UKU KWENYE MAGOLI PIA KUNA WATOTO WA WATU WANAVUJA DAMU na kuvunjika miguu, tusimlaumu mama tulaumu hawo waujumu uchumi wa afya na kula rushwa za hospital
Watu wengn bhn msivokuwa na taalum na hamn chochot mnataman wenzenu wafanane na nyie ..mwanga mkubwa wew umejua shida ni daktr ...s mtu yeyot anaruhusiwa kupublish taarif fanya uchunguz s kuropoka tu
Kaka hasara ushaipata hata upewe hiyo laki moja yako na fidia juu tambua umeshampoteza mtu muhimu sana kwenye maisha yako,Allah akupe ustahmilifu kikubwa muombe Allah akukuzie mwanao tu basi 😢
Yaan Halmashauri kazi ipo mi nilikuw nafanya kaz hiyo ya uuguzi mjamzito ikishindikana ngazi ya zahanati ukiita ambulance unaambiwa hakuna mafuta duh! Serikali huduma vijijini ni shida na mambo yote hayo yanaanzia halmashauri!
@@abdulkarimabdallah9536 mbona unitukane uliza mtoto yeyote km mama analipa. Tuliandamaa Lakin sio Mambo ya kina mama ama ushawahi sikia km wako km tz 😊
Nyie na raisi wenu hamna mana kwetu mnatuua Kila Kona 1 watu wanatekwa nakuuwawa mpo kimyamahospitali ndio hivyo Yani kiukweli hamuwezi kutuongoza jiuzuluni wote mtatuletea matatizo makubwa kwenye nchi yetu ilikua na historical ya kuwa na amani yakweli lakini sasaivi imekua kama dafur Kila Kona mauaji na mnashutumiwa nyie na uongozi wenu hebu muogopeni mungu wa mussa Ibrahim issa bin mariam daudi namitume nisiowataja kumbukeni kunakesho ya kuhesabiwa matendo mjue mtapata tabu sana kwani tutakua mashahidi situnaona mnayotutendea
Yaan tunakufa sanatu maan ukifikia hospital hakupatii huduma mpaka ulipie yaan hawajali uhai wamtu nawala hawajui kwamba pesa yatafutwa lkn uhai ukishatoka ndo bs
Udhaifu wa wachache usitufikishe kubeza jitihada za serikali kama kweli japo tuna ufahamu wa yanayoendelea nchini ukifananisha na nchi za wenzetu. Ukiona hata majengo ya hiyo hospital ujue ni kazi ya serikali hiyo. Hao madaktari waliopo ni kazi ya serikali hiyo. Madawa yaliyopo ni kazi ya serikali hiyo. UKIZUNGUMZA kuhusu motivationa ya mpira: Kwani umeshachunguza huo mpira unaingiza sh.ngapi kwenye pato la taifa lako? Huenda hiyo elimu bure inayotolewa na serikali kuanzia msingi hadi sekondari pato la mpira nalo linachangia kodi yake. Hatutetei mabaya: ILA ifikie hatua elimu yetu aliyotupatia MUNGU vichwani mwetu ifanye kazi kabla ya kupenda kulaumu au kupokea kutoka kwa watu wengine.
Aibu kubwa sana tanzania wallahi mgonjwa ndio achangie mafuta kweli hii ni haki kilakitu uwizi uwizi tu mambo haya yatakwisha lini utu hakuna pesambele aibu gani hii
BAS HATUNA JINSI KAMA MTU AMESHAPOTEA,,, CHAMSINGI TUMUOMBE MUNGU 2025 ATUPE MTU SAHIHI KATIKA KUONGOZA NCHI MUNGU ATUSAIDIE SANA MAANA MAMBO YAMEBADILIKA
UKU KWENYE MAGOLI PIA KUNA WATOTO WA WATU WANAVUJA DAMU na kujitoa kwa ajili ya taifa na kuvunjika miguu, tusimlaumu mama tulaumu hawo waujumu uchumi wa afya na kula rushwa za hospital nk, hata ukiwapa ela za magoli watazikomba na bado wataiba hata mataili ya gari, msio penda michezo mtuache na mama ..
😢😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja jamaa zake mama samia tuonee huruma wanawake wenzako hii sio haki pesa ya kutoa kwenye timu za mipira yanga na simba zipo za mafuta ya kuhudumia wagonjwa hakuna kweli umasikin ni mbaya 😢😢😢
Nchii hii ya hovyo kabsaa , hamna uchungu na maisha ya wenzenu kazi kubwaa mpo kimasilahi mmeshindwaa kumhudumiaa mjamzito kwanza kwa wakati hayo malipo mengine yakafanyika badaee hadi anapoteza maisha??? kuweni na hurumaa Hata kama kuna gharama mgonjwaa analazimika kuzichangiaa angalieni uhai wa mtu kwanza uhai haununuliwii na pesa inatafutwaa Nyie mmeliona hilo kuwa ni mjamzito na anahitaji huduma za dharuraa dereva yupo gari lipoo mnataka kusema gari halikuwa na mafuta hadi kudai pesa kwanzaa???
Sio mchezo haya matatz yote yanatokana na ccm bila watu kuingiya mtaani kuwatoa ccm Kwa maandamano watoto wetu watakuja kupata tabu sana mungu atupe nguvu siku tuamuwe 🦾
Hata mambo enzo za magu ilikuwa ni suna tena wanaogopa kabsa lakin saiv mambo ya Muhimu yanapuuzwa kutokana na utendaji wa serikali wa sasa ulivoo nfo man na watu tunafanya au kuishi na nchi inavooenda
Yaani Ambulance ipo hapo halafu mama kafa haki ya Mungu tungeiwasha moto kwanza halafu mazungumzo ndo yaendelee ubaya ubaya tu yaani laki wakafa watu wawili
Kwa kwa mujibu wa sheria ipi inaelekeza watu walipie ambulance ya serikali inapaswa kuchangiwa tsh 180000 ? Hii serikali imekosa uhalali wa kuiongoza tanzania hii ndiyo ccm
Mmh nikwel kabisa na nesi alikuwa anatak posho hapo,Mimi ishanitokea hospital ya wilaya dereve anatak na nesi anatak na gari inadai hela yaan nichangamoto
Nachokiamini mama Samia hajui chochote kuhusu hiyo hospitali,mama amesaidia wengi,huenda Kuna viongozi eanaoiwakilisha Hilo eneo wanawakilisha tofauti serikalini
Hayo ni baadhi ya yale yanayovuja na kurushwa na wanahabari jamani zipo taarifa za kimya kimya mahosipitarini yaani mimi natamani kuna hosipitali na zahanati zingine zingefungwa tu ila wauguzi na madaktari waendelee kulipwa mishahara yao maana ni mbaya zaidi kumkuta na askuhudumie na hela yako akaila nimeumia sana kwa ninayoyaona kwa watumishi wa serikali yetu 😂😂😂😂🎉
Magoli uwanjani tunanunua milioni tano mgonjwa anakosa huduma asante mamaaa❤❤❤
Mhhhhhhhhh sad
Inauma tena inatia hasira😢
Mitano tena😂😂😂
Yan hapa ndio mtahan unakuja 😢😢
UKU KWENYE MAGOLI PIA KUNA WATOTO WA WATU WANAVUJA DAMU na kuvunjika miguu, tusimlaumu mama tulaumu hawo waujumu uchumi wa afya na kula rushwa za hospital
Hatari sana kwahiyo mama mjamzito alipie mafuta na pesa ya dreva halafu wacheza mpira wapewe pesa kweli hiitz mhhhh😢😢😢
🙏🙏🙏🙏 Mungu amlaze mahali pema peponi maana njia ye2 nimoja 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
GOLI LA MAMA MILION 5!!!!!!!!!!! WHAT A COUNTRY
We acha ndugu yangu tukiongea tunaonekana tunapingana
Inauma
Yani had inakera,
Very painful😢
Kwa uncle magu iyo hospital Madaktar wote wangekuwa hawana kaz, kwa huyu bibi ni shamba la bibi..Naitakia Tanzania usingizi mwema wakifikra 😢
Watu wengn bhn msivokuwa na taalum na hamn chochot mnataman wenzenu wafanane na nyie ..mwanga mkubwa wew umejua shida ni daktr ...s mtu yeyot anaruhusiwa kupublish taarif fanya uchunguz s kuropoka tu
😢😢😢😢😢😢😢
Yaani maumivu haya hayapimiki walaaniwe hao madaktati na serikali yao
Sio wote,wale waliochelewesha wagonjwa kwenda hosipitali kubwa,na waliopokea hizo hela kama sio utaratibu wa hosipitali na Serikali.
Dakitari ana kosa gani hapo? Hakuna huduma ya bure jamani hayo ni matamshi ya majukwaani ,
million mia tano kwa taifa stars, ngja nilale tu mana nmechoka kusikia haya
hahaha😂
😢😢😢😢kwakwel kama Mimi nachoka sana kuyasikia haya Kila siku
Yaani huyu mama samia anaona haya kweli au nimtag nini
Goli Moja la mchezo 10milion, ni uchungu mkubwa huu!!! Wagonjwa hawana dawa, wamama wanakufa ambulance Haina mafuta. Rais Rais Rais.
Makosa yapo SSH sio Malaika na wanao msaidia Kazi pia hukosea Sasa kosa likiwa la mkurugenzi na Halmashauri zote Zina bajeti
Unaambiwa tano tena mungu tusaidie inaumiza sana aisee unagharamikia na mtu anakuacha kwa kukosa huduma jmn 🙌
GOLI LA MAMA MILION 50!!!! AKINA MAMA WANAKOSA HUDUMA!!!!!!!!!!
Aibu kubwa
Hizo Halmashauri Zina wakurugenzi na wana bajeti ya mafuta, Sasa kama dereva kala Hela ya mafuta atuhumiwe SSH
@@ndukulusudikucho_ WEWE SI BINADAMU KABISA. ANGEKUWA MAMA YAKO, MKE WAKO, DADA AKO, AU NDUGU YAKO, USINGE ANDIKA HUU UPUUZI. MUNGU AKUHURUMIE.
Afu kuna majitu yanasifia et ooh mama anaupiga mwing😢😢😢
Hela anazichezea tuu kwenye mpira kununua magol😭😭😭😭
@@aishahasan7722 HAWA SI WATU KABISA!!!!
GOLI LA MAMA MILION 10! AKINA MAMA WAFIA NJIANI WAKIELEKEA HOSPITALI!!!!
😢😢😢😢😢
Yaan aibu sana kwenye nchi yangu😢😢😢😢😢
Ni huruma kwa kweli mtihani hali ndo inazidi kuwa mbaya Allah atufanyie wepec
@SalmaBinyaga amiiiiiiiiin
Wacha tu
Mtihani sana poleni sana wafiwa
Hii selekali ya CCM inacho weza ni kutekana na uchawa bax kumanina zenu CCM
Vijana amkeni acheni ujinga CCM watatumaliza wahunii kabisa ulalesalama mama
CCM imeingiaje hapo!!!
Iko madarakani na haifanyi maendeleo ya zahanati kama hizo@@HajiRamadhan-wc9yr
@@HajiRamadhan-wc9yrimeingiaje wakat ndio chama tawala mxiuuuuuu
@@HajiRamadhan-wc9yrsi ndio mafisadi wenyewe
Inauma sana
Innalilah wa innalilah rajiun hiyo ndiyo Tanzania yetu mm anazaliwa leo na una mlipiya
Kazi iendeleee ,namfikika hatua ya makundi milioni kumiiiii
Kaka hasara ushaipata hata upewe hiyo laki moja yako na fidia juu tambua umeshampoteza mtu muhimu sana kwenye maisha yako,Allah akupe ustahmilifu kikubwa muombe Allah akukuzie mwanao tu basi 😢
Sukuma ndani owo
Inallilah waina lilah rajuun
Daaaaa 😢😢😢 inauma sana
Mh inauma sana
Hiyo kamati ilete majibu mbele ya wananchi ....hiyo haki ujulikane kama wagonjwa waliopoteza maisha walivyofahamika.
Hongera waandishi wa habari kujaribu kufikisha habari kwa uma
Inna lilah waina ilah rajiuun
Yaan Halmashauri kazi ipo mi nilikuw nafanya kaz hiyo ya uuguzi mjamzito ikishindikana ngazi ya zahanati ukiita ambulance unaambiwa hakuna mafuta duh! Serikali huduma vijijini ni shida na mambo yote hayo yanaanzia halmashauri!
Hii ndio maana tunasema tumechoka na mama huwenda ikawa tunamlaumu Bure tu hafahamu haya ila waliochini wanamharibia
Umefahamu wewe ndio asifahamu yeye???? Anaelewa sana aya yote ila anafanya kusudi tu
@@AngelMazolaake kimya yaan mama hujui kwani yeye kajuaje mbona uchawa had kwenye kifo
@@AngelMazolakwa iyo mama ndio afanye kila kitu basi haina maana kuajiri w2 ,
Hela anakula yanga goli moja million 10 huku
😢😢 duuuu!!! Poleni sana
Wakina mama ukijiona uko karibu na kujifungua bora jisogeze mweyewe karibu na hospital.
Unakuta huna ndugu karibu na hosipitali, au huna hela ya nyumba ya wageni.
Better kuwhi jamani iyo ela ya usafiri itasaidia malazi na malaji ya uko hospital
Pointless
@@andrewkatoke9407Bora kujifungulia nyumbani
Sasa mgonjwa atajuaje kama utapewa transfer?maana hapo pia ni hospitali
iyo mbaya sana viongozi wetu
Daah pole kwa mfiwa na uchungu wakujifungua naujua jmn Yale maumivu nayajua afu mwingine anachulia utani 😭😭
Twashukuru mungu kenya kila kitu bure kwa KINA mama
Tena wewe nyamaza kimya tutakutukana bure
Kenya gani hamjaandamana juzi2 hapa
@@abdulkarimabdallah9536 mbona unitukane uliza mtoto yeyote km mama analipa. Tuliandamaa Lakin sio Mambo ya kina mama ama ushawahi sikia km wako km tz 😊
@@abdulkarimabdallah9536 mkitaka andamanene nanyi km mwaweza 🤣
Hela za mafuta ya kuweka kwenye magari yakutekea watu wasio na hatia na kwenda kuwaua zipo .... Lakini hela za mafuta ya Ambulance Za wagonjwa Hakuna
Hiyo ndiyo tanzania yeti.
Hizo pesa ni zetu za Umma au anatoa kwenye mshahara wake
Nafika tuu plan na zaa na mtt kufariki sina hamu na hospital za serikali,,, sijawah kupiga kura na sipigi mpk nakufa na sipendi siasa maana niwaongo .
OOOH JESUS
Iyo 180 mafuta ya kumpeleka mtu mmoja tuu😢😢😢 duhhh
Afu utaskia tunae mama msikivu
Kuma tu hawa tuuwane nao tu kuliko kukubari wanavyotuua
Nyie na raisi wenu hamna mana kwetu mnatuua Kila Kona 1 watu wanatekwa nakuuwawa mpo kimyamahospitali ndio hivyo Yani kiukweli hamuwezi kutuongoza jiuzuluni wote mtatuletea matatizo makubwa kwenye nchi yetu ilikua na historical ya kuwa na amani yakweli lakini sasaivi imekua kama dafur Kila Kona mauaji na mnashutumiwa nyie na uongozi wenu hebu muogopeni mungu wa mussa Ibrahim issa bin mariam daudi namitume nisiowataja kumbukeni kunakesho ya kuhesabiwa matendo mjue mtapata tabu sana kwani tutakua mashahidi situnaona mnayotutendea
Ni wasenge kinoma ngoja tuone tunakoelekea kinanuka tu
Inaumiza sana....tunapoteza ndugu zetu na uwezo wa Serikali upo.
Hapo hakuna Cha maana anachosema kuchunguza vifoo , Serkali ingekuwa inatoa mafuta yote yangetoka wapi .
Madaktari wengine Mungu awalaani kwani hawapo kwa ajili ya kuokoa wapo kupoteza tu.
Ila Kila goli mama anatoa milioni kumi,mambo kama Aya ayaoni mungu tusimamie sisi wanyonge
Yaan tunakufa sanatu maan ukifikia hospital hakupatii huduma mpaka ulipie yaan hawajali uhai wamtu nawala hawajui kwamba pesa yatafutwa lkn uhai ukishatoka ndo bs
Udhaifu wa wachache usitufikishe kubeza jitihada za serikali kama kweli japo tuna ufahamu wa yanayoendelea nchini ukifananisha na nchi za wenzetu.
Ukiona hata majengo ya hiyo hospital ujue ni kazi ya serikali hiyo.
Hao madaktari waliopo ni kazi ya serikali hiyo.
Madawa yaliyopo ni kazi ya serikali hiyo.
UKIZUNGUMZA kuhusu motivationa ya mpira:
Kwani umeshachunguza huo mpira unaingiza sh.ngapi kwenye pato la taifa lako?
Huenda hiyo elimu bure inayotolewa na serikali kuanzia msingi hadi sekondari pato la mpira nalo linachangia kodi yake.
Hatutetei mabaya:
ILA ifikie hatua elimu yetu aliyotupatia MUNGU vichwani mwetu ifanye kazi kabla ya kupenda kulaumu au kupokea kutoka kwa watu wengine.
Ukiwa na shida kwenye ofisini za serikari ndo utajua hii nchi Sasa imefikia wapi tuiombee tu
Jmn tuache kuongelea goli la mama mama hata asinge toa hz bonus bado shida zitabaki hvhv shida ni kukosa ni dham na utu kazn
Tatizo lingine kubwa ni kwamba udaktari umekua biashara sio wito tena
mim niliwah kumuambia hvyo daktar mmoja
I love you Tanzania
Team ya nn wakati wajawazito wanapata huduma bure, Dr weka ndani
Aibu kubwa sana tanzania wallahi mgonjwa ndio achangie mafuta kweli hii ni haki kilakitu uwizi uwizi tu mambo haya yatakwisha lini utu hakuna pesambele aibu gani hii
Jaman hizi tunazotoa serikarini ni za nn..??kwa jambo hili
BAS HATUNA JINSI KAMA MTU AMESHAPOTEA,,, CHAMSINGI TUMUOMBE MUNGU 2025 ATUPE MTU SAHIHI KATIKA KUONGOZA NCHI MUNGU ATUSAIDIE SANA MAANA MAMBO YAMEBADILIKA
Siwezi ongea
UKU KWENYE MAGOLI PIA KUNA WATOTO WA WATU WANAVUJA DAMU na kujitoa kwa ajili ya taifa na kuvunjika miguu, tusimlaumu mama tulaumu hawo waujumu uchumi wa afya na kula rushwa za hospital nk, hata ukiwapa ela za magoli watazikomba na bado wataiba hata mataili ya gari, msio penda michezo mtuache na mama ..
😢😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja jamaa zake mama samia tuonee huruma wanawake wenzako hii sio haki pesa ya kutoa kwenye timu za mipira yanga na simba zipo za mafuta ya kuhudumia wagonjwa hakuna kweli umasikin ni mbaya 😢😢😢
Serekali y mama n ujinga mtupu 😭😭😭
Tanzania yangu imekuw rojoo tu😢😢
Nchii hii ya hovyo kabsaa , hamna uchungu na maisha ya wenzenu kazi kubwaa mpo kimasilahi mmeshindwaa kumhudumiaa mjamzito kwanza kwa wakati hayo malipo mengine yakafanyika badaee hadi anapoteza maisha??? kuweni na hurumaa
Hata kama kuna gharama mgonjwaa analazimika kuzichangiaa angalieni uhai wa mtu kwanza uhai haununuliwii na pesa inatafutwaa
Nyie mmeliona hilo kuwa ni mjamzito na anahitaji huduma za dharuraa dereva yupo gari lipoo mnataka kusema gari halikuwa na mafuta hadi kudai pesa kwanzaa???
Acha tufe tuu tutakutana kwa Mungu alie tuumba, maana wengine hawajali wako buys kununua magori kwa sasa
Ohhh jamani. Kweli mafuta yanashida utu wa mtu kweli hapo nini ya gari la waginjwa.
Nasikia hasiraaaaa
Kwan n lazim magojw atowe pesa hy si poa tibu mgojw pesa badaye
Rstifa mwanngu nimekumisiii nitafute❤
Anawekeza kwenye mipira ,mipira haramu nae muislam lkn kwenye mahospital watu wanakufa yaan hatuna namna.ndio tumezaliwa humo acha tuish
Wenye mimba mwezi mmoja kanla muwe mnaenda karibu na hospital teule kubwa kuepuka madhara
Sasa kwanini hawakuruhusu waende na bajaji.😢
MPAKA WATUMALIZE MANA KILA KONA MPO JAMANI TUMEKWISHAAA
Haya yote ni ubovu wa uongoz wa serikali ya ccm
😭😭😭😭😭inauma sana daar nimebak nalia Tu poreni Sana ndugu
Sio mchezo haya matatz yote yanatokana na ccm bila watu kuingiya mtaani kuwatoa ccm Kwa maandamano watoto wetu watakuja kupata tabu sana mungu atupe nguvu siku tuamuwe 🦾
Hata mambo enzo za magu ilikuwa ni suna tena wanaogopa kabsa lakin saiv mambo ya Muhimu yanapuuzwa kutokana na utendaji wa serikali wa sasa ulivoo nfo man na watu tunafanya au kuishi na nchi inavooenda
Yani laki na 80 hela ya mafuta...huu ni uchoko😢😢
Yaani Ambulance ipo hapo halafu mama kafa haki ya Mungu tungeiwasha moto kwanza halafu mazungumzo ndo yaendelee ubaya ubaya tu yaani laki wakafa watu wawili
Tim ya nini sasa kuchezea pesa tu
Kuunda timu 😢 !!!?
Katiba mpya!!Mama samia afai kabisa!!Wazazi wanakufa na yeye no mwanamke simtaki Bibi samia!!
Yaan hadi nachoka sijui nisemej maan nina vingi kuhusu hizo ambulance
Kwa kwa mujibu wa sheria ipi inaelekeza watu walipie ambulance ya serikali inapaswa kuchangiwa tsh 180000 ? Hii serikali imekosa uhalali wa kuiongoza tanzania hii ndiyo ccm
Tumechagua wenyewe kuumia.Nadhani tuwe wapole tu.Siku tukikaa sawa tutarekebisha.
Ambulance ya serikali mafuta atoe mgonjwa duhh hii kali ya taifa mwananchi unaomba upunguziwe badala kuiambia serikali itoe bure
Mama anaupiga mwingi Ccm oyeeeeeee 😂😂
Hata kwetu watu wana teseka sana
Mmh nikwel kabisa na nesi alikuwa anatak posho hapo,Mimi ishanitokea hospital ya wilaya dereve anatak na nesi anatak na gari inadai hela yaan nichangamoto
Changa moto iyooo du poreni sana familia
Nachokiamini mama Samia hajui chochote kuhusu hiyo hospitali,mama amesaidia wengi,huenda Kuna viongozi eanaoiwakilisha Hilo eneo wanawakilisha tofauti serikalini
Mbwa ww unabakwa nni chatu kwani sio tz hiyo mpaka asijuwe
M mama hakuna huko
dah hii Tanzania itabadilika lini .
😢😢😢
Sasa kumbe ambulance sikuhiz watu ndo wananunua mafuta ?? hii nchi jamani🙌🙌
Ipo hvy
Magu angetumbua hapo hosptl wotee
Lkn Hilo mama sasa linarembua tuu macho nakutupa hela kwenye mpira kununua magol,
Unawachangia watu wenye mishahara mikubwa na posho. Wagonjwa wanakosa huduma inauma sana.
Madereva mbona wako wengi sana mtaani kwann msiajiri? Au ndo hiyo laki moja na 80 mnashare 😢
IMENIUMA SANA NIMETAMANI KUJILIPUA!!! YANI GOLI LA MAMA MILION 5!!!! MAMA ZETU WANAJIFULIA VYOONI NA MABARABARANI!!!!!!!!!!!!!!!
Mambo ya kishenzi sana ... Mwananchi atoe kodi na mafuta ya ambulance anunue
Hatari lakini salama mungu atusaidie ila simchezo
Kweli serekali y mama ni shamba la bibi
Madaktari wengi wamekua wanaangalia pesa mbele
Ndiyo nchi yetu. Poleni sana. Viongozi wetu wana akili sana naamini hilo.
Nchi yangu Tanzania, Tanzania imebaki sifa
Khs mzazi kucheleweshwa kwa hela ya mafuta, tuulizane, mbona tunalipa kodi! Serikalini? Hizo kodi zingesaidia wagonjwa na wajawazito.😢