Duu polen jaman mana watu wameona mnakuja vizuri mtu ndo anaanza kuja kukuunguzia da!!! Inauma Sana...ila pole wapendwa mungu atakufanyia wepesi...Yani mtu unaweza mtu kufa iviivi Yan Kwa presha Yani daaa!! Poleni Sana Yani mtu anajituma Kwa haki alafu mtu anakuja kukuludisha nyuma da...nimeguswa Sana...Yani mtu anaweza akakusababishia uchizi ivi ivi...
Poleni sana ni mipango ya allah mushukuru mungu na mumiachie mungu yeye ndio mpangaji wa kila kitu ni kumshukuru mungu weoesi utapatikana kea njia nyengine
Duh pole ndg tena pole sana kwa maelezo yko 30,000/= × 800 × canteen tatu ni sawa na ml 24 × 3 + manfestle na ni zaidi ya hasara inayotokana nq jibu la canculation ya hapa kutokana na hali inavyo onekana na biashara ina mqmbo mengi mno. Kaka mungu awape nguvu na afya njema maana maada hakuna mqqfq mqisha lazima yaendee hivyo mnapwaswa kupokea hili kama changamoto mojawapo au changamoto kama changamoto zingine.
Maandalizi ya mkono wapole kwa uchaguzi ujao ili kunamtu mmoja atakuja hapo kujikomba..ama majirani zenu kibiashara wanahusika.....ila watu niwanyama sana
Tanzania sio salama tena kwa maisha ya raia wa kawaida wenye furaha na uchumi wa Tanzania ni wakuu wa majeshi,mahakama,huyo raisi na idara zake! Raia tunahesabiwa kuwa ni manyani tu! Pole sana na yaliyotokea na hasara walizopata raia wenzetu.
Endelea kuitetea hiyo serikali Kama vile wanaopeana madaraka mamlaka ni watu wa ukoo wako! Utawala dhaifu wanaonufaika nao ni mafisadi yanayopeana vyeo kila kukicha, raia wa kawaida mnaishia kuchochewa chuki na kuchukiana wenyew kw wenyew kw kutotumia akili
Kwa sasa tunapoelekea kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na camera iliyounganishwa na simu yake hata mtu akiwa around anamuona akiwa nyumbani kwake wanapigiana simu dunia hii mara moja wanaweza kukupa uchizi😢😢
@ amedai samaki mmoja elfu 30 harafu mwandishi akapiga hesabu akadai ni hela nyingi sana.Sasa kama samaki mmoja mbichi elfu 30 je alikaangwa na mihongo shs ngapi ? au hawajaweka sawa wao bei zao basi angesema huwa wanauza samaki elfu 30.Kwa mimi ninavyojuwa bei ya samaki na mihogo inaanzia elfu 15 sasa elfu thelathini kwa mazingira yapi ?
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mama rais wetu Samia naomba washike mkono vijana wako hata milion 50 waendelee na biashara naomba sana
Poleni daaaah binaadamu ss tuna roho mbaya hatupendi mwenzio apate 😭😭😭😭😭😭😭😭
Poleni sana iyo ni vita ya kiuchumi
Jamaani poleni sana na sikukuu hii jamani du! Mungu awafanyie wepesi.
Wivu tu, hvi roho mbaya watanzania tutaacha lini.?
Poleni sna Binadamu wabaya
Duu polen jaman mana watu wameona mnakuja vizuri mtu ndo anaanza kuja kukuunguzia da!!! Inauma Sana...ila pole wapendwa mungu atakufanyia wepesi...Yani mtu unaweza mtu kufa iviivi Yan Kwa presha Yani daaa!! Poleni Sana Yani mtu anajituma Kwa haki alafu mtu anakuja kukuludisha nyuma da...nimeguswa Sana...Yani mtu anaweza akakusababishia uchizi ivi ivi...
Mmm! Poleni na skukuu hii mbona mmepata hasaraa! Asley Mihogo😮
Husda za kibiashara ila kwa aliyefanya hyo laana haitamuacha yeye na family yake salama... Nivbaya sana kuteketeza mali za mtu ni laaana hyo 😢😢😢😢
Kweli malipo hapahapa duniani
Poleni sana ni mipango ya allah mushukuru mungu na mumiachie mungu yeye ndio mpangaji wa kila kitu ni kumshukuru mungu weoesi utapatikana kea njia nyengine
FITNA
Mbaya sana😢
Poleni sana Mungu awatie nguvu tena😭🙏
NILITAK KWEND DAAAH AISEEE POLEN SN
Dah poleni sana kw mtihani huo
Dah poleni sana aisee ..😢😢
Mbolen sana ndugu zangu na nawatakia kirismas njema
Daa poleni sana jaman khaa inauma
Duh pole ndg tena pole sana kwa maelezo yko 30,000/= × 800 × canteen tatu ni sawa na ml 24 × 3 + manfestle na ni zaidi ya hasara inayotokana nq jibu la canculation ya hapa kutokana na hali inavyo onekana na biashara ina mqmbo mengi mno. Kaka mungu awape nguvu na afya njema maana maada hakuna mqqfq mqisha lazima yaendee hivyo mnapwaswa kupokea hili kama changamoto mojawapo au changamoto kama changamoto zingine.
Daah! Poleni Sana
Pole kaka
Vita ya kibiashara
Jamani alafu leo sikukuu ndiyo mungetengeneza pesa, cctv camera hapoo vipii????
Poleni sana daah maandaizi ya sikukuu jamani poleni
😭😭😭😭😭tupo pamoja sana ndugu zangu
Daaah hiyo inaonekana ni vita ya kibiashara na hivi leo ni x-mass 😭😱🤔
Kweli kabisa, Kuna mikono wa mtu, binadamu wengi tu hawapendi mafanikio ya mwengine. Poleni sana.
Poleni sana
Poleni sana... lakin mkae mkijua safari ya kuondolewa hapo imeanza...
Maandalizi ya mkono wapole kwa uchaguzi ujao ili kunamtu mmoja atakuja hapo kujikomba..ama majirani zenu kibiashara wanahusika.....ila watu niwanyama sana
Pole sana kaka inatia huruma sana jamanii 😭
Uyu jamaa wawatu asee mungu amsimamie saaan kajipambania saaan ila leo hiii moto usiojulikan unazuk daah mungu amtie nguvu aslay mihogo 😢😢so sad
Pole
Pole sana
Yawezekana Kuna watu wanapika hapo. But poleni sana
Kama kuna mtu kawasababishia hili allah atalipa hapa hapa duniani
Chuki tu za watu binadamu wabaya sana ishini nao kwaakili
Hawana mlinzi ?
Kitu ninachojua huyo mwamba anajina kubwa sana hapo
Hapo karibu ml 30
Daaah maisha haya 😢😢😢😢😢😢
Security ipo wapi
Duh hatar!!!!!!
Dah samaki poleni kwa msiba 😢
Tanzania sio salama tena kwa maisha ya raia wa kawaida wenye furaha na uchumi wa Tanzania ni wakuu wa majeshi,mahakama,huyo raisi na idara zake! Raia tunahesabiwa kuwa ni manyani tu! Pole sana na yaliyotokea na hasara walizopata raia wenzetu.
Sasa ubaya si tunafanyiana wenyewe hapo serikali inahusikaje?!!
Endelea kuitetea hiyo serikali Kama vile wanaopeana madaraka mamlaka ni watu wa ukoo wako! Utawala dhaifu wanaonufaika nao ni mafisadi yanayopeana vyeo kila kukicha, raia wa kawaida mnaishia kuchochewa chuki na kuchukiana wenyew kw wenyew kw kutotumia akili
Kumbe maji ya bahar hayazimi moto
Sasa nikija dar ntakula mihogo na samaki wp
Nyie hayakuhusuni samaki kanunua bei gani yy kashasema elf 30 imetosha.....ata akisema elf 10 mmoja nyie mtalipa?
Poleni sana 800 samaki x 30,000= 24millions. Zidisha mara canteen zake. Duuh mungu amjalie kusimama tena.
Baba Somo la hesabu ulipata F Safi kabisa😂
Eneo hilo linafaa ziwekwe nguzo za chuma kwa kule bondeni ama kwa uku nyuma road zifungwe camera ili kuondoa utata
Kwa sasa tunapoelekea kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na camera iliyounganishwa na simu yake hata mtu akiwa around anamuona akiwa nyumbani kwake wanapigiana simu dunia hii mara moja wanaweza kukupa uchizi😢😢
Thelasi ni bei ya sisi kununua ili tule
Bima ipo?
Hata mimi sijapenda hii kurudishana sana nyuma lakini samaki mmoja elfu 30 sasa mlioenda kula hapo samaki mmoja na mihogo shs ngapi ? nauliza tu
Uyo ametaja bei ya kuuzia Sio ya kununulia.. Hapo SAMAKI wanaanzia elfu 25 Hadi 35
@ amedai samaki mmoja elfu 30 harafu mwandishi akapiga hesabu akadai ni hela nyingi sana.Sasa kama samaki mmoja mbichi elfu 30 je alikaangwa na mihongo shs ngapi ? au hawajaweka sawa wao bei zao basi angesema huwa wanauza samaki elfu 30.Kwa mimi ninavyojuwa bei ya samaki na mihogo inaanzia elfu 15 sasa elfu thelathini kwa mazingira yapi ?
Musikute mumezulumu MTU duwazake zimewaripukiya pole I lakini
Huenda Kuna mbinu muondolewe hapo
Watu hawajali wanachoma tu utambi
Mh kulikoni
Stupid question
Hizi ni figisu za kibiashara
Pole sana