ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
who else anabarikiwa na nyimbo za hawa wapendwa?!gonga like
Naipenda sana hii kwaya kupita maelezo na nyimbo zao zote huwa zinanibariki, Mungu awabariki sana
I remember watching when I was just a little boy. This is such a blessing!
ni kweli kabisa ujumbe mzuri na wenye kuokoa roho. Mungu awabariki sana kwa huduma hii . Ninabarikiwa na nyimbo zenu from Holland
Hakika nyimbo zenu zinatubariki sana,yaan zinatuweka ktk uwepo wa bwana,hasa huyu dada bonge mwenye lemba jekundu anajua sana.
Huyo Dada mwenye Remba jekundu nampenda mno na uimbaji wake
wimbo huu mzur unanifariji na kunileta karibu na mungu wangu
Hii kwaya AIC Chang'ombe imekuwa ya baraka sana kwangu. Hasa huu mkanda wa "Gusa" ndio naoupenda zaidi. Mungu awabariki na kuwaneemesha muno
mungu you pamoja nanyi
bwana hunificha mafichon mwake. mbarikiwe sana haipiti cku bila kuuckia wimbo huu
Naona mazngira ya SUA hpo Mungu awabarki watumishi wa Mungu
Nawapenda
Nawapenda xana
Kweli nisimame kwa miguu yangu Yesu Kristo yu karibu kurudi
Good
😍😍
Amen Amen
Mpiga kibodi pia abarikiwe sana,na kwaya nzima kwa ujumla
Beutful song, inzii hizo.
You prolly dont care but does someone know of a method to get back into an instagram account??I stupidly forgot my login password. I appreciate any help you can offer me
@Draven Omar Instablaster ;)
God bless
So inpirational, God bls u n sing to maximum..
Barikiwa watumishi wa Mungu
Anakuja mkombozi YESU kuchukua kanisa
Semameni kwa miguu yenu bila kuteteleka, anakuja mkombozi YESU kuchukua kanisa.
wimbo mzuri sana wenye uguzo
Jenever Iya msifuni imanueli singida
Amen
Hizi kwaya inanikumbusha mbali nilikua napenda mpk nakajikuta nazijua nyimbo zote za GUSA.
amen
Covid
Download link please guys
who else anabarikiwa na nyimbo za hawa wapendwa?!gonga like
Naipenda sana hii kwaya kupita maelezo na nyimbo zao zote huwa zinanibariki, Mungu awabariki sana
I remember watching when I was just a little boy. This is such a blessing!
ni kweli kabisa ujumbe mzuri na wenye kuokoa roho. Mungu awabariki sana kwa huduma hii . Ninabarikiwa na nyimbo zenu from Holland
Hakika nyimbo zenu zinatubariki sana,yaan zinatuweka ktk uwepo wa bwana,hasa huyu dada bonge mwenye lemba jekundu anajua sana.
Huyo Dada mwenye Remba jekundu nampenda mno na uimbaji wake
wimbo huu mzur unanifariji na kunileta karibu na mungu wangu
Hii kwaya AIC Chang'ombe imekuwa ya baraka sana kwangu. Hasa huu mkanda wa "Gusa" ndio naoupenda zaidi. Mungu awabariki na kuwaneemesha muno
mungu you pamoja nanyi
bwana hunificha mafichon mwake. mbarikiwe sana haipiti cku bila kuuckia wimbo huu
Naona mazngira ya SUA hpo Mungu awabarki watumishi wa Mungu
Nawapenda
Nawapenda xana
Kweli nisimame kwa miguu yangu Yesu Kristo yu karibu kurudi
Good
😍😍
Amen Amen
Mpiga kibodi pia abarikiwe sana,na kwaya nzima kwa ujumla
Beutful song, inzii hizo.
You prolly dont care but does someone know of a method to get back into an instagram account??
I stupidly forgot my login password. I appreciate any help you can offer me