PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 17 | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • SUBSCRIBE DONTA TV FOR MORE VIDEOS

ความคิดเห็น • 2K

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  6 วันที่ผ่านมา +1738

    NA MIMI LEO WA KWANZA NIPENI LIKE ZANGU 🥰🙌

    • @ephraemchando1092
      @ephraemchando1092 6 วันที่ผ่านมา +24

      Sio kwel

    • @PauloMasalu
      @PauloMasalu 6 วันที่ผ่านมา +10

      Mhhh

    • @RhonMaree
      @RhonMaree 6 วันที่ผ่านมา +12

      Nambien bc hiz like Hua zinasaidia nn😂

    • @jacksonisaya5920
      @jacksonisaya5920 6 วันที่ผ่านมา +4

      mi ndio wakwanza kuwa mpole 🤣🤣🤣

    • @SamwelMsuta-tr3tm
      @SamwelMsuta-tr3tm 6 วันที่ผ่านมา +7

      Kelvin unafanya kazi na madem mapc kinoma nipe mmoja 😅😅😅

  • @YvonneOtieno-vc5cs
    @YvonneOtieno-vc5cs 6 วันที่ผ่านมา +151

    Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimewahi mapema leo angalau mnipe likes kumi tuu yatosha

    • @Sundaymgandi
      @Sundaymgandi 5 วันที่ผ่านมา

      Kenya 🇰🇪 juuu. Mm pia n mkenya

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 6 วันที่ผ่านมา +273

    Kama pia ww unangoja Kelvin amwambie loveness nakupenda piga like yako yaba tukingoja Kelvin ❤❤❤❤❤ team kumbwa team strong jamani

    • @Mwaminimagesa
      @Mwaminimagesa 4 วันที่ผ่านมา +2

      ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @kokenye9003
      @kokenye9003 4 วันที่ผ่านมา

      @@Mwaminimagesa ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @muyastar3908
    @muyastar3908 6 วันที่ผ่านมา +23

    Jamani sijawahi kuwa wakwanza ila naomba like hata 5 tu

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 3 วันที่ผ่านมา +4

    Kelvin na loveness 🎉🎉🎉🎉 munapedeza kazi nzuri sana❤❤❤❤ much love from Saudi. Ila kelvin umeweka loveness kwenye shida pia na haziza

  • @SomoeAbdallah-xl3wx
    @SomoeAbdallah-xl3wx 6 วันที่ผ่านมา +57

    Kelvn changamkia msoso kabla huyo jamaa ajachkua nafasi yko ...kuwa muazi funguka movie izidi kunoga nawapenda sana Kelvin n loveness mastar wetu pambee🎉🎉🎉🎉

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 6 วันที่ผ่านมา +172

    Jamani toka nianze kuangalia penz la mtoto wa Boss sijapata like jmn na mm ninjoi 😅😅🎉🎉

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 6 วันที่ผ่านมา +55

    James mambo yako yamejulikana wew ni kikulacho mwanaume una umbea kam mwanamke 😳😳duuuh mhuuum,ndo umeshajulikan sas big up saan wana Donta Tv muishi maisha marefu ya Kheri na Baraka,nimefurah kwakua Kelvin amejua kua Jamess ni kikulacho,ivo atajua namna ya kudili nae.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JemimahKambua
    @JemimahKambua 6 วันที่ผ่านมา +10

    Jamani ndugu zangu yaani sijui mwanichukia kwa nini sijaipewa like ata Moja,,af ni nani anaona kama Mimi huyu bwanake na aziza atakuja kukosanisha aziza na love,,nipeeni like ata Moja basi😂😂😂😂

  • @PendoKaaya
    @PendoKaaya 6 วันที่ผ่านมา +18

    Nzuri sana so waoooh!!! 😊 Kiss 💋 mwaaah.!👍leta mwendelezo

  • @ElyséeFeza
    @ElyséeFeza 6 วันที่ผ่านมา +90

    Kevin naipenda Sana movies Yako ❤️❤️❤️ pamoja n'a laveness m'y lovely star

  • @HappyMtawali
    @HappyMtawali 6 วันที่ผ่านมา +233

    Kelvin ambia kitu love mpendane movie inoge zaid km tupo saw ekelea like tukisubiria ndoa InshaAllaah 🎉

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru 6 วันที่ผ่านมา +160

    Napenda huo wimbo haki nikweli binadamu bwana..haya nami naomba like na wew amina acha tu,,woiyee love wetu pole

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 6 วันที่ผ่านมา

      Nani kaimba huu wimbo naupenda sana

    • @thabitharange-vz2ru
      @thabitharange-vz2ru 5 วันที่ผ่านมา

      @@omarymbalala6224 nadhani kaimba kevilin

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 6 วันที่ผ่านมา +7

    Ila kelvin ameuza loveness wake mwenyewe 😂😂❤❤❤🎉🎉🎉

  • @fancycherotich8053
    @fancycherotich8053 5 วันที่ผ่านมา +8

    Am now happy loveness ametolewa kwa Amina,,, Hongera sasa kaka kevin

  • @DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vg
    @DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vg 6 วันที่ผ่านมา +267

    Leo nimechelewa team stronger 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦💪muko wapi jameni gonga like APA

    • @SamouOman
      @SamouOman 6 วันที่ผ่านมา

      tupo mamy toto🌹🌹🌹🌹

    • @DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vg
      @DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vg 6 วันที่ผ่านมา

      😘😘🌺🌺​@@SamouOman

    • @Noosa-o4q
      @Noosa-o4q 6 วันที่ผ่านมา

      Yes welome back watu wangu kev umefanya jambonzuli kumutoa lov kwa Amina ni mtoto mbayasanaa 🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yenu kutoka Bujumbura❤❤❤❤❤

    • @wembakamungu7820
      @wembakamungu7820 6 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @Christine-ho5us
      @Christine-ho5us 6 วันที่ผ่านมา

      Done dear🇲🇴🇲🇴🇲🇴

  • @sonymjomba3154
    @sonymjomba3154 6 วันที่ผ่านมา +74

    Naomba like zetu wapendwa na mm leo nmewahi,,,, team loveness na kelvin tujuane 🎉

    • @BerthaMtani
      @BerthaMtani 6 วันที่ผ่านมา

      shid nikwamba loveness nimzito kuongea jamn na me apo sijapenda

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 6 วันที่ผ่านมา +86

    Aiseeeeeerr jmn nimewahiiiij nipeni like zangu Kelvin Leo kaaamus na natamani nimuone lovenes aondoka Kwa Amina mkorofi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KhadijaDaniel-zr6ll
    @KhadijaDaniel-zr6ll 4 วันที่ผ่านมา +3

    Nimechelewa 😢sanaa jaman naombeni hata like mojaa sijawahi pewa😢ila Nawapendaa kelvin and lovenes ❤

  • @ifrahabi4834
    @ifrahabi4834 6 วันที่ผ่านมา +7

    Guy do not rush kevin to speak about his love for loveness. No no. This episode is going good direction, love will come naturally. If kevin open his heart to loveness this time of her struggles, she will lose the trust between them. It’s like scratch my back i will scratch yours.

  • @mwanamisichuma5280
    @mwanamisichuma5280 6 วันที่ผ่านมา +49

    Jamani mm wa kwanza Leo naomba likes sijawahi omba kutoka Kenya mwenzenu

    • @AminaOmar-g1m
      @AminaOmar-g1m 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uyo ndio mbaya wako jemz

  • @CastorMakalila-s7l
    @CastorMakalila-s7l 6 วันที่ผ่านมา +70

    Waoooh wale tunaoamini kuwa kevi na lavu wanapendana like hapa na mm Leo nimekuwa wa kwanza

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 6 วันที่ผ่านมา

      Mimi apo tup shirik kuamin ilo

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 6 วันที่ผ่านมา +133

    Wakwanza Leo jamen naomben like kamq unamkubari kev amuoe loveness gonga like twende mbelee 😊😊😊😊

  • @jamilamsafiri2501
    @jamilamsafiri2501 6 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani mim sijawahi kupata hata like moja😢

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 6 วันที่ผ่านมา +32

    Jaman Leo nami nimechelewa japo so sana naomben like hata kumi huku tukisonga mbele kelvin and lovenes penda sanaa mola awajalie uzimaaa kabisaa

  • @JustinBonaneharerimana-zg1td
    @JustinBonaneharerimana-zg1td 6 วันที่ผ่านมา +54

    wa Congo nyote nyosheni mkono njuu tujuwane ,🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunapenda donta tv✌️✌️✌️✌️

    • @SadaDjuma-e9b
      @SadaDjuma-e9b 6 วันที่ผ่านมา

      ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

    • @croyant16
      @croyant16 6 วันที่ผ่านมา

      Wana DONTA niwaigizaji wema I say❤ lakini nawapenda sana Da' Loveness na Ka' Kelvin. Mr Smith angekuwa bado single basi ningemshauri asimpoteze LOVENESS 🎉❤🎉❤

    • @RonaldKato-rm9mx
      @RonaldKato-rm9mx 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@SadaDjuma-e9btuko

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 4 วันที่ผ่านมา

      ​😂😂😂😂😂

  • @user-xj8ft9tj2x
    @user-xj8ft9tj2x 6 วันที่ผ่านมา +32

    Being the first viewer❤❤si Leo mnibless na likes jamanii😂

  • @DOREENNKIROTE-gc7cf
    @DOREENNKIROTE-gc7cf 6 วันที่ผ่านมา +36

    😂😂😂hiki kiamina kinaaibishwa tu life otherwise mimi wa kwanza naomba likes zangu za team kujituma

  • @user-xr7rr2rf6e
    @user-xr7rr2rf6e 6 วันที่ผ่านมา +9

    Kaz nzr ndoto mmejitahidi kuwahisha movie yetu pendwa,,,ila kelvin fanya tuu kumfungukia lovenes kuwa unampenda,,,like jmn kwa kev na love😅 ❤️ 😍

  • @NazmaJuma
    @NazmaJuma 6 วันที่ผ่านมา +13

    Mume wa daAziza asimtake lave 🎉 kimapenzii 🎉mchezo mtahuharibu Dada love mbona anapitia magum🎉 love wapendane nakaka kelven ❤❤❤❤

    • @olicej7837
      @olicej7837 5 วันที่ผ่านมา

      Tutalia tuandamane😂😂😂😂😂

    • @user-bm3lh1uy8x
      @user-bm3lh1uy8x วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa wasiharibu maana uyo Mme wa Da mzuri Aziza naona ni shida

  • @Frolence-si2hq
    @Frolence-si2hq 6 วันที่ผ่านมา +16

    Wamwisho kwel Lakini naomba like ata moja tu

  • @Jaysantans
    @Jaysantans 6 วันที่ผ่านมา +36

    Sema Kevin unapenda xana Juic tena ya embe😅 kama na wew umeona hilo like za kutosha 😅😅

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 6 วันที่ผ่านมา +31

    Kwanz huyo Amina mbaya mpk sura lake chevu nakupenda lovenes wangu❤

  • @Sundaymgandi
    @Sundaymgandi 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi njema na yakupendeza babaz 🎉

    • @Sundaymgandi
      @Sundaymgandi 4 วันที่ผ่านมา +1

      @highlight

  • @RAMGYJOSPHAT
    @RAMGYJOSPHAT 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kelvin mbona hua unamwambia James kila kitu, mahali, kuhusu Loveness. Kuwa mfichaji maneno. Love ❤ in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NajmaMwakoib
    @NajmaMwakoib 6 วันที่ผ่านมา +69

    Team strong 💪 kujeni uku movie yetu pendwa himeletwa ❤❤❤❤ nategea nikiwa saudi Arabia

    • @Hollinie
      @Hollinie 6 วันที่ผ่านมา

      Tamu jmn tatizo inawai kuisha😔

    • @Christine-ho5us
      @Christine-ho5us 6 วันที่ผ่านมา

      Tupo move damu ​@@Hollinie

    • @FaizaKabibi-tb2dj
      @FaizaKabibi-tb2dj 6 วันที่ผ่านมา

      Tupo mm nikiwa oman

    • @NemaAli-zh6hr
      @NemaAli-zh6hr 6 วันที่ผ่านมา

      Tupo free wifi

    • @aminamwivita7690
      @aminamwivita7690 5 วันที่ผ่านมา

      Nko saudia Arabia Riyadh

  • @officialkhalid3510
    @officialkhalid3510 6 วันที่ผ่านมา +72

    Leo wakwanza ni mie jameni 😊😊😊😊 fun kutoka nchini kenya,mombasa nipeni like zangu jameni ❤❤❤

    • @maseleenaesleen8149
      @maseleenaesleen8149 6 วันที่ผ่านมา +1

      Mombasa kubwa mahi Mombasa upande gani❤😂😂

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 6 วันที่ผ่านมา

      Nani anajua aliyeimba huu wimbo

  • @lucianopereyra4987
    @lucianopereyra4987 6 วันที่ผ่านมา +26

    Wa kwanza kutoka Kenya naomba likes zenu

  • @JosephKibi
    @JosephKibi 6 วันที่ผ่านมา +6

    Kelvin we ni fundi kabisa nakukubali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 6 วันที่ผ่านมา +9

    Xx nko n amani kwa kua loveness ametoka kw mikono y amina mwenye anaraha km mm like bc 🎉🎉🎉❤❤❤ Donta tv from 🇰🇪🇸🇦

    • @aminamwivita7690
      @aminamwivita7690 5 วันที่ผ่านมา

      Mm nko Riyadh

    • @GraceKenya-i4j
      @GraceKenya-i4j 5 วันที่ผ่านมา

      Mm nko Tabuk​@@aminamwivita7690

  • @LilianIdza
    @LilianIdza 6 วันที่ผ่านมา +28

    Leo pia naomba like zenu penzi la mtoto wa boss yanoga sana👌👌👌

  • @fahilashukuru1476
    @fahilashukuru1476 6 วันที่ผ่านมา +29

    Wa kwanza hapa gonga like kama unaikubali hii series

  • @BlacgBlackie
    @BlacgBlackie 6 วันที่ผ่านมา +20

    Wapiwaliokua wanasema haitatoka himoto kama pasikazi safi wa Tanzania ❤❤❤

  • @LevinaMassawe
    @LevinaMassawe 6 วันที่ผ่านมา +5

    Safi sana love umemfikishia taharifa kelvini jemsi ana tembea na amina

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 6 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi nzuri sana wana DONTA TV mpewe mauwa yenu 🌺🌺 ila tu ninawasiwasi sana na mume wa aziza asije akampenda loveness

  • @MtesigwaFrank
    @MtesigwaFrank 6 วันที่ผ่านมา +19

    Leo nimekuwa wa kwanza naombeni like zang jaman

  • @NancyNjeri-q3o
    @NancyNjeri-q3o 6 วันที่ผ่านมา +21

    Kama ni heaven wengi wetu hatungechelewa🎉🎉😂😂😂💃💃💃💃💃

  • @reginakulwa4494
    @reginakulwa4494 6 วันที่ผ่านมา +19

    Hii movie nkionaga wamepost tu mapigo ya Moto yanaenda Kasi cjui kwann sema ni nzur mnoo nataman watoe kila siku but all in all loveness na Kelvin mungu awajaalie mpate kuoana kabisa♥️♥️♥️

  • @MDMehndiHassan-ve9zy
    @MDMehndiHassan-ve9zy 6 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani nimechelewa Leo loveness nimependa sana umemwambia ukweli kelvin kuwa jemsi kuwa anatembea na Amina loveness nimependasana❤❤❤❤

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mwenyezi mungu akulinde kelvin na akupatiye maisha marefu jamani unajuwa mpaka unakera Aisee sijawayi kuomba like nipeni likes zangu Aisee.

  • @CesiliaCharles
    @CesiliaCharles 6 วันที่ผ่านมา +40

    Waooh Yan leoo kazii iko fantastic sana dakika za jioon kbsa kitu hewan nice one🎉

  • @HappyCharles-vk8ds
    @HappyCharles-vk8ds 6 วันที่ผ่านมา +51

    Nmefurahi leo loveness kamtoa mtegon kelvin like zang jmn
    Lakn loveness kanikera hajamwamby kelvin kilichotokea usiku kwa aziza jmn

    • @rahabundeje7206
      @rahabundeje7206 5 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi pia kanikera ilbdi amwambie kelvin na Aziza 😅

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 6 วันที่ผ่านมา +35

    Safi sana kaka cheza kama ww ila jihadhari na bwanake aziza kelvin funguka kaka nakupenda sana❤❤❤

  • @PitaEliasi-x8h
    @PitaEliasi-x8h 6 วันที่ผ่านมา +9

    Ile kelvin group mnajua aseee nawafatilia sanaa na napenda move zenuu sanaa mungu awabariki wasaidieni na wengine wawe kama nyie mungu atawabariki sanaaa

  • @user-jc6xs8qn6b
    @user-jc6xs8qn6b 6 วันที่ผ่านมา +5

    From Kenya nafurahia show naomba like pia.

  • @ElizaGusenga
    @ElizaGusenga 6 วันที่ผ่านมา +62

    Jama leo nimecherewa irasiyo San naomben like zanguu🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌹🥀💯

    • @FarinaMassoud-kx7es
      @FarinaMassoud-kx7es 6 วันที่ผ่านมา +3

      Abarundi oyeeee🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @FarinaMassoud-kx7es
      @FarinaMassoud-kx7es 6 วันที่ผ่านมา +2

      Abarundi oyeeee🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @ElizaGusenga
      @ElizaGusenga 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@FarinaMassoud-kx7es oyeeeeee hejur cane 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌷🌹

  • @estajamal
    @estajamal 6 วันที่ผ่านมา +19

    hongereni
    kwa kutuwahishia move
    so fantastic❤❤❤

  • @AishaHassan-f8b
    @AishaHassan-f8b 6 วันที่ผ่านมา +21

    Jaman 😥😭😭😭 na mm Leo nipeni like zangu hata oja tu japo cjui zinasaidia nn nyie nipeni hivyo hivyo tu😭😭

    • @sikukuudena2929
      @sikukuudena2929 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂zina nunuwa unga

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 6 วันที่ผ่านมา

      Hhhhhh unapat hel kipenz hhhhh usichok kuomb na ww hhhhhh

  • @AshuraIsimail
    @AshuraIsimail 6 วันที่ผ่านมา +5

    Akii hii move ni nzur na tam atal❤❤❤❤❤❤❤

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 6 วันที่ผ่านมา +4

    Moyo pole ee baba mlika moyo wa loveness ajue n jinzi gani kelvin anavyiompenda jameni 🎉❤❤

  • @johnmagana1126
    @johnmagana1126 6 วันที่ผ่านมา +19

    Wakwanza kutoka kenya naomba like

  • @Lucy-vp8pm
    @Lucy-vp8pm 6 วันที่ผ่านมา +16

    Amina mnafiki sana ww yaani wana ume wote unawataka ww mpombavu umenkera sana 😢😢😢ckupendi

    • @chrisantalyimo2577
      @chrisantalyimo2577 5 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 ni movie..me enyewe ananikeraaaa

  • @SamwelMsuta-tr3tm
    @SamwelMsuta-tr3tm 6 วันที่ผ่านมา +10

    Mm wa mwisho sitaki like ya mtuu🎉😅😅

  • @MarionSalama-b7w
    @MarionSalama-b7w 6 วันที่ผ่านมา +2

    Ni oneeni huruma pia mm sijapata like toka nianze kufuatilia penzi la mtoto wa boss na vyenye yanibamba ee😢😂😂😂

  • @RebeccaPIUS-cw7xr
    @RebeccaPIUS-cw7xr 6 วันที่ผ่านมา +9

    Mbona huyo mme wa aziza makasiriko Sanaa me nakalibisha msosi Mala moja tu alaaah

  • @iddykillavire8616
    @iddykillavire8616 6 วันที่ผ่านมา +13

    JAMAN MIE LEO WA KWANZA HAYA NAOMBENI LIKE ZANGU❤❤❤❤❤❤

  • @miriammuthoka
    @miriammuthoka 6 วันที่ผ่านมา +18

    Series nzuri tu. Ongera sana Kelvin

  • @AyubunicoMwitumba
    @AyubunicoMwitumba 6 วันที่ผ่านมา +17

    Wakwaza leo naomba like zangu kazi ni moto

  • @Clyton593
    @Clyton593 6 วันที่ผ่านมา +2

    Me ndio Mara ya kwanz kucomet jamani like hat moja😢😢😢

  • @AmosMbiko
    @AmosMbiko 6 วันที่ผ่านมา +3

    Guys like zangu wapi bana nipeni like zangu nikiwa upande wa Kelvin na loveness pongezeni❤❤❤❤

  • @jokerrasho
    @jokerrasho 6 วันที่ผ่านมา +13

    Leo wakwanz nipeeni like kutoka kenya

  • @MsukaAphrah-qm7zm
    @MsukaAphrah-qm7zm 6 วันที่ผ่านมา +30

    Wakwanza jaman naomba Hata 5 likes, watching from Doha Qatar 🇧🇭

  • @IgnasiaNathanel
    @IgnasiaNathanel 6 วันที่ผ่านมา +10

    waoooo namie leo nimewahi naomba like zangu

  • @ReboBelascor
    @ReboBelascor 4 วันที่ผ่านมา +2

    James kumbe tuko kila mahali kula choma na kunyamaza ngori Sana✨💥

  • @ashuraally-c5d
    @ashuraally-c5d 6 วันที่ผ่านมา +8

    movie nzuri sana naipenda aisee na natamani love amwambie kelv kuhusu yule shemeji yake aliye mwambia asifunge mlango uck naona kabsa hana nia nzuri

  • @neemaJames-i7e
    @neemaJames-i7e 6 วันที่ผ่านมา +5

    Aziza una roho ya kipekee sio wanawake wengi wana moyo kama wako aisee❤❤❤mob love from Kenya

  • @hamidasaid-oh8fs
    @hamidasaid-oh8fs 6 วันที่ผ่านมา +25

    Mmmmh hpn kw kwel hizi like tuzichnganye hlf tuanze mradi w kuchoma mahindi kwn hamuogopi mkiangalia movie mkiwa mmefunga midomo😂😂❤❤❤❤ ,nice job

  • @NeemaEdward-ru5tl
    @NeemaEdward-ru5tl 6 วันที่ผ่านมา +12

    Wakwanza leo maua kwa Lovness na Kev 🎉

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 6 วันที่ผ่านมา +1

    Haii kama una roho ya utu kama lovenes tujuane Kwa like mm wa kwanza wewe je?

  • @MbarakaSefu-w6y
    @MbarakaSefu-w6y 6 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana DONTA TV Kwa kituletea movie yetu pendwa Kwa wakati❤❤❤❤❤❤

  • @ElyseNahishakiye
    @ElyseNahishakiye 6 วันที่ผ่านมา +22

    Kelvin big up sana halafu mukue mnafanya movie zikue ndefu kidogo tunawapenda sana laviness ni mtu wa Siri kbx namukubali 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @HudhaimatHaji-wf8nh
    @HudhaimatHaji-wf8nh 6 วันที่ผ่านมา +10

    wow ❤🎉mumewahi mr hiii hongereni wana donta tv ❤

  • @Janethnjula
    @Janethnjula 6 วันที่ผ่านมา +7

    Leo mm wa kwanza naombeni likes zangu😂😂😂

  • @dianahnyabonyi7415
    @dianahnyabonyi7415 6 วันที่ผ่านมา +1

    🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 in 🇱🇧 🇱🇧 🇱🇧 anybody in the house 🏠 wapi likes zetu jamani 🥰🥰

  • @VincentJabir
    @VincentJabir 4 วันที่ผ่านมา

    Uzurii wa penzi hauhitaji haraka lazma upate muda ili unapofanya maamuzi yawe ya busaraa❤ like zenu wana donta family

  • @BethMkoma
    @BethMkoma 6 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu mume wa aziza huyu atamtaka loveness wetu Kama unaniamn gonga like hapa😢😢

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 6 วันที่ผ่านมา +11

    Daa Aziza roho safi ila mumewe sasa ndio ana roho chafu.atamuharibia Kelvin tena mmmh sijapenda, nawapenda bure kzi nzr

  • @trystanbertand1603
    @trystanbertand1603 6 วันที่ผ่านมา +5

    Ila kelvin unatuweza kabisa. Saa ina fika pâzuri unatuwacha
    Jitahidi basi tuone kilasiku ya kufata sio utusubirishe tena siku 2, 3. Ila kazi ni nzuri hongera saaaaaana. Nawapenda wewe n'a lavnes

  • @EdvinarElish
    @EdvinarElish 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona bado mnacheleweaha sana' jamani muwe mnawaisha episode 18 tunaitaka Leo jaman

  • @AishaJafari-sh4pe
    @AishaJafari-sh4pe 6 วันที่ผ่านมา +1

    LOVE YOU TEAM STRONG ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @JosephDismas-f7w
    @JosephDismas-f7w 6 วันที่ผ่านมา +6

    Mbona simuoni Kunambi kwenye siliaz ii wanaompenda Kunambi like apa 🎉🎉🎉❤

  • @purityrotich1703
    @purityrotich1703 6 วันที่ผ่านมา +7

    Kevin mwambie loveness kuwa unampenda bwana acha kumpeleka hivi hivi ❤❤❤❤❤ roho yako iko kwa loveness

  • @hodamzungu4107
    @hodamzungu4107 6 วันที่ผ่านมา +32

    bandika bandua kazi iyendeleee nakukubali kaka leo umewahi mnooo

  • @HonoreMuyenga
    @HonoreMuyenga 4 วันที่ผ่านมา

    Félicitations brother wng Kelvin napenda Kazi zako sana, na una nifundisha vitu vingi sana kweli, napenda pia loveness sana tu 🎉❤

  • @CalmBallet-wf6un
    @CalmBallet-wf6un 4 วันที่ผ่านมา +1

    Since I started following this films no one likes my Comment why????(

  • @anthonylukala3637
    @anthonylukala3637 6 วันที่ผ่านมา +9

    Ndonta tv like kwenu mmetuwahishia movies ytu pendwa nawapenda sna

  • @croyant16
    @croyant16 6 วันที่ผ่านมา +11

    🇨🇩🎈Wana DONTA niwaigizaji wema I say❤. Ila nawapenda sana Da' Loveness na Ka' Kelvin. Mr Smith angekuwa bado single basi ningemshauri asimpoteze LOVENESS❤🎉❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 6 วันที่ผ่านมา +22

    Toka Europe mimi ndo wakwanza ila usha uri kwa kelvini please funguka basi kwa mwezie usije kuchukuliwa tonge mdomono hoooo aya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊NAWAPENDA SANA LAVUNESS PLEASE KELVI ATAKAVYO KWAMBIA USIMUWEKE WEKE SANA MKUBALI MARA MOJA❤❤❤🎉🎉

    • @Priscillar-w4l
      @Priscillar-w4l 6 วันที่ผ่านมา

      Au sio😂

    • @AnneKATUNGUMUYISA
      @AnneKATUNGUMUYISA 6 วันที่ผ่านมา

      Na ndo kibinti kibishi hivi sijuwi kinaweza kumkubalia

  • @rehemakulwijira9662
    @rehemakulwijira9662 6 วันที่ผ่านมา

    Kila mtu wa kwanza 😅 haya na mimi wa mwisho mnipe likes zangu 😅😅😢😢😢

  • @pizowed1583
    @pizowed1583 วันที่ผ่านมา

    Leo nita toa like kwa kila omba omba wa like😂😂😂😂