No let God help Jay and others to help others who don't know there husband what they are doing outside here kumbe watu waliingia kwa shetani kitambo😢😢😢
Mtoto lazima anakua na nightmares n oppression ..akiokoka atarnda deliverance sababu mwanaume kufanya hivyo wako na mathibahu za ukoo ambae zinamconnect na hizo
Waende wote, kumuacha sio msahada huo, ,,,, ni kazi tu kama zingine,, shida ni hiyo kulala na maiti, Sasa Kuna watu walishatomba maiti kabla wake Kwani mnawajia na SI maisha inasonga Bado, waende kanisa wafanye Toba ya kweli na kujitakasa . .....na kujiondoa Kwa hizo maroho,wajitenge nazo ,na Mzee awe mwaminifu kwanzia hapo, ndio asipo change , mama mtoto anaweza kuondoka sasa
Ama wa kware mbola peace anakam amechoka hanashughuli ingine maybe Xunday tukienda out kiasi after chrch Better mtu Hana kitu pesa mbola peace I prefer that
Naye mungu akiamua kutoanisha uovu huewezi zuia ... Who knows ni mtoto wanani angeuliwa next... Jesus said let the kids come to me God will take care of her and many are saved from now henceforth
He should. You have no idea maybe that child is in the line if sacrifice. You know illuminati ni devil worshippers nothing us free. Lay has saved that child . If you are the one would you not be happy if you knew the truth , you want this lady to continue being in a demonic stronghold coz of the kid helloo.
Nashangaa at this rate this lady bado anasema ati mbona huwa unanipea pesa kidogo, ghaaaiiiiii !!!! In the same house kuna room hawezi ingia sababu iko na vitu za "sova" weeee, na hio haulizii
It's as if she is even confuse, she is like even after money, how comes with all these, even locked room where she can't enter ad it's there home, ohh no
Yes ni liluminat walai huyu dem ni meru wachana wanaume kama luo man wanapenda pesa chafu wakijifanya wako na pesa ujuwe labda mtoi asatolewa kafara kitambo mwanamke utauliwa waaah huyu mtu analala na maiti
Aendelee tu na ndoa yake,,,, kwani siamekaavhakiwa haoni documents za kumjulisha kazi anayo ifanya, akae na Amukabidhi Kwa Mungu, watu wako huku wametombanishwa na matakataka mengi na kama wamama hatujuagi ataa, Kwa hivo malizia ndoa Yako mamaa, .....
Ata haogopi magojwa yenye mkufi anaeza kuwa nayo huko kwa Virgina🙆❓. This is an evil man saying ATI ndio wanafanyanga ....ata kama ni Jaluo he's is supposed to sleep with dead wife only not every lady in the morgue aiiiii ....huyu labda ni WA hio dini mbaya not Abt the culture 💔
Kenyan young man they don't want to sweat and get money only for evil . God protect you J through this work. Always have Bible with you J. And holy water please.
I love the way he kept calm when jay was reading the message, the guy has join illuminati ghai fafa, sleeping with the dead and drinking their blood 🙄🙄🙄🙄
@@marymwaithera7690he was calm because he never expected. On his mind he thought he could only read cheating text if there aas any of which there was non. Any hata hakuna haja ya kucheat na mtu ako hai ilihali kuna maiti😢 But mwanamke kusema ukweli anapenda pesa. In her argument sijasikia akimtetesha kuhusu story na kuua watu na kukunywa damu yao. She bothered na kiwango cha pesa yeye upewa na mbona hatumii wazazi wake. Tofywakwaaa😢😢😢
This guy is full of himself young men and women who are doing this kind of work you will enjoy this money and it will never help you and at the end you will loose your life in the process and this lady take this issue so lightly madam run as long as the legs can carry you😢😢😢
Kenya inaelekea wapi😮c wazazi kulala na watoto wao,c wazazi kuuza/kuua watoto juu ya pesa,si wazazi kuzaa na watoto wao 😢sasa mara kulala na wafu juu ya pesa😢oooh, dear God please have mercy on us
Does this woman understand this is a serious matter aki,this is cultist but she's more concerned about the money😢may God protest her with the little angel
ATI a make sure amekunywa 1 litter???? Uuuuuuuuwi!!!!!! The guy sounds luo. I can't imagine me sleeping with a man who sleeps with the dead!! JEHOVAH JIREH
Gaaii, watu wamekuwa na tamaa ya pesa hivi surely, hadi mtu anajiingiza kwa cult uko kwa ndoa but ujui unalala mtu anakula wakufi oh my goodness, nowadays people should be prayerful mtoto anataka kuchukuliwa very innocent eeh mungu wangu nisaidie,
1 Timotheo 6:10 [10]Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi. For the love of money is the root of all evil: which while some coveted after, they have erred from the faith, and pierced themselves through with many sorrows.
JESUUUUUUUUUUUU KENYA MAMBO NI NO. ATI DRINK DIRTY WATER 💦 WHY WHY FROM A DEAD BODY . NIMEAMINI SASA EVERY ONE IS CRAZY ....MKUFI PIA AKO NA FAIDA NGAI FAFA 🤭. HUYU NI DEVIL WORSHIPER AKHI 🙆👿😈👿👿👿
@@ruthmomanyi1085 dada ruth,usishtuke sana....hawa ndo wafu wanaoishi. the living dead! where do u get the erection/feelings to lie with a dead body, cold and frozen???huyu kapagawa na mapepo wa kuzimu!
Uuuii baby is running up and down. Pole toto may the lord protect you.
I pray for you Director Jay not be attacked by these evil people.
No let God help Jay and others to help others who don't know there husband what they are doing outside here kumbe watu waliingia kwa shetani kitambo😢😢😢
Amen 🙏
Don't you have pity on the kid
Even the baby now feels the bad spirit in the father
Mtoto lazima anakua na nightmares n oppression ..akiokoka atarnda deliverance sababu mwanaume kufanya hivyo wako na mathibahu za ukoo ambae zinamconnect na hizo
Waende wote, kumuacha sio msahada huo, ,,,, ni kazi tu kama zingine,, shida ni hiyo kulala na maiti, Sasa Kuna watu walishatomba maiti kabla wake Kwani mnawajia na SI maisha inasonga Bado, waende kanisa wafanye Toba ya kweli na kujitakasa . .....na kujiondoa Kwa hizo maroho,wajitenge nazo ,na Mzee awe mwaminifu kwanzia hapo, ndio asipo change , mama mtoto anaweza kuondoka sasa
my hubby mahali ulipo nakupenda na hiyo shida yako 😢😢😢😢😢usijaribu kumuwacha mungu juu ya pesa
Pia mm
Wale husema anataka boi ako na doo ndiyo hii matokeo 😂😂😂😂wacha tu nigagane na wangu wabodaa
Aki😅
Aki 😂😂
Ama wa kware mbola peace anakam amechoka hanashughuli ingine maybe Xunday tukienda out kiasi after chrch
Better mtu Hana kitu pesa mbola peace I prefer that
Watu wa boda tuko na pesa weee😂😂
Wuiiiii.. Team single mko wapi 🙌
🖐️🖐️🖐️
hapa
Tuko hapa
👐👐👐
Niko hapa
Heri mwenye anafanya mjengo kuliko wakulala na maiti na tuendeshe range rover
Ako cult sio bure
Kweli,,afadhali nibebw kokoto
That's very bad,,familia inaenda ku hifadhi mpendwa wao pale na nyangau ingine inaenda ku zini na huo mwili shem on him😢😢
pesa ni pesa
Pesa chafu laana tubu
Weuh,women and money.The lady is more worried about where he takes his money instead of her own life and kid's😢
We rebuke the spirit of accident in our country in Jesus Name
So some people pray hard that accidents zifanyike ndo wapate pesa😢😢😢
Aki shukuru ALLAH mam huyu satani kama amngee onana na director jay mwshoye angee maliza ww na mtoi so shukuru mungu uji pange maisha fresh
Dunia kweli kuna mambo youtuber wamesaidia wengi asante sana director jay
dunia imekuwa gunia
I wonder nowadays generation
People loves money more than God,😢😢😢 please fear God please
Unfortunately
Very true
Money is key given a chance I would do the same
Do you listen to yourself.. You ask God for forgiveness please 😢😢😢
How are you
Wow! Some people are crazy! That's disrespectful to the departed souls and its disgusting..
Naota ama ni ukweli hizi vitu hufanyika? Aje sasa ni mazingaombwe haya!!!!
Weee ogopa mwanadamu jameni aje sasa ak
Aki aje sasa, sipati picha
Walai pia me iwonder aki
@@irenwambui758 the world is ending my dear
Kumbe huezi amini mtu walai
But madem wanapenda pesa, si hawajali sinatoka wapi bora pesa na maisha, all the best those ladies who loves money more than their lives
😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Yes I support this man 💪
Hustle ni hustle
Ni huyu Dem ndo alimwekea pressure
so wanaume hawapendi pesa? yeye analalaga na maiti ju hapendi pesa? Why do men pretend to be perfect? Hapa ni nani ametenda maovu ju ya pesa?
kwani is kenya slowly becoming a small portion of hell???
😂😂😂😂😂
😂😂😂. I have not laughed soo hard. You seem to have a point
😂😂😂😂😂...unafanya nicheke kwa matanga..😢😢
For real... God forgive us aki😢😢😢😢penye kenya imefika ni mungu tu
It's already hell itself😂😂😂
“Banker in the mortuary “ 🤣🤣🤣
You must be a prayerful wife, thanks God for everything girl
Jay next time in future don't sanitize a couple with a child in presence, it's a torture
True dear nice advice
Naye mungu akiamua kutoanisha uovu huewezi zuia ... Who knows ni mtoto wanani angeuliwa next... Jesus said let the kids come to me God will take care of her and many are saved from now henceforth
so it would be better not to sanitize them mzee aue mtoto later? haven't you heard ata pesa ya dawa ya mtoto haezi tume
He should. You have no idea maybe that child is in the line if sacrifice. You know illuminati ni devil worshippers nothing us free. Lay has saved that child . If you are the one would you not be happy if you knew the truth , you want this lady to continue being in a demonic stronghold coz of the kid helloo.
True the baby ako even scared
Mr. Church Hill employ this couple,i hear 17 rounds😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
The once she know.must auliwe aende church n atoke huku
Impossible even day n night for a day( 24hrs)
Dr.Jay be reading messages take a moment to read all the messages esp when the couples urge
Sijui ataambiwa vipi asikie haya
This Lady should quite this marriage lazima yeye na mtoto wata uwawa
**quit**
Yes 👍👍 kwaza sahii amejua siri zake
Banker kwa mortuary..aai devil worship..
Duuuuh dear siz run for your life 😢
iyo ni ukweli maisha yake na mtotoniko hatarini
Hafanyi morgue ako kwa illuminat si mambo na culture
that is my belief also
Very true
He works in mortuary and is in illuminati too.The sms said " ensure asipate mortician mwingine.
Very true hafanyi morgue ako illuminat
In Life is spiritual .... Erica and Tim exposed what's behind all this Cain if evil deeds... Let turn to God my people.
And that's why I call money EVIL
Money is not evil it's the people looking for it
For such money evil kabisa
Illuminat ama Freemasion?? Oh my God...Money is the course of all Evils....😊😊
Mama jukua mtoto na upotee kabisa
Kutoka apo ni ngumu kama si mtu wa kuomba 😢
@@CeciliaKitonga to be a prayer full one
Imagine ata Mtoto asha mkata sasa 😢😢😢😢😢😢
Sleeping with a dead body is just nasty. Who does that?
Just when u think you have heard the worst in the streets then boom😮😮!
Nashangaa at this rate this lady bado anasema ati mbona huwa unanipea pesa kidogo, ghaaaiiiiii !!!! In the same house kuna room hawezi ingia sababu iko na vitu za "sova" weeee, na hio haulizii
😅😅imagine me ile mbio naweza enda ntakumzikia kwa church na mtoi wangu
Ati vitu ya "sova"? Sasa hiyo ni nini? 😮
imagin this is what caught my attention.....i would be on the run
It's as if she is even confuse, she is like even after money, how comes with all these, even locked room where she can't enter ad it's there home, ohh no
She's talking of money badala ya issue ya kulala na maiti
Huyu ni kama amejiunga na illuminati juu wanaua watu wakikunywa damu 😢😢😢
True
Aki
Huyu direct ni Illuminati
Yes ni liluminat walai huyu dem ni meru wachana wanaume kama luo man wanapenda pesa chafu wakijifanya wako na pesa ujuwe labda mtoi asatolewa kafara kitambo mwanamke utauliwa waaah huyu mtu analala na maiti
😂😂😂😂😂yani kimzee kiaogopa bibi but kinataka kupiga mwaume😂😂😂ati siwezi lala pekee yangu nakujia huyo bibi yako😂
😂😂😂
Huyu ako kwa illuminati,He is not a mortician,Guys let's gather here
He might have been a mortician then joined Illuminati. God save us from these evils
Kabisaa
Aki kabisaaa ako hapo,my good lord😢😢😢😢😢😢😢😢
Kweli 😮
😊😮com
My GOD!!! Some accidents are caused by this evils. Our GOD please cover us and our families with the blood of JESUS!!!
Amen
NOW DAYS WATOTO WANATOLEWA KAFARA SANA HAKI KUMBE WANAAMBIWA WE WANT TWO VIRGINS 😢😢😢GOD PLEASE PROTECT OUR KIDS AND FAMILIES IN JESUS MIGHTY NAME.
Duniya watu wanapenda bitu yabure njo ulale na maiti shuwaly jamaani je njo utaanza lala namaiti na ginsi inakuwaga Ina nyoroka hai gugikane 😢😢😢
Aendelee tu na ndoa yake,,,, kwani siamekaavhakiwa haoni documents za kumjulisha kazi anayo ifanya, akae na Amukabidhi Kwa Mungu, watu wako huku wametombanishwa na matakataka mengi na kama wamama hatujuagi ataa, Kwa hivo malizia ndoa Yako mamaa, .....
Alafu kusoma kunakupa tabu wewe director Jay Ukisoma kalibu Atapola hiyo simu kuwa nao mbari Ukisoma 😂😂😂
ATI watoto wa shule watoto WA nani mumbambane na Hali yenu
Huyu mama ni mjinga sana haoni seriousness ya hii maneno aishie na mtoto wake
Nanshangaa pia bado ako hapo akingoja explanation
Shetani hipumbaza mtu kama hujielewi kiroho
😂😂😂😂
Hata katoto kanaogopa shetan
Madam ranaway
Jay wachanga kushinda ukiambia mtu sikia hii soma mbiombio waki bishana hapo.. atakuja kuskia zote kwa video...we wanted to hear more 😢😢😢
Mkula maiti haana hata aibu ya kusema anahustle hard. Wueeh ulale na maiti na ulale na binadamu kwani hizi ni gani haki mm nimelia
It's very sad
How can one even begin to heal from this nature of betrayal 😮😮😮?
Iyo maiti bado hujui imekufia nini
@@adelinaomani9012 imagine, wonders shall never end
@@adelinaomani9012 haki
The poor little babygal there❤
Kufanya kazi kwa morgue si shinda but kulala na wakufi woooi
kulala na wafu ni ishara ya kupagawa na mapepo
Si wakufi ni wafu buda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na venye baridi 😢
@@meshackamimo1945illuminate
It's violation ya rights za mkufi...its actually defiling himself,
My watermelon got me😂😂😂😂😂
Woooiiii the baby is wondering what's happening ..People love money they can do anything God have mercy on your people ..Sad 😔 😢
yaani analala na wakufi
Tena analala na bibi yake
Huyu mama ako na uchafu mingi ya wafu😰😰😰😰😰😳😳😳
Kabisa 😢😢😢😢😢 waah hii ni Kenya kweli 😢 mungu
😂😂
The kind of deliverance she needs maybe unless God ashuke 😢jameni
Aende deliverance that body has been deposited na mambo mingi chafu za kipepo
Ata haogopi magojwa yenye mkufi anaeza kuwa nayo huko kwa Virgina🙆❓. This is an evil man saying ATI ndio wanafanyanga ....ata kama ni Jaluo he's is supposed to sleep with dead wife only not every lady in the morgue aiiiii ....huyu labda ni WA hio dini mbaya not Abt the culture 💔
.waah mpaka mtoto amekimbia she doesn't want to see her mortician dad.😢oh my God wonders shall never end
Kenyan young man they don't want to sweat and get money only for evil . God protect you J through this work. Always have Bible with you J. And holy water please.
Ngaiii I use to see this in Nigerian movies so it's real,😮aki pesa itamaliza watu aki
Kwa maombi mbio mamaa pliz, may Lord God protect you n your dota
Huyu ako elluminati walahi, alisighn his own dead certificate, God protect us by precious of Jesus Christ
Ladies who are crying for rich men without even knowing or trying to follow what's someone do,as much as there's money be careful 😢
Hapa hakuna Mambo na kujituma hii n illuminate ya ukweliii na bibi akicheza atauawa pamoja na mtoi
True
I love the way he kept calm when jay was reading the message, the guy has join illuminati ghai fafa, sleeping with the dead and drinking their blood 🙄🙄🙄🙄
That's why I think this one in particular is acting
Seems like acting to me...there is no way mtu anaweza kua calm hvo ukisomewa such messages
@@marymwaithera7690he was calm because he never expected. On his mind he thought he could only read cheating text if there aas any of which there was non. Any hata hakuna haja ya kucheat na mtu ako hai ilihali kuna maiti😢
But mwanamke kusema ukweli anapenda pesa. In her argument sijasikia akimtetesha kuhusu story na kuua watu na kukunywa damu yao. She bothered na kiwango cha pesa yeye upewa na mbona hatumii wazazi wake.
Tofywakwaaa😢😢😢
Yuko kwa chama na pia akona secret room but huyu bibi hasikizi ndio ajuwe kila kitu na bwana bado anauwa .
Aki
Pole kwa kusema ni slow thinker ....ata yeye anaongea about money eti bona husaidii wazazi wangu 😢kama nimimi ata singekua na time ya kuskiza
Kwaza hapo kwa kuua jay angefuata ajue ameua wangapi
@@anastasiamumbi739ndio ameunga hivyo kwa kukunywa damu za watu
jay huwa na disability ya kusoma messages haraka
Am crying for poor pretty children oh God protect her😢
Jay hio n hatari usiendeleee na io case juuu itakucost aki illuminate is real
These wife should leave this man😮
Pple are crazy out there😢shindwe sana😢😢kwani true love ilieda wapi jameni
SHIFT MESSENG KATIKA SIMU YAKO DIRECTOR JAY 😂😂😂
Walai😂
True k nunua mshipi how comes unafaa suit without mshipi?
This guy is full of himself young men and women who are doing this kind of work you will enjoy this money and it will never help you and at the end you will loose your life in the process and this lady take this issue so lightly madam run as long as the legs can carry you😢😢😢
Madam wacha ujinga you are dealing with a very dangerous hatari case
Kenya inaelekea wapi😮c wazazi kulala na watoto wao,c wazazi kuuza/kuua watoto juu ya pesa,si wazazi kuzaa na watoto wao 😢sasa mara kulala na wafu juu ya pesa😢oooh, dear God please have mercy on us
Halafu unyonye mujulisi ju una amini mume wako
Kwanza najiuliz hiz maiti hazinuki jmn mpka alale nazo uwiii
That's y mungu alikasirika akatupunish na floods
@@saeaaa8571 c umesikia ana lala mtu wa kukufa mara hiyo hiyo
Huyu mwanamke akirudi kwa hiyo nyumba ameisha😢😢😢😢😢😢
Ngai ata alienda she nds alot of prayers
My watermelon was just chilling😂😂😂
dunia imeoza watu wangu wangapi tunakubaliana
Hakuna dunia ilooza ni. Sisi binaadamu ndio matatizo
I was looking for this comment,,,,thank you,,,watu dio wako na tabia zimeoza sio dunia ama kenya.😢😢😢
Totally rotten 😢
Dunia haijaoza ila baadhi ya watu ndo walioza😢😢
Oh really, he is saying he is a banker in the mortuary!!! Murife ruunnnnn😮😮😮😮😮😮
Kenya is rotten
You can say that again
Not only kenya
..nikama saudi Arabia ama waislamu ukaa na maiti kwa nyumba after sacrifice
To the core
😮😅😅😅😅😅😅😅
@@Lzzlzz-k3m it's really sad. So much being exposed.
Does this woman understand this is a serious matter aki,this is cultist but she's more concerned about the money😢may God protest her with the little angel
😂😂😂 Eti kwanza jioni nko na round tatu 😂😂😂jamaa ana maneno kweli wakufi niwatamu kukuliko 😂😂😂
Huyu jamaa ni illuminate..madam run for your life and your kids
Kindiki (kendeke)😂😂😂
In gîtháràka dialect that's the real pronunciation.
This is why we should be prayerful in all means coz a lot happening in our lives we shake dirty hand's 😮😢 people we meet bad luck Jesus save us
Day nilikufa niliona mtu akinitomba kumbe ni wewe I need justice kwa mortuary
😂😂😂😂😂😂😂aki wewe
😂😂😂😂
ATI a make sure amekunywa 1 litter???? Uuuuuuuuwi!!!!!! The guy sounds luo. I can't imagine me sleeping with a man who sleeps with the dead!! JEHOVAH JIREH
Can't imagine..
Woooi
That is very sad,the guy looks smart,kumbe ni shetani.God help my country Kenya.
Gaaii, watu wamekuwa na tamaa ya pesa hivi surely, hadi mtu anajiingiza kwa cult uko kwa ndoa but ujui unalala mtu anakula wakufi oh my goodness, nowadays people should be prayerful mtoto anataka kuchukuliwa very innocent eeh mungu wangu nisaidie,
Tafuta camera mzuri Dr Jay ama shinda ni cameraman wako akona shinda
Worst part,The kid heard it all what a story she will live to tell😢
Noo ameskia lkn after a week awezi kumbuka
Huyu yani ako na souls ties hadi za wakufi😮😮😮😮😮😮hii dunia imeelekea where
1 Timotheo 6:10
[10]Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.
For the love of money is the root of all evil: which while some coveted after, they have erred from the faith, and pierced themselves through with many sorrows.
Mpaka mtoto ameogopa dadii 😂😂
Mimi bado tu na imagine tu vile anatoa nguo aki,mungu tu atusaidie aki unaeza ona mtu anakupea pesa every now and then kumbe waaaah🥺🥺🥺
JESUUUUUUUUUUUU KENYA MAMBO NI NO. ATI DRINK DIRTY WATER 💦 WHY WHY FROM A DEAD BODY . NIMEAMINI SASA EVERY ONE IS CRAZY ....MKUFI PIA AKO NA FAIDA NGAI FAFA 🤭. HUYU NI DEVIL WORSHIPER AKHI 🙆👿😈👿👿👿
Hapa Iko maneno😢😮,DCI direct 😮
My God help us and our children 😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Justice for the baby girl
Aki am crying
kameshangaa,aki😢
Mm hata nimecheka juu mtoto ameeda mbio hataki babake sasa😂😂😂
Kanaona maiti@@anastasiamumbi739
Some people can do anything for money.Can even kill for money.
"ndoa yangu ikiaribika nakujia bibi yako, mi siezi lala peke yangu"...director J si ameambiwa mambo leo, aki!!!
Ww utakufa huyo mkula waofu awezi kuanja😂😂😂😂
@@ruthmomanyi1085 dada ruth,usishtuke sana....hawa ndo wafu wanaoishi. the living dead! where do u get the erection/feelings to lie with a dead body, cold and frozen???huyu kapagawa na mapepo wa kuzimu!
😂😂😂😂😂
Soo disgusting 😢😢 Ghai 😱😱kumbe maiti wanafanyiwa vituko, real devil 👿. Please young lady run for your life
Which means wao Dio ufanya hizo accidents 😢😢😢😢
I'm thinking of the mjulus which is entering the dead bodies 😮😮😮 oh my God
Na labda Wana BJ
@@dorcasnamiti1639 weuh
God protect this lady and her kid OMG kulala na wakufi😮😮😮
😂😂😂sio wakufi ni wafu😅
Katoto nako kanamuogopa aisee😢
The kid is just an innocent soul...God protect us from evil akiii💔💔
Ndoa yangu ikiaribika nitakamia Bibi yako😅😅😅
WOI ETI BANK NI MORTUARY LADIES LADIES DO SOME RESEARCH OR CHECK THE BACGROUND OF WHOM YOUR MARRYING BEFORE YOU TAKE A STEP
Katoto kameona kimaiti kinatembea🤣🤣kakatoroka mbio
Unataka nicheke Kwa matanga 😂😂😂😂😂😂
Ameona Daimono😂😂😂
But being a mortecian is also a job!! Who is supposed to take care of those bodies until they get interred/burried?
😮😮😮😮mili iko kwa nyumba na uko ndan na ujui😮😮😮😮
Banker in the mortuary😂😂😂😂😂😂huyu Bro ya Obado miyo abagni😂😂😂😂
Keep glow 😮😮
Jay uko sure utatuletea master 😊😊
God have mercy on us. We Jesus in our lives.AMEN