Si hata yeye ako na hizo mapepo ..hata mtoi anahitaji deliverance ..hio kulala na mtu analala na maiti!!hizo ni majini tupu zimejaa mortuary na pia anakunywa hio maji imeosha maiti!!pthooooo
Huyo mwanamke anapenda pesa na amethamin pesa kiliko kujal na kuthamin mwill wake na watoto,hao analala na wafu hajui siku moja akirud kitamtendea nini,,badala ya kujishugulisha kulinda kizazi chake
Uyu mama ayuko sawa kuna vle alifanyiwa ako possessed . Ata tusimlaumu vle. But akikosa kwenda for deriverance atatolewa kafara soon. Anataka pesa mob na yy mwenyewe awezi avoid. But wako na utoto. Huyu jamaa ako na spirit iko ndani yake, anaongea na sauti mbili
Ata huyu madam ako na shida badala ajue pesa yenye anaambiliwa inatoka wapi una risky maisha yake na mtoto ni mdomo mingi pesa ya mashetani God have mercy
Ningetaka tu mwenye anajua wazazi wa huyu msichana akiwaona awambie wasichukue pesa kutoka kwa hawa watu juu wataingizwa kwa mashetani i pray God for the parents
What is she talking about?? ... does she remember nanalala na maiti harafu analala na yeye. What are they talking about? How can this be normal, honestly?
Huyu jama fanya uchunguzi chini ya maji kama anafanya kwa mortuary but sidhani ni kama wale watu wanau ndio wanalala nao . But vile alienda na Jay angefungulia jay secret room haki hi story ni ngumu . Hata labda ashamaliza family yake juu roho yake ngumu
Huyu jamaa kuna statement alimake akisema ati alikuwa anafikiria kutoa mtoto scarifie na bado unamuitia wife huyu hana huruma juu ukitoa bibi na mtoto kafara ni doo mob nibetter huyu dem akimbia church juu hata mtoto nimsick na jamaa hajali . Juu akitumia pesa ya pepo yeye atakufa na hataki kufa . Na ajua mtoto cause ya ugonjwa wake maybe ashampeyana better cover the kid with you blood. Hata sijuwi wajuwa hatujuwi kama alishawapeyana wote.
Hope huyu madam apate hii hizo offers unauza wazazi wako atii 50k per week madam think twice ...huyu jamaa tayari ako kwa illuminate na haezi toka huko..
The lady amenaswa.dont blame her. She has been spiritually swallowed! Jay leave this guys. They will leave a very bad energy around you and your family!
Think this is fake show anyway.. it's not making sense kupata bwanako analala na wafu and start bargaining of how much you will be getting out of it seriously????
Aky ni venye mtu ujuangi unaishi na fisi ama mtu , MUNGU ni saidie nisiwaipata mme ka huyu ,pia wanawake kunao wanafanya mambo ka hayo sasa ni wapi tunaenda 😢😢😢😢
Uyu mama n ngombe sana kwake pesa n more important than mtoto shame to mothers mothers like doesn't deserve baby's disgrace i pity this little baby girl God protect you😢😢
This guy is desperate he has already planned to sacrifice his wife and child so lazma abembeleze ..this lady should be very very very careful ..hakuna ndoa hapo and women Empowerment is very very important
Huyu mama ako na surface area kubwa lakini akili yake imejaa ujinga!! Ana bargain pesa apewe mob instead ya akanyage kubwa kubwa for real! She is so money minded na atajipata kwa hiyo mortuary huyu bwanake alale nayeye akiwa mfu!
Huyu bibi pia ndio alichangia huyu mwanaume kufika hapa.The lady seem to be in love with money alot
True
Sure 😢
Exactly
The love of money is the route cause of all evil.
Her lust for money is on another level.
True. Ladies from those sides hawafikiriangi bora anapewa pesa na hajui pennye inatoka.
Hata huyo mwanaumme alisema tu atarudi juu anapenda pesa sana
A beautiful innocent baby in the hands of two fools woiye.God protect our kids.
Imagine n the Holy ones are crying day n night God to give them kids
Ur right akh wajinga wawili
These episodes are not real
Nisamehe cha nguvu 😂😂😂😂😂😂 my stomach oooooh pwahahaha
@@paulgathua9004
Ndizo tunapenda. Wewe kaangalie reality tv.
This man will sacrifice his wife and child if this woman is money driven
She's very stupid all her minds on money not minding about her life and her baby.
True
He'll sacrifice them n give the money to the wife.
Atampea km ashakufa?
Very true
Jay hao umewatoa wapi 😅😅😅
Aki wako na utoto mwingi pia madam akai normal
Si hata yeye ako na hizo mapepo ..hata mtoi anahitaji deliverance ..hio kulala na mtu analala na maiti!!hizo ni majini tupu zimejaa mortuary na pia anakunywa hio maji imeosha maiti!!pthooooo
Why not,coz the same mjulus ndio inamwingia
Life is spiritual
Wako na spirits sana ya wafu
Sasa mtu amekufa anabanua aje juu ni mgumu kama mbao apo ni kutujesea story wanapiga apo ni ya jaba
This woman is also money orientated!! Unfortunately, with the money she'll slowly be initiated, lose her daughter and herself 😢
Huyo mwanamke anapenda pesa na amethamin pesa kiliko kujal na kuthamin mwill wake na watoto,hao analala na wafu hajui siku moja akirud kitamtendea nini,,badala ya kujishugulisha kulinda kizazi chake
She is also brainless
kabisa ndo anafanya muwe wake aingie huko kwa ajili ya maisha mazuri bila kujua kuna kutoa kafara mjinga wee mama
Exactly
Sure she is also abnormal somehow Ako na kaujinga Fulani husikii ndio alisukumia huyu jamaa hio kazi anafanya ya kulala na maiti...pesa pesa pesa
Uyu mama ayuko sawa kuna vle alifanyiwa ako possessed .
Ata tusimlaumu vle.
But akikosa kwenda for deriverance atatolewa kafara soon.
Anataka pesa mob na yy mwenyewe awezi avoid.
But wako na utoto.
Huyu jamaa ako na spirit iko ndani yake, anaongea na sauti mbili
True na watu hawaoni iyo
these son is possesed mungu saidia
Why is Jay entertaining this mad People here
My point
What are they saying?
Guys don't judge😮
Huyu mwanamke pia ako na kaujinga fulani nkt
Kuna kitu alifanyiwa illuminati is going on
Mungu tu amlinde mtoto innocent
Jay,you entertained mad people in your office,they are behaving like kids
Aki huyu madam ni mjinga sana anapenda pesa,baadala ya kuombea bwanake ama ampeleke kanisani yy ni pesa
Imagine ako after money
She's the course of that guy to do what's he's doing
Ata huyu madam ako na shida badala ajue pesa yenye anaambiliwa inatoka wapi una risky maisha yake na mtoto ni mdomo mingi pesa ya mashetani God have mercy
This lady is very stupid is still bergining about money surely hajui life yake Iko hatarini
I was even wondering ati anapiga bei na mumewe Ana doz na maiti😢
This two mad people on set 😅😅😅😅
Lazima ashakorokwa na uko after kupatikana juu alikua sawa kwa barabara
hapa ni mungu tu,kama ni mimi siwezi mkaribia
This is pure madness. Got me thinking if this loyalty tests are real
Me too I doubt alot
Hizi zinakuwaga scripted,s ukweli hii
Some are real
So it's all about money? Deliverance is badly needed here!!
All life is spiritual and this is a very unique case!
Huyu mama mjinga ngoja mtoto auzwe kama kwq senio devi huyu mama ni mbwa anapnda hela
I saw it the first day
Director please don't allow this guy in your office again ako na mashetani
Don't judge!!
@@user-fz3dg2fr6bl I'm not judging at all but where on earth can a normal person sleep with dead people the guy is satanic illuminati thing
🤣🤣🤣
Huyu dame akikubali watakufa wote mpaka wazazi.Jay uliza huyu dame ama kuna maji huyu bwanake huleta kwa nyumba
Hizo offers anapewa atalipia tuu na ni hard aepuke huyu jamaa juu hayuko peke yake
Hukuskia kuna room huyu mama haingiangi😂😢😢😢
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢maki ya nn
Imagn
Aki siunasikia akisikua 50k kwa mama na yy zake watakula siku kidogo wakufe aki
What is this woman bargaining for🙆🏿😭😭😭
😂😂😂am wordering bt a day is coming alie
Kweli Dunia inaisha
I wonder!! Huyu ata ananegotiate nini badala aende akiendanga...huyu siku moja atamuua aki as sacrifice
Woman with no wisdom..
She is bargain death😢
Jay please don't be bringing mad 👿 people on set! This is already a mad man 😤! Mkufi
More than mkufi🤣🤣🤣
Kumbe umeona kama mimi😂😂
😅😅😅zaidi ya mkufi walai
Aki wiyard xana
😂😂yenyewe
Wapi yule watchdog atwambie Kama hii pia ni SCRIPT
Na kweli kulieda wapi karibu two weeks sijakuona
Inanikalia script aki walai
Anakuja nilimuona kwa kioko
😂😂😂😂😂akisema kuhusu nini
Ata mm that's what am waiting for😂😂 coz sielewi chochote
Mama Ivon ukikubali kurudi atakutoa tu. ( Sucrifice ) ujue mama Ivon itakuwa mwisho wako ukirudi kwa huyo jamaa atakutoa wewe na mtoto.
Huyu mama na pesa aki
she need 50,000
@@suluhusamiaawazi peya pesa huyu atauliwa
I can't imagine this lady is negotiating on selling her life and soul 😢😢. Mama Yvonne hauna bahati coz itaisha kwa machozi🥺🥺
Hajijui huyu
Exactly,what i have been saying
I'm very disappointed with this woman. She still wants his dark energy money!! What a shame!
Huyu dem amenyweshwa maji ya kuocha wafu hami
This man need deliverance ooh God that’s why the country is flooding God’s tired of our sin
Ningetaka tu mwenye anajua wazazi wa huyu msichana akiwaona awambie wasichukue pesa kutoka kwa hawa watu juu wataingizwa kwa mashetani i pray God for the parents
Huyu mma asha ingizwa imgne anaitisha 45000 instead ,alafu amesahau msg eti Ako katoto ndio mmi hukalunda,,,wooooi
This couple is entertaining😂😂😂😂
Wa boo am ni script
May our risen Lord Jesus Christ have mercy on him and grant him repentance 🙏🙏
What is she talking about?? ... does she remember nanalala na maiti harafu analala na yeye. What are they talking about? How can this be normal, honestly?
😮😮 hata nashanga wueee 🫢🫢
Dame ataingia box juu anataka pesa ,ikiwa anajua chenye Mzee anafanya lakini anamshow anataka 50k how
People lost all sanity coz of lust for money
This woman she's money oriented.!! Makosa sana
Wanawake muache kupressure waume zenu ati mnataka maisha mazuri na pesa bila kujua pesa zatoka wapi kushukuru kwa kidogo mulicho nacho
Imagine
They don't want to work yet want high life
Huyu jama fanya uchunguzi chini ya maji kama anafanya kwa mortuary but sidhani ni kama wale watu wanau ndio wanalala nao . But vile alienda na Jay angefungulia jay secret room haki hi story ni ngumu . Hata labda ashamaliza family yake juu roho yake ngumu
Huyu jamaa kuna statement alimake akisema ati alikuwa anafikiria kutoa mtoto scarifie na bado unamuitia wife huyu hana huruma juu ukitoa bibi na mtoto kafara ni doo mob nibetter huyu dem akimbia church juu hata mtoto nimsick na jamaa hajali . Juu akitumia pesa ya pepo yeye atakufa na hataki kufa . Na ajua mtoto cause ya ugonjwa wake maybe ashampeyana better cover the kid with you blood. Hata sijuwi wajuwa hatujuwi kama alishawapeyana wote.
Church ????
The lady is money minded, it doesn't matter the source of money😥
The fear Of GOD Is The beginning of wisdom...They have no wisdom at all
Hope huyu madam apate hii hizo offers unauza wazazi wako atii 50k per week madam think twice ...huyu jamaa tayari ako kwa illuminate na haezi toka huko..
Meseji zenyewe zilisemakuwa ukisha ingia huko huwezi toka koo itabidi afanye hivyo hivyo hatakama zinadamu
The lady amenaswa.dont blame her. She has been spiritually swallowed! Jay leave this guys. They will leave a very bad energy around you and your family!
Huyu mwanamke ni kondoo
Kabisa kabisa
Ama she's not her self surely
She is a real sheep and the next target.
Her soul has already been placed for a price.
This is so sad. This lady has no wisdom at all.
Hawa wamutumia maji ya wafu Hadi huyu mama bila kujua,Hadi hawajielewi....ww mwanamke kubali tu pesa mnafagiliwa nyite Hadi wazazi wako
Huyo bro kachanganikiwa maskini😢shetani imondani mwake😢
Think this is fake show anyway.. it's not making sense kupata bwanako analala na wafu and start bargaining of how much you will be getting out of it seriously????
Kipindi😂😂
Jay siku izi ni vipindi tu, so useek advice Kwa comrade, Samaritan na pastor .uache vipindi
@@monicahkamau-us2fl yani MTU apate mmewe analala na maiti then she start asking for 50k from that kind of job?? How come??
For entertainment only😂😂😂
true K looks like hes not so okay. I wish you well bro
Wao watoto ni perfect combi' they deserve each other 😂😂😂
Anasema bb ananuka juu amezoea kusikia wafu wakinuka sa zenye analala na wao
Ata nimekumbali huyu mama ndiye alipea mwanaume pressure akaingua huko ,coz yy ako against pesa
This must be acting. There's no way your husband would be sleeping with corpses you meet to talk.
Hawa wote ni wazimu.....wanajifanya hawapendani lakini Wana enjoy the. Shaw😂
😂😂😂😂😂
Hapa akuna mapenzi Kuna mtu anatumiwa vibaya
Is this even a woman with a child ????
20k per day,,,,Aki wanaume Na uongo
God have mercy on this woman and her baby juu anaona pesa tu...
Uyu anadhani Bibi yake ni maiti ety ananuka😅😅😅😅😅we ii Kenya heri nikae single
Sure this lady loves money a lot, seems she's the one who forced this Man this horrible things 💔
Aky ni venye mtu ujuangi unaishi na fisi ama mtu , MUNGU ni saidie nisiwaipata mme ka huyu ,pia wanawake kunao wanafanya mambo ka hayo sasa ni wapi tunaenda 😢😢😢😢
This woman is very possessed in this mans spirits
Imepalala 😂
Uyu jamaa anachizi ak😂😂😂
,Hyu mwanaume ni illuminate ,,,mwanamke tumia akili before ukue past tence,,,God protect innocent kid😢😢
Uyu mama n ngombe sana kwake pesa n more important than mtoto shame to mothers mothers like doesn't deserve baby's disgrace i pity this little baby girl God protect you😢😢
Nilishangaa Sana kusikia boss wake akimuambia Ni yeye ameweka Ako katoto uai
😢😢😢😢😢😢😢imajin
Na bado anataka pesa aki nawatarudiana 2 😮😮😮
@@Nyamburanjuguna-o1i just imagine in
What's wrong with this woman😥😥,naona akiaga soon
Thanks jay let women learn to hustle and support their husbands even when broke don’t force them do evil things for money 💰
Correct
Short Kumi aky jay utatuonyesha mambo illuminate guy😶🌫️☠️☠️👹👺
Uyu mutu ni devolwoshipa angaria sains ya mkono
J utajionea 😂😂😂😂 with this immature pple
I don't understand this people,the love of money will take them down.
It already has
I pity this family...both of them are bird of the same feathers .. what is he negotiating about 😢
Hiki kiatu mnaongelea shually?🤣🤣🤣 Nywele yenyewe ni ya 50bob.. alafu your soul is gone.. alafu wakurape kwa morgue.. madam be wise😢
This guy is desperate he has already planned to sacrifice his wife and child so lazma abembeleze ..this lady should be very very very careful ..hakuna ndoa hapo and women Empowerment is very very important
Is this how people love money? I am shocked at this Kenyan woman to even want to negotiate with this man
What the hell if this? Both of them are out of their mind. Possessed with evil spirits
Huyu mwanamke alikuywiizwa maji ya wafu hajielewi kabisa
They both need prayers and deliverance, and dedication of their lives to God Almighty.
Uyu jamaa aachane na wafu na aanze kuact,,,,,,, the way he is sniffing 😅😅😅😅😅😅😅
I said it in the first episode,she is a real gold digger,her conscience is dead,how can a mother not cry out for the future of her own baby
Jay munajionea akhy,this lady must run juu huyo jizi atawamada
Ako na pesa ya kulala na wafu but same trouser, same shoes😢😢Alaa uyu mathee pia na pesa ni tabu tu, birds of the same feathers flocks together.
😂😂😂😂😂😂 hawa watu wanafanya nacheka walai yani wanasema pesa zenye inafaa mwanamke alibwe😂😂😂😂, but huyu mama anapenda pesa walai
This lady loves money
Wazazi wa nani hawa🤔🤔yvonne God have mercy on you
Anae lal na mait kafika ofisin 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wakenya mmetuzidi nakila kituy dhabi nyinyi kila kituy yan
But pia huyu mwanake amesababisa haja yake nipesa tu itabidi basi alale na maiti aki pia pressure iko juu kwa huyu mwanake 😂😂😂
Is this woman okay😢 how can you even bargain in such situation😮😮 i woudn't even have come to that place unless we meet in church
Jay ambia mwanamke aede maombi asitolewe kafara na mtoto wake,Mungu ashamed ya njia hatadhuriwa bora atafuta mtumishi mzuri akobolewe
She should pray for herself, her husband, and her daughter. The vast majority of pastors are also in devil worshipping.
Huyu mama ndio fala ndio chanzo cha bwanake kuwa hivi ywampenda pesa Sana hanaakili mamamzee😢amenona ujinga😂😂😂😂😂
Yaani huyu mama bado anarudi kwa huyu mwanaume in the name of money ghai
😂😂😂😂imgne aky she will come to regreat wacha mm n cheke coz ❤is not all about money
Hapa ni mungu tuu awasaidie hawa wawili. What kind of marriage is this?
Anatumia this woman's body as an altar ... there's lots of dark practices going on
Huyu mama ako na surface area kubwa lakini akili yake imejaa ujinga!! Ana bargain pesa apewe mob instead ya akanyage kubwa kubwa for real! She is so money minded na atajipata kwa hiyo mortuary huyu bwanake alale nayeye akiwa mfu!
pls mr, director , leave idiots , they are together in minds, wanakupina tu hapo, usikii alimwambia aende aombewe arudi kwao waongea 🤣🤣
Money is a source of evil😮😮
Chunga sana wewe mwanamke tamaa hitakutoa hapa duniani kimbia kilemet 100 na hukaa ndani ya yesu
Huyu amefuta bangi mingi ni ngumu kukaa na yeye mungu wangu hizo spirits amelala nazo ndio sinasumbua aki.
Kwanza saa hii ametoboa siri
This woman, sex and money😂😂
I don't know why nowadays all these loyalty test hunikalia scripted especially wakifanya follow up 😢😢😢😢
This guy is going to murder this woman eventually, she won't go far.. hata mchawi ukitoboa Siri yake na umeolewa naye atakuwinda kabisaa
Women with money will led us to heal
Mnatoa wapi nguvu ya kudate mtu kama huyu jamani.Jesus kwan ako illuminati aty 50k per wk?8k per day?
Hizo ni madawa za mortuary za Fanya KAZI,anafaa maombi coz hizo maiti ndio msumbua, please help him
Tell that lady aende akaombewe