Hii house girl season 3 ni shida kwa halitu ya kawaida haipaswi kuimaliza tuendee nayo hata miaka 10 mbele au nyinyi mnasemaje ndugu zangu I love busati tv ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
mr chiko hata ufanyeje huwezi kumrudisha zatiti kwenye imaya yako tena maana hauko tena ndani ya moyo wake ulitoka tangia ule wakati uliokuwa ukim wamdharau wanaoamini zatiti haezi rudi kwa chiko gonga like❤❤❤❤❤❤
Kila mchezo ukiwa mrefu hadithi huwa ni tofaut mwisho huwa ni mbaya natumai hii ni sizon ya mwisho na haitokuwa ndefu ila kiukweli munaiharibu house girl
Asante director 👌 jamn tafadhali naombeni penzi la Tasha na Zatiti lisiguswe yaan limeninogea Aki 😂❤❤❤🎉🎉 naliombea hadi dua ila kuna watu wanajua kupendezana 🥰👏👏🎉🎉🎉🎉❤❤
Najua nimechelewa ila naomba nisiwe mchoyo wa fadhila, aki kusema ukweli tangia nianze kutazama hii house girl nimejifunza vitu vingi mno, me kwa kweli nawaombea mungu awazidishie uwezo muzidi kutudunza zaidi na zaidi, alafu cha mwisho ssa naombeni team zuu, kai, Mr tasha, zatiti, na wengineo nawaombeni mpitie comment yangu nami nijisikie kupendwa, aki nawapenda wote wana bus busat tv❤😘😘
Katika kila zuti litendekalo lazima nyuma kulikuwa na changamoto hivyo basi hii sio kwa kujifurahisha tu hapa n kwa kujifunza pia we all learn through experience of life
Candy unababaga hii house girl kwa kweli. Ety "nyinyi maskini" familia yako dio masikin plus mama mwazani. Af kilaba ukwaju Lia pole pole Kam mpubavu mwezako alieda chuo.....unatulisha na sisi ak
Allah awatanguliye mbele awaepushe na Vijicho na mabala awakinge nakila balaaa namatatizo ya aina yoyote Ibilisi ashindwe kwa kila njia, Ndoa ipite salama. Aaaaaameeeeen 🤲🤲🤲🤲
Hivi candy 😂😂😂😂nimeona nicheke kidogoooo,,hivi karatasi Ile ulisaini ya Nini kama Kila siku keshokesho,,haya Niko hapa utakavo muona mama ako anathamani mbwa wewe
Ila kibendu ni mzuri jamani huyu mkaka nikupe tu mauwa yak 🎉🎉🎉
Kama upo kwny mawazo yng nampenda Sana uyu kaka jmn vtuko vyake kila kt yn mm hoi kibendu popte ulipo nakpnda Sana jmn utaniua mm
Mimi naitaji awe mme wangu😅😅
@@JudithSimiyu-ps7ee 🤣🤣
@@SalhaRashid-o1r usinicheke jameni
@@JudithSimiyu-ps7ee😂😂
Wangapi wanaamini bibi atakuja kumumbua batuli kwa ubaya wake
Pamoja 🫂🫂🫂
Tuko hapa
Tuko pamoja
i agree wth you
😂@@Mariam-m1w1d
Pole Sana mpumbavu mwenzangu km unampa pole kiramba weka like 😢😢
Niuzuni kwakwel
Hii house girl season 3 ni shida kwa halitu ya kawaida haipaswi kuimaliza tuendee nayo hata miaka 10 mbele au nyinyi mnasemaje ndugu zangu I love busati tv ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kbsaa
Hakika, kwani haiboi Wala haikeri, twende Hadi season 10 jamaan
Kutoka Kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe watu Wa Mungu wewe unaesoma message hii Mungu akuinue wewe na nyumba yako
Inshallah
Amen asifiwe Yesu Kristo nawe pia 🙏🙏🙏
Amen Amen Amen
Amen
AMEEEN
Ambao tunaomba batuli mfanyakaz haumbuke please gonga😂like tujuane,,,,,💘💘💘💕💕💞💞💞💞💞💞💟💟💟💟
❤
Mwenye atasoma hii comment haishi maisha marefukwa jina la Alla 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amin 🤲
Amiin
Amin Yarby
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
Sijaelewa haishi? Mi ninaishi Kwa jina la Yesu.
Chiko utan,,,nyaaaa weweeee,kumbe huyu dogo yupo pamoja na chiko,tunaokubalina huyu dogo atamgeuka chiko 💃💃💃
Hii season inabamba iseeee wote wanaolike hii filam weka like za kutosha apo na utakuwa strong
mr chiko hata ufanyeje huwezi kumrudisha zatiti kwenye imaya yako tena maana hauko tena ndani ya moyo wake ulitoka tangia ule wakati uliokuwa ukim wamdharau wanaoamini zatiti haezi rudi kwa chiko gonga like❤❤❤❤❤❤
jaman like za kipeleka posa ka zatiti jaman ❤from oman 🇴🇲
❤❤❤❤❤🎉🎉
Ndoa ipo tuuuu
Pia mm nawatch nikiwa oman❤❤
Mutume zawad Sy like2
Kama unaamini huyu kijana aliye saidiwa na zatiti alipokua akifukuzwa 😅atasaidia zatiti na mr Tasha ili kufikia malengo yao gonga like hapa 😅😅😅
Huyu kaka nahis ametumwa na chiko atengeneze mazingira
@@NeemaNixon ndio mm pia naona hivyo ila Chiko kitamramba huyo jamaa atakua upande wa zatiti🤣🤣🤣
Kabisa huyu atakuja saidia
Amujaona walivo kuwa wanashuti chiko alivyo kuwa anawabwatiza yeye aonyeshi ushirikiano
@@Saada-g4j eeh uyu kaka katumwa na chiko
Kiramba umenichekesha sana jinsi unavyo Lia pongezi Kwa kazi nzuri nawapenda nyote ❤❤❤
Tulio anza toka season 1 2 had sasa tuko3 tujuane kwa like
Jaman tunao amini kuwa kendi hii nitabia yake tujuane kwa like hapa 😂
Naamin Yuko hivyo tu,,maan sijaona season yyt ambayo ameigiza akiwa mpolee
Kwani mke wa kilamba katekwa nanani tujiuloze kama sio BOSS wa kai
Ni boss wa Kai mpaka apo
Anazhani niamuke wa kayi ndomaana kamuteka ataibika ngoja ajulikane naliemuteka siyeee
Kibendu asema atamkaba kendy kweli😊😊😊😊😊😊😂
😅😅😅amkabe iliatie akili
😂😂😂😂😂😂
Uyo bozen kama shogq sipendi wanaume wahivi🙌
Anamaumivu hapo alipo😂😂😂😂😂😂
Mshedede wabozen umerudi sawa😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣@@FatmaRashid-i3h
Yaan siwapendi hasa mwanaume uwe na sauti
Ati mshedede😂😂😂@@FatmaRashid-i3h
Pole mukumbavu mwezangu, na wanaoamini hatapatikana akiwa salama❤❤ gonga like tukisonga
Waooooo wa Kwanzaa kutoka Tz nawapenda sana Wana familia ya busati tujuane kwa like jaman kwa wapenz wote wa house girl ❤❤❤❤❤
Leo busati tv mmenifarahisha kwa kuweka dakika za kutosha congratulations sana
Wakwanza jamani team strong nipen like zanguu🎉
Wakwanza leo naomba like kutoka saudia ❤❤
Kaboga lazima atarudi tu kwa masozi 😅😅😅
Uchawi hauedi mahali
Watatu jomn ngoja niangalie nitarud kucomment ila like msininyime na Ataye soma hii Mungu amrinde na kuishi maisha marefu kwa jina la Alla ❤🙏🙏🙏
Sio Alla, ni ALLAH
@@AshuraOmar-e1g saw nimekuelewa
🙏🙏🙏🙏
Amiin
Ameen
Mjifunze kuangalia kwanza si kukimbilia likes wenzangu
Yeah uko sahihi mwenzangu ❤❤❤
Na hizi like zinawapa nn
Hata sjui wanazipeleka wp
Naomba like na mim 😊😊
Jamani! niliona movie nyingine,chiko kawa muchungaji, kumbe chiko ana kipaji!! Chiko chiko!! achana na zatiti.
🤣🤣
Hahaaà baba yangu kipofu hata me nimeshangaa chiko Ana shusha upako tumpe maua yake🎉🎉
Leo mme nifurahisha jaman busati mda wa kutosha chukueni mauwa yenu🌹🌹🌹🌹
Mbona Rahma kafanana kama Riyama Allly ukimuangalia araka araka😅
Mimi pia nimeona ivo
Ni kweli
ila rahma mzr zaid
Ndio mwenyewe uyouyo
Mama mateso
Mweleze ALLAH siri zako wanadamu watazidi kukuumiza🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nikweli kabisa
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kila mchezo ukiwa mrefu hadithi huwa ni tofaut mwisho huwa ni mbaya natumai hii ni sizon ya mwisho na haitokuwa ndefu ila kiukweli munaiharibu house girl
Kweli hadithi imekua ya tofauti sana
😄😄😄😄😄
Nimewahii nipeni like zanguu jamni ,🤭🤭
Nami nimewahi jamani like zangu japo mbili kumbe batuli ni nyoka ila bizuu yupo tusiwe na wasiwasi🎉🎉🎉🎉
Kusem kwel character alopewa chiko asahv siipend hat kidg😏😏😏😏
Kibendu ❤U majibu hpo kwako hayatafuwti ety na ntakukaba kweli
Najeuli kaweka shingo juu nitakukabaa kwer😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Zatiti mzuri nimempenda bure tasha atafanya ndoa ya kweri japo hawaendani 😂😂
Chiko utamuelewa tu, zatiti awezi ata kidogo kwako, maji takimwagika ayasoleki❤🎉🎉🎉😊
Mungu asaidie ndoa ya da zatitu na tasha ipite salama jmn
Asante director 👌 jamn tafadhali naombeni penzi la Tasha na Zatiti lisiguswe yaan limeninogea Aki 😂❤❤❤🎉🎉 naliombea hadi dua ila kuna watu wanajua kupendezana 🥰👏👏🎉🎉🎉🎉❤❤
Baada ya ndoa ya Nr.Tasha na Zatiti tutasubiri ya Kibendu na mchumba wake🎉❤
Afu move iishe
Yaan humu nikuoana tu
Utashangaa mr tashaa atakavotoka kwa zatiti ndo atatekwaa 🥺🥺🥺
Najua nimechelewa ila naomba nisiwe mchoyo wa fadhila, aki kusema ukweli tangia nianze kutazama hii house girl nimejifunza vitu vingi mno, me kwa kweli nawaombea mungu awazidishie uwezo muzidi kutudunza zaidi na zaidi, alafu cha mwisho ssa naombeni team zuu, kai, Mr tasha, zatiti, na wengineo nawaombeni mpitie comment yangu nami nijisikie kupendwa, aki nawapenda wote wana bus busat tv❤😘😘
❤❤❤
Tuko pamoja
🙇♂️✌️❤️🙌
Afkibendu kendi asikuletee zesheni au vip kichaaangu😂😂😂
😂😂
Hii ujinga ya kiramba anashikanisha meno akiongea sijawai penda😅😅😅
Mbna mmefikia kwa kutekana tena 😢😢 mnaharibu hii movie
Hahaha
inaonekana familia ya kina chiko hawaachwagi angalia dada yake kwa bozen na yeye kwa zatiti inakera kweli
Sijawai comment lkn hongeren elimu yatufikia alfu kibendo chukua mauwa yako 🎉🎉🎉 nakupenda mpaka basi❤❤
Yaan cend du hata uongop, ata kama ni maigizo jamn duh kila move duh kwakwel utajikuta unaish ayo maisha sasa
Yaan huy cend ndo maisha yake ya kawaida hayo hata mm apa na kaa na dad mmoja yupo kama cend
Candy asiyesikia la mkuu uvunjika nguu utakuja kujutia ,afu hujajua Sania ndo raha yake kuona unaharibu pesa bila mpango Hao ndo marafiki hasidi
Waoo nimependa tu San zatiti na Tasha waaaah wivyu ndio ndoa 🎉🎉🎉🎉
daaaaaaaaah Ila ikalii San ongeza nyingine kamahiii
Sasa Mmeachana na kuomba like saiv tunaombeana D’ua tu 😂😂 Ana salamu za kiimani tu 🙌🙌🙌🙌😂 Allah atubariki wote tunaoangalia House girl 🌹🌹🤲
Hahaha jamni mbavu zangu
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha candy asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu
Sasa tena mumehamia kwenye utekaji tena nedeni mulivyokuwa munaenda movies 🎬 ilikuwa nzuri. 🙌🙌🙌mumeaza kuhalibu.
Kweli wanaiyaribu
Katika kila zuti litendekalo lazima nyuma kulikuwa na changamoto hivyo basi hii sio kwa kujifurahisha tu hapa n kwa kujifunza pia we all learn through experience of life
Hii movie wanatak kuiharibu kwakwel
@@SerenaKarembohujakosea haya maisha Kila unapotaka kupiga hatua lazima tukio.litatokea
Nimewakubali muigizaji mzuri ni yuleambae anaingiza na maswala mtambuka wapi vizuri sana lazima tahadhari ziwepo
Mjumbe fanya nguvu mupamvu wa kiramba aonekane Candy aca mazarau kwa mafamilia hela nimapito utajuta badae nakuonea uruma😢
Kibendu chukua mauwa yangu maana unanipunga sana kwa acting Yako..
Team.strong tujieken busy na house girl tusukume.sku allah atufikishe.home salam
Jaman zatiti wetu tayari ameingia kwenye mtego wa chiko ataonekana amepanga njama na watekaji hizo hela itakua kama alikua analipa watekaji
Candy unababaga hii house girl kwa kweli. Ety "nyinyi maskini" familia yako dio masikin plus mama mwazani. Af kilaba ukwaju Lia pole pole Kam mpubavu mwezako alieda chuo.....unatulisha na sisi ak
Yani nyie hii kauli ya chasa na mkewe na masozi ilishawai kunikuta daah niliumia sana wallah naumia hadi kesho ingawa niliobwa samahani😭😭
😂😂😂🙌 mwizi wa bwana wa wenyewe
😂😂😂pole siyonaceka kwamazuli uliiba ama uliibiwa 😂😂😂maisha yatauni pole 😂😂😂
Jamn nmewai n mm Leo naomben like❤❤
Yaani tasha utaingia mkenge kuwa makin nakuakin kwa kiwa wewe ni geneous
Candy unatapeliwa utakosa kumuangalia mamako alivyo kushauri ukampuuzia sio vizuri
Uyo mke wa kilamba kwani alikuwa wapi mda wote,watu 10 wageni tena mbona munapoteza ramani ya movie?
Mukumbafu mwenzangu pole Sana 😂😂😂😂Eti mukumbafu mwenzio hagelikuwa hagekuwa kaweka miongo
Kama kunamtu anachukia kipande cha kiramba kama mm gonga like haa😅
Unachukia kwa nin
@@YunucKhalidana maneno mengi hayana maana
Pia mm😂😂😂
Masozi pia wew Rudi kwa muganga ndele....chisa awe zezeta...juu anazugwa nyumba ndogo na nyumba kubwa😅😅😅
We cend acha kulitamka jina la Mwenyez MUNGU katika upuuz wako
Hatimae watekaji wameingia hadi kwenye House geril jamani duh mko vizuri sana hongereni
Wakwanza Leo me naombe ata tatu
wana busati tunawapigiya makofi kwakutuongezea dakika !tunawapa mauwa yenu mungu awabariki 🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huyo baturi anajisumbua tu Bibi zuu tunae na tunatamba naeee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pole sana kilamba atarudu t mpumbavu mwenzangu mpeni pole mpumbavu mwenzangi😢😢😢😢
Naombeni like zenu wa kwanza apa
Nickson from 254 ndani ya house girl mapema tuuu
Ukute candy ndo alivyo eti nyie masikini 😂😂😂
Pole sana mpumbavu mwenzio Kwa kutekwa❤
Yaan batuli analolitafuta atalipa hamjui bibi zuu yeye
Hii season nzuri sanaaaaa❤❤❤wanaweza sqna
Jamani kilamba ,,mpumbafu mwezangu
😅😅😅
Ila ESTA 😅😅
Wajina wa mama angu
Pesa huisha kendi hyo mwazani utakuja muomba msaada mana naona huna utu 😢😢😢
Yaaan Cady akili yko waijua mwenyew 😂😂😂😂😂
Huyo dada alievaa cape akasuka rasta kwenye kikao cha utekaji hapendezei naona anajishikashika sana
Jamani kwani sania hana family yake, Kwa sababu sijawai muona ndugu yake yeyote
Hana ndugu huyo mbea mbea tu
C anadanga tu huy atakuaje na ndugu
Ndugu wapo mikoani huko
Penzi la Zatiti na Mr.Tasha lanikumbusha mbali sana ❤️
Naombeni ata like2
Jaman kai tunaomba umpendezeshe mkeo pls
Wanaotamani kendi afungwe p o p za shingo gonga like hapa
Nawashukuru sana Busati Kwa kongeza muda ❤🎉🎉
Baturi ww nakuonea ata uruma kweli humjuwi bibi zuuu
Kazi nzuri team Busati tv🇹🇿
Wakwanza naomba like zangu
Jaman house girl iko🔥🔥 lkn hii season mbn mmetoka wembamba au macho yang😢
Anasema zatity na Tasha wanaenda kupeleka barua kwa baba ake zatity Dua jambo lao lipite salama
Allah awatanguliye mbele awaepushe na Vijicho na mabala awakinge nakila balaaa namatatizo ya aina yoyote Ibilisi ashindwe kwa kila njia, Ndoa ipite salama. Aaaaaameeeeen 🤲🤲🤲🤲
Kazi nzuri sana leo mumeogeza mda kdgo asanteni sana
Sas ivi filamu yetu inaenda kuwa mbaya sas ,haya mke wa kilamba katekwa aje mbona hatujaona si maajabu ayo jaman
Kweli kabisa wanataka watu tu saiz wanapanga wamteke Tasha kweli aina muelekeo
Wasiingize utekaji hapa kwa hii filam itatuboo zaidi
Kwel wanatka kuharibu sas
Kweli ani
😂😂😂😂😂 candy kachaguliwa na Mungu jamani 😅
Wa 62 naomba like
Hivi candy 😂😂😂😂nimeona nicheke kidogoooo,,hivi karatasi Ile ulisaini ya Nini kama Kila siku keshokesho,,haya Niko hapa utakavo muona mama ako anathamani mbwa wewe