Baki katika Asli, walioutangaza usalafy wanajulikana...Hawa wengine wanadandiadandia tu...!!! Hawa wanafanya mambo kwa mihemko... Huyu Akram kafanya Da'awah na Bachu kwa kumsindikiza kwenye nnaqasha kabla hata ya Taraajuu ya Bachu...!!! Na wanashirikiana na Bachu, na hilo kila mtu mwenye akili analiona... Na hakuna kati yao anayeweza kuiradd manhaji ya Bachu... Na Bachu hawezi Kumradd Barahiyani...!!! Wanamsalafisha Bachu Bila Vigezo...!!! Halafu Sheikh wao Mkubwa ABUU MUSAB Aslimia 99.9 ya wanafunzi wake wanasoma pia Masjid Omary, tunasoma nao kila siku na hajawahi kuwakataza...!!! Sasa Manhaj gani hiyo mliyonayo ya kuwaruhusu wanafunz wenu kusoma kwa Maswaafiqa watu wa bida'a???!!! HILO SWALI NIMEWAULIZA MARA NYINGI WANALIKWEPA... NATAKA HUYO AKRAM AJE ALIJIBU...!!! SHEIKH WENU ABUU MUSAB WANAFUNZ WAKE ANAWAMBIA WASIINGILIE FITNAH YA MASHEIKH NA ANAWARUHUSU WAKASOME MASJID OMARY AMBAO NI WATU WA BIDA'A KWA MUJIBU WENU.... ENHEE NDO MANHAJ SALAFY GANI HIYO?!
Ulisema uko na faili la abu nfaydah kuondoka pongwe ,asaivi uliwekewa wazi,badala ya kufungua hilo lako tukajua linasemaje ,unaruka kwegine kwa nassor bachu,fungua faili la abu nufaydah babaa acha kuruka ruka.
Wewe ni muongo Sheikh Muhammad mafuta hakuna hata sehemu moja aliyosema kuwa moja kwa moja sheikh kassim amepiga picha la alivyosema ni kwamba tujaalie sawa amejipiga elewa neno tujaalie
Kwani Kwenda KUSOMA TATIZO NINI!? AU ALIENDA KUTAFITI TU,KUNA ELIMU GANI PONGWE? MASALAF ENDELEENI KUBOMOA UMOJA WA WAISLAM,NA MUJIANDAE NA MAJIBU KWA ALLAH. TUNAKHOFIA SAANA MULIOJIWEKA MBELE KWENYE DINI,SIJUI MUNALIPWA NA NANI KWA KAZI HIZI.
@@alwiyiynmission2820😂😂kizuri hakiwezi kutangamana na kibaya, watu wa bidaa ndo waloleta uharibifu katika dini ya Allah sisi tunatengeneza Sasa daawa yetu, haitaki umoja feki, et Shia awe humoo😂 suffi jitu la makaburi kuomba maiti awe humoo, khawariji kama kina aboud rogo wale wawe humoo,kina jalala wawe humoo, answari sunnah nao wazee wa maanasheed na wawe humooo daaah!!!! Hakuna umoja wa hivyo msingi wa daaawa yetu anaeharifu man haji hii akawaharibu salafi swalehe wema waliotangulia huyoo atatahdhariahwa na akiendelea msimamo huwoo huyo atufai atakuwa hizbi mtu wa makundi nae, mpk arudi katika njia sahihi ya Allah na mtume wake afate sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia ndo tutajua huyu ni mwenzetu
@@mohdkhatib223daawa yetu inatayamuzi ndo daawa sahihi ya mtume hata kama mahizbi na makhurafi na mashia mmechukia Jambo hiloo, hii daawa ni hakki mtapiga vita jadida watu wanazidi kuwahama wamegundua katika answari sunnah hawanusuru sunnah Wana nusuru bidaa ndiomana daawa mnapinga Ila imeenea kwa kasi kubwa sana saivi kila sehemu hukosi markazi ya masalafi, na vijana wamekubali daawa na kugunduwa hiii daawa mbona haikulinganiwa na ni daawa ya hakki bhasi watu wanaachana na uhizbi wa kianswari, mana tuweke wazii kwa answari sunnah hakuna sunnah saivi labda hapo nyuma pindi ilipoanza huko nisri mashekh wanzilish wa hii tassi walikuwa masalafi baada ya kufa wao walioendeleza gurudumu hilo wamepeleka gari korongoni wakaingiza miharafa kibao kinyume na salafi swaleh mkaanza kishirikina na watu wa bidaa ma ikhwan ndomana katika answari utakuta makhawariji humo,wanaharakati wanataka dola humoo, waimba anasheed saivi humoo, saivi mpk wanajuzisha khitima humoo kaka yake kishki Abdul lkadiri yule mpk khitima anakwambia halali tuuh, maulidi mnaona ni jambo la ihitilafu fulani, mimi ukiniuliza answari ni nani nakwambia ni mahizbi tuuh! Hawawezi kuwa masalafi saivi washaharibikiwa wanaowatukana ulamaa wetu wa ahlsunnah na kuwasifu watu wa bidaa
Halafu mimi nitamuuliza tenaa baada ya kuliza nyinyi ni vip sheikh Abdulrahman awessu hivi elimu uliokua nayo hivi kweli ndo unakua moga kwenye kumcharaza huyo punda wa tangaa
Muhamad Mafuta ni muongo sana anaposema sheikh Nassor Bachu aliijua haki kupitia wao majadiida ni uongo wa dhahiri. Ni uongo kwasababu kipindi Kassim mafuta anakuja Zanzibar kueneza ujadiida na kuanza kujitambulisha, sheikh Nassor Bachu tayari alikuwa mgonjwa na alikuwa hawezi kutoa mawaidha wala dawa na wala kusomesha.
Shehe hebu thibitisha kuwa ni kweli Shekhe Nasoor Bachu hakufikiwa na daawa
Masalafi asanteni kufanya maisha na muhusiano baina yenu kama tamthilia... Wote machale.. Alhamdulilah kwa ukweli kuzidi dhihiri.. Na bado...
Maashaa allaah,huu ndio ukweli mtupu,
لله يهديهم سعافقا هدادية
Qur an kweli hawezi kabisaaa
Wallah sjui nifuate nani mm maana sina elimu mutanipoteza zaid jamàn yaa Allah niongoze kàtka haqi ,اللهم صل على محمد وآل محمد الطيبين الطاهرين
Baki katika Asli, walioutangaza usalafy wanajulikana...Hawa wengine wanadandiadandia tu...!!!
Hawa wanafanya mambo kwa mihemko... Huyu Akram kafanya Da'awah na Bachu kwa kumsindikiza kwenye nnaqasha kabla hata ya Taraajuu ya Bachu...!!!
Na wanashirikiana na Bachu, na hilo kila mtu mwenye akili analiona... Na hakuna kati yao anayeweza kuiradd manhaji ya Bachu... Na Bachu hawezi Kumradd Barahiyani...!!!
Wanamsalafisha Bachu Bila Vigezo...!!!
Halafu Sheikh wao Mkubwa ABUU MUSAB Aslimia 99.9 ya wanafunzi wake wanasoma pia Masjid Omary, tunasoma nao kila siku na hajawahi kuwakataza...!!!
Sasa Manhaj gani hiyo mliyonayo ya kuwaruhusu wanafunz wenu kusoma kwa Maswaafiqa watu wa bida'a???!!!
HILO SWALI NIMEWAULIZA MARA NYINGI WANALIKWEPA... NATAKA HUYO AKRAM AJE ALIJIBU...!!!
SHEIKH WENU ABUU MUSAB WANAFUNZ WAKE ANAWAMBIA WASIINGILIE FITNAH YA MASHEIKH NA ANAWARUHUSU WAKASOME MASJID OMARY AMBAO NI WATU WA BIDA'A KWA MUJIBU WENU.... ENHEE NDO MANHAJ SALAFY GANI HIYO?!
Mfwate mtume
Soma utajuwa ukweli upo wapi hao akina baachu wanabwabwaja sana na makhasira mengi
@@mohdjuma3637
Wasome kwa NANI
Hao MASALAF JADIDA
Achana na majadiida akina Kassim Mafuta ni waongo na si waadilifu
Dah mtihani huu
th-cam.com/video/bSmGdT28uF4/w-d-xo.htmlsi=83lgkluHr6YuUxlv
Tunasubr mazungmzo ayo
Muhammad Mafuta anazania kuwa elimu inaenda kwa Nassab kama ukoo kaka ana elimu anasema na yeye aseme.Hana elimu huyu muhammad mafuta hamna kitu.
Wewe uliyena jambo simama utete
Muhammad mafuta ni mropokwaji tu. Kada wa chama, hizbi kubwa lile. Tapeli
Hizbi Mcharuko😂 Akram Nyange
Ulisema uko na faili la abu nfaydah kuondoka pongwe ,asaivi uliwekewa wazi,badala ya kufungua hilo lako tukajua linasemaje ,unaruka kwegine kwa nassor bachu,fungua faili la abu nufaydah babaa acha kuruka ruka.
th-cam.com/video/bSmGdT28uF4/w-d-xo.htmlsi=83lgkluHr6YuUxlv
Huyu yupo saudia kwa udaku, abuu nuaym ni juma lokole ktk da’wa ya mahizbi
Mmekosa kazi njoo mlime huku mashamba yamejaa
Sahihi
We jamaa ni mtoto mdogo sana wakati ww mwenyew umeenda kusoma huko huko
Kila ukibainisha haqqi watakutupia kila propaganda
She endelea kubainishahaki hawajamaa wamechanganyikiwa kwa maovu wanayofanya kwa kule kubainishwa,
Wewe akram muongo tupe hilo faili la shheikh hussein sembe umeshapewa ruhsa na sheikh muhammad mafuta haya leta hilo faili sasa tuone uongo wako
Wewe tuambie hujampiga mwenzako teke la mbavu tanga??
Wewe ni muongo Sheikh Muhammad mafuta hakuna hata sehemu moja aliyosema kuwa moja kwa moja sheikh kassim amepiga picha la alivyosema ni kwamba tujaalie sawa amejipiga elewa neno tujaalie
Yuko na chuki na hawa masheikh ndio maana
Ewe kijana achana na kelele soma huko acha kupoteza muda ,ivi huo muda unaotumia kurekodi kama wenge kaa maktatab wenge soma vitabu vingapi?
Wew umesoma nin unafuata kina qasim mijijtu ya makundi hakuna dini zaid ya maslahi afu waongo Sana hafu wanachafua usalafi
Huyu mfitinishaji tu huna agenda huyu
ana ruka ruka tu mfitinishaji
Kwanza wewe Abuu akram si ubainishe ww mwenye elimu na kusema kwako uongo
Huyu jamaa jinsi anavyoongea tu unajuwa ni mtu ambaye hamna kitu
Haya ni maneno ya maswawaafiqa,
We ni hizibiy huna agenda fitna tu
Kama sheikh Abdul Fadhwl ni mtoto mdogo mbona ulienda kusoma sema tu sababu yako inayokufanya umchukie sheikh Abdul fadhwl
Kwani Kwenda KUSOMA TATIZO NINI!?
AU ALIENDA KUTAFITI TU,KUNA ELIMU GANI PONGWE?
MASALAF ENDELEENI KUBOMOA UMOJA WA WAISLAM,NA MUJIANDAE NA MAJIBU KWA ALLAH.
TUNAKHOFIA SAANA MULIOJIWEKA MBELE KWENYE DINI,SIJUI MUNALIPWA NA NANI KWA KAZI HIZI.
@@alwiyiynmission2820 Basi Elimu ipo kwa Abuu Nuaym😁😁
Majadiida ni uvundo hawafai hata kidogo
@@alwiyiynmission2820😂😂kizuri hakiwezi kutangamana na kibaya, watu wa bidaa ndo waloleta uharibifu katika dini ya Allah sisi tunatengeneza Sasa daawa yetu, haitaki umoja feki, et Shia awe humoo😂 suffi jitu la makaburi kuomba maiti awe humoo, khawariji kama kina aboud rogo wale wawe humoo,kina jalala wawe humoo, answari sunnah nao wazee wa maanasheed na wawe humooo daaah!!!! Hakuna umoja wa hivyo msingi wa daaawa yetu anaeharifu man haji hii akawaharibu salafi swalehe wema waliotangulia huyoo atatahdhariahwa na akiendelea msimamo huwoo huyo atufai atakuwa hizbi mtu wa makundi nae, mpk arudi katika njia sahihi ya Allah na mtume wake afate sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia ndo tutajua huyu ni mwenzetu
@@mohdkhatib223daawa yetu inatayamuzi ndo daawa sahihi ya mtume hata kama mahizbi na makhurafi na mashia mmechukia Jambo hiloo, hii daawa ni hakki mtapiga vita jadida watu wanazidi kuwahama wamegundua katika answari sunnah hawanusuru sunnah Wana nusuru bidaa ndiomana daawa mnapinga Ila imeenea kwa kasi kubwa sana saivi kila sehemu hukosi markazi ya masalafi, na vijana wamekubali daawa na kugunduwa hiii daawa mbona haikulinganiwa na ni daawa ya hakki bhasi watu wanaachana na uhizbi wa kianswari, mana tuweke wazii kwa answari sunnah hakuna sunnah saivi labda hapo nyuma pindi ilipoanza huko nisri mashekh wanzilish wa hii tassi walikuwa masalafi baada ya kufa wao walioendeleza gurudumu hilo wamepeleka gari korongoni wakaingiza miharafa kibao kinyume na salafi swaleh mkaanza kishirikina na watu wa bidaa ma ikhwan ndomana katika answari utakuta makhawariji humo,wanaharakati wanataka dola humoo, waimba anasheed saivi humoo, saivi mpk wanajuzisha khitima humoo kaka yake kishki Abdul lkadiri yule mpk khitima anakwambia halali tuuh, maulidi mnaona ni jambo la ihitilafu fulani, mimi ukiniuliza answari ni nani nakwambia ni mahizbi tuuh! Hawawezi kuwa masalafi saivi washaharibikiwa wanaowatukana ulamaa wetu wa ahlsunnah na kuwasifu watu wa bidaa
Halafu mimi nitamuuliza tenaa baada ya kuliza nyinyi ni vip sheikh Abdulrahman awessu hivi elimu uliokua nayo hivi kweli ndo unakua moga kwenye kumcharaza huyo punda wa tangaa
Muhamad Mafuta ni muongo sana anaposema sheikh Nassor Bachu aliijua haki kupitia wao majadiida ni uongo wa dhahiri.
Ni uongo kwasababu kipindi Kassim mafuta anakuja Zanzibar kueneza ujadiida na kuanza kujitambulisha, sheikh Nassor Bachu tayari alikuwa mgonjwa na alikuwa hawezi kutoa mawaidha wala dawa na wala kusomesha.
Kweli
Wee ni mpumbavu nawala Huna ulijualo
Acha ujinga usimtukane she abu nua'aym,she mkubwa anaongea haki