MBUNGE NGORONGORO PM "KAMA ZOEZI LA KUHAMA NGORONGORO NI HIARI KWANINI MNAWEKA VIKWAZO "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

ความคิดเห็น • 31

  • @richardjuvinary3592
    @richardjuvinary3592 หลายเดือนก่อน +5

    Mbaya zaidi hoja Kama hizi zinapigwa rungu

  • @DanielOlosisi
    @DanielOlosisi หลายเดือนก่อน +2

    OMbi langu mungu akulinde kaka kweli tumepata mubunge ila wamasai tupo kwenye wakati mungum san

  • @GideonmuneiGideon
    @GideonmuneiGideon หลายเดือนก่อน +1

    Pambana to kaka Niko njiani kwa lengo la kuhakikisha wananchi au wamasai watapata ukweli wao .....

  • @oltetiangaroya8489
    @oltetiangaroya8489 หลายเดือนก่อน

    Congratulations mh mbunge Kila la kheri mwamba mungu akutangulie

  • @aldeamasuki6196
    @aldeamasuki6196 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Mh. Unapambana sana Mungu azidi kukulinda

  • @hurumass
    @hurumass 28 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sana mh. Big up mkuu

  • @Merrysaitotilaize
    @Merrysaitotilaize 26 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Kaka upo kweny point

  • @meresoolesiata6952
    @meresoolesiata6952 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana

  • @user-rr3gj6gv5w
    @user-rr3gj6gv5w 19 วันที่ผ่านมา

    hongera Sana mbunge wetu

  • @BarakaKawanara
    @BarakaKawanara หลายเดือนก่อน

    Mungu akubari sana mbunge wetu wa ngorongoro oleshangay na familia yako

  • @thomasmichaellukumai-ny7se
    @thomasmichaellukumai-ny7se หลายเดือนก่อน +1

    Waeleze ukweli watoto wao wanateseka hivyo

  • @DanielOlosisi
    @DanielOlosisi หลายเดือนก่อน +1

    Ww ongeatu najua hawata pokea ila mungu anasikia kiliyo chako na kilio cha wanaichi wa ngorngor

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndiyo sisiem..wanashida yakuwa madarakani..hawana shida na wanainchi baada ya uchaguzi..

  • @juliuskimanimolleli4088
    @juliuskimanimolleli4088 หลายเดือนก่อน

    Hongera nyingi San mubunge wetu mungu akusadie maana ukweli lakn auna nafas ya kufisha seriekali ni ya matapeli

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x หลายเดือนก่อน

    Nakupenda San ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JohnpurkeiLaizer-kq7he
    @JohnpurkeiLaizer-kq7he หลายเดือนก่อน

    upo sahihi kiongozi Mungu akulinde popote. kwa kuwatetea wananchi wako simama hadi dakika mwicho

  • @TapwaamoisaryKitehomollel
    @TapwaamoisaryKitehomollel หลายเดือนก่อน

    Trusting

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 หลายเดือนก่อน

    Kwa hili halisubiri ushawishi wwt kuiaacga na kuikataa ccm

  • @rehemakarafuu-xi1py
    @rehemakarafuu-xi1py หลายเดือนก่อน

    uyu ni mzarendo aisee

  • @LoyceFundi-qf7iw
    @LoyceFundi-qf7iw หลายเดือนก่อน

    Huduma ya maji Kwa wanafun,zi..naomba pia Mb unge wa maeneo ya KILINDI Girls Sec. Scholl Kuna shida kubwa sana ya maji. Hebu serekali iangalie hili swala.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 หลายเดือนก่อน

    Kule kushauzwa nahisi yetu macho twende kazi unauzwa ukiwa kwako kudadeki walai

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 หลายเดือนก่อน

    MBUNGE UMESEMA UKWELI, ILA WATAWALA WATAKUSHUGHUKIKIA. KWA7BU UNAPINGANA NAO

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

    Kuhama ni amri kutoka wa bunge la ulaya serikali ilikubali kuuza hizo hifadhi kuna mwingereza, mwarabu na mmarekani serikali imetuuza , raisi akanushe kama sio kweli atupe majibu kama kuhama ni hiyari kwanini wamewafima juduma mihimu?

  • @matildamfoi8313
    @matildamfoi8313 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba utusaidie na kikokotoo

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 หลายเดือนก่อน

    Shangai hicho cha ni mashetani wako kipesa zaidi kama vile watazikwa nazo wamekula pesa za waarabu na waarabu wanataka ngorongoro imezwa mkuu hiyo ndo ccm

  • @meresoolesiata6952
    @meresoolesiata6952 หลายเดือนก่อน

    Umefikisha ujumbe

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 หลายเดือนก่อน

    Dah mbona inauma

  • @user-jz1ur2ny5u
    @user-jz1ur2ny5u หลายเดือนก่อน

    Ccm oyee

  • @SurprisedAutoRace-ib8nf
    @SurprisedAutoRace-ib8nf หลายเดือนก่อน

    Ndy oleshangai

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 หลายเดือนก่อน

    Bongo hii

  • @DanielOlosisi
    @DanielOlosisi หลายเดือนก่อน

    Ww ongeatu najua hawata pokea ila mungu anasikia kiliyo chako na kilio cha wanaichi wa ngorngor