WANAWAKE TANGA WAFUNDWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2024
  • TANGA: Wanawake mkoani hapa wametakiwa kuhakikisha hawasahau jukumu la malezi kwa watoto wao licha ya kushiriki kwenye shughuli za kujitafutia kipato.
    Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Batilda Buriani, wakati wa ufunguzi wa msimu wa saba wa maonyesho ya biashara ya wanawake ya Tanga Women Gala, akisisitiza umuhimu wa malezi bora kwa watoto ili wawe na maadili mema na kufanikiwa maishani.
    Imeandaliwa na Amina Omari
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
  • กีฬา

ความคิดเห็น •