Ujumbe kwa Rais William Samoei Arap Ruto- Makala ya Pili.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanza nikupongeze
    Kiswahili unacho tumia
    Ninahakika lugha fasaha sio
    Rahisi watu wengi hawato kuelewa
    Mungu akubariki mno kwa juhudi zako
    Insha Allah

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  4 หลายเดือนก่อน

      Inshaa'Allah, Mwenyezi Mngu atubariki sote ndugu yangu. Shukran.

    • @HusseinMustafaParmar
      @HusseinMustafaParmar หลายเดือนก่อน

      Kiswahili fasaha ni cha Mombasa, Zanzibar, Pemba, Lamu na Malindi

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 4 หลายเดือนก่อน +1

    ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MZEE YANGU U SAY EVERYTHING IS TRUE ABOUT KENYA 🇰🇪 MOMBASA HAVE TO GET OUR RIGHT OF PEOPLE OF MOMBASA 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani huyu mzee ameongea
      English tafadhali kama hujui lugha
      Usitupeleke huko

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 4 หลายเดือนก่อน +1

    Stambuli Your one in a million my brother. Maneno yako yamebeba uzito na yanaeleweka, watu wapwani kweli deserve to sit on the table and not be the menu.

  • @areyoureal2723
    @areyoureal2723 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wengi wanafaa wakae na huyu mzee wetu wakuwe na umoja ili sauti zisikike. Shukrani sana Allah akujaalie umri hadi mafanikio tuyapate na wewe ukiwepo bi idhnillah.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  4 หลายเดือนก่อน

      Mola atatujaaliya uelevu wa mambo na kuwa na nia safi inayomridhisha Mola muumba. Shukran.

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno mafupi lakini yanaeleweka❤
    Serikali yaonesha liliandikwa hilo kwenye makaratasi Yao kwamba tukandamizwe wapwani daima

  • @Mwachili
    @Mwachili 4 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana historia za huyu sheikh na nasoma mengi sana lakini kuna ishara ya hisia ya ugomvi kayi ya wamijikenda na "waswahili"......

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hakika, hakuna ishara hiyo isipokuwa naamini ni muhimu sana watu wa Pwani kuelewa makosa halisi yalikuwa wapi, na yalitokana na nani pamoja na chimbuko la makosa yenyewe na sababu zake halisi ili watu waelewe na wasirudie tena makosa hayo. Shida ni kuwa wengi, kwa kutoelewa hayo, huwa wanahisi mambo ambayo si kweli. Mola ndiye shahidi wa haya nisemayo. Shukran.

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Khui Stambuli Abdillahi Nassir kazi unayo ifanya mola atakupa kila la kheri... usichoke wala usivunjike moyo siku moja haki itasimama

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  4 หลายเดือนก่อน

      AlhamduliLlah, nami nawaahidi nyote kuwa sitachoka, wala sitavunjika moyo! Du'a zenu muhimu sana. Ahsanta.

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 4 หลายเดือนก่อน

    "Injustice anywhere is injustice everywhere". Waswahili wanastahili kuwa mezani na wanaweza kufanya vizuri hata zaidi ya sisi wamijikenda. Kwanza waswahili hawana choyo kama sisi, na kama waswahili wangelikua wachoyo hata sisi hatungekuwepo Pwani. Sauti yako Sheikh Stambuli haitakwenda bure. There will come a time these videos you are putting up will make sense more than ever. Our children's children will be listening to your voice long after you have gone because you are the voice of reason. Inasikitisha sana kuona kuwa sababu kuu ya Waswahili kutokubaliana na mijadala yako ni kwamba wewe ni SHIA. Nakuombea sana kaka mkubwa, japo mimi si Mwislamu lakini sijaona kosa lako. Ni maoni yangu tu!

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  4 หลายเดือนก่อน

      @sankofaman4112, shukran sana kwa maoni yako. Hata hivyo, mimi sijkiti sana kwenye 'madhehebu' bali naamini sana 'Uislamu wa kweli'!

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 4 หลายเดือนก่อน

    ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY MZEE FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA UR STORY MAKE ME CRYING WE WILL PRAY TO ALLAH EVERYTHING WILL BE GOOD INSHALLAH REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA. I ❤ OUR LOVELY PRESIDENT RUTO FROM BOTTOM OF OUR HEART ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ WW WANT HIM TO HELP PEOPLE OF KENYA 🇰🇪 MOMBASA AND ALSO WE LIVE OUR LOVELY ALLAH AND ALSO WE LOVE OUR LOVELY PROPHET MOHMMED S.W.T INSHALLAH WE WILL WIN 🏆 INSHALLAH PEOPLE OF KENYA 🇰🇪 MOMBASA. REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK. 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bakarjuma1407
    @bakarjuma1407 27 วันที่ผ่านมา

    Kuna tofauti gani kati ya mijikenda na waswahili maana ndio kidogo kuna utata

  • @righttoknowwiththomas9178
    @righttoknowwiththomas9178 4 หลายเดือนก่อน

    Are you related to stambuli ehomwas the district adult education officers?

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa
    Alafu Kuna wabajuni pia hakuna kabsa pot
    wao wanawafanya wamijikenda ndio wapwani hakuna makabila mengine
    Nikama sisi mfano tuseme mount Kenya ndio wabara pekeyao

  • @febamohammed2989
    @febamohammed2989 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa idadi ya wafanyi kazi port tunaomba asilimia ya mijikenda iwe 90 si 41,viongozi wote na wahusika wote walishuhulikie hilo maana sisi ndio wenyeji na chanzo cha pwani alafu kwa idadi sisi ni asilimia 80 ya watu wanaoishi pwani,,kuhusu uwakilishi wa pwani kitaifa,mijikenda ndo anafaa awe muwakilishi halisi wa wa pwani kwa kila idara,

  • @andrewnyamwaro5174
    @andrewnyamwaro5174 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee ahsante kwa usanii wako. Ni nyinyi mlikataa utaifa wa KE. Wazee wenu walisema wao si Wafrika. Mambo mengi. Kenyatta slishindwa kuwaelewa. Hayo madai yako peleka kotini. Simple. Utasikizwa.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  4 หลายเดือนก่อน

      @andrewnyamwaro5174, ingekuwa vyema mno haya maneno yako hapa juu ungeyaambatanisha na ushahidi wako wa kuthibitisha haya uliyosema. Lakini, hata hivyo, usiwache kufuatiliya makala haya ili uelimike zaidi kuhusu ukweli wa mambo nielezayo (na kuyatolea ushahidi wa kuaminika) ambayo naamini kuwa kila nikiendelea kuyaeleza muko wengi munaoelimika na kufahamu vyema kuhusu tatizo lililosababisha haya tuyaonayo leo miongoni mwa Wa-Kenya wa kabila na tabaka tafauti ambao hawajui ukweli kama ipasavyo! Ndiyo unaona mimi napenda sana kutumia ushahidi wa kuthibitisha nisemayo. Ahsanta sana kwa maoni yako.