Hatua tulizofuata kupokea vifaranga wa mayai | Layers 400

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 ปีที่แล้ว

    Salamu nyingi zikufikie bro

  • @adelinamghase6035
    @adelinamghase6035 5 หลายเดือนก่อน

    Sh ngapi kifaranga

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 ปีที่แล้ว

    Nimeuliza swali hili kwa sababu siku ya kwanza hadi mwezi mmoja unapo lea vifaranga kuna changamoto nyingi

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 ปีที่แล้ว

    Maelezo yako ni fresh lakini hapa kwa maji unawapa maji plain bila vitamin au?

  • @shariffkasmir8271
    @shariffkasmir8271 ปีที่แล้ว

    Habari...hivi kwenye hivyo vyombo vya maji,day one unaweka glucose tu au unachanganya pamoja na vitamins?

    • @LayersPro
      @LayersPro  ปีที่แล้ว

      Tumeweka glucose na tetracovir

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

    Unachukua wapi vifaranga wako

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt ปีที่แล้ว

    Ndugu Yako hapa wa ukonga DSM

  • @josephinakaduma6989
    @josephinakaduma6989 ปีที่แล้ว

    Naomba kufahamu naweza kutumia knowledge ya kulea layers (wale ambao mayai yao hayatotoleshw) kulea kuku chotara nitakaowafuga kwaajili ya kutaga?

  • @sanggroupofcompanylimited.
    @sanggroupofcompanylimited. ปีที่แล้ว

    Kwann vifaranga wa layers afu unawapa broiler stater naomba ufafanuzi tafadhari

    • @LayersPro
      @LayersPro  ปีที่แล้ว +1

      Nimeelezea sababu zake ni hizi
      1.Kurahisisha ulaji wa chakula....kuku wanakula crumble/pellet kwa haraka kuliko mash.
      2.Broila Stata ina protini nyingi na energy kuliko layers starter
      NB hapo Sisi tumetumia chick starter crumble

  • @ireneminja1395
    @ireneminja1395 ปีที่แล้ว

    Bro mnauza vifaranga??

    • @LayersPro
      @LayersPro  ปีที่แล้ว

      Vifaranga wa mayai (Bovans brown) ni 2500 kwa hapa Dodoma sijajua wewe uko wapi?
      Oda mpaka juzi ilikuwa imefika trh 15 May
      Mawasiliano 0659632332