27

    UTAMU WA KIPINDI HIKI NA KWMBA HAKINA SIKU WALA MUDA MAALUMU

    • @trianglemedia5430
      @trianglemedia5430 6 ปีที่แล้ว

      Mohammedihashimumohamedi21 hashimu hahahahaaa

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 6 ปีที่แล้ว +13

    Kipindi chako nakipenda sana ila inategemea na ni nani unamuhoji leo sijavutiwa kabisa...some times nyingi zinaboa....Ila nakukubali san Jonijooo wahuni sio watu wazuri 👊

  • @barakatv4030
    @barakatv4030 6 ปีที่แล้ว +28

    Kama unamkubali jonijooo gonga like

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 ปีที่แล้ว

    Rayvany nakukubali tatizo uyo boss wenu Mond nyoko sanaa Misifa mingi afu anaringa

  • @Fanuel_0L
    @Fanuel_0L 6 ปีที่แล้ว +32

    Wauni si watu wazuri

  • @reymakessy5290
    @reymakessy5290 6 ปีที่แล้ว

    😁😁😁naangalia 2019!!!ila bro ray nnachokupendea upo really en fun

  • @amissabdala5163
    @amissabdala5163 6 ปีที่แล้ว

    Nakubali rayvan shobo nyingi kwa bos nikuto jiamin.

  • @bundalamoshi971
    @bundalamoshi971 5 ปีที่แล้ว +4

    Naomb bx jonijooo ufanye interview na cheed

  • @glorymbaga7714
    @glorymbaga7714 6 ปีที่แล้ว +2

    Interview kali 💥 big up 🙌🏻

  • @januarymtega6092
    @januarymtega6092 6 ปีที่แล้ว

    nice jonijooo sema nn tuletee ney wamitego mzee

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 ปีที่แล้ว +91

    Vany boy mtu mmoja peace sana

    • @Fanuel_0L
      @Fanuel_0L 6 ปีที่แล้ว +1

      👶🍼

    • @jumamtwale2751
      @jumamtwale2751 6 ปีที่แล้ว

      nakubl joo

    • @tricknickkgr1183
      @tricknickkgr1183 6 ปีที่แล้ว +1

      nimekukubali Reyvan haujisikii km wasanii wengine unajibu maswali vizurr nimeipenda

    • @nuromussa9926
      @nuromussa9926 6 ปีที่แล้ว

      mkali wenu original please subscribe ww je

  • @olaismosses9167
    @olaismosses9167 6 ปีที่แล้ว +15

    Misemo unique john johnjooo

  • @hanabenady4774
    @hanabenady4774 6 ปีที่แล้ว +5

    I salute you vany boy

  • @williamniragira1257
    @williamniragira1257 6 ปีที่แล้ว +3

    Jonijoo kama ana kufulahisha maishani mwako gonga like apo

  • @mimiissueboy9096
    @mimiissueboy9096 6 ปีที่แล้ว +1

    Jonijoo fundii,nakukubal sana broo

  • @dismacfrank3656
    @dismacfrank3656 6 ปีที่แล้ว +31

    Shobo na boss 😂😂😂😂 gonga like kama imekukaa.

    • @colepapichulo4422
      @colepapichulo4422 6 ปีที่แล้ว +1

      dismac frank nimempenda xana ameonyesha heshima kwa mond

  • @zanurazanura1758
    @zanurazanura1758 6 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi chako Qikali sana Jonijooo sema unakaa kimy Sana

  • @nayrinekakuni9046
    @nayrinekakuni9046 6 ปีที่แล้ว +2

    Interview yako nzuri bro. I love it.

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 6 ปีที่แล้ว

    Vany una akiri sana mungu atakubariki,lazma ubebe mapoch ya waheshimiwa mwsho wa cku utapewa jimbo

  • @sultanafashion1190
    @sultanafashion1190 6 ปีที่แล้ว

    jonijoo mimi sio msanii ila naomba unikaribishe kwenye kipindi unihoji na mimi😍

  • @chugahome2591
    @chugahome2591 6 ปีที่แล้ว +1

    njooo kingsmusic bwege wew

  • @RONALDOTRUCKDRIVER
    @RONALDOTRUCKDRIVER 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba akooo

  • @dorryjerry8221
    @dorryjerry8221 6 ปีที่แล้ว

    Umetishaaaa joh

  • @sigifridyfranky8984
    @sigifridyfranky8984 6 ปีที่แล้ว +9

    jonijo Nouma Sana mzee

  • @emanuelyigwira3784
    @emanuelyigwira3784 6 ปีที่แล้ว

    jonijoo unafanya kazi nzuri nimekukubali unatisha

  • @tzchannel6314
    @tzchannel6314 6 ปีที่แล้ว

    Makini. Jonijo unajua

  • @larsbender4536
    @larsbender4536 6 ปีที่แล้ว +11

    nakubar sana kizaz sema to huwa unakaa kimya

  • @johnawuonda1900
    @johnawuonda1900 6 ปีที่แล้ว

    Wewe ni wajuzi man ,,,,huwezi kingkiba

  • @nsiipromesse3554
    @nsiipromesse3554 6 ปีที่แล้ว

    Ray you ni sow, the Best in WBC

  • @nansikilovele687
    @nansikilovele687 6 ปีที่แล้ว +6

    rayvan MDOGO wangu nakukubali an ukikaa popote lzm MTU unaepiga nae story lzma acheke sn

  • @davidsiame1026
    @davidsiame1026 6 ปีที่แล้ว

    Jonijooo sikupend kwa7bu unachelewa sana kurud lkn sawaaaaaaa

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 6 ปีที่แล้ว +6

    sura yenyewe ya Baba😂😂😂😂😂

  • @stafordjr34
    @stafordjr34 5 ปีที่แล้ว

    mzeee baba rayvany abunguze kuvaa nguo nyeusi kwny show yani juu mpk chini nyeusi afu changanya na usk hatukuon

  • @davidmwita9079
    @davidmwita9079 6 ปีที่แล้ว +6

    vanny boy gang

  • @jemimakataza9478
    @jemimakataza9478 6 ปีที่แล้ว

    vema San jonijooo

  • @HAPPYAFRICAMUSICPROJECT
    @HAPPYAFRICAMUSICPROJECT 6 ปีที่แล้ว

    Jonijoo.. Bwana nakuskiza kutoka Kenya.. Napitiapitia TH-cam kila wakati. Usikawie sana

  • @daudkapufi1171
    @daudkapufi1171 6 ปีที่แล้ว

    jonijoo nakukubar sana kaka sema ww ni mviv kuwaita wasanii waite kak

  • @raymondherberthnyizgye5633
    @raymondherberthnyizgye5633 6 ปีที่แล้ว

    Jonijooo uzngua hafu wana tunakkubalii unajua

  • @eliasmisiko2941
    @eliasmisiko2941 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂Rayvanny jamani pole hao madem kweli😁😁😁😂😂😂

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +13

    Ulipotea sana kwann kaka jonijoo?

  • @lucylucymike3376
    @lucylucymike3376 6 ปีที่แล้ว

    uko vizuri umejibu vizur sana ndo maana nakupenda san

  • @katanicarter0568
    @katanicarter0568 6 ปีที่แล้ว

    JONIJOOOO ni balaaaa

  • @yohanacharles9537
    @yohanacharles9537 6 ปีที่แล้ว +40

    Wa kumi kucomment wahuni sio watu wazuri

    • @mejertv8684
      @mejertv8684 5 ปีที่แล้ว

      sik zot amin wahun jonijooo ni ball

  • @geoffreytonui4314
    @geoffreytonui4314 5 ปีที่แล้ว +1

    Nomah sana