Shamra shamra yapamba kwenye banda la Chuo Kikuu Mzumbe Nanenane Dodoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Ngoma hii ya asili ilipigwa kwenye banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea Kitaifa katika Uwanja wa Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma.

ความคิดเห็น •