Polee kaka wawatuu kumdhamin mtu mpka unamtambulisha mbele za watuu mdada mwenyewe anaonekanee so wapekeako mana alivofika tuu karukia sm ya watuu munguu atakupa alosahihi kwako. Pole kwa maumivu 😢
Ivin ni bora ufanye mkataba wa ahadi ya amani kwa lolote litakalotokea mtu anaweza kwmby uko sawa wala afanyi kitu chochote kile anashindwa kuji control me naona kesi kubwa zitakuandama IVAN🎉
Ila wadada dah ety nae anajifunga kupigana 😂😂😂Kama uwezi kunitunza sasa mm nifanyaje, alafu bado kinasema huwa anakipa nini, pole sana bro Hayo ndo maisha halisi aliyonayo mchepuko wako huyo
Mimi pia sijawahi comment kwa mambo haya, ila ninachokiona, ninyi watu mnatega mabomu haya, mnaandaa vita, mnawafanya watu waishi kwa uadui sana. Nalia na serikali, inayaangaliaje mambo haya. Hawana akili kabisa ya kuona kama haya mambo yanaweza sababisha matokeo mabaya kwa raia wao!!!
Ila ndio wakome si huwa wanaamini wanawake wenye sura nzito ndio wife material wanawake wazuri Malaya khhaa haya huyo Malaya na sura mbaya😊😊 mkaka mzuri tafuta mwingine
Duuuuh don't trust anyone under the sun weeeee uyo dada alivyo mbaya kaka wa watu mzuli eti hana lolote alafu wastalabu wanawapata viluka njia na viluka njia huwapata wastahalabu mdada mwenyewe anaonekana mswailii aswaaa uyo ata ukiowa unaweza lea watoto waso wako
Huyu mdada ni mswahili piwa ana tamaa. Kijana wa watu mzurii Mungu akutetee.
Sijawah kukoment huku TH-cam lakin hii challenge imeniuma sana sana jaman, nimeumia sana aisee nimemwonea huruma sana huku kaka
😅😅 Àah Ivan umenifundisha somo kubwa , Keep pushing bro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sana
Ila hizi challeng utauwa watu siku moja
Masikini wanawake sisi mmmh duuuh pole sanaa
ni noma
Camera umeificha why iwe inarecoud kwa kuzunguka
Kama anatunzwa asingekuja kavaa ovyoo mwanamke matunzo hana hata simu kapauka bora umepata kalaki mkaspend😂😂😂
Polee kaka wawatuu kumdhamin mtu mpka unamtambulisha mbele za watuu mdada mwenyewe anaonekanee so wapekeako mana alivofika tuu karukia sm ya watuu munguu atakupa alosahihi kwako. Pole kwa maumivu 😢
napenda kazi unayo fanya bro 💪
Mkaka mzuri mwanamke mbaya alafu anamcheat duh! Pole
😢😢😅
demu mbaya kinoma 😅
Uyo Demu mabovu saaana
Dem anatak kwenda china
Kevoo kakunja laki manzi kala 50 saaaaafi what a Deal
Good content , flyover level of creativity,full of confidence,,keep on shining bro
Jamaa anatia huluma sana
Ivin ni bora ufanye mkataba wa ahadi ya amani kwa lolote litakalotokea mtu anaweza kwmby uko sawa wala afanyi kitu chochote kile anashindwa kuji control me naona kesi kubwa zitakuandama IVAN🎉
Naona kama wewe
ndo kwenda appointment na mtu wa china kavaa ivoo kijola ah sijapentaa😂
ovyooo😅
Sito kuja kumpenda mtoto wamtu yani waschana niwa senge ivh,😢dada kaona iphone kapagawa
Dah ila mapenzi aisee 😭
hii i phone yang??🤣🤣🤣
Hii ipo yaan😂😂,kaka unalilia dem mbovu mxie😂😂😂,,comment yang isiguswe
Alafu demu bado ana simamia msimamo wake 😅😅 daah
(Kama uwezi kunitunza sasa mm nifanyaje😅😅)
Daah!? Noma sanaaa....Siyo Poa
Ila wadada dah ety nae anajifunga kupigana 😂😂😂Kama uwezi kunitunza sasa mm nifanyaje, alafu bado kinasema huwa anakipa nini, pole sana bro Hayo ndo maisha halisi aliyonayo mchepuko wako huyo
Kevoo Kasepa na ela.. 150
Duuuh RAHMA mwenyewe Sasa 😅😅😅 afu una mlilia
Mm ndo mana siamini rafiki yani niko peke yangu2 sitaki marafiki mm
😄😄😄dah Dunia hii jaman
😂😂😂jina la move please
ndiyo ajue kupigiwa ni constant
Mmmhh aiseee
Rafiki wa kweli ni mm mwenyewe simwamini tena mtu😢
Kisongo yerereeee nobali mangapi kasongo mbona mbweo
Umetixha sana mwamba dahaa
❤❤❤
😢😢😢
Kaka mstarabu huyuuui
Dah nimecheka kama mazuri. 1-kevoo kaona haweza kuacha ofa kuzingatia mtaa ni mgumu afu ela ipite kizembe.
2-Baada ya kufunga hesabu zake anataka asepe mambo mengine watajua wnyew.
3-Ugomvi umeanza kevoo kawahi mlango.
4- Mwanamke kafunga kibwebwe tayari kuzipiga ila akakimbia.
😅😅😅
Mwanaume kajiamini nyie eti Mpenzi wangu hawezi kufika😂😂
Hakika hakuna kitu kama pesa ambacho kinaweza Weka mambo yote kuyashusha na ikawa juuu pesa nikiboko
Jmn mkaka wawatu mpole mzur 😢mbona Mie cnaga jmn
Haya majina ya Kev ni nomaa
Me mwenye kupita na shemej AmBAR so mme wa dada angu so kesiii aseee
Mkaka mzuri mashallah ila mwanamke ndio ishu
Mimi pia sijawahi comment kwa mambo haya, ila ninachokiona, ninyi watu mnatega mabomu haya, mnaandaa vita, mnawafanya watu waishi kwa uadui sana. Nalia na serikali, inayaangaliaje mambo haya. Hawana akili kabisa ya kuona kama haya mambo yanaweza sababisha matokeo mabaya kwa raia wao!!!
Kafunga kijora ety ngoja tuonyeshane 😂😂
😂live from Uganda
😢😢😭😭 dah ni content ila inaumiza jaman kwel usimwamin mtu kikaka Cha watu kizuri jidada lenyew bayaaaa hebu mnipee no ya huyo kaka nimfariji😅😅😅joking
Kidada kishamba waenda kwa sponsa unavaaa kijora😅😅😅😅
Ila ndio wakome si huwa wanaamini wanawake wenye sura nzito ndio wife material wanawake wazuri Malaya khhaa haya huyo Malaya na sura mbaya😊😊 mkaka mzuri tafuta mwingine
🤣😂😂🙌
Ila mademu bana kwmb hii iphone utanipa mm ,utanipeleka na china maskini
Fedha ndio kila kitu
Iko hvyo kila siku
Wee kaka naomba unipende mie ntakulinda pole ❤🎉
Kumbe demu mwenyewe chura tuu
Dhuuuh!! Inauzunisha sana😭
Watoto wote kumbe hawajui kabisa kuhusu don't trust anyone.😢😢😢
Jamaaaaaa wamechukuaaaaa 150k haoooo
Mmmh Dunian kun mambo san
😂😂😂 jamaaa kamuuza demu wa msela
😂😂😂😂😂😂😂 huyo mdada Anaonekana malaya 2
Iko wapi iyo part two
Hawa wanawake ni wapumbavu saana hata kama unampa kila kitu shida ukimfumania kisingizio utaskia anasema eti hujui kunitunza
😅😅😅😅jamani mnaojiita ma blood sijui ma nani njooni huku muone rahma na miremba yake kichwani mdera kama nini kaah😅😅😅wanawake jamani nyi hapana 😅😅
Daaa
Njooo hapa 2naotafta ss a2pati jaman 14:36
Siku zote mwanamke ni kiumbe mwenye mdomo sana haijalish kakosa au umekosa wew
Uwiii jamani ety baada ya muda kidogo jamaa akarudi
Daahh 😢 Ila nyiee simwamini mwanamke yeyote
Njoo unifanyie challenge
Blow pole sana nenda kaoe mkoan achana wanawake wa dar er salam blow pole sana
Demu mwenyewe mbaya
Pesa mwanaharamu ndugu zangu, ilimuuza mpaka Yesu sembuse sisi? Aah siamini mtu sasaivi😢
Yani wallah natetemeka kama yanabifika mimi😢
Inauma sana kusema ukweli
Cameraman hajaenda chooni?
😢😢
Mpenzi wangu hana lolote
😂tatizo nihali ngumu tu daah.
Wanaume tujitunze hakuna mwanamke anaeridhika rip ninja 😂😂😂😂😂 mimi komandoo naona ni vitu vya kawaida tu
Daaaah mbor nitumie ata lak mbili nnashd nayo
Dem mwenyewe sasa mdomo mwepesi hana hata woga tehtehtehteh
😂😂😂😂😂 jaman et han wanga wanawake tuna tamaa san
Pisi yenyew mbovu
Aya majina
Ohoo wanawake wazuri ni malaya sasa hilo na sura yake nzito 😂😂 lisaliti
Duhh inaum
Mbavu zangu mm jaman
Mamaangu ndo Mwisho wa mambo yote Hawa wengine ziada tu
Usifadhaike kwa mambo madogo budar ach maisha yaende
Rahma mwenyewe alishakuwa tayari kwa ngumi😂😂😂
Matakatak matup hakuna chalenge ni uozo hapo 😂😂
Rafikiangu wakweli ukimtoa Mungu ni mamaangu na kakaangu na watoto wangu
Sema we jamaa una content za maana sana za kujifunza
Uyo ata mama yake mzazi ana pashwa ku muuza pesa nayo Bana atali 😊
daah inauma sana mwamba kashindwa kuvumilia😢😢
😂😂😂😂 jamaa kakosa vyote ila huruma sana
Hizo challenge mnazowapa muwe mnawapa na hizo simu maana mnawafanyia challenge afu mnanyang'anya vitu sio poa
Ila wanawake mmmh sio poa...
😅😅😅😅mwanamke kaona sm kachanganyikiwa
Mimi ahuniwezi nimesha shindikana
Duuuh mie kama nirafiki yangu naweza kumpa mauwa maana apo ameniokowa kabisa
Saa mbon ajapata ata simuuh😢
SI amekosa challenge ilitakiwa asifike
Duuuuh don't trust anyone under the sun weeeee uyo dada alivyo mbaya kaka wa watu mzuli eti hana lolote alafu wastalabu wanawapata viluka njia na viluka njia huwapata wastahalabu mdada mwenyewe anaonekana mswailii aswaaa uyo ata ukiowa unaweza lea watoto waso wako
Uyu dada nae unaitwa sehem unakuja na kijora😂
Yani ktkt hli nimejifunza simwamini mtu ktk yangu japo nitfanyanao kaz.nk