KINACHO ENDELEA DODOMA NYUMBANI KWA MAREHEMU VICTOR JOHN LODY KILICHO TOKEA 19SET,2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @hosianna-td2yr
    @hosianna-td2yr 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu mpokee mtumishi wako kwenye utukufu wako,,apumzike kwa amani sisi sote ni mavumbi na mavumbini tunarudi kakaa pumzika kwa amani amina

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu anavuna

  • @salmahanai
    @salmahanai 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu muumba ampokee mja wake apumzike kwa Aman pole kwa family Mungu awape nguvu

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 28 วันที่ผ่านมา +4

    Sisi ni wa kupita hapa duniani.Roho ya marehemu ndugu Victor ipate rehema Kwa Mungu na apumzike Kwa amani.Amina.

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 28 วันที่ผ่านมา +1

    Amina kweli sisi wote ni wapitaji hapa duniani

  • @hosianna-td2yr
    @hosianna-td2yr 27 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭poleni Sana familia ya victor kwa wakat mgumu uliopo

  • @stellamanda4466
    @stellamanda4466 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mkoani Mara. Apumzike kwa Amani

  • @hussenyahaya8675
    @hussenyahaya8675 25 วันที่ผ่านมา

    Kweli kila kitu tunakiacha white house kaliacha

  • @MaaneML
    @MaaneML 27 วันที่ผ่านมา +2

    Ndiyo nani huyu Victor Lody?

    • @evaemil856
      @evaemil856 27 วันที่ผ่านมา +1

      Mhasibu mkuu ofisi Ya Taifa Ya ukaguzi