🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @joyceobwocha5961
    @joyceobwocha5961 2 ปีที่แล้ว +13

    Asante yesu kwa uwepo wa mtumishi wako kwa wakati na nyakati hizi, Mimi nimepona nakubarikiwa kwa kufwatilia maombi ya mjungaji kwa mkisii ya TH-cam! Nimepiga magoti ndani ya nyumba yangu marekani kwa fundisho hili, mtumishi uliposema amina, uchungu ulinitoka nikajisikia vyema miguu imeugua kwa miaka sita sasa, nimepona sasa hivi, Asante yesu .

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 ปีที่แล้ว +6

    Pr. David, Bwana akufiche mbawani mwake na aendelee kukutumia!

  • @rachelsanga7472
    @rachelsanga7472 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Pr Mungu akubariki zaidi uendeelee kutubariki kila wakati tunabarikiwa sana sana

  • @tedamidaniel6311
    @tedamidaniel6311 4 หลายเดือนก่อน

    Amina🎉

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-bx5nc8ge6r
    @user-bx5nc8ge6r 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @samuelbahati7976
    @samuelbahati7976 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen pastor God bless you Amen Amen katika jina la Yesu Ameen mtumishi waMungu.

  • @mbelemmunga-ps4df
    @mbelemmunga-ps4df 10 หลายเดือนก่อน

    amena mchungaji🤲👏🙏🙏🙏 kwakutufungua msikio

  • @user-te2ld4tq3u
    @user-te2ld4tq3u 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks for good sermonat by blessed and it's true that wachawi hawana nguvu

  • @mariammussa7654
    @mariammussa7654 7 หลายเดือนก่อน

    Kila siku sichoki kukusikiliza mana nabarikiwa sana mchungaji Mungu akubariki

  • @gracenashengena3366
    @gracenashengena3366 ปีที่แล้ว

    Pastor Mmbaga Mungu akubariki natamani nione nimejiunganisha na madhabahu ya mahubiri TV.

  • @jacquelineyona2247
    @jacquelineyona2247 2 ปีที่แล้ว +2

    Na ashukuriwe MUNGU na Baba wa Bwana wetu YESU KRISTO yeye ambaye ndiye anaendelea kukutumia Mtumishi wa MUNGU wetu YESU KRISTO yeye ambaye ametukombowa Kwa Damu yake YESU KRISTO na Mwokozi wetu.
    Huwa na kufurahia sana kwasababu huwa unajishusha sana na kutufundisha kumjuwa na kumtumainia MUNGU wetu yeye peke yake, kuliko kukutumainia wewe. Nakumbuka 1Korintho:2:1-5, inasema Kwamba: Nilifanya hivyo kusudi IMANI yenu ipate kutegemea Nguvu ya MUNGU, na si Hekima ya binadamu.
    Na ubarikiwe na Bwana wetu YESU KRISTO Mtumishi wa MUNGU wetu.
    Na MahubiriTv mubarikiwe ninyi ambao munatufikishia MahubiriTv mazuri sana kutoka Kwa Mwalimu mkuu YESU KRISTO.
    Na wa

  • @alicesidi9601
    @alicesidi9601 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Pastor Mmbaga, umenisaidia pakukwa sana 🙏

  • @PendoOscar
    @PendoOscar 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo zuri❤

  • @eustina837
    @eustina837 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wambingun pastor azidi kukutia nguvu nshukuru nabarikiwa

  • @kennedymwampote215
    @kennedymwampote215 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @mwitachacha3380
    @mwitachacha3380 ปีที่แล้ว

    Hongera doctor Mbaga kwa mahubiri yako Mazuri.

  • @rachelmkanza8306
    @rachelmkanza8306 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na kukutumia uitangaze bendera ya yesu

  • @leticialawi9569
    @leticialawi9569 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor Aksante nazidi kombolewa na kubarikiwa ninapofatilia vipindi hivi,haijarishi ni vya 2022

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 9 หลายเดือนก่อน

    That choir❤❤❤

  • @julianapeter9893
    @julianapeter9893 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina nabalikiwa sana mungu akupe maisha marefu

  • @kakurushukuru1869
    @kakurushukuru1869 11 หลายเดือนก่อน

    Amena 🇨🇩 🙏 🇹🇿

  • @beatricemarwa6731
    @beatricemarwa6731 2 ปีที่แล้ว

    Nimefunuliwa jambo jipya sikuwahi kulijua. Namshukuru Mungu kwa ajili yako. Bwana akubariki na kuilinda Imani yako.

  • @agnesseunice5632
    @agnesseunice5632 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu abariki kazi zake, amin

  • @marymoses8771
    @marymoses8771 ปีที่แล้ว

    Ameen. Hakika Bwana amenena kupitia kwako

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AND AMEN

  • @joyceobwocha5961
    @joyceobwocha5961 2 ปีที่แล้ว

    Sanaa I, Kwa njia ya TH-cam .

  • @hongeratweve3815
    @hongeratweve3815 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atubariki

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 2 ปีที่แล้ว

    Amina nabarikiwa

  • @glorydany5960
    @glorydany5960 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mno

  • @silviafurah9172
    @silviafurah9172 2 ปีที่แล้ว

    Aminaa 🙏

  • @mildredmariera7733
    @mildredmariera7733 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen

  • @froline5209
    @froline5209 2 ปีที่แล้ว

    Thank you pastor for the sermon

  • @jamesndanzi
    @jamesndanzi ปีที่แล้ว

    Pastor, how does Satan talk to God now?
    A very good lesson ever heard before

  • @georgemerere6097
    @georgemerere6097 2 ปีที่แล้ว

    Somo zurii sanaaa asanteee

  • @rogathpaul7682
    @rogathpaul7682 ปีที่แล้ว

    Damu ya yesu inatosha kabisa

  • @jeremiahakonaay1842
    @jeremiahakonaay1842 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa naomba namba yako Mchungaji wangu mafundisho yako yamenifungua fahamu kwa kiasi kikubwa

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว

    Mchawi anaskiza Mungu… ok

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว

    Kila napoomba naangusha adui

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.

  • @mosespaul1131
    @mosespaul1131 ปีที่แล้ว

    Mboña sioni download

  • @francoisecirezi672
    @francoisecirezi672 ปีที่แล้ว

    Mchungaji je wazazi wakiwa ni wacawi twaweza kuwasaidiya hela tukiwa tumebarikiwa na yesu kristo ❓

  • @jeanmandala1905
    @jeanmandala1905 ปีที่แล้ว +1

    nina kufuata toka DRC naona unafariji sana kwa yalio nitokea leo

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha kiwe vitamin C.

  • @danielzablon8388
    @danielzablon8388 ปีที่แล้ว

    How to download this....!?

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 ปีที่แล้ว

    Hakika bwana atusaidie wengiwetu tumekuwa na dini ya mazoea

  • @innocentbalahoza1491
    @innocentbalahoza1491 2 ปีที่แล้ว

    Kwann hamturuhusu kudownload? Au n biashara?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +2

      Live inakuwa shida ku download kwa asiye faham! Ila official video inakuja uta download

    • @estermgendi677
      @estermgendi677 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki mch. Mbaga kwa kazi ya Mungu unayoifanya tunabarikiwa sana na uponyaji tunapata kupitia mahubiri tv

    • @estermgendi677
      @estermgendi677 2 ปีที่แล้ว

      Kweli tutaweza ktk yeye atutiae nguvu barikiwa sana waimbaji

  • @innocentbalahoza1491
    @innocentbalahoza1491 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mruhusu tupakue maana tunabarikiwa na haya mafundisho

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว

    Kila naposoma Biblia upande mwingine unakuwa weak

  • @emmychris333
    @emmychris333 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @marsellah9295
    @marsellah9295 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @nhlnaturehumanbeingsandlif9780
    @nhlnaturehumanbeingsandlif9780 ปีที่แล้ว

    Amen