Jitihada ya kuwasaidia waathirika wa madawa ya kulevya Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Rashid Ricardo wa South Beach Sober House jijini Dar es Salaam, amefanikiwa kuacha kutumia madawa ya kulevya kwa miaka 12 na sasa mwenyewe anaongoza jitihada za kuwasaidia wenzake kutoka kwenye kile anachokiita "ugonjwa unaothiri akili, kiwiliwili na imani".

ความคิดเห็น • 4

  • @FestoSiwakwi
    @FestoSiwakwi ปีที่แล้ว

    Naweza kupata namba za simu

  • @munirdatisha684
    @munirdatisha684 4 ปีที่แล้ว

    Mimi mteja wa miaka 13 toka kutumia kwangu madawa na nimetumia madawa kwa mfumo wote mwisho nimeishia kwenye shindano na kuwacha madawa

  • @munirdatisha684
    @munirdatisha684 4 ปีที่แล้ว

    Yeye mwenyewe bado huyu kiongozi wao mana angekuwa hatumii asingekua kuwa anakunywa pombe

  • @munirdatisha684
    @munirdatisha684 4 ปีที่แล้ว

    Program inasema hivi kufikiria pombe ni kitu chengne kimewasababishia wateja wengi kurejea madawa kabla hatujaja hapa tulijua ulevi Ni tofauti kwani hatutakiwi kuchanganya juu ya hili pombe ni madawa pombe ni madawa waandishi wa habari kabla hamjenda kuwahoji baadhi ya hawa viongozi hem jaribuni kuwafanyia vipimo yaan kuwapima mikojo ndipo muanze kuwahoji