HAKUNA NAFSI TATU ZA MUNGU KATIKA BIBLIA - PART 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024
- Siri zote za ufalme wa Mungu zawekwa wazi na Dr. Mwalusambo
Karibu ujifunze, ili uelewe ni vizuri utoe uliyonayo kichwani kabla ya kuanza kujifunza.
.............................................................................................................................
All the secrets of God's kingdom are revealed by Dr. Mwalusambo
#kingdomphilosophy #gospelbible #bible #christianbible #africanchurch #americanchurch #africa #gospelmusic #mungukwanza #mungu #ukwelikuhusukristo #kingdomhearts3 #motivation
MUNGU muache aitwe Mungu hachunguzik ukimchubguza sana utachanganyikiwa wew fundisha had upeo wako ulipoishia
Good sana;Mungu akuongezee Hekima na aiokoe roho yako siku ya hukumu ya Ulimwengu wote
th-cam.com/users/liveyC28lkWdprI?si=K5CVA904nLbviFi_
Uko sawa ndugu. Nimependa mafundisho yako mutumishi. Mafundishobkama haya ni machache sana wakati huu. Wengi wanajidai wamesoma vyuo vya Bibilia lakini hawajui kitu. Bibilia inatafsiriwa na alie jaa Roho wa Mungu. Ubarikiwe ndugu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤
Naitwa Desire kutoka Germany 🇩🇪🇩🇪
Sasa Mzee .Nifafanulie pale wanafunzi walipo mwambia "bwana wewe ni mwema Sana".Akawakataza wasimuite hivyo kwakuwa mwema ni mmoja TU nae ni mungu apasae kuabudiwa.Hapa yesu alikua na maana gani ikiwa yeye ni mungu katika sura ya mwana?
Mzee pole sana maana unafundisha somo gumu kwako,neno la MUNGU halitafsitiwi kwa akili za kibinadamu,inadhihitisha kuwa unajua Maandiko lakini hujui Neno la MUNGU.
Sawa kabisa Mungu ni mmoja tu na mpatanishi kati ya Mungu na mwanadamu ni mmoja tu ni Yesu kristo,
Mwanadamu ni mmoja tu ni
Yesu kristo .mmmmmh😂😂😂😂 mungu atusamahe
Ni kweli kabisa yeye atakuja kuwakana wale wanaosema Mungu awezi kukamilika mpaka awe ni baba alafu mwana alafu roho!! sababu ikiwa mmoja tu atashindwa kuendesha huu ulimwengu na vilivyomo!!
@@vincentdaud9954😂😂😂😂
@@azzaliy8109
Wapi imeandikwa hivyo? Naomba hilo andiko na Mimi nijifunze mtumishi
🤔🤔
@@JohnBenedict123 haya malumbano na ubishaniyamekuja tu baada ya Yessu kristo kupaa mbinguni! Mungu baada ya kuona anashirikishwa na ili kumtoa Yessu kristo kuitwa Mungu,akaleta maandiko katika kitabu chake cha mwisho Qurani takatifu na akesema! SEMA wambie wanaosema Mungu ana utatu kwamba MUNGU NI MMOJA,AMETAKASIKA NA KILA KITU, HAKUZAA WALA KUZALIWA WALA YEYE HAJAFANANA na KITU CHOCHOTE KILE! haya maandiko yanamsafisha Yessu kwa wale wanaosema MUNGU ana UTATU! Siku ya Mwisho( DAY OF JUDGEMENT)
samahani mzee wangu usipotoshe umma Mungu asije akakuacha
Kwa sababu hiyo, sina uhakika kama wanaomsema Mungu katika nafsi tatu watapoteza Imani yao kwa Kristo Yesu kwani dhamiri zao zinamfunua Yesu kuwa ni Mungu ndani yao.
Lakini pia, umefanya vema kutoa ufafanuzi huo kwetu. Ubarikiwe sana mtumishi.
unaposema jambo weka na rejea ya Biblia.
M/Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na yeye ni wa mwanzo na wamwisho
@@kiluiWanguvu huyo ambaye hakuzaa ni wa kwenye quran asiye na uwezo wa kuzaa bila mke. Lakini cha kushangaza amezidiwa na maryam ambaye ameweza kuzaa bila mume.
@@joshuanyamaiswe4327kufuru kubwa sana hiyo... Nyie mnaleta ushabiki wa mapokeo katika haki, acheni kumshirikisha Mwenyezi Mungu ni chukizo
@@joshuanyamaiswe4327kufuru kubwa sana hiyo, ... Nyie msilete ushabiki wa mapokeo katika haki
@@kiluiWanguvu hayo ni mawazo yako ya Kiislamu
@@thomasa.kimwaga4161 Wacha kutudanganya Maryam unamfananisha na mungu jamani mbona unakufuru wewe ?
Mi Niko Tanga mkata ninakuelewa na iko hivyo Amen
Kwa Mafundisho ya mwalusambo yaliyo kosa upana wa Mungu Hawezi kufundisha habari za Roho Mtakatifu
Mungu baba mwana na Roho mtakatifu= na tumuumbe mtu kwa mfano wetu
Wewe mzee unazeka vibaya... Yaani Mungu wa mbingu na inchi azaliwe na mwanamke kweli huoni kuwa wazungu walitupiga
Sio mda mrefu utawaga dunia
Kaka nimekuelewa sana. Nimtumishi wa.Mungu tangu 1988.
Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa
Upo sawa mtumishi
MUNGU mmoja ktk nafsi tatu,,. Nafsi .
Talatibu tu mwisho wote mtakuja kukubali tu.
Ukichunguza bibilia yenye itakuchunguza ,utatu ni ukamilifu wa Mungu,,
I,yoh,5:7-9,Mungu ni mmoja na mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu,ni mmoja,
Uko vizuri mzee,ni waumini kiswahili kinawachanganya tu nao wakosahihi,
Yohana7:17 Yesu Kama mwana anasema sisemi Kwa Nafsi yangu,Bali Kwa Kwa Nafsi yake aliye nipeleka,
Nadhani, kwa wakristo wengi, pamoja na kusema nafsi tatu za Mungu, fahamu zetu hazina taswira ya Mungu watatu.
Ndio maana, wakati mwingine tunamwita Yesu kuwa ni Mungu. Mkristo wa kweli anaamini kuwa YESU ni Mungu.
Hebrew 1:8
Mkristo kamili anaamini yesu ni mwana wa mungu ambaye mungu alimutuma duniani kutukomboa kwenye dhambi,kwenye Dulma
@nehemiapatrick6325 the question we should ask ourselves what did God call us (Christians) 🤔 God even never introduced us as Christians but we were called Christians in a place called antioch acts11:26 but the bible calls us children of God according to the book of john 1:12 .my brothers if we believed in the son of God who come as the bible says in colossians 1:15 we are children of God breathrens, and I beseech in the name of Jesus Christ the righteous denie the denom of religion and ask the holy spirit to teach you the ways of a relationship with Jesus Christ because his never moved with religion but relationship with him
Sasa unataka kutuambia Yesu ndiye Mungu mwenyewe? Na Mbinguni je tukienda tutamuona nani.
God is one but he reveals himself in three person
How brother
Brother Edwin you have to understand the meaning of person
There can't be a person without a personality...Three persons means three People,or three God's and that's heathenism
So the three persons has create thi Universe! So they help one onother!when one get asleep the other continue to drive the WORLD!
God is infinite and almighty, Do God really need to be in form of his Creation to save his creation?.......Think twice about that my dear!!! and what jesus did,it was by the willings of his God
Hakika dini ya haki na ya kweli mbele ya Mwenyezi Mung ni UISLAMU
Ni mawazo yako lkn inaonekana bado huna ufunuo kutoka kwa Mungu . Muombe sana Mungu atakutokea na atakufunulia hilo fumbo
Nakushukuru Docta kwa mafundisho mazuri. Ni kweli kabisa hakuna miungu watatu, ila nisichokubakina nacho ni kusema kuwa Mungu amejifunua kama Baba, mwana n'a Roho Mtakatifu kwa sababu bado itaacha maswali mengi kama ulivyoeleza katikati. Umetukataza hisia na ni kweli, ila 1 Yohana 4:14-15 Inakataa hisia hizo.
Mimi siamini katika nafsi tatu, ila Biblia inaonyesha wazi kuwa Yesu hata mbinguni anaonekana akiwa mkono wa kulia wa Mungu isipokuwa Roho tu ndie asiyeonekana kwa maana Mungu ndiye Roho (Yohana 4:22-24) ila Mungu siyo Yesu (Yohana 14:28) Vile vile Yesu alimuomba Baba Yohana 16:26. Hata Mungu mwenyewe hakubaliani n'a hoja hii kwamba Yesu ndie Baba isipokuwa tu tafsiri za Biblia ndizo zilozonukiliwa vibaya. Mathayo 3:17; Yohana 3:16; Marko 15:34, Matendo 7:55-56.
Pole mzee,nashauri kuwa bado ukafunuliwa hilo.Pia Kama biblia imekosewa nashauri uache maana utajuta baadaye.Tambua maneno haya Eloha,Ell na Elohm.
Ikiwa Mungu ni Elohim kwa ki Hebulania juwa Elohim ni wingi.
Hakika mzee, wengi hawasomi maandiko. Hakuna utatu Bali Mungu baba, na Mwana ni wamoja
wala hakuna mungu baba na mwana wala roho! munajizonga tu!Sema MUNGU ni mmoja tu mmiliki wa kila kitu! utapungua wapi ndugu yangu! Inaonyeha Mungu wenu ana wasisi wa kujiamini ndo mana anataka awe baba alafu mtoto alafu aje awe roho!! Hivi ni kweli!!
Mzee uko sawa kwa kusema hakuna utatu lakini unadanganya unaposema Mungu n mmoja akajifunua katika nafsi tatu huo ni uongo kabisaaa
Yaani sijui mumerogwa nanani hamtaki kuelewa wala kusoma wala kuamini
Kwani nyie...Mungu mnamuona kama mjomba enu...kwa Nini mnamfunga sana katika kazi zake...Mungu sio mdogo hivyo uwezo wake sio wa kitototo hivyo..
Huyu hata shule hakuna...
Mzee hili ni tatizo kubwa kwa wakristo! Na hiyo ni Mada mzito sana ambayo haina majibu sahihi kwa fuasi wa dini ya wakristo tangu ilipoanzishwa! MUNGU alishaufuta mjadala huu! Mungu amemwambie Mtume wake MUHAMMAD (SAW)! Sema MUNGU ni MMOJA TU! Ametakisika kwa kila kitu! Hakuzaa wala hakuzaliwa( yaani Hana nafsi tatu) wala hajafanana na kitu chochote! Mungu ajitengezee mtoto ili eweje!!
You cannot separate the father from the son and the holy spirit God is one
Jesus is the son of God from all the Eternity and not only after incarnation! See Daniel 3:25 KJV .He answered and said, Lo, I see four men loose, walking in the midst of the fire, and they have no hurt; and the form of the fourth is like the Son of God.
There are three persons of the Godhead , The father , son and The Holy Ghost, and these are independent entity But with the same divinity! God is one because the divinity is the same.
If you test the holy spirit you conclude He is God, The same to the Son and The Father
See for example Hebrew 1:8-9 kjv . But unto the Son he saith, Thy throne, O God, is for ever and ever: a sceptre of righteousness is the sceptre of thy kingdom. 9 Thou hast loved righteousness, and hated iniquity; therefore God, even thy God, hath anointed thee with the oil of gladness above thy fellows
See here 'he' is for the Father and the father is calling Jesus as God and he has the throne and Kingdom.
Verse 9. God anointed Jesus , but who anointed the Son? The Holy Spirit anointed Jesus. So the Holy spirit is God . Luke 4:18🎉
Pumba tupu halijuwi lolote.
Nimekuelewa mchungaji ila unaukataa utatu na bado unakubali yesu ni mungu, ss Kati ya yesu alokuepo pale chini na ile sauti ilotokea juu ikisema huyo ni mwanangu nilopendezwa nae, m nieleweshe mungu ni yupi Kati ya alosema Yale maneno au yesu aloambiwa ayo maneno😊
Lakini pia, ndugu wapendwa Wakristo wenzangu tunaomwamini Kristo Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wetu,
Tufahamu kuwa destination yetu ni kumlaki Bwana yesu katika unyakuo atakaporudi kulichukua kanisa. Mungu atusaidie kustahili katika ufalme wake. AMEN.
Amina
Mungu NI mmoja TU. Anajifunua kwetu kwa njia nyingi na kwa namna nyingi. Fundisho la utatu siyo la kibiblia Bali NI human foundation.
Pole tuna elewa ya kua uratu mtakatifu tumia msalaba kwa ishara utaelewa s
Mbona munajitia shida sana! Sema MUNGU ni mmoja tu, ametakasika kwa kila kitu hukuzaa wala kuzaliwa walo hakushabihana na kitu chochote!
@Isayamangala. Mtu akisema kuwa Wakristo wanaabudu MUMGU-MTU atakuwa amepatia?
Ktk maandiko mengi Yesu mwenyewe amejitaja waziwazi kwa sifa ya Mtu au Mwana wa Adam. Sijui kama kuna alipojitaja mwenyewe waziwazi kua yeye ni Mungu.
Na kulikua na mantiki gani kuwa Yeye ndiye Mungu mwenyewe kisha aseme maneno yanayoonyesha kuwa kuna Mungu mwengine asiekuwa yeyeye au awakataze wanafunzi wake kumdhihirisha kwa viumbe wake?
Uzuri ni kwamba utakufa soon and very soon.
umepotea vibaya mno rudi kwenye imani yako sahihi
Pole mzee, nilijua umefanya utafiti utaku na jilya, kumbe ni yaleyale. Poleni sana, Ukeli nikwamba bibilia haielezeki wala hai teteeki labda upingane nayo, utakako kwenda unajikoroga tu.
Waraka wa kwanza wa yoana 8 wako watatu wanaumoja
Yohana 6:38
[38]Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
For I came down from heaven, not to do mine own will, but the will of him that sent me.
Nenda kasome tena chuo wakutafsirie vizuri maana ya utatu Mtakatifu
1 Wakorintho 8:6
[6]lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
But to us there is but one God, the Father, of whom are all things, and we in him; and one Lord Jesus Christ, by whom are all things, and we by him.
Kwa mujibu wa Biblia Mungu ni baba tu
Hapo unakoroga sasa
Kauli ya kwanza ni ya Mungu mwenyewe ya pili mwandishi amenukuu. Chukua mwenyewe mungu siyo ya kunukuu.unatukoroga
even muslims use WE in their Qur'an, it doesnt mean the Trinity as u mean in the bible.....
MUNGU ni Mmoja tu
Mungu haizai, Yesu haizai, Roho mtakatifu haizai because the three names refer to one God.God is the spirit and can manifest Himself to people as God, as Jesus, as the holy Spirit or like an angel.
Genesis 3:22
[22]And the Lord God said, “The man has now become like one of us, knowing good and evil. He must not be allowed to reach out his hand and take also from the tree of life and eat, and live forever.”
Bora mrekebishane wenyewe
Hii ni kawaida sana dadangu. Hata mashehe Kuna wakati wanapishana mawazo wanaanza kunyukana sanaa. Kwa hiyo Wala hakuna jambo la ajabu wakristo nao wakapishana mawazo
Ameni ubalikiwe baba
True story.
Uko sahihi
Kasome mathayo.18:19. Wabatizeni watu kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu. Hebu fafanua huo mstari
Hizo NI sifa zake Mungu na uwezo wake Mungu ktk kushughulika na wokovu wa wanadamu. Siyo nafsi tatu.
Wakati Yesu yuko msalabani alilia Mungu wangu,Mungu wangu mbona unameaniacha? Ikiwa Yesu ndiye alikuwa huyo Mungu anayemuacha,je Yesu alikuwa anajiacha mwenyewe?
Mwanzo 1:26, ni kitabu cha unabii kilichozungumza habari ya Mungu kufanya uumbaji mpya kwa sura ya Kristo aliye sura yake Mungu(Waefeso 2:10, 4:24, wakolosai 1:15-23)
Mzee mwenzangu pile sana kwa ufunuo wa huo. Lakini unajua wazee tumepewa kuota ndoto na siyo maono! Naona kama umeenda sivyo😮!
Mt 28: 19. Pitia huo mstari na utufafanulie. Ninakuombea Roho mtakatifu akakufunulie ili uelewe unachokihubiri
Ninyi wakristo mmekosa mahubiri mnapingana ninyikwaninyi mmefirisika
Luka 4
1 Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
2 akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
YESU alikuwa amejaa Roho
Na uyo Roho alikuwa ana mwaongoza Yesu
Kwaiyo Roho ni nafasi yenye ufahamu kuliko Yesu kwakua ndo Ina mwaongoza Yesu
Matthew 28:19
Ndugu yangu,,,,,wewe umetumwa na baba yako,,,,,,,,,mm naamin,,,,,,usipotoshe bana. Wewe ni mwisram
Pole sana baada ya kusoma na kuutafuta ukweli wewe umebaki na chuki zisizo na msingi! Sasa basi Mungu🎉Umejibu vizuri utata ambao kwa kupitia QURAN ! Sema MUNGU NI MMOJA TU! Ametakasika, hakuzaa wala kuzaliwa! Mungu hajajitengenezea mwana ili amsaidie kuendesha dunia!! Poleni sana!!
Hatupotezi imani kwa kusema hivyo imeandikwa ninyi mwapotea kwa sababu hamyajui maandiko
Umejichanganya naweye pia
Hiyo ya pili ukiisoma vizur AKAUMBA MTU KWA MFANO WAKE HYO NISENTENZ YA MWANDISHI SOMA UELEWE USIPOTOSHE KAULI YA MUNGU NITUFANYE MTU KWA MFANO WETU
Sawa kabisa
Mzee kasome tena bwan maan naona kama umejichangany hatar
DR.GANI WW ETI MUNGU ALIJIFINUA IN 3 WAYS( KWA NAMNA TATU) IKIWA NA MAANA YA KWAMBA BABA NDO MWANA NA NDO ROHO MT.UWONGO MKUBWA DOCTOR UCHWARA.
Ndani ya Quran ALLAH yuasema: laiti katika hii dunia pangekuwa na miungu zaid ya mmoja basi ndani ya ardhi pasingekalika.
Ndo maana sisi waislam hatuna mungu mwingine zaid ya ALLAH.
Unazeeka vibaya we mzee.
Siyo kweli. Elder Yuko sshihi. Fuata neno usifuate urithi wa mapokeo ya wakatoliki ambayo wasabato tumerithushwa
Tunakusubiria na wewe uzeeke ili tupate ukweli wa jambo hili kutoka kwako!
Kwa sababu huyu sio mzungu ndo maana anazeeka vibaya! Basi papa ameshaandaa bibilia mpya inayoendana na wakati na amebariki na kukubali LBQT!!
Hutachukuwa mda kwa kufa
Mithali 30
18 Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.
19 Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
20 Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu.
Asante sana mchungaji leo nimemuelewa Mungu zaidi
NIMEKUELEWA VIZURI MT. WA MUNGU SOMO LAKO LIKO VIZURI ZAIDI LINAFAFANUA VIURI KULIKO UFAFANIZI WA UTATU
YAKOBO 3:1"NDUGU ZANGU MSIWE WAALIMU WENGI,MKIJUA YA KWAMBA MTAPATA HUKUMU KUBWA ZAIDI!"
Luka 3
21 Ikawa, watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu naye amebatizwa, naye anaomba, mbingu zilifunuka;
22 Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
Ebu agalia apo Yesu yupo kwemaji Roho kashuka juu ya YESU Baba kasema uyu ni mwanangu izo ni NAFSI ngapi
Mimi nakusikiliza ila hunishawishi. Enjili yako ndogo sana
Huwezi kutuchanganya,wote tunasoma biblia.Huna ufunuo
Hapa hakuna mtumishi...
Basi wewe ndo unafaa kuwa mtumishi! Lete vitu basi!!
Umechanganyikiwa Mzee
Mkiambiwa Biblia ni stori za watu hamuelewi. Sasa kama watu walikaa na kujadili mambo ya Mungu hapo kuna uzima wa milele? Nashukuru Mwenyezimungu kwa kuniepusha kuwa mfuasi wa upagani.
hujui usemalo
John 5:23
John 10:30
John 8:58
John 14:9
Aise nasikitika sana mzee uliaza vinzuri lakini unamaliza vibaya
Utatu ni fundisho la Mashetani,hakuna kitu kama hicho kwenye Biblia.
Baba,Mwana,Roho Mtakatifu ni mtu huyo huyo mmoja,hivyo ni vyeo au Titles za mtu yuleyule mmoja
Mimi najua ndivyo Biblia inavyofundisha
Umebarikiwa Mchungaji, poa mimi nilipata huo ufunuo kuwa Mungu ni mmoja wala si utatu. Chanzo cha fundisho lai utatu ni wapinga kristo hadi leo. Baba tuonee huruma
Mungu akujaalie utafute na uujue ukweli zaidi!
Mchungj kajifunze vzr, mungu yupo, utatu mungu baba mungu mwana mungu roho mtakatifu, ndoaamn yesu Ni mtoto wa mungu,usidanganye hun roho wa mung wew
@@MariamMwasonzwe bibilia haizungumzii ukiristo inazungumzia uislamu
@AbdullahOmar-be4wy
Hahahaaa.... we nae unataka kuzua gumzo jingine
😂😂😂
th-cam.com/users/liveyC28lkWdprI?si=K5CVA904nLbviFi_
😂😂😂 yakobo 1 :16 Mungu habadiliki , yan wakristo wanashindwa kuelewa kitu 1,,bible ilishachakatwa Kwaiy ni kuchagua baadhi ya maandiko tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acts 17:29
Romans 1:20
Colossians 2:9
Soma mathayo 28:19
Wakorintho wa pili13:14
Mathayo 24:22-24 hawa manabii WA uongo watajitokeza nyakati hizi imeandikwa
At your age you didn't know 2:15 that there's nothing like 'Trinity' in Godliness??😮😮
Acha uongo wa wazi Yesu Kristo mwenyewe ameuzungumzia UTATU mtakakatifu acha stori za uongofundisha KWELI kama ni njaa sadaka tutakupa 😂,Ninanukuu ;Mathayo 28:19 ,Basi enendeni,mkawafanye mataifa yote kuwa wananafunzi mkiwabatiza kwa Jina la BABA na MWANA na Roho Mtakatifu . Vinginevyo tuambie aina msahafu ,Biblia au kitabu unachotumia.
Wapi kataja utatu Hapo?
Vitu vitatu vimetajwa apo na VYOTE havina uhusiano na utatu
Isaya1:7 yaongea kuhusu imanueli,manake Mungu nasi,na jaribu kuelewa bibilia kiroho si kimwili,kuna ushahidi tele kwa bibilia kuonyesha ni wamoja,anasema kaeni ndani yangu nami ndani yenu kama vile baba Yuko ndani yake johana 14:11
Huo umoja unaozungumzwa ni wa ushirika wa roho siyo nafsi, sote tunaposhiriki roho Kristo tunashiriki roho ya Mungu mwenyewe.
@@dasilvajr9647There is one and only one true and living God. This one God eternally exists in three persons-God the Father, God the Son, and God the Holy Spirit. These three persons are completely equal in attributes, each with the same divine nature. While each person is fully and completely God, the persons are not identical.
@@dasilvajr9647
The doctrine of the Trinity means that there is one God who eternally exists as three distinct Persons - the Father, Son, and Holy Spirit. Stated differently, God is one in essence and three in person.
@@dasilvajr9647yohana 1:1...yakuonyesha Mungu mmoja lakini katika utenda kazi anakuwa utatu...Yesu mwenyewe amesema mara si moja,manabii pia,ama ni waongo wewe ndiyo uko na ukweli hiyo miaka mpaka leo waja kanusha
duh!? Yakobo 2:19
Mithali 30
21 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia.
22 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula;
23 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake.
Mithali 30
15 Mruba anao binti wawili, Waliao, Nipe! Nipe! Kuna vitu vitatu visivyoshiba kamwe,
IVI HAPA KAVITAJA MBONA UHUU MSITALI NA MINGINE UNAILUKA
Naam, vinne visivyosema, Basi!
16 Kuzimu; na tumbo lisilozaa; Nchi isiyoshiba maji; na moto usiosema, Basi!
1Yohana 5: 8, Biblia anasema watatu hao ni mmoja, yaani Mungu ni mmoja aliyejifunua kwa mwanadamu ktk nafsi tatu
Wazee wengi wamechanganyikiwa. Ila hata kula nao haifai. Tumeachana nao
Aiseee mzee umepata ufunuo ambao madhehebu wameukosa kwa zaid ya miaka 2000 wakifundisha uongo , kumkataa nabii wa kizazi hiki William Branham ndio sabb watu wamezd kwenda mbali na Mungu wa kweli
Yote Kwa yote...hatutendi dhambi basi water ni wayesu,,,,,,huyu wa kefa huyu wa Paulo yote sawa TU.......😊😊😅😅
1 yohana 5:8 wako watatu washuhudiao mbinguni baba, neno na roho mtakatifu na watatu hawa ni umoja. baba aliumba vyote, neno (yesu) alikuja kukomboa kilichoumbwa baada ya dhambi na roho mtakatifu alitia nguvu kila kilichokombolewa.
Mzee ulipofika katikati umeanza kuharibu sasa ukisema Yesu yule yule ndiyo anaigiza kuwa Baba tena Mwana hapo umedanganya "Mungu ni mmoja tu aliye Baba" 2korintho 8:6, yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye ndiye Mwana wa Mungu kwahiyo hoja yako ya kusema Yesu ndiye Baba halafu ndiye Mwana huko ni kusema Yesu anaigiza.
Mungu ni mmoja tu katika nafsi ambaye ni Baba, Yesu ni Mwana wa Mungu siyo Mungu katika nafsi yeye katika nafsi anabaki kuwa Mwana wa Mungu na ndivyo Yesu alivyojifunua hata hivyo ana mwanzo wake ndo maana hawezi kuwa Mungu katika nafsi kolosai 1:27, ebr 1... Mithali 8:22 na hakuna sehemu kama unavyodai Yesu alisema yeye ni Mungu isipokuwa alisema yeye ni Mwana wa Mungu.
Biblia ni ngumu Sana itoshe tu kusema hivyo.
1YOHANA5;7.UTATU MTAKATIFU UPO
Ukiwa umepata camera nakufundisha TH-cam isikufanye kuona kwamba una juwa endelea kujifunza usicho kielewa endelea kuomba Mungu anazidi hakili yako
Kwani mmekosa mafundishi?
Unaongezea tena uongo