Mi nimeota mchungaji wangu ananiambia nikachangulie nguo familia ambayo twashiriki pamoja niwape waanze kazi,uyo baba wa hio familia alikuwa amenunua tayari hizo nguo lakini mchungaji akakataa kabisa akaniagiza mimi nkawachagulie hizo nguo
Hao wapenda kuna kazi mchungaji atakwambia uwapangie,lakini wao kuna kazi tayari wameigharamikia(kununua)wameilipia gharama muda wao wameitaabikia, mchungaji hatajali gharama walojitolea, ataona wewe tuu unafaa kuwapangia kazi(nguo).
@@GodfreyMwalongo-yg7tq asante kuna rafiki yangu ni mwalimu wa Sunday school aliota anajishonea joho jeupe refu lkn akawaanasumbiriwa na watoto awafundishe ye akawa amechelewa Kwak sababu ya kushona hilo joho
Mm nimeota nimepandishwa baiskeli nikapelekwa dukani nikawa na chagua nguo dukani
Baiskeli)ni mafunzo umebebwa, kuwezeshwa tu kuingia msimu unaenda kubadirisha kazi yako kwa duka,(kuchagua nguo ni kubadirishiwa kazi.
Thanks God🙏
Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana 🙏
Kuota umenunua mashuk in Maa gan
Asante mungu wangu
Amen 🙏
Amen
Ongea talatibu iliueweke
Mi nimeota mchungaji wangu ananiambia nikachangulie nguo familia ambayo twashiriki pamoja niwape waanze kazi,uyo baba wa hio familia alikuwa amenunua tayari hizo nguo lakini mchungaji akakataa kabisa akaniagiza mimi nkawachagulie hizo nguo
Hao wapenda kuna kazi mchungaji atakwambia uwapangie,lakini wao kuna kazi tayari wameigharamikia(kununua)wameilipia gharama muda wao wameitaabikia, mchungaji hatajali gharama walojitolea, ataona wewe tuu unafaa kuwapangia kazi(nguo).
@@GodfreyMwalongo-yg7tq asante kuna rafiki yangu ni mwalimu wa Sunday school aliota anajishonea joho jeupe refu lkn akawaanasumbiriwa na watoto awafundishe ye akawa amechelewa Kwak sababu ya kushona hilo joho
Joho jeupe(anajitengenezea kazi au nafasi safi,au nzuri ya kuhudumia watoto,(watoto ni huduma yako au kazi yako).
Pia joho ni(kujitengenezea kazi safi ya (heshima kutaka kuheshimika kwa kazi ya kulea watoto).
Nini nimewota nacyaguwa nguwo lakini masengiletu na mupira umoja