FAHAMU HAKI, VITA, NA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA || PASTOR GEORGE MUKABWA ||PART 2 || 29/02/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @ezrakenei9127
    @ezrakenei9127 8 หลายเดือนก่อน

    Pst nashukuru sana sana kwa mafunzo yako naona mafanikio katika maisha yangu siku moja nitakutafuta kwa sadaka yangu juu mafunzo nimepata kwako naona kitu

  • @aminakabuka8700
    @aminakabuka8700 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa damu ya yesu najitenga na vitovu vy wazazi wangu Mimi ni tajiri,nitaingia kaburini nikiwa nimeshiba miaka kwa damu ya yesu miaka yangu yote ikadindishe unono

    • @merymoshi
      @merymoshi 10 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @happinessuronu9089
    @happinessuronu9089 9 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor. Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi

  • @saraAjetu
    @saraAjetu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa mafunuo yatakayozidi kutufinyanga,

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏💖

  • @chrisantachuwa8297
    @chrisantachuwa8297 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante pastor kwa mafundisho yako yanenijenga sana

  • @Patience763
    @Patience763 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina amina

  • @FeiShila-gy1ne
    @FeiShila-gy1ne 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana pastor,Hakika me ni mzaliwa wa kwanza kuanzia leo nitamfanya Mungu kuw wa kwanz kwangu Nitajiungamanish nae ctamuachia kamwe.

  • @SamuelKimeu-rj8jn
    @SamuelKimeu-rj8jn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kupitia hili Somo kama mzaliwa wa Kwanza, nmefunguka macho.. Pastor Mungu akubariki Sana

  • @TabitaMartin-w7q
    @TabitaMartin-w7q 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, ubarikiwe mtumishi wa Bwana

  • @roseryoba4009
    @roseryoba4009 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Paster kwa mafundisho mazuri sana kuna maswali umejibu kwangu,Mungu aendelee kukuinua zaidi

  • @VivianNjau
    @VivianNjau 10 หลายเดือนก่อน

    amen ubarikiwe sana Pastor

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 10 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana Amen Amen

  • @neemadaudisospeter8211
    @neemadaudisospeter8211 10 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa saaaana baba

  • @rodriquezuwagukunze8143
    @rodriquezuwagukunze8143 10 หลายเดือนก่อน

    Amen!!! Ubalikiwee sanaaa Past!!!Una upakooo!!!

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeennnnnn

  • @Rebecca_tarimo
    @Rebecca_tarimo 10 หลายเดือนก่อน

    I'm blessed from kenya

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeen mtumishi wa Mungu

  • @macelinashieni1435
    @macelinashieni1435 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana pastor mafundisho Yako hunijenga sana nakufatiia nikiwa Kenya please nikitaka sadaka yangu ikufikie nafaje??

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

    • @DdsdaadAl-rrrwww
      @DdsdaadAl-rrrwww 10 หลายเดือนก่อน

      Amen barikiwa sana muchungaji

  • @lukaamosi9536
    @lukaamosi9536 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @cerecere5758
    @cerecere5758 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @nguzofuraha
    @nguzofuraha 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @glorianyambua1348
    @glorianyambua1348 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @NeemaWanjiku-vd8sb
    @NeemaWanjiku-vd8sb 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NeemaWanjiku-vd8sb
    @NeemaWanjiku-vd8sb 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @vestinambawala3238
    @vestinambawala3238 10 หลายเดือนก่อน

    Amina