FIKRA ZA MWILI. By. F.E.Nyanza, Kwaya Ya Mt. Antonini-Molla, Moshi (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- FIKRA ZA MWILI ni wimbo unaopatikana katika albam ya Kwaya Ya Mt. Antonini- Molla, Kutoka Parokia Teule Ya Kugeuga sura Yesu (Transfiguration), Ambao unapatikana Kwenye Albam yao Inayoitwa SALA NA KAZI.
Wimbo; Fikra za mwili.
Mtunzi; F.E.Nyanza
Productions; GFM Production.
Organist; Eligy Tenges
Sound Eng. Maximillian Mashamba Mbj
Video Director; John Nestory
Ass Video Director; Patrick Mndeme
#fikrazamwili #catholicsongs #kwayakatoliki #catholicchurch #gospelmusic #praise #praiseandworship #tiktok #mwili #kwayakatoliki #gfmproduction
🎉🎉🎉🎉🎉 Tuliorudia mara 5 gonga like ❤
Kazi nzuri sana hongereni kwaya Mt Antonini
An excellent work,from,Nyanza,,wanakwaya,,na myama ET🎉
Congrats 🎊🎊👏 wapendwa Mungu awape moyo huohuo wa kuzd kumtumikia 🙏🥰
Wimbo mzuri, ujumbe mzuri, waimbaji wameimba vizuri. Hongera sana
Kazi tamu Nzuri saana
Imekaaa poa sana hii hongereni nakuona mndeme safi sana kijana wangu
🙏 🙏 🙏
Fikra za Mwili huleta kifo!!!,Amaizing compostion from maestro Nyanza.
Favorite song ❤❤❤mliupiga mwingi
Good one
Wimbo wenye maudhui, 🎉
🔥🔥🔥🔥🔥
Verse two!!🔥
Prince kama prince😅😅😅😅
Kazi nzuri
❤very true !!! Mungu awabariki sana❤❤
Kazi na dawa...saaafi
😊😊😊😊kazi nzuri 👏👏🥰
KAZI imekamatana
Dadeki ❤❤❤❤❤
Una wosia mzuri sana..uhalisia ya mambo ni kuwa twapazwa ku control fikra zetu...shukran!!
Utunzi mzuri, uimbaji mzuri, video safi.
Bonge la song❤❤❤❤.
Rudi nyumbani kumenogaaa
Soon and ery soon
Kazi nzuri sana hongereni wanautume.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ndimi zangu zimegandamana na kaa-kaa la kinywa changu!... Kongole nyingi kwenu!
Kazi nzuri sanaa🎉
🤝
Good music
Hongereni kwa kuendelea kutangaza injili
❤❤❤
Safi sana waimbaji kazi nzuri sana
Kazi nzuri. Hongeraa
The song and the production are so amazing indeed ❤
The subtitles are perfectly done too❤🎉🎉🎉🎉
Safi❤❤❤
🔥
Wimbo mzur sanaaa fikra za mwili
❤
Kazini nzuri sana ❤❤❤