UNABII KUHUSU TAIFA LA MAREKANI ||Prophetedmoundmystic

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 170

  • @GregoryKibangali
    @GregoryKibangali หลายเดือนก่อน

    Unalikiwe sana Mtumwa wa Mungu❤❤

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 หลายเดือนก่อน +1

    Haleluyah , TRUMPH amechaguliwa na Mungu ,be blessed man of the Lord God

  • @samwelbuya5104
    @samwelbuya5104 หลายเดือนก่อน +1

    So accurate you're my brother,asante kwa utumishi wako

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 4 หลายเดือนก่อน

    Aaamen. Asante mtumishi wa Mungu kwa kutuongoza maombi hayo. Mungu akubariki sana.

  • @prophetassaphjr
    @prophetassaphjr 4 หลายเดือนก่อน +2

    GOD'S STILL SAYING SOMETHING 🙏🏽

  • @neemamarisamarisa-rd7cq
    @neemamarisamarisa-rd7cq หลายเดือนก่อน

    Amen yametimia

  • @gladmannyamba
    @gladmannyamba หลายเดือนก่อน

    God bless you.

  • @neemamkakata1574
    @neemamkakata1574 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hallellujah the seed of Israel should reign🎉❤

  • @BeatriceRaphael-uk6jd
    @BeatriceRaphael-uk6jd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Prophet Tz

  • @mshikelwa
    @mshikelwa 3 หลายเดือนก่อน

    Huongo,wana mpenda sana...Mungu wako muongo 😊

    • @claracalvin5055
      @claracalvin5055 หลายเดือนก่อน

      Ww Mungu wako mkweli Yuko wap??

    • @mshikelwa
      @mshikelwa หลายเดือนก่อน

      ​@@claracalvin5055umesha sikia matokeo,mlio sema apendwi amepita kwa koshindo

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nyakati za mwisho na za hatari sana msaada wetu ni MUNGU tuu

  • @wilfredmatoke9922
    @wilfredmatoke9922 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor muombee kerubo morumbwa anadai safari ifunguliwe apate Visa

  • @IssaJohn-kk8pb
    @IssaJohn-kk8pb 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana na macho Yako yaone na akufungue lango la ndoto zaidi ili tujue mengi

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 4 หลายเดือนก่อน +2

    Rais wa America ni Donald Trump 🙏🏽🇺🇸

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 หลายเดือนก่อน

    Why midomo inatamka tofauti na sauti inayotok haviko pamoja

  • @wilfredmatoke9922
    @wilfredmatoke9922 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 Amen

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tramp ni mshindi

  • @PhilipoCharles-n1e
    @PhilipoCharles-n1e 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani alipita tu nakuwa billionear milele yan,ninayo meme ya STRUMP ambayo itatufikisha kwenye kilele Cha uzima❤

  • @emanuelmpamila6155
    @emanuelmpamila6155 4 หลายเดือนก่อน +6

    We Mungu ibariki Marekani na viongozi wake

    • @margaretgilbertdantes1167
      @margaretgilbertdantes1167 4 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏🏽 MUNGU tusaidie Kutupa Trump what we know many don’t know

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

    That's right indeed Daddy

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeen Mtumish

  • @JohnOkonda-fg4wp
    @JohnOkonda-fg4wp 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @jeremiahmasuke8375
    @jeremiahmasuke8375 4 หลายเดือนก่อน

    God is still saying something

  • @magrethmrutu7298
    @magrethmrutu7298 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaaaaaa

  • @salehsaleh1305
    @salehsaleh1305 หลายเดือนก่อน

    Haongei yy ss mikafiri inapelekeshwa tu

    • @AdrienOscar
      @AdrienOscar หลายเดือนก่อน

      @@salehsaleh1305 mikafiri ni ile ambayo inamfuata marehemu asiyejua anakoenda

  • @joshualusato2099
    @joshualusato2099 4 หลายเดือนก่อน

    Una magazine mazuri ila usifanye mawazo yako kuwa unabii. Unasema "kinabii'' kuwa Mungu almwambia Musa... Wakati Mungu Ali kuwa anambia Ibra..

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

    True True True 👍

  • @wilfredmatoke9922
    @wilfredmatoke9922 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uniombeee ndoto mbaya iishe

  • @MnanilaMrsmnanila
    @MnanilaMrsmnanila 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @BenjaminTunai
    @BenjaminTunai 4 หลายเดือนก่อน

    Kweri kabisa nitunai kutoka Kenya uko sawa

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 4 หลายเดือนก่อน

    Sio Makanisa yote , yamekubali

  • @optimumafrica1243
    @optimumafrica1243 4 หลายเดือนก่อน

    KWANI KUNA ROHO NGAPI ???

  • @rukoranyangabo9128
    @rukoranyangabo9128 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huhu ni Uchambuzi sio unabi acheni uhuhuni....

    • @ProphetMystic
      @ProphetMystic  หลายเดือนก่อน

      Siku moja mtaelewa nini maana ya unabii!

  • @MsafiriNgota
    @MsafiriNgota 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ATUSAIDIE JMN

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeen

  • @salvatorykundi4796
    @salvatorykundi4796 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunajua kama ni kutoka Kwa MUNGU unabii utatimia lakini kama ni ndoto mambo yatakuwa tofauti

  • @martinemakongo
    @martinemakongo 4 หลายเดือนก่อน

    Ame3een

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wamejaa Kwene mfuno ..

  • @EGSiyaga1
    @EGSiyaga1 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini Huwa hamtabiri kuhusu nchi Yetu ya Tz ila Marekani???????

  • @amarido12
    @amarido12 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @luckyhardson18
    @luckyhardson18 4 หลายเดือนก่อน

    Tel Aviv Israel ndo kituvo cha ushoga sasa je? Israel ni taifa la Mungu mwenye enzi?

  • @robertkariuki3066
    @robertkariuki3066 3 หลายเดือนก่อน

    Trump will trumpet once again

  • @hopeminga5868
    @hopeminga5868 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mpakwa mafuta wa Mungu
    Mimi Mtanzania nakaa Marekani
    Niko hapa Tz na nimekua Nikimuomba Mungu
    Atuteteee!
    Mungu ameishaibariki USA
    Tumepona, Tuponilee kwa kwa jina la YESU

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaiombea Malekani, nchi ya kipentekosti shetani ,kaipoteza, Mungu ainusulu malekani,

    • @DenisRukangula
      @DenisRukangula 4 หลายเดือนก่อน

      Ni marekani sio malekani

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona iko direct kuwa ni Trump anapita.Mungu hajawahi kushindwa

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana mtumishi ametambuwa wazi...mungu yupo na Bwana Trump..lakini kutakuwa kumwaga damu American

  • @DennisMungai-pf6rb
    @DennisMungai-pf6rb 4 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh ni maono au ???

  • @HappyLyimo-q8y
    @HappyLyimo-q8y หลายเดือนก่อน

    Trump alikua ana support ya wafanyabiashara wakubwa Hadi Elon Musk...

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 4 หลายเดือนก่อน +2

    We bwege acha kuwatapeli watu wa mungu. Mwongo kuliko shetani.

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 หลายเดือนก่อน

    Baba nakuelewa lakini in mighty name of Jesus Trump is a next president of America

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo yaushoga siyalikuwepo hatsnilaTrampo ushoga utakuwepotu tuliishamutukuza shetani badala yaMungu hadi makanisani .

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu amtetee Trump.

  • @AmoAlubanus
    @AmoAlubanus หลายเดือนก่อน

    Ulilo litabili limetimia

  • @samwelgetocho6913
    @samwelgetocho6913 4 หลายเดือนก่อน

    Ufunuo 16:13. Roho uliyoona ya mnyama ikimpa huyo mgombea ipo hapo, roho nyingine ya kanisa ipo Rumi, roho ya nabii wa uongo ipo kwako, ndiyo iliyo marekani, Kenya na Tanzania kama ulivyosema

  • @Martin-jy6dw
    @Martin-jy6dw 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo unabii huo😂😂😂 kuweni na aibu ndugu zangu

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 3 หลายเดือนก่อน

      Trump lazima ashinde sisi waamerika tunamtaka Trump

  • @christophernzige3913
    @christophernzige3913 4 หลายเดือนก่อน

    Huu ni unabii!

  • @jacklinemawamba5498
    @jacklinemawamba5498 4 หลายเดือนก่อน

    Naobea trump.sana angalau vita ya Ukraine na gull isimame he love peace

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 3 หลายเดือนก่อน

    Mhhh

  • @PastorPhilipMbaabu.
    @PastorPhilipMbaabu. 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hakika Kamala atashinda uchaguzi Marekani. Ni candidate wa njoka.

  • @adengministries4176
    @adengministries4176 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmh

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 4 หลายเดือนก่อน

    ni kweli Mungu huona maajabu sana sasa haba kuna unabiii ukijua huyo trump ndiye anakuja kuwa mnyana anayetajwa na ufunuo wa yohana, trump ni shetani ajaye yeye ndiye preso next year

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 4 หลายเดือนก่อน

    Unabii wako utashindwa,na wala haumfahamu,Trump na mauvu yake ya kitapeli.
    Kemea dhambi zote , kama Amri 10 zinavyotaka.
    Wizi,ubakaji,mauaji,utekaji nk.
    Na hata Uongo na machawa, wanao iangamiza taifa letu.

  • @Yesuniwokovu
    @Yesuniwokovu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Donald Trump anapita urais na akipita tu kila kita kitakuwa sawa MUNGU mlinde na umsimamie Rais wetu ajaye na dunia nzima

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 4 หลายเดือนก่อน

      Sidhan kam atapit nikumuomba mungu

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 4 หลายเดือนก่อน +9

    Huu sio unabii ni usanii mtupu kama kweli Mungu kakufunulia unashindwaje kusema wazi rais wa marekani ni flani.unazidiwa na wanajimu mbabaishaji mkubwa.

    • @lilianhoney5744
      @lilianhoney5744 4 หลายเดือนก่อน +2

      Toa mapepo hapa

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 4 หลายเดือนก่อน

      Mmmh

    • @OzonMwangosi
      @OzonMwangosi 4 หลายเดือนก่อน +4

      Jaribu kumwogopa mungu

    • @AdrienOscar
      @AdrienOscar 4 หลายเดือนก่อน +4

      Mjinga wewe ni nabii ngapi katoa huyo kwenye taifa hili na zikatimia saa nyingine kwa sababu ya mambo ya kiusalama lazima uwe na hekima namna unavyowakilisha ujumbe kumfikia mtu sio vingine unasema moja kwa moja Yesu mwenyewe alikua anaongea kwa mafumbo mpaka wanafunzi wake wake wakamuuliza mbona watu unaongea nao kwa mafumbo akasema hawa nasema nao kwa mafumbo kwa sababu hawa hawakujaliwa kuzijua sir za ufalme

    • @AlimachusAdoph
      @AlimachusAdoph 3 หลายเดือนก่อน +1

      Shoga kaguswa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza bidem alishajitoa kugombea tangu mwezi uliopita!
    Akasimama Kamara haris, mwanamke na anaendeleza kampeni!
    Pili , kusema straight mhusika arakaekalia kiti km kweli Mungu kakuonyesha kuna shida gani?
    Labda km huna uhakika!
    Ni kweli Trump kipinfi chake ndo alitangaza Israel mji mkuu uwe Jerusalem, wengine walishindwa, haamini ktk ushoga etc.....

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu sikuma tu

  • @amoseirumva3932
    @amoseirumva3932 4 หลายเดือนก่อน

    Tusubirie tuone matukio

  • @JoyceKisenga-mq8tt
    @JoyceKisenga-mq8tt 3 หลายเดือนก่อน

    TRUMP AGAINE

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 หลายเดือนก่อน

    The devil is a liar

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 4 หลายเดือนก่อน

    Israel wapi unao wazungumzia usicho kujua ni hiki Marekani , uingereza na Israel hao wote ni wa moja uwezo wao ni kutoka kwa yule joka (shetani)ili wamsapoti Rumi ajae angalia noti ya Marekani imeandikwa Kirumi Israel hawapo kwenye nchi yao na ni weusi soma maombolezo 5:10 na 4:8 kisha ayubu 30:30

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 4 หลายเดือนก่อน +1

    KWA HIYO DONALD NDO RAIS

  • @levisdiamond4797
    @levisdiamond4797 หลายเดือนก่อน

    Hio kutokusema nani atachangulia ndo mnaletaga ujinga. Hapo akichaguliwa mnaanza kusema niliwambia hahahahaha

  • @ruzindazajonas8506
    @ruzindazajonas8506 4 หลายเดือนก่อน

    Trump kwa vyovyote tu atapita! Mungu anamhitaji yule atakaetetea nchi ya Israel na sio mwengine bali Trump.

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo 4 หลายเดือนก่อน

    nikweli.hawataenda.fasi.MUNGU.atawapiga.sana

  • @richardmanirabona9787
    @richardmanirabona9787 4 หลายเดือนก่อน

    Kamala anaongaza Marekani next January. Mungu hausiki na uchaguzi duniani hii.

  • @jacksonenock5231
    @jacksonenock5231 4 หลายเดือนก่อน

    Na mimi nilisha muona Tramp akirudi ikulu ya America

    • @Stans_Tz
      @Stans_Tz 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ulimwona wapi?

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Stans_Tzhahahhahahahhahaha

  • @yusufmunisi4796
    @yusufmunisi4796 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli watu wamechoka sasa mnasema tuliombee taifa la marekani ukumnakemea ushoga sasa ukiliombea taifa la marekani umeombea ushoga maana hayo ndio nguzo kuu ya ushoga

  • @GERVASSEVELINI
    @GERVASSEVELINI 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sema watu wavivu sana kusoma Maandiko ukisoma Biblia kitabu cha ufunuo 13 kinaonyesha kuwa Kuna wanyama wawili na ukitaka kujua tafsili ya hao wanyama Nenda kasome Daniel 7:25.......na mnyama wa kwnza n Papa na mnyama wa pili n Marekan kwhyo Marekan ndo kama msemaji wa papa na Papa mpango wake n kwenda kinyume na Sheria za mwenyezi Mungu Soma Biblia vzur usikatae.....kwhyo Papa anachokifanya n kumuweka kiongozi kwenye maamuzi magumu ili mambo yake yaende kwa haraka....kwhyo uchaguzi wa marekani Trump lazma Ashinde ili Anene maneno ya makufuru kama mnyama wa kwnza ambaye n Papa anavo taka kwhyo kwnye utawala wa Trump ushoga utaruhusiwa sheria za Mungu zitavunjwa hazalan Sio maneno yangu bali n unabii kutoka katika vitabu vya ufunuo na Daniel

    • @santinambembe648
      @santinambembe648 4 หลายเดือนก่อน

      Nan aliandka hvyo vitabu😅😂😂😂 na Nan wa kwanza kupitisha vitabu vya biblia...😮think deep think twice

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 หลายเดือนก่อน

    Biden anasapot ushoga kwa kuwango kikubwa sana Ndiyomaana hawataki Trump apite. Huyo kamala akipita yani Tz ndiyo itakuwa fukuto la ushoga Bila chenga.

  • @elimwidimimushi3450
    @elimwidimimushi3450 4 หลายเดือนก่อน

    tutaburUzwa sana na hawa matapeli wanaosimama na biblia

    • @santinambembe648
      @santinambembe648 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😂😂😂

  • @BilombeleBenalpha
    @BilombeleBenalpha 4 หลายเดือนก่อน

    Trump atapita uchaguzi ila trump ni shida ya dunia hii watu watajutia mutalifahamu hili kwenye pigo lakwanza la Mungu,ila upofu ndio sababu muna sema ilo kwakumsapoti trump,akiingia atakuja kamilisha unabii.

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 หลายเดือนก่อน

    Omba Sana nimeona mwanamke anapewa nchi anapewa mwanamke nchi anaichukua mwanamke ,

    • @joshuawenceslaus2466
      @joshuawenceslaus2466 3 หลายเดือนก่อน

      Mwanamke akipewa marekani marekani imekufa

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus หลายเดือนก่อน

      😁😁😁😁sahizi utakuwa umejificha wapi na maono yako ya uongo ndugu Elisha

  • @benjaminngutta3529
    @benjaminngutta3529 4 หลายเดือนก่อน

    Israel unayoitaja leo ndo hiyo iliyosema ukimtaja Yesu Israel unafungwa miaka 40, naichukia kweli Israel ya netanyahu, yet Trump anasema kuwe na American bible itakayotumika ulimwenguni kote........shida nin taifa la marekani japokuwa trump ni nafuu kuliko Kamala na democrats

  • @brog1394
    @brog1394 4 หลายเดือนก่อน

    Huu ni uongo tu kama uongo mwingine

  • @MajaliwaYusuphlushika
    @MajaliwaYusuphlushika 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe acha kuseme uongo maana Trump ndiyo atakayetia pumzi katika sanamu ya mnyama yaani upapa soma ufunuo 14 mawazo Yako usiyaite unabii

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 3 หลายเดือนก่อน

    TRUMP NDIYO ATAKAE SHINDA

  • @philipjey8955
    @philipjey8955 4 หลายเดือนก่อน

    Israeli kutoka Kwa magundisho ya Paul...Israeli ya sasa sio ile ya ardhi,ni mtu ambaye anayemwamini Yesu alikuja akafa na akafufuka,sio ile ardhi,TEL Aviv ndio kitovu Cha ushoga,trump amewaita wanaosema vita ya Gaza na dhidi ya Palestinians ikome wapumbafu,Ina maana anafurahi watoto wanapokufa kila siku

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 3 หลายเดือนก่อน

    Usanii mtupu. Huoni aibu? Unatafuta kula na umashuhuri. Uhuni unaouganya ni chukizo pia mbele za Mungu

  • @IsakaMgeje
    @IsakaMgeje 4 หลายเดือนก่อน +2

    Trump Ashindi save hii comment. Alaf itajulikana mim na wewe.nani nabii . Aibu zingine mnazitafuta wenyewe

    • @Evangelist.David-Michael
      @Evangelist.David-Michael 4 หลายเดือนก่อน

      You’re delusional

    • @santinambembe648
      @santinambembe648 4 หลายเดือนก่อน

      😣😂😂😂📌

    • @anthonylaban4943
      @anthonylaban4943 3 หลายเดือนก่อน

      Nimeisave.....ila usije ukawa kinyonga Trump akishinda....

    • @IsakaMgeje
      @IsakaMgeje 3 หลายเดือนก่อน

      @@anthonylaban4943 Sawa mim siwez kuwa kinyonga coz Sijatangaza mim ni Nabii . Ila uyo Nabii wenu Atapata Aibu . Kwa kutaka Sifa .

    • @gracesinyangwe913
      @gracesinyangwe913 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upuuz mtupu manabii wa Tanzania wakishashiba bhn wanafosi kutafuta unabii nchi za wengine jadili ya kwenu kwanin mwakiangalia kibanzi kilichoko kweny jich la jiran kwanin msiangalie jicho la kwako? Kama nyie manabii kwer huo unabii ufunuliwe Tanzania muone

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 4 หลายเดือนก่อน

      Funga bakuli lako upako wa huyu mtumishi n ukupige mara dufu

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 4 หลายเดือนก่อน

      @@DEBORAHMASANJA-yz3go Upuuz mtupu ukisema mim nifunge bakuli hiyo hainitishi kusema ukwer tumeshawazoea manabii wa Uhongo wa kibongo Kila siku wanakuja na mapya na wew kilichokuuma ni nin hapo hasa nyinyi wakina mama mlio rahis kuamini Kila kinachokuja mbele mnahitaj kupata mwalim wa psychology

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 4 หลายเดือนก่อน

      @@DEBORAHMASANJA-yz3go kama unabii ni rahis mbon hatusikii wakitabili kuhusu familia zao yaan wanakaa et mnaitabilia marekani na mgekuwa huko marekn hamuwez kuropoka habar kama hizo mshukr Mungu kwamb nchi yetu imetupa uhuru wa kufany ibada popote irmrad tusifunje Sheria za nchi

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 4 หลายเดือนก่อน

      @@DEBORAHMASANJA-yz3go Mimi sipigwi na upako wa mwadamu yupo Mungu aliyeziumba mbingu na nchi ndiy mweny uwezo wa kufany chochote na Wala simwabudu mwanadam namwabudu Mungu ambae hakuzaa Wala hakuzaliwa

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 4 หลายเดือนก่อน

      Hujui unachokisema

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe hivi unafikiri Trump Ndio amalize Kushona!sio wewe mtumishi uombe!umeguatilia story. Ya trump !?

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 4 หลายเดือนก่อน

    Unabii fake huo. Trump hana la mungu. Huzungumzii ulawiti wa watoto katika jamii yetu unahangaika na mashoga!

  • @سليمانلوغاجو
    @سليمانلوغاجو หลายเดือนก่อน

    Muongo weye hauna jipya,kwanza ni nabii Gani anae nyoa panki

    • @ProphetMystic
      @ProphetMystic  หลายเดือนก่อน

      Kaangalie picha yako ukiwa mdogo! Nywele zako zilkuwa na pank na bado ulikuwa mwema mbele za Mungu!

    • @QueenQueen-i4k
      @QueenQueen-i4k หลายเดือนก่อน

      ​@@ProphetMysticDah hv Kuna watu wana mashaka na wewe Aisee 😢 pole Yao kumbe ukiwa nabii Inapaswa uvae magunia na usinyoe nywele vizuri Sasa Nini maana ya agano jipya na Mungu kuleta ufahamu wa vitu tofauti tofauti basi nicheke kidogo😂

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 4 หลายเดือนก่อน +3

    Na nyie wahubiri ACHENI UHUNI WA KUITA KILA KITU NI UNABII. Sasa ni unabii gani wakati umesikiliza kwenye vyombo vya habari? Nabii anatabiri vitu ambavyo hakuna hata anayejua. WEWE UNAANGALIA TAARIFA ZA HABARI HALAFU LEO UJIFANYE UNATABIRI WAKATI UNASOMA UPEPO UNAVOENDA?

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน +1

      Upo unabii wataifa la Marekan Roma au Rumi ambao nimbaya ktk cku zamwisho ufunuo yohan 13:11:12 nakuendelea ila kama hujui historia yamataifa haya huwezi kuelewa huu unabii maana ucpojua historia huwezi kuelewa biblia maana inaendana nahistoria hao ndio wanyama waliotajwa kwenye unabii huo kulingana namatendo yaliyofanyika yanayofanyika nayatakayo fanyika ktk cku hizi zamwisho mnyama wakwanza ni Roma yakipagan na Roma yakidin mnyama wapili ni Marekan neno mnyama kibiblia linawakilisha taifa

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waisrael wenyewe ndiyo mashoga makubwa halafu wabarikiwe ki vipi ? Wakristo wengine muko very stupid indeed

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 4 หลายเดือนก่อน +1

    We mtumishi acha mambo yako ww ..unaogopaje kutaja mshindi kwamba ujiamini?? US na apa ni 10000km..nn shida

    • @ProphetMystic
      @ProphetMystic  4 หลายเดือนก่อน +2

      Kutia muhuri maneno ya kinabii ndicho dunia huwa mnaita kuogopa🤷🏾‍♂️ angalia maneno ya nabii zilizopita

    • @chelele.7136
      @chelele.7136 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ProphetMysticLogic , Mungu akubariki

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga 4 หลายเดือนก่อน +1

      @edmoundmystic ❤❤❤❤❤🎉 barikiwe san

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@ProphetMystic mimi sina shaka mimi ni fan wako na muumini wako..sna shaka kabisa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

      I didn't get u!
      Kuna tatizo kusema str8 nani atakalia kiti?

  • @Omrankasiga
    @Omrankasiga 4 หลายเดือนก่อน

    Yote anayosema ni uongo tu

  • @restitutamushi2541
    @restitutamushi2541 หลายเดือนก่อน

    Amen baba

  • @hopeminga5868
    @hopeminga5868 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akubariki Mpakwa mafuta wa Mungu
    Mimi Mtanzania nakaa Marekani
    Niko hapa Tz na nimekua Nikimuomba Mungu
    Atuteteee!
    Mungu ameishaibariki USA
    Tumepona, Tuponilee kwa kwa jina la YESU

  • @OnjiThomson
    @OnjiThomson 4 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 4 หลายเดือนก่อน

    ni kweli Mungu huona maajabu sana sasa haba kuna unabiii ukijua huyo trump ndiye anakuja kuwa mnyana anayetajwa na ufunuo wa yohana, trump ni shetani ajaye yeye ndiye preso next year

    • @zacharynganga2124
      @zacharynganga2124 4 หลายเดือนก่อน

      Didn't understand you.... inbox so some references or Crue

  • @samsonosendi6992
    @samsonosendi6992 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏