GAMBO NA MAKONDA WAZUNGUMZA MBELE YA KANISA "MAKAMU ALITOA MAELEKEZO YAMEPUUZWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 107

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 5 วันที่ผ่านมา +4

    Gambo uko juu,nimekuwa nikikukufuatilia,uko juu jamaa. Big up Gambo. Mfumo tu wa Ccm ndio unakuzingua.

  • @DataICT-n8s
    @DataICT-n8s 5 วันที่ผ่านมา +10

    Mnaleta siasa kwenye nyumba ya ibada,c ungemfuata officin kwake ndo umwmbie hayo, uchawa unasumbua sana nchi hii

    • @abednego3876
      @abednego3876 4 วันที่ผ่านมา +1

      Msingi wa Roman catholic ni siasa ww kum

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 วันที่ผ่านมา

      Hiyo SIYO romani catholic please

  • @brushisageni79
    @brushisageni79 5 วันที่ผ่านมา +9

    Kiukweli mm ni mkiristo ila hili linalofanyika na viongozi wa makanisa wameaza kuharibu kusudi la mungu kuruhusu makanisa. Yaani siasa zimekuwa nyingi makanisani.

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 5 วันที่ผ่านมา +1

      Jamani hayo maneno ya kisiasa yanatoka wapi kanisani,umekuwa Mwalimu wa maaskofu wa Tanzania kweli.

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 5 วันที่ผ่านมา +8

    This is very sad church turns to politics 💔😭🇹🇿

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 5 วันที่ผ่านมา +5

    Siasa achenmakanisan hivi chamakingine kikiingia makanisani mtasemachama kinaingia kanisani ni hatanisana hii tukianza kuzungumza siasa makanisan na misikitini ni hatarisana

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 5 วันที่ผ่านมา +4

    Unataka kuombewa sio kuelekezwa.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 4 วันที่ผ่านมา +2

    Bwana yesu asifiwe sana, Amen. Mnaokosoa kuweni na uelewa, watu ni walewale, wanaoenda makanisani na misikitini ni haohao, na ni haohao wanaoenda mikutano ya kisiasa so,hakuna shida, na mimi nakataa eti tusichanganye siasa a dini, lazima wote tushirikiane, ni sawa.

  • @paulchagonja
    @paulchagonja 5 วันที่ผ่านมา +8

    HIVI wewe ndie umeleta mkutano HUO wa huo wa jumuia ya madola?uwe na AIBU kidogo mbele za watu.

    • @lutegomakoyeluhahula361
      @lutegomakoyeluhahula361 4 วันที่ผ่านมา +1

      We uliyekuwa na aibu,mbona unaonyesha una chupi binafsi?

    • @stephanokaaya1881
      @stephanokaaya1881 วันที่ผ่านมา

      Wewe mpuuzi makonda kaongea Nini kibaya hapo? Jangili wewe

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 5 วันที่ผ่านมา +7

    Tukisema ccm mmeshindwa kuongoza mnatukadirikia wapinzani waliongea hayo bungeni mnawapuuza

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 4 วันที่ผ่านมา +2

    Makonda acha uongo. Usimuondoe rais bingwa wa kutoza kodi kila kitu. Hayo unayosema ni mambo ya kitaifa si ya kimkoa. Ni sera mbovu za nchi. Angalia madini tunavyopigwa wakati Botswana wakipeta. Hapa wa kulaumiwa ni rais. Kinachotakiwa siyo kuombewa bali kuambiwa ukweli mnaougopa na kuuadhibu.

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 5 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa nini Kanisani pawe mahali pa kusutana ?

  • @grasslugala9860
    @grasslugala9860 4 วันที่ผ่านมา +2

    Watanzania kuweni màkini huyu mtu saiv kaanza kwenda kupiga kampen kwenye nyumba za ibada fikirini je week iliyopita alikuwa kwa mwamposa anafanya nini kama co kampeni?

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 5 วันที่ผ่านมา +8

    KKKT wametegwa,wamegeuza ibada yao kuwa ukumbi wa kisiasa

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 4 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe sio kiongozi ni mtawala alikuchagua nani wewe na mwenzio uyo gambo vitimalumu. Hana uwezi si mnakula kodi zetu mnanenepa toka apo damu Inawalilia

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 4 วันที่ผ่านมา

      Fitna imekujaa, jitu la ovyo sana wewe.

  • @dismasmasaga.3581
    @dismasmasaga.3581 5 วันที่ผ่านมา +2

    Point gambo

  • @johnkiganga6014
    @johnkiganga6014 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi naona nisawa kabisa serikali na Dini zinashirikiana .nawao wamechingia na viongozi wa dini wamepata majibu ya lami

  • @kigongolevi5403
    @kigongolevi5403 4 วันที่ผ่านมา +2

    CBadala ya kuzingatia shughuli iliyo wapeleka wanaanza kusutana kutafuta kura.!!!!

  • @LensonMwaigombe
    @LensonMwaigombe 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hakiki sabato ndio kaniasa la Mungu la kweli

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani yy hajazulumu nyumba/magari!

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wachungaji...Maaskofu mkisharuhusu ibada ziingiliwe na mambo haya sio sawa hizi ni ibada na ibada zinatakiwa kuheshimika bhana kha siasa sio mbaya ila kwenye ibada tena

  • @benolduka
    @benolduka 4 วันที่ผ่านมา +1

    What he is talking is irrelevant to the occasion. Mnamsikiliza huyu kweli! Anatakiwa the haig

  • @bishopmgambomwenyecheo4610
    @bishopmgambomwenyecheo4610 3 วันที่ผ่านมา +1

    Siasa Kanisani ni hatari

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 วันที่ผ่านมา

    Analetaje siasa kanisani
    Aende kwenye majukwaa ya Chama cha CCM
    Msiruhusu watu kama hawa kanisani kuongea nsnyi mnamsikiliza badala ya neno la Mungu

  • @GodfreyTarimo-je4xo
    @GodfreyTarimo-je4xo 5 วันที่ผ่านมา +1

    Una jipy wew

  • @maadigitalpro
    @maadigitalpro 4 วันที่ผ่านมา

    Hili la mifugo. Upo sahihi

  • @saadune
    @saadune 5 วันที่ผ่านมา +3

    This is so so sad that churches allow this sort of thing....settling political scores .... absolutely disgusting

    • @paulinaobiria9649
      @paulinaobiria9649 5 วันที่ผ่านมา

      Hapo wangefanyaje viongozi wa kanisa, huwezi kuwakatiza

  • @barakabusima
    @barakabusima 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo siyo mahala pake ...kasali Rudi nyumbani

  • @nolascomashelle6838
    @nolascomashelle6838 วันที่ผ่านมา

    Tukea umekaa Arusha miezi mitano watu wamekufa kama nyumbu alafu unasubutu kutupigia mikelele

  • @PhilipoKisuna
    @PhilipoKisuna 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ameongea ukweli kwani wanadamu wanataka nini kwa makonda amekosea wapi?

    • @nyotaphina8167
      @nyotaphina8167 4 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio tabia ya Mwanadamu hiyo kuona mabaya tu hata kwenye mazuri

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 4 วันที่ผ่านมา

    Rushwa inatamalaki kwenye serikali za mitaa, inatisha.mungu anawaona haki huinua taifa.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 5 วันที่ผ่านมา +1

    Usichanganye kiswahili na kiingereza."Nina delegate",sema nina ujio au ujumbe ili wananchi wafaham

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 5 วันที่ผ่านมา +1

    Haya maelezo na masuala ya kiroho kuna uhusiano gani? Yanamtoaje muumini katika dhambia?
    Mnaharibu na kunajisi madhabahu ya Mungu

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo ndio napo ikubali kanisa tunaweza kuuza na kununua na kufanya siasa kanisani wakamuwe watowe fungu la 10

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 5 วันที่ผ่านมา

      Bwana Yesu alipikwenda Jerusalem alilia sana alipokuta hekalu la Baba yake limeingiliwa na walanguzi na wafanyabiashara,angalizo msifanye walivyo fanya

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 4 วันที่ผ่านมา

      Hakuna atakae mwelewa Makonda Kwa sasa

  • @petermadata7803
    @petermadata7803 4 วันที่ผ่านมา

    Fanyeni kilichowapeleka hapo kanisani. Hayo mengine mnayozungumza yana nafasi yake nyingine

  • @PhilipoKisuna
    @PhilipoKisuna 5 วันที่ผ่านมา +2

    Acheni wivu

  • @manenoramadhan1432
    @manenoramadhan1432 3 วันที่ผ่านมา

    Makanisa ya bongo mnafail sanaaa hayo ni mawaidha au siasa za 2025

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 5 วันที่ผ่านมา

    Hatari siasa tena kwenye ibada.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona mlisema dini na siasa haviendani Sasa wewe Nini siasa kanisani au mnakuwa mmelewa

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 วันที่ผ่านมา

    Acheni utoto maccm mmeshakosa weledi wa kuongoza nchi

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 วันที่ผ่านมา

    Wamesema wanakuja kula nyanya

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 3 วันที่ผ่านมา

    kilaza wew. yaani leo ndo wataka kuwaaminisha watu utalii unamsaidia mkulima nyanya? Mbona hukumshauri magufuli asifunge maduka ya kubafilisha hela na muache kuchukua hela kwenye acc za watu?

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 5 วันที่ผ่านมา +2

    Katikati ya ibada mnaingiza mijadala ya siasa.

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 5 วันที่ผ่านมา

      Ngombe hawezi badilika,anabadilika akiwa butcher akiitwa nyama au kitoweo,siasa kanisani hapa ule ukabila wa Kenya mnauleta kwa lazima.

  • @danielmusee
    @danielmusee 4 วันที่ผ่านมา

    Hakuna ufunuo kweli mkuu Makonda,umesema la maana

  • @annajohn175
    @annajohn175 5 วันที่ผ่านมา +2

    Siasa makanisani misikitani si haki haitakiwi kabisa KKKT MNAKWAMA WAPI

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 4 วันที่ผ่านมา

      20mill😂

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 4 วันที่ผ่านมา

      20mill😂

  • @mage5371
    @mage5371 4 วันที่ผ่านมา

    Dah hd kanisani jamn!!!

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi huu utaratibu wa Viongoz kuongea kanisan baada ya ibada umeanza lini......

  • @JohaTitoh
    @JohaTitoh 4 วันที่ผ่านมา

    Huyooo gambooo kwanzaa atokeee arushaaaa anafitina

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 4 วันที่ผ่านมา

    Nijuavyo ibada zinafuata kalenda,masono yanayosomwa yanafuata kalenda,sasa hapo kama kanisani ni injili gani hiyo.Lakini pia nyinyi wanasiasa mnasema viongozi wa dini msiingilie siasa.ajabu leo mnaanza kuwaaguza makanisa cha kufanya.

  • @maadigitalpro
    @maadigitalpro 4 วันที่ผ่านมา

    Makonda una akili sana.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 วันที่ผ่านมา +3

    Nchi ikikosa maono nchi huangamia ndio maana waafrica upo nyuma sanaa hatuna vision nzuri ni blabla tu

  • @godfreyjohn8460
    @godfreyjohn8460 5 วันที่ผ่านมา

    Kweli mkuu utalii ni kila kitu

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 5 วันที่ผ่านมา

    Bwana masifa

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala 4 วันที่ผ่านมา

    Nikweri

  • @nedlly2
    @nedlly2 5 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Warioba alishashauri nyumba za ibada msali na kuondoka. Siasa zipelekeni kwenye majukwaa yake! Utambulisho tuu unatosha!

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 5 วันที่ผ่านมา

    Siasa sawa lakini sio makanisani

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 2 วันที่ผ่านมา

    makonda😂😂😂😂😂😂😂

  • @ephraimjoelmwaitege
    @ephraimjoelmwaitege 4 วันที่ผ่านมา

    Kila mkoa una Neema zake

  • @alexmichael5850
    @alexmichael5850 5 วันที่ผ่านมา

    Huyo mwanaume alie suka nae hapo kanisan anatafuta nini jamani kanisa limekufa ivi kweli msikitini huyo shoga alie suka hawezi kanyaga. Kabusa

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 5 วันที่ผ่านมา

    Hapa ilikuwa kanisani au?
    Mbona wanasiasa watu wa serikali wanahubiria kanisa, wachungaji na maaskofu..?

  • @VladimirNtuli
    @VladimirNtuli 5 วันที่ผ่านมา

    Wakiandaliwa midahalo wanakimbia ila kanisani ndo wanachambana 😂😂😂

  • @grasslugala9860
    @grasslugala9860 4 วันที่ผ่านมา

    Hapo co mahali pake

  • @yasiningoda5865
    @yasiningoda5865 5 วันที่ผ่านมา

    Apo sio sehemu ya siasa

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 5 วันที่ผ่านมา

    Siamini ninayoyaona kanisa limegeuka jukwaa la siasa oh tumekwisha

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 วันที่ผ่านมา

    Mh Gambo ww ni jembe sana

  • @ntulloboy2916
    @ntulloboy2916 5 วันที่ผ่านมา

    Ni ckub za mwisho kanisa zmegeuka siasa

  • @davidmbilinyi4715
    @davidmbilinyi4715 5 วันที่ผ่านมา

    Viongozi makanisa sio sehemu ya kuzungumza siasa hapo mnaharibu hii sehemu ya kuungama madhambi yetu sio viwanja vya siasa

    • @nyotaphina8167
      @nyotaphina8167 4 วันที่ผ่านมา

      Mbona mnakalia kiti cha hukumu wakati aliyetuumba hachangii utukufu na yeyote?

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 5 วันที่ผ่านมา

    Rc makonda unasema imetoka mwanza kwamba mwanza hakuna wageni wanaoingia na kuongeza kipato kwa Wana mwanza ?haujafanya utafiti wa kutosha Iko hivi mwanza inawageni wengine wanaoingia na kutoka kuelekea bukoba Uganda musoma na Kenya "watu hao wnatokea daresalamu na mikoa yote ya tanzania ndio maana mabasi mengi yanaingia Kila siku *mamantilie wanauza nyumba za wageni zinajaa Sheri zamafuta zinauza pia

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 5 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda misifa kibao

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 5 วันที่ผ่านมา

    Msigeuze makanisa kuwa majukwaa ya siasa ndugu zangu.

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 4 วันที่ผ่านมา

    Mwisho wa ubaya aibu

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 4 วันที่ผ่านมา

    Hapo nikanisani acha siasa

  • @PeterMandata
    @PeterMandata 5 วันที่ผ่านมา

    Huku ni nini siasa na dini au?mlisema tusichanganye dini na siasa

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 5 วันที่ผ่านมา

    Umekariri ni dalili za ujinga

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 4 วันที่ผ่านมา

    Nawew sikuiz ushakua Miyeyusho

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 5 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni kanisani au kwenye makutano mbona nasikia baba askofu

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ndio mnaingia madarakani kwa njia hizo

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 วันที่ผ่านมา

    Wanakuja kununua nyanya eeh

  • @EidAlnadabei-uc4cb
    @EidAlnadabei-uc4cb 5 วันที่ผ่านมา +1

    Muongohuyo

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 5 วันที่ผ่านมา

    Kanisa limegeuka siasa

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 5 วันที่ผ่านมา

    MAZUGUMZO HAYA YANGEZUGUMZA MSIKITINI
    WANGESEMA UDINI HUO
    NA WACHANGANYA DINI NA SIASA

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 4 วันที่ผ่านมา

    Makonda

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 5 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wetu wadina wamekuwa wanasiasa nao nawana vyama vyao wanatukosea

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 วันที่ผ่านมา

    Makofi ya nn

  • @gililwise
    @gililwise 5 วันที่ผ่านมา

    Mi ni KKKT hili lakufanya kampeni kanisani hapana

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda binafsi nakukubali saaana kwa uchapa kazi wako

  • @jamesbwire9923
    @jamesbwire9923 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mwamba sna makonda

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂