China 🇨🇳 Ndoo tishio namba moja wa marekani.. Yaani jamaa ni wadogo kimiili hila ki akili ni hatari.. Hamna anachotengeneza marekani mchina akashindwa..
We Ally masubi umeyaona magari yanayo tengenezwa Irani yan ni vyuma vya hatari sana fanyeni mtuletee makara kuhusiana na magari yanayo tengenezwa Irani asante
Iran wana migogoro gani!?? Hiyo migogoro uionayo wewe wanasababishiwa na Marekani Nchi zote zenye utajiri wa Asili ,Marekani lazima wawapelekee migogoro ili baadae waeze kuivamia hiyo nchi na kuiba Mali zao
India bado sana kumeweka anga za usa Russia na China kwa silaha , walichofanya ni first test hao Wana multiple varieties ya hypersonics, Wana madege ya stealth ingawa progress za India si mbaya Kuna muda ataingia kwenye hiyo weapon heavy weights club
@FaustinaelishaBisake-s7p hii dunia ya Leo kuwa mjinga na kutojua vitu ni maamuzi vitu na taarifa za kila kitu ziko wazi kwa hivyo ni mawili ujue au usijuwe huna haja hata yakumfatilia huyo dj smaa ka unapenda kujua mambo coz tofauti ya yeye na wanaomfatilia ni kwamba wao wameamua wakae wasubiri kuhadithiwa baada ya smaa kufatilia
@@muhamedmsomally4175 mapenzi bhana Yani anasikia kabisa marekani analalamika yeye kangangania marekani ni boss na kingine aaijua marekani kwenye makombora baro sana yeye kawekeza nguvu kwenye mandege
MAREKANI AKILI KUWA CHINA ANA MAKOMBOLA.....MENGI.... MAREKANI WEWE NANI...? MPAKA UKUBALI KUWA CHINA INA MAKOMBOLA MENGI WEWE HAYA KUHUSU FANYA YAKO....
China 🇨🇳
Ndoo tishio namba moja wa marekani..
Yaani jamaa ni wadogo kimiili hila ki akili ni hatari..
Hamna anachotengeneza marekani mchina akashindwa..
Nadhani upande huo pia Russia ALIKUA muuzaji mkubwa wa silaa china LKN naona soko HAPO linapotea,,,china ni levo nyingine
Masubi
We Ally masubi umeyaona magari yanayo tengenezwa Irani yan ni vyuma vya hatari sana fanyeni mtuletee makara kuhusiana na magari yanayo tengenezwa Irani asante
Il ufanyie BIASHARA ya Bidhaa YOYOTE LAZIMA NCHI YAKO usiwe na migogoro ya MOJA kwa MOJA na NCHI ZINGINE .
Je IRAN HAWANA migogoro na NCHI nyingine?
Iran wana migogoro gani!?? Hiyo migogoro uionayo wewe wanasababishiwa na Marekani Nchi zote zenye utajiri wa Asili ,Marekani lazima wawapelekee migogoro ili baadae waeze kuivamia hiyo nchi na kuiba Mali zao
@@kakore_jr kwan ww unafikilia hawajui soko
@@kakore_jr Urusi wamekuja kubomoa mifumo ya dunia ilivyo wekwa kwaiyo Iran atauza2 kwa nchi rafiki
Yaani yote hayo ni kwaajili ya kuua raia wasio na hatia, wasio hata na wembe...
Wanadamu wanataka vita ila ipo siku Dunia itajuwa matokeo ya haya makombora wanayoyatengeneza
Masubi🤚
pongenzi kwa mwambA PUTIN/RUSSIA
Iv izo idadi za vichwa vya nyukilia huwa mnazipata wap? Maana kama china najua n ngumu sana kujua
Sahihi ila ni makadirio tu na ushushu wa vyombo vikubwa vya kiinteligensia kupitia nuclear reactors zenye china amekuwa anajenga.
Mbona umesahahu india india wametest hypersonic majuzi tu
India bado sana kumeweka anga za usa Russia na China kwa silaha , walichofanya ni first test hao Wana multiple varieties ya hypersonics, Wana madege ya stealth ingawa progress za India si mbaya Kuna muda ataingia kwenye hiyo weapon heavy weights club
@@FahadAbubakari-y3fkingine hzo ni test.test huaga zinachukua miaka mingi wenzao tayari silaha jizo wanazo on combat duty
@@FahadAbubakari-y3fmdogo wake na djsamata😅😅
@FaustinaelishaBisake-s7p hii dunia ya Leo kuwa mjinga na kutojua vitu ni maamuzi vitu na taarifa za kila kitu ziko wazi kwa hivyo ni mawili ujue au usijuwe huna haja hata yakumfatilia huyo dj smaa ka unapenda kujua mambo coz tofauti ya yeye na wanaomfatilia ni kwamba wao wameamua wakae wasubiri kuhadithiwa baada ya smaa kufatilia
@FahadAbubakari-y3f point
China bado sana kwa boss marekani.
😂😂😂😂😂😂😂 utachekwa we kiumbe
Sasa kama bado mbona marekani anamterm China kama ndo adui yake Namba moja
@@muhamedmsomally4175 mapenzi bhana Yani anasikia kabisa marekani analalamika yeye kangangania marekani ni boss na kingine aaijua marekani kwenye makombora baro sana yeye kawekeza nguvu kwenye mandege
Elimu ndogo ww
Baba yako marekani ndiyo kasema hivyo wewe mtoto wake unambishia Baba 😂😂😂
Naona Xi na China yake watamnyoosha USA 🇺🇸 cku za usoni
Ogopa sana marekani akikusifia
Xi analijua hilo kitambo
@@Williamstozzo marekan cha mtoto tU kwa wakubwa zake
Yote hayo ni ubaya na tamaa za mwanaadam
Kinara hapo
Moto wa China hapo baadae itakuwa ni balaa kubwa mno
MAREKANI AKILI KUWA CHINA ANA MAKOMBOLA.....MENGI.... MAREKANI WEWE NANI...? MPAKA UKUBALI KUWA CHINA INA MAKOMBOLA MENGI WEWE HAYA KUHUSU FANYA YAKO....
China sio poa
Safisana. sema mchina nimuogasana wavita atuuzie sisiwa africa😂
Una hela😂
Hata satalite china Ina nyingi nazani kuliko nchi yoyote Ile
Hata nyambizi China ana nyingi zaidi.Marekani ana aircraft carrier nyingi kuliko nchi yoyote.
Sisi afrika hatuwezi tengeza nauliza tu
😂😂😂😂sisi nitunajua vita ya mtandaoni sio ya siraha