Usema kweli nimecheka Sana. Hapo mwamba huyo kapiga free organi akapitiliza mpaka we mwenyewe umeangua kicheko moyoni, kama sio tabasamu. Songi lilikuwa linaendelea vizuri tu ila free organi ya mzungu duuuuuh hahahahahaha hautakuja kusahau hiyo....hahahaha
Pole na hongera uncle...
Inaonekana huyo bwana ulimlazimisha kuimba huo wimbo...
Waiting for you always!
Wawaaa huyu bwana ❤❤❤❤❤
Naomba mpe Yesu kristu ni Mfalme By G. A. Chavallah Tuone vibe la Maestro
Duh Kinanda kakiachia sana hadi mwimbaji kacheka tu
Acha tu, kazi za wataalamu hizo
Shimbo kaka hongera
Asante sana ndugu yangu
Kinanda kimechezwa! Hakijapingwa😂
Ni kweli kabisa kaka.. Asante sana
Amen
❤
Asante sana
Barikiwa sana na mungu aendelee kukuweka viwango vya juu zaidi
Amina asante sana ndugu yangu
Nzuri mwambie huyo mwambaapunguze munkali❤❤😂❤❤
Ni hatari kaka, asante sana
So nice
thank you, God bless.
This organist is talented ❤❤
Sure he is. He performed really well.
Very
Kaka jamaa anavibe hapo mwisho kaweka mbwembwe
Acha kabisa ndugu yangu. Yupo njema kweli kweli.
Nimemkubali sanaa mkuu jamaa
Asante kaka, nimefikisha salamu. Tunamshukuru Mungu. Wenzetu wanaweka sana jitihada kwenye mazoezi.
Nice 🎉
Asante Sana ndugu
❤❤❤❤
Asante kwa upendo
🙌🙌
Asante kaka
Tumeanza kuvutiwa na channel Yako mkuu tunaomba ngoma za Tanzania zifike mbali
Asante kaka, tuko pamoja
Free ogan ya mzungu mmmh🤣🤣🤣🤣🤣
Thank you bro, jamaa wanajua ni hatari
organist amekupotezea maboya 🤣🤣🤣🤣
Usema kweli nimecheka Sana. Hapo mwamba huyo kapiga free organi akapitiliza mpaka we mwenyewe umeangua kicheko moyoni, kama sio tabasamu. Songi lilikuwa linaendelea vizuri tu ila free organi ya mzungu duuuuuh hahahahahaha hautakuja kusahau hiyo....hahahaha
Kaka, ni hatari, alinigusa kabisa moyoni, ikawa kama zile nyimbo za opera, kuna muda inapigwa chombo tu kama dkk tano ndo mnaendelea kuimba.
Naomba mpe Yesu kristu ni Mfalme By G. A. Chavallah Tuone vibe la Maestro
Poa poa kaka
Tumeanza kuvutiwa na channel Yako mkuu tunaomba ngoma za Tanzania zifike mbali
Poa poa asante sana