"TUFE WOTE SIWEZI KUFA PEKE YANGU/NILIPITIA KWENYE MAPAJA YAKE"STORI YA ALIYENUSURIKA KWENYE NDEGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @Fofo-511F
    @Fofo-511F 2 ปีที่แล้ว +2

    Ilimuhim poleni sana mungu ashukuriwe

  • @ashamusa8674
    @ashamusa8674 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mama jamaniii atafika mbinguni amechoka sana,mara ya kwanza alihojiwa akasema vingine mbona kama sasa simuelewi

  • @zawaditatu1857
    @zawaditatu1857 2 ปีที่แล้ว +3

    Ww muogo sn tn mnafiki sk ya kwanza hukusema ivooo muogope mungu wako

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 2 ปีที่แล้ว +3

    Ila una roho mbaya mama unasema tufe wote huwezi kufa peke yako!!! Siri ya kifo ipo Kwa Mungu pekee.

    • @eaglecrown6470
      @eaglecrown6470 2 ปีที่แล้ว

      Anaonekana aliwageuza wenzake ngazi huyu

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 ปีที่แล้ว +1

    Ana roho mbaya sana mbele za watu unadiliki kusema tufe wote siwezi kufa peke yangu Jamani!!!

  • @yusramadodo8269
    @yusramadodo8269 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kuna watu wanaroho mbaya nazani majaliwa angekuwa na roho mbaya kama ww unafikiri angewaokoa mnafiki sana ww pia ni mama mtu mzima ungeshukur Mungu kweli huna shukurani

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 2 ปีที่แล้ว +2

    Nilicho gundua kuna mkubwa mmoja wa kitengo Cha uokoaji anawatumia hawa watu ili kumchafua Majaliwa' kwa sababu wao saizi tumewashusha hadhi hawawezi Kazi ya uokoaji

    • @emes602
      @emes602 2 ปีที่แล้ว

      Saa hivi wanaelezea tofaut.

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama alivyohojiwa mara ya kwanza alisema vingine na leo kasema vingine.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 2 ปีที่แล้ว

    Msichana Yupi?maji sekunde 10 yameja ,Mh!Mimi sijamuelewa.

  • @kalundekasiga98
    @kalundekasiga98 2 ปีที่แล้ว

    Huyo airhostes mwenyewe Yuko wapi ?

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 2 ปีที่แล้ว +1

    Atakuwa mchawi huyu mama. Ana roho mbaya Sana.

  • @shangazshangaz4222
    @shangazshangaz4222 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama anjikanyaga sana mwanzo alisema alimko kijana na kukatiamkanda uliku umemshinda kufungua na kijana alimkanyaga mgongoni nakutoka nje🙄😏

    • @halimamayunga1911
      @halimamayunga1911 2 ปีที่แล้ว

      Mama anabadili maneno mimi nashika yale ya kwanza Muacheni màjaliwa Mungu ambariki wengine ni wivu na fitina

    • @hadijaramadhani4801
      @hadijaramadhani4801 2 ปีที่แล้ว

      Yaan huy muongoo kwendraaaaaa peleka uongo wako huko

  • @rahmaswale1671
    @rahmaswale1671 2 ปีที่แล้ว

    Hivi wewe mama kwanini unaongea hivyo sijapenda eti tufe wote suala labkufa lipo kwa mungu tu

  • @essahsaimonmwalwega6097
    @essahsaimonmwalwega6097 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mama muongo....nilisikiliza video yake ya Kwanza alafu wameifuta nimetafuta sijaona....maelezo tofauti kabisa

  • @eshymohammed8837
    @eshymohammed8837 2 ปีที่แล้ว +1

    majaliwa hakuokoa watu iviiii,😂🤣🤣🤣👏

  • @emes602
    @emes602 2 ปีที่แล้ว

    Eti walikua wa mwisho kutoka hahahhahahahahahha na yule kaka anasema alitoka wa mwisho

  • @elidamathias6713
    @elidamathias6713 2 ปีที่แล้ว

    Mala wahudumu walikufa wote mala kapona ? Ulitoka wa mwisho na walio kufa je ?

  • @raheemahamees6410
    @raheemahamees6410 2 ปีที่แล้ว +5

    Wewe mama siku
    Yakwanza urisema
    Urimkanyaga kijana
    Mmoja.
    Arikuwa ndaya yadege

    • @gradnesmaiko
      @gradnesmaiko 2 ปีที่แล้ว

      Huyo mama mchaw

    • @elasmbinga2968
      @elasmbinga2968 2 ปีที่แล้ว +1

      Mama uyu kweli siyomuzuli ansema tufe wote?looho mbaya sana

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 2 ปีที่แล้ว +2

    Alafu mtu mzima ovyo sana badala ushukuru tu na uombe mungu waropoka kila kitu majaliwa ya mungu na izo story heri ziishe mana walio poteza wapendwa wao wako na uchungu na kila siku mwarud hii story tu

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 2 ปีที่แล้ว +1

    kwa hiy majaaliwa hakuwaokoa

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 2 ปีที่แล้ว

    Hii interview haina ukweli, ina utata na huyu bi mkubwa haongei ukweli kabisa. Amelishwa maelezo ya uongo. Asituchoshe.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 ปีที่แล้ว

    Liongoooo

  • @frankbella4271
    @frankbella4271 2 ปีที่แล้ว

    Mama mtu mzima alafu amejichubua

  • @eshymohammed8837
    @eshymohammed8837 2 ปีที่แล้ว +3

    mmmmhh wivuuuuuuuuuuuu

    • @temlatele1053
      @temlatele1053 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza Hili swala kwa mitandaoni inatosha

    • @martherlulyalya5347
      @martherlulyalya5347 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mama mara kwanza aliongea anaumwa au mbona kaongea awamu mbili lakin mawazo tofauti.

    • @modestafelician6751
      @modestafelician6751 2 ปีที่แล้ว

      Huyu mama ni kiwe we hakuna anachojua

    • @rhodakweyamba5508
      @rhodakweyamba5508 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha uongo mbona unajikanyanga muongo wewe michongo iyo

    • @tumesia5939
      @tumesia5939 2 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmmmm God is God ndiye anaye tambua siku ya kuzaliwa na kufa na apewe sifa

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว +1

    Umepangwa wewe sio bure uongo tu mama muislamu dah

    • @salamanauthar5261
      @salamanauthar5261 2 ปีที่แล้ว

      Waislam hatuko ivyo huyu atakua mpagani Hana dini

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว

      @@salamanauthar5261 😂😂😂😂

    • @sityjumanne4518
      @sityjumanne4518 2 ปีที่แล้ว

      Liongo hiloooooo majaliwa Kesha jaaliwa hilooooooo