Mi ni fan mkubwa wa joti tv na team mzima iliopo ndani kaka joti nina oni moja mbna msiregeshe ile logo ya joti ya zamani ni nzuri zaidi kuliko hii mpya mumeeka sahii
Wenyew wanasemaje,, Akuna km ww mola baba akuna km weeeewe mola babaaa Nisamehe eeeeeeh yani apa namwambia mungu ucje ukaona namwabia nani cjui Unaazima mpk engachifu alfu unajitapa ndowanapenda kichiz kujitapa kaa kimya babako ,, haya kwa rahma za mungu ukauumbua sasa
Joti mm nimeiona hii leo nlikua napitia video zako....bro. sijaipenda sana hasa hapo ulipopokonywa nguo....lakini pia unapendeza zaidi ukiigiza kama dada kiboga 🙂
Best east african comedian i know... since ZeeComedy show on east african tv
Killing us in Canada here much respect...come to canada we we love you!!!!!
Tosheka na chako brother hata Kama ni kibaya,, mungu tupe kinai na vitu za watu
Mi ni fan mkubwa wa joti tv na team mzima iliopo ndani kaka joti nina oni moja mbna msiregeshe ile logo ya joti ya zamani ni nzuri zaidi kuliko hii mpya mumeeka sahii
Am already here.....atleast am not among the 20s this time....
Team Uganda some likes plz😂😂😂
Asha Basha ur # plz
Likes what does it help.?
How are you
Nati nera nera
Alert every one
Hyo ya mwisho ya mwanangu agizeni chakula ndo imemaliza kabisa🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂 wazeee wakuringa na madela ya kuazima vikoba mpoooooo??? inawahusu hiii...joti🔥🔥🔥 konki fire
Haaaaaaaaaa
Kama we ni mkenya na uko hapa...gonga like
Wakumaliza
Hongera baba mapacha love you joti
Nishai, haukutakiwa kukalia hicho kiti tena baada ya kuvuliwa nguo 🤣🤣🤣
Kabisaa nishai..baada ya hapo tunawakataa mana hutawala haufanani
I like it from Congo 🤙
Tunampenda sana jot mungu amuweke miaka mia
Hi, watching from Kenya and hilarious though I can't understand.
Toa ujinga hapa matako wewe mkenya gani asiejua kiswahili
TOA ujinga hapa matako wewe mkenya gani asiejua kiswahili
Someone translate for me..
Wangapi Tunacheka Na Joti
Amakweli nguo yakuazima haistiri matako hahahahahaaaa
Leo mimi wa kwanza jamani nipeni likes ndugu
Mnaomba likes kama majinga, asa zinakusaidia nini? Pumbavu kweli
Sasa nini ndugu ...naomba musama kama nime kukoseya 🙇♂️
Hahaaaaa
Sasa kama wewe wa kwanza ndio upewe like
Key Mwamba
Leo na mimi nimekua wakwanza asee, sema Joti ndo mana mi sivaagi saspendaa 😂😂😂😂
Wenye mtawatch hii vida 2050 mjue 2024 ndio ilikuwa inabamba😂
Kuna mastyle yakupata mapaca Baba Anakaaje Mama Anakaaj.? Mpaka unione😂😂😂😂
Kazi nzuri Technical Wamefeli White ballance wanachange mno.
bado mapemaaaaaaaaa nimelianzishaaa joti weeee ni fundiiiii
Umeona Nini kwenye suruali ya nishai😅😅😅😂😂😂😂
Kwe chakuazima noma hahahaha😅😅😅😅
Hii kiboko 😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃jotiiii bwana
Joti anaweza 🇹🇿🎬
We jasho lako kama la mbuzi😂😂😂😂
Joti nakupenda sana yani we ni noma
Hii issue wapo wengi pk sasa bado wanahazima nguo na ukishawaazima kuregesha ndo balaa pk kutafutana tena ndo mambo km haya
Kweli eheee!
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 jamani kwani mwanza zipo ngapi jotiiiiii naona unasaulaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani hadi sm
Wenyew wanasemaje,,
Akuna km ww mola baba akuna km weeeewe mola babaaa
Nisamehe eeeeeeh
yani apa namwambia mungu ucje ukaona namwabia nani cjui
Unaazima mpk engachifu alfu unajitapa ndowanapenda kichiz kujitapa kaa kimya babako ,,
haya kwa rahma za mungu ukauumbua sasa
😂😂😂 Mkwaju sadakaa,,,,,Nipo mwanza ya kinondoni 😂
Nimeona bakora ya joti
Jotiiii nilitaka nishangae nishai Leo kaulamba hiviii hahahahaha umeniacha hoi apo unapoapia mungu hahahahaha
Nani wa mwisho kama mm!! Tujuane!!! 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂duh!Joti iyo yko kali,,;unaazima mpk cmu...leo nko hoi kwa kucheka
Joti uko best comedy nakupenda 😅 😅
Hahaa jot ume nichekesha sana Nakupenda bro
Wanangu agizen chakula basi tule... Hahhahaahahaaaaaaaaa
Hahahaha daah nzur sana
😂😂😂 Joti atabaki kwenye vitabu vya historia
Hahah...joti ukicheza kiboga ndio unachekesha sana ...
Wanangu agizeni chakula😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm pia nitakuja kukuona 😁😁😁😁😁
Daaah joti ww noma😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌eti agizeni chakula uku umevaa boxer
Yaaani ushavuliwa kila kitu😂😂😂Hapo mwshoni 😂😂adu unawambia tenaa wagize chakula we Jamaa bhana
Daaah, we ni kiboko Nishai
😀😀😀jot na wenzako mko juu
Karibu konky TV visa picha pembeni itakuleta konky ujionee mengi mazuri
Wazee mchelewe chelewe kidogo angalau nami niwe wakwanza,, nitamioiga risasi ya mapacha. 😂😂😂😂 ""nzjisikia kutoa sadaka nimpe nani wa mwanzo""
Una nini cha kupeana
Na wanaumee wanaazimaa kumbee heeee.hahaaaa uuuwiiiii
Uchizi wa joti ni noma, mbavu zangu jamani!!!!
Kwani wewe upo mwanza ipi🙈🙈🙈🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mmmh Joti hiyo suruali imekuchora #chululu...
Yakuazima
Mpaka unione 😃😃😃😃😃
Nishai ni zaid ya comedy, eti mwisho anawauwa anawambia still waagize chakula hahahhh
Mi napenda tu igiza yenyu venye mko poa sana
Mhhh tulio pataaa,mapachaa gonga like twendeee sawaaaaa
Kazi safi sanaaa hii
kipande unanichekesha sanaa unavyomuuwa joti😁😁😁😁😁
Joti mm nimeiona hii leo nlikua napitia video zako....bro. sijaipenda sana hasa hapo ulipopokonywa nguo....lakini pia unapendeza zaidi ukiigiza kama dada kiboga 🙂
Mpigieni cm mama fide awaletee chakula mle, najua amjala 😂😂
Hahahahahahaaaaa eti sio ziwa ata kalio joti weeeeee
Mkwaju sadaka anawaagizia2 chakula baada ya hapo anawakataaaa
Mbavuu zanguu jamn joti
Hahahah wana wanamsnitch nishai kwa kicheko aisee
Hahahahahaha hapohapo mwanza nigeuke nyumaaaa
Ngoja wakukomeshe joti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂 uko unalingia wana ati nguo kiatu cha toa ndugu toa 😂😂😂🤣😂😂😂 nyanganya puss hoyo...
Safi joti unanivunjaga mbuvu ww
Sopaa jmn mmh kwel nguo ya kuazima haiendewi ngoma
Kama umeona mshedede 🤣🤣🤣 pita apaq
Niko chini jameni😁😁😁😁
mapacha wa taifa.....joti unatusumbua ase 🤣🤣🤣🤣😀😄😀😄
Joti kwa nn tusione mpaka kwa babu na bibi 😁😁😁
HAHAHA ... kwaMba ...baada ya yote... Agizen Chakula wanaNgu ....😂😂😂
dah! we nikiboko joti 😀😂🤗
🤣🤣😂😂 vyakuazima vina kasoro yake😂😂
Kuazima hadi simu.. Waahh Hio kali
Toa toa ndugu ulichonacho😂😂 rc songs
Bonge la onyo, kama nawe umependa gonga like
Mwanzaa nyuma
hunion mpaka unione
Mwaza kwenye wimbo wa nani😂😂😂😂😂😂😂hapo dio nimefika
Best International comedian
Suruali imeonyesha pale katiii
😂😂😂 eti sio ziwa tu hata kalio
Kweli hizo nguo ni za sopa
Kwani we uko mwanza ya wapi😂😂😂😂
Daaa mpeni nguo zake
Nawapata from Dubai
Hhhhhhh sio ziwa hata kalio
Pete hizo zimesahaulika😂😂ila joti umeua
duh eti usiguse guse ivyi vuatu ni vya sadaka kanisani kuna mwimbo unapigwa toa ndugu toa ulichonacho 😂😂😂😂😂
Apo apo mwanza......geuka nyuma
Nishai the best Comedian
Dah we ni nomaaaa
Hahaha kumbe nguo sizako
Sio ziwa ata kalio😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Joti Nyoko kweli 😀😁😂🤣🤣
Umecheki kwenye nanii kwa joti kumevimba aaaah